Tundu Lissu- ccm ni Fashist

Description

Пікірлер: 30

  • @yussuphsaleh2165
    @yussuphsaleh2165 Жыл бұрын

    Mh lissu kiboko,,hajawahi kutokea hapa Tanzania

  • @godfreykahabi1964
    @godfreykahabi19642 ай бұрын

    Intellectual brilliant genius excellently president of Tanzania republic tundu Antipas Mugwahi lissu son of soil of Tanzania land

  • @josephpaul885
    @josephpaul885 Жыл бұрын

    Huyu mtu ni mhimu sana katika Taifa hili ila kizuri hakikubariki

  • @barakamwasenga2143
    @barakamwasenga21432 жыл бұрын

    Huyu mwamba anasitahili kuwepo tz tusipigwe polopoganda za kisiasa ametusaidia Sana hana sili kwenye uonevu

  • @williamkirway4620
    @williamkirway46203 жыл бұрын

    Watanzania wameonyesha kuumizwa na kuyaficha maovu ya serikali,polisi,wafwata sheria na katiba siyokupingana na katiba na sheria.

  • @lamecklubinza1224
    @lamecklubinza1224 Жыл бұрын

    Au sio 🤣 mwamba Sana ww lissu

  • @hamisizetz8942
    @hamisizetz89422 жыл бұрын

    Lisu we ni kamanda.. Mungu akupe nguvu n maisha marefu

  • @frankmwakatundu9856

    @frankmwakatundu9856

    2 жыл бұрын

    Na kweli maombi yako yamefanya kazi Mungu alilinda maisha yake mbele ya risasi mwilini mwake,.

  • @amosjohn7864
    @amosjohn78642 жыл бұрын

    nimemiss uwepo wako bungeni

  • @sifunimelkizedeck882
    @sifunimelkizedeck8822 жыл бұрын

    Mbowe siyo gaidi

  • @germanmachine5620

    @germanmachine5620

    2 жыл бұрын

    Singida one

  • @saidiathuman-og6bc
    @saidiathuman-og6bcАй бұрын

    Kumbe wew ni gileti kitambo saana mungu akulinde

  • @michaelmethod970
    @michaelmethod9703 жыл бұрын

    Nakukubali sana mweshimiwa tundu lissu

  • @carolsalvii281

    @carolsalvii281

    2 жыл бұрын

    Kipindi hicho bungeni bn ilikuwa Raha sana

  • @augustinokahinda3939

    @augustinokahinda3939

    Жыл бұрын

    @@carolsalvii281 sana yani

  • @vicentelias491
    @vicentelias491 Жыл бұрын

    Na bado leo mmeomba maridhiano

  • @ahmadkhery4146
    @ahmadkhery4146 Жыл бұрын

    Kuna watu Wana akili kubwa huyu mwamb ni hatar

  • @ambelemwakalobo3327
    @ambelemwakalobo33273 жыл бұрын

    Mh tundu lissu ww ni jembe

  • @mohamedhamza8819

    @mohamedhamza8819

    2 жыл бұрын

    Kweriii

  • @amosmwaji3318
    @amosmwaji33182 жыл бұрын

    Hawa ndio wh mbunge

  • @rubenharuni79
    @rubenharuni79 Жыл бұрын

    Tumekumis sana

  • @user-nx9mo6sd8x
    @user-nx9mo6sd8x3 ай бұрын

    Fire

  • @beberurafiki1273
    @beberurafiki1273 Жыл бұрын

    watu km hawa inapitaka miongo na miongo kuwapata tena, kama sio karne.

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything2 жыл бұрын

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿✌👍

  • @jeremiankewa3005
    @jeremiankewa3005 Жыл бұрын

    Lissu baba

  • @yusuphkichawele1009
    @yusuphkichawele10092 жыл бұрын

    Mwamba anajua vitu, huyu jamaa ni asset kubwa sana kwa taifa nibile tu kwenye nchi yetu wanaojua wanapigwa vita wajinga ndio wapo madarakani

  • @hamisizetz8942

    @hamisizetz8942

    2 жыл бұрын

    Fact

  • @leonarddimdoy6237
    @leonarddimdoy62372 жыл бұрын

    PT 😂

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan88712 жыл бұрын

    7:39 - 7:43 sikiliza moto ulotoka hapo

  • @magrethphilipo4196

    @magrethphilipo4196

    2 жыл бұрын

    Lissu ni mbunge bora wa muda wote ndani ya taifa la tanzani