Bora wewe kwa mwezi nilikuwa nalipwa 15000 kwa mwez nikaja 40'000 nikaja 100k mara ya mwisho 111k 2008 now mungu ni mwema nishasahau yoote hayo
@samdigitaldesigner37862 ай бұрын
kaka nikweli hulisemalo kwasababu hatamimi natumia simu kurekod video na pia natamani kujisajili lakini pesa ni tatizo kongole kak kututetea
@umbaliche2 ай бұрын
Hivi Millard ana miaka mingapi?
@KhaimuMkumbaru-zs7zr2 ай бұрын
Waziri sisi wananchi mkoa pwani hatumjui mkuu mkoa wetu tunakuomba waziri mkuu kiongozi huyu atembele vijiji ..kata tarafa ..wilaya maeneo hayo yote kuna matatizo mengi awe kama mkuukoa arusha muheshimiw makonda..
@MtazameKristoTv2 ай бұрын
Serikali pia iangalie Kuna mitandao ya kijamii hapa Tanzania haiwalipi waundaji wa maudhui wa MITANDAONI Mfano Facebook, kwahiyo talent na waandishi wanatumia gharama lakini hawalipwi
@EvaJuakaliTV
2 ай бұрын
Hulipwi wewe me mbona Facebook yangu inanilipa vizuri tu.
@MtazameKristoTv
2 ай бұрын
@@EvaJuakaliTV mbona kama inaniambia your in ineligible country
@EvaJuakaliTV
2 ай бұрын
@@MtazameKristoTv me niliset kwa vpn na ikakubali vizuri, kuna instream Ads na Stars zote naingia pesa.
@Sajaonlinetv
2 ай бұрын
Kaka wanalipa Mimi mwenyewe nalipwa
@MtazameKristoTv
2 ай бұрын
@@Sajaonlinetv Facebook? Mbona Mimi hawanilipi Kamwe na Nina followers 28k na nimekidhi vigezo vyote wananiambia Niko ineligible country
@aishajuma78132 ай бұрын
🙏🙏🙏❤❤🇹🇿🇹🇿🇴🇲🇴🇲
@gracekaboigora1892 ай бұрын
Dogo ni mjanja awe wazi, anameza tu
@AbdulkarimuShabani2 ай бұрын
Semeen nabando kuisha g1 dk15 kwel,
@georgedaniel49622 ай бұрын
😢sema 5000 kwa week sio kwa mwezi kwake hapo umechemuka
@MohamedSeif-wp5vi2 ай бұрын
Hakuna elimu bure hapo tunapigwa Tu sasa kma elimu ni bure vipi tunawaandikisha watoto wetu tena darasa la Kwanza na Bado tunalipiaa tena shuleni kwenyewe wanasema ni michangoo ya nin sasa kwatamzamo wng hivii sasa huu ni wizi WA kutuibiaa akili
@aishajuma78132 ай бұрын
🙏🙏🙏🙏❤❤❤🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇴🇲🇴🇲🇴🇲
@gracekaboigora1892 ай бұрын
Atwambie
@KhaimuMkumbaru-zs7zr
2 ай бұрын
Wananchi mkoa pwani wote inatakiwa uwatwmbele katika maeneo kusikliza keto zao
Пікірлер: 32
Milady voice is so interesting 🎉🎉🎉
Ahsante sana umewakilisha vema wasio na Sauti, wewe umevuka lakini umesema hayo kuwavusha waliopo chini ubarikiwe sana ✅
Millard!"you are intelligent"I believe 👍
Hongera sana Milady.🌹🌹🌹🌹❤️
This guy deserves to replace nape coz he is on the ground big time. Big up bro all the best.
@erastongussa2334
2 ай бұрын
Bado saana,
Very good speech
Millard ni next level kabisa,
Umeongea vizuri xana Dogo
big up bro umetok mbali sana
Kumbe bro @millardayo umekula chumvi sana 😅, 2004 nilikuwa la kwanza la shule ya msingi na muhimu. 😂
Ndio nakumbuka kiongozi kweli ulianzi wapo redio
Woooooh,keep going brother
Tunakatwasana fedhazetukwenyemabandoyaMB huyowaziri hajari wananchi tuliishapaza sauti zamaumivu sincethen nothingwastakenplace.