UTACHEKA🙌 MFAUME Kakutana na SHABIKI 'Kichaa', ALICHOMFANYIA Imebidi ATOE Hela KUMTUNZA, RONGONI 🔥🔥

Спорт

UTACHEKA🙌 MFAUME Kakutana na SHABIKI 'Kichaa', ALICHOMFANYIA Imebidi ATOE Hela KUMTUNZA, RONGONI 🔥🔥
Bondia Mfaume Mfaume Selemani Kidunda usiku Wa kuamkia Leo wakutwa katika Fukwe za Rongoni Kigamboni Dar es Salaam litakapofanyika Pambano la Safari ya Beach Oktoba 22.Ambaye Bondia wao Kutoka Nakozz, Oscar Richard Atacheza usiku huo dhidi ya Hassan Ndonga, amesema Amekuja Kukagua eneo Ambalo bondia wao Atacheza na ametuma salamu kwa Team Ndonga kuwa Hii ni Vita...
Aidha bondia Selemani Kidunda ambaye Nae Alikuwa kwenye Fukwe hizo Amezungumza na Mashabiki na wadau wa mchezo wa Ngumi Kujitokeza kwa wingi Jumapili ya Oktoba 22, kushuhudia ngumi Ufukweni kwa mara ya kwanza.
Kwa upande wake Mratibu kutoka Peaktime Promotion ambao ndio waandaaji wa pambano Hilo, Bakari khatibu amesema amefirahi kuona watu Maarufu wamenza kufika hivyo siku hiy amezungumzia Maandalizi yalipofikia mpaka sasa.
Mabondia wengine watakaopanda Ulingoni siku Jumapili Oktoba 22 ni pamoja Na Rama John Cena vs Ràmadhani Iddi Bonnysela, Said Torres vs Abdulrazak Hamisi, Zawadi Kutaka vs Flora Machela Na Abuu Lubanja Na Abuu Malume.

Пікірлер: 8

  • @isdorchuvu6280
    @isdorchuvu62808 ай бұрын

    Msela mavi.

  • @frenciustryphone4531
    @frenciustryphone45318 ай бұрын

    Huyu mfaume saiv hana mapambano kazi kuongea tu

  • @hishamally4846
    @hishamally48468 ай бұрын

    Mfaume ni bondia wa ukweli hata ukimpelekea jini anapita nae

  • @charlesraymond-uo6xb
    @charlesraymond-uo6xb8 ай бұрын

    Nakubal sema kinyonge sana

  • @johnngongi4810

    @johnngongi4810

    8 ай бұрын

    Kinyonge kivipi babu uoni dogo janja kakuaambiaaa nunaaaa wewe 😂😂

  • @twaibumikidadi7377
    @twaibumikidadi73778 ай бұрын

    Mfaume akibadilishiwa hasibadilishiwe anapigana na walaa hachagui bondıa sasa utasema nini !!! Mtu fulani Elimu hana, akili yake inamwambia kuwa na mcmamo ndıo mafanıkıo, haya leo kafungiwa na fine juu, Mafanıkıo ni kufanya kazi tu bas , Pambana ufanıkıwe.

  • @fj8317

    @fj8317

    8 ай бұрын

    kafungiwa ila bado mnamuongelea hamjioni hamna akili haya kamzidi nini zaidi ya rangi tu

  • @AllyMohamed-xw6hy

    @AllyMohamed-xw6hy

    8 ай бұрын

    Amna kitu mfaume we we

Келесі