SHEIKH MSELEM SUALA LA ARAFA SISI LINATUZONGA SANA HEBU TUFAFANULIE KWA UFAHAMU WAKO

Ойын-сауық

#jtvznz#

Пікірлер: 424

  • @khalifa_kuchi
    @khalifa_kuchiАй бұрын

    Leo wallah sheikh mselem umeufungua ulimwengu na allah akulipe kheri, umefikisha na mungu anakuona ila kazi ya kuongoa ni ya allah, huu ni ukumbusho kw mwenye akil timamu ila kw machizi subirin ashuke malaika ndio mukumbushwe kw adhabu ya mungu

  • @salumtakao9828
    @salumtakao9828Ай бұрын

    Shekh mselemu Leo nmezidi kukuelewa. Hili swala lkuw na tarekh moj linwezekn sema watu ndo watetea umakund na hii arafa ni moja tu mashallah.

  • @mafiatv5479

    @mafiatv5479

    Ай бұрын

    arafa siku kitendo ausehemu?

  • @twahambowe440

    @twahambowe440

    Ай бұрын

    Arafa ni siku, arafa ni kitendo, na arafa ni eneo au sehemu

  • @makerebul3650
    @makerebul3650Ай бұрын

    Asante sana shekh msellem, unaeleweka sana Allah akuzidishie Ufasaha wako, na akulinde na wabaya Amiin

  • @SHOMARYHIMIRY

    @SHOMARYHIMIRY

    Ай бұрын

    Aamin aamin aamin

  • @RashidmohdRashid-zi2tr
    @RashidmohdRashid-zi2trАй бұрын

    Hongera shekhe nimekuelewa sna tu mie mashaallah kwa mawaidha mungu akuzidishiye Inshaaallah..

  • @asamandhiry8648
    @asamandhiry8648Ай бұрын

    Sheikh Msellem umeongea na kufahamika ulichokiongea. Ila umeelezea juu ya tarehe moja ni sawa hapo hapo ulitakiwa kuongea tofauti za nyakati. Huku jua lina piga umesema ni saa sita mchana huku upande wa pili giza totoro usiku wa saa ngapi ikiwa watu wamesimama Arafa mchana upande wa pili usiku, inayumkinikaje waliopo katika jiza la usiku wakafunga sunna ya Arafa?! hawawezi kufunga abadan! Tunatakiwa tufuate nyakati na nyakati zinatazamwa kwa mwezi, kiislamu. Nahisi ulikuwa ueleze tofauti za nyakati pia. Wabillahi taufiq

  • @mohamedally6428
    @mohamedally6428Ай бұрын

    Allah akufanyie wepesi ktk Dunia yako na akhera yako sheikh mselem nimekufahamu vizur sana alhamdulilah Allah akulipe kheri aamin

  • @user-xb1pf2vj5l
    @user-xb1pf2vj5lАй бұрын

    Akili kubwa sana hii..shekhe umeeleweka vilivyo

  • @zedcomobilephones

    @zedcomobilephones

    Ай бұрын

    Kiukweli Mimi sijamuelewa turudi pale pale katika hio dollar walipeana vipi taarifa wa muandamo wa mwezi? Na kama ikiwa zaman walikua wakitofautiana katika miandamo inamaaana technology ndio imebadilisha Sheria za dini?

  • @user-gj7uh5fl7s
    @user-gj7uh5fl7sАй бұрын

    Ww ndo faraja yang ktk ufahamu wako unavyofafanua jambo mashallah

  • @NefeslZoOl
    @NefeslZoOlАй бұрын

    Khekma hupatikana kwawenye ukubwa wa Elimu kama Shekhe Ally Allah awapee nuru na wengine Inshaallah

  • @MussaaliMohamed
    @MussaaliMohamedАй бұрын

    Shekh Mselm bin Ally Allah kuzidishie ilmu y ahera akupe kitabu chako kw mkono wakuli

  • @wizlamability
    @wizlamabilityАй бұрын

    Maasha Allah akujaalie mwisho mwema shk MSELEM BIN ALLY

  • @faisaloaljabry6400
    @faisaloaljabry6400Ай бұрын

    Asiye taka kuelewa hataki tu Sheikh Kuwaelekeza watu wasiyo taka kuelewa haisaidii bora tuwaombee Allah awaongoze In Shaa Allah

  • @user-ec7wu9bk8w

    @user-ec7wu9bk8w

    Ай бұрын

    Umesema kweli @faisal

  • @FeisalDoctor-wr8ws

    @FeisalDoctor-wr8ws

    Ай бұрын

    Watak bakora tu wengin at izo dua haziwapati

  • @mafiatv5479

    @mafiatv5479

    Ай бұрын

    ndg msiwalazimishe watu, acheni usenge wajina nyie, kila mtu anamaono yake

  • @HassanSalum-qs2qp
    @HassanSalum-qs2qpАй бұрын

    Mashaallah umeeleweka alhamdulillah sheykh mselem ali ..swadakta

  • @KauthariKhamisi-yn2vc
    @KauthariKhamisi-yn2vcАй бұрын

    ماشاءاللہ جزاك اللهُ‎

  • @KauthariKhamisi-yn2vc

    @KauthariKhamisi-yn2vc

    Ай бұрын

    allah akupe umri wenye mnufaa na mwisho mwema

  • @hassanyusuph9446
    @hassanyusuph9446Ай бұрын

    Tunao fanya kama shekhe alivyo eleza ni sawa na tunao fanya kwa namna nyengine pia n sawa kwa mtazamo wangu sababu kubwa ya wote kua sawa n kwamba wote tunatafuta fadhila za mwenyezimungu na radhwi zake

  • @sadammjili9101

    @sadammjili9101

    Ай бұрын

    Hukuna ibada pasipo stahiki kwan kufunga siku ya eid ni dhambi

  • @KS-iw7qv
    @KS-iw7qvАй бұрын

    Nimependa hapa ulivosema "KWA MTAZAMO WANGU MIMI" Jazakkallahul-kheir

  • @user-yj5on8cz3e

    @user-yj5on8cz3e

    Ай бұрын

    Unakuta mnaopinnga hata kuswali huuswali kazi. Kusubili eid tuu

  • @AbuwJuhaymah

    @AbuwJuhaymah

    Ай бұрын

    Unabichwa gumu wewe kaah

  • @AliSalim-yu4mo

    @AliSalim-yu4mo

    Ай бұрын

    Ni mtazamo wake lkn ni WA kielimu sio ubishi wa maskani!

  • @KS-iw7qv

    @KS-iw7qv

    Ай бұрын

    Allah ni Mjuzi Zaidi....

  • @user-yj5on8cz3e

    @user-yj5on8cz3e

    Ай бұрын

    @@AliSalim-yu4mo kwani lazima umuelewe ww bhana walomuelewa inatosha so hata mtume alipingwa japo Jambo alilokuja nalo walikuwa Ni hakki lakini walimpinga ndo kawaida ya wanadamu unazani tutaongoka wote itakuwa ibilis haina maana ya kuwepo basi ili maandiko yatimie lazima wengine wapinge hakki uliona wapi wote mtaamini

  • @Bombwejr18
    @Bombwejr18Ай бұрын

    Allah amuhifadhi sheikh mselem 🤲🙏

  • @kisanganyakiswanta1379
    @kisanganyakiswanta1379Ай бұрын

    Sasa nimekuelewa vizur sana shekhe hata mtu asie na elim akikosa kukuelewa basi huyo ana siasa zake shukran sana shekhe

  • @abdallahyusuf7641
    @abdallahyusuf7641Ай бұрын

    Mashaallah swadakta mimi nimekuelewa zaidi . Nashukuru kwa kunielewesha ALLAHakuzidishie maisha malefu yenye afya inshallah

  • @ConfusedDahliaFlower-mb7mu
    @ConfusedDahliaFlower-mb7muАй бұрын

    Allah akupe mwisho mwema nasie tunae kufatilia

  • @nassortrans12
    @nassortrans12Ай бұрын

    ماشاء الله بارك الله فيك وجزاك الله خيرا كثيرا

  • @badimruma6695
    @badimruma6695Ай бұрын

    Asalamu Alaykum Shekhe, naomba kuuliza kwa lengo la kujifunza, hivi ikitokea nimeuona mwezi leo, lakini Saudia wasiuone leo, wauone kesho, inatakiwa mimi nisiukubali mwezi niliouona Tanzania? La pili, katika umri wangu sijapata kusikia Saudia wametangaza kuwa mwezi umeandama Tanzania hivyo tarehe ya Ki Islamu imeanza, hivi mwezi hauwezi kuandamia Tanzania? Mwisho, ni nani mwenye mamlaka ga kutangaza mwezi pale Saudia? Maana kuna mtu nilisikia akisema ni Serikali, lina ukweli? Shukrani Shekhe kwa mafundisho.

  • @mdauwetu

    @mdauwetu

    Ай бұрын

    Shekh anasema suala la mwezi mmoja. Kiufupi huo mwezi uonekane Saudia basi. Maana wao mwez ukitangulia kwengine wanaukataa

  • @EdiDula
    @EdiDulaАй бұрын

    Wenzake baada ya kutoka segerea, wameamua kuwaridhisha wakubwa kwa kutoa fatwa zakuwaridhirisha viongozi wakiwa machoni mwao, Allah akuhifadhi sheikh Msellem, nakuelewa sana kwa ufafanuzi wa hoja za wazi

  • @mubarakmohammed7311

    @mubarakmohammed7311

    Ай бұрын

    Je Mtume SAW, aliacha muongozo gani?

  • @omarissamashaallahpresiden2920

    @omarissamashaallahpresiden2920

    Ай бұрын

    Edi ww mtoto Bado hakuna elimu ya mtu mmoja masheikh kila mmoja na anavyofahamu yy ameona kufuata saudia ndio elimu yake ilivomwambia na hao unaosema wametoka gerezani ndio elimu Yao ilivomwambia nyie mliobaki bendera hufata upepo kasome kwanza ndio utukane (

  • @salumhassanallymkurdistan7006
    @salumhassanallymkurdistan7006Ай бұрын

    HAPO NIMEKUFAHAMU JAPO WEWE HUJAFAHAMU SHEKH MSELEM TUNATAKIWA TUFUNGE KWA KUONA MWEZI NA TUFUNGUWE KWA KUONA MWEZI RAMBDACATOKE HALIFA LAKINI KI UHALISIA KILA NCHI NA KUONA KWAKE MWEZI

  • @esir6667
    @esir6667Ай бұрын

    Kiongoz mmoja yupo ni qur an na sunna na hilo ndo tulioachiwa sio saudi arabia

  • @mustafahakim-iq7dj

    @mustafahakim-iq7dj

    Ай бұрын

    Ufahamu wako mdogo

  • @esir6667

    @esir6667

    Ай бұрын

    @@mustafahakim-iq7dj nifahamishe

  • @user-tm2zk5gn4e
    @user-tm2zk5gn4eАй бұрын

    Asante sana sheikh mselem

  • @HajiKipingu
    @HajiKipinguАй бұрын

    Baaraka llahu fiika,umenyooka sana wao waendelee kupotosha watu malipo yapp

  • @mubajoti743
    @mubajoti743Ай бұрын

    Dah hakiamung nikimskilz sheh mselem namuele nikimskilz sheh farid namuelew yn naumia kichw man wot wana point dah sjui nifate wapi 😢😢😢

  • @msafirithabiti2724
    @msafirithabiti2724Ай бұрын

    Maa Shaa Allah! Jazak Allah Kheyr.

  • @SAIDMOTE
    @SAIDMOTEАй бұрын

    Allah akuhifadhi sheikh mselem nimekuelewa vizuri sana, shukran

  • @mikealeck6447
    @mikealeck6447Ай бұрын

    Genius, Maasha Allah

  • @abouMuslin97
    @abouMuslin97Ай бұрын

    Alhmdulillah jazakaAllah kheir mashaAllah TabarakaAllah hoja imeeleweka na maelezo yamefahamika

  • @user-ui4oh8gf8n
    @user-ui4oh8gf8nАй бұрын

    MashaaAllah Allah akuhifadhi shehe wetu.

  • @w4058
    @w4058Ай бұрын

    Hassan Yusuf uko sawa kwani Mtume SAW kwa mujibu wa khadithi za hao hao Masheikh wanasema aula ni kufuata muandamo wa unapoishi kwa hivyo tutafanya kwa mujibu wa maneno ya Mtume SAW nyie fuateni mnavyoona sawa na sie tutafuata tunavyoona sawa Allah atutaqabalie saumu zetu

  • @user-uo4kp4wg9m
    @user-uo4kp4wg9mАй бұрын

    Mashaallah allah akuhifadhi sheikh yaan umeogea point ya msingi kabisa na muhimu sana kuzingatia hili

  • @khamishassan68
    @khamishassan68Ай бұрын

    Sheikh wangu doo hilijiwe mashallah. Hapa lazima dozi ingie kama akili inafanya kazi.

  • @MohamedKilindumbo
    @MohamedKilindumboАй бұрын

    Masha llah Allah akubaari

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8otАй бұрын

    Watu wenye upana wa maarifa na akili kubwa kama hii Wallaahi walistahiki zaidi watunzwe na waheshimiwe sana kwenye nchi zao. Lakini ajabu ya maajabu viongozi wa dunia yaleo, yule anaestahiki matunzo ndie anae dhalilishwa, na wasiostahiki matunzo ndio wanao tunzwa na kupewa shavu!!! Mnajua sbb ninini? Anaejua aniambie

  • @SelemaneArabeArabe-wd8fb
    @SelemaneArabeArabe-wd8fbАй бұрын

    Chehk Allah akulipe Kwa ufafanuzi nzuri sana

  • @hadijamushi8674
    @hadijamushi8674Ай бұрын

    Barakallahu fikhy sheikh wetu

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634Ай бұрын

    Swadakta Sheikh umejitahidi .safi na vizuri.

  • @tobosha3236
    @tobosha3236Ай бұрын

    Allah akuhifadhi Sheikh Mselem

  • @MasudiNia-td7ie
    @MasudiNia-td7ieАй бұрын

    Mi nauliza kushikwa kwa mwezi je ukishikwa saudia na sisi huku pia tutekeleze ibada ya kupatwa kwa mwezi?

  • @mkude
    @mkudeАй бұрын

    Maashaallah ALLA H akuhifadhi sheikh umeeleweka vizuri

  • @salimrajabu4688
    @salimrajabu4688Ай бұрын

    Allah akuhifadhi sheikh mselem Aly

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahirАй бұрын

    Kalenda wanayo Sheikh Mselem. Maana kama tutaiangalia Hijja ya mwaka 2025 tutaiona na tayari mpaka tarehe ya siku ya Arafa ishaandikwa.

  • @husnamohamed9448

    @husnamohamed9448

    Ай бұрын

    Kijaaliwa inshaAllah itakuwa alhamis tarehe tano mwezi wa sita

  • @user-di1lg1pm2l
    @user-di1lg1pm2lАй бұрын

    shukran kwa elmu mashallah

  • @NasmaThabith
    @NasmaThabithАй бұрын

    Maashallah shaykh❤❤

  • @RashidmohdRashid-zi2tr

    @RashidmohdRashid-zi2tr

    Ай бұрын

    Mambo

  • @MgazaMhina
    @MgazaMhinaАй бұрын

    Nimekuelewa sana Shekhe wangu

  • @HusseinAmaniOmarAlhamdy
    @HusseinAmaniOmarAlhamdyАй бұрын

    Takbeer!! Allahu Akbar

  • @user-tm2zk5gn4e
    @user-tm2zk5gn4eАй бұрын

    Umejibu vizuri

  • @user-ix3pl1ey6n
    @user-ix3pl1ey6nАй бұрын

    Nashukuru nimekuelewa

  • @HassanOmar-qr1ni
    @HassanOmar-qr1niАй бұрын

    Maa shaa allah sheikh

  • @abdulabdulathumani5992
    @abdulabdulathumani5992Ай бұрын

    Sheikh umeongea vzuri tunakupenda sana lakin swala la mwezi ni tofaut na tareh .tareh ikifika saangp tunajua sikuimechange mwezi umechange swala kuandam wanaweza pita watu saa 12 awajauona wamefika saa 8 usiku wengi wamelal hawakuw nania ya kufunga awaja swali taraweh saa 12 asubuh au saa 11 alfajir ndo wanapata taarifa watafunga vip awa

  • @hamisikanengene8285
    @hamisikanengene8285Ай бұрын

    Asante shehe

  • @abdallahhalifa5860
    @abdallahhalifa5860Ай бұрын

    Ssa sheikh msellem hapo ndipo ulipotuchanganya kutuambia watu wazamani ilivyokua mitandao haijaingia watu walikua wakifunga kwa muandamo sasa wataka sema Dini imekamilika ssa siku za nyuma ilikua badoo Sheikh hapo hujasema bado

  • @abdab8466
    @abdab8466Ай бұрын

    Hamo mselem umeuguza,ikiwa east afrika unasema siku ni sawa,je australia,na japan,na morrocc,

  • @user-yj5on8cz3e
    @user-yj5on8cz3eАй бұрын

    Sghekhe umeeleweka. Vzr sana sema watu leo hawataki hakki wanasukumwa na mihemko ya makundi ila ukitaka haki ulichongea ni sahihi kabisa 😢

  • @abdulabdulathumani5992

    @abdulabdulathumani5992

    Ай бұрын

    Sio miemko sheikh kaongea vizur saa kalend ya kizungu hii ikifika mda huna aja yakumuangalia mtu time imechange lakin swala la mundamo wengine wanaweza fika saa8 usiku awakuswali taraweh awakuwa nania awakujiandaa na ibada sa 11 alfajir ndo wanapata taarifa au 12 hawa funga yao ramadhan itakuwaje

  • @KomboFaki-xq4pw
    @KomboFaki-xq4pwАй бұрын

    Eee sheikhe wangu wee amakweli hii imeenda nasikitika sina chakukupa ila Allah atakulipa kheir ishaalah

  • @musarashid-xw1qm
    @musarashid-xw1qmАй бұрын

    Allh akuhifadh mselim

  • @mwadinbakar9553
    @mwadinbakar9553Ай бұрын

    Mbona Enzi hizoo za wale MAGWIJI wa Elimu ya kiislamu (akina SUMEIT) hayakuwepo haya 'mazonge'? Kama sio Kanisa basi Marekani yupo katikati ya hili VURUGU

  • @ramadhanirajabu8774
    @ramadhanirajabu8774Ай бұрын

    Ahsante mwalimu

  • @suleimanhemed9543
    @suleimanhemed9543Ай бұрын

    Duuh kwa hakika ibilisi ana nguvu

  • @RashidSeif-vd7up
    @RashidSeif-vd7upАй бұрын

    Allah akulipe🎉

  • @majondejohali5259
    @majondejohali5259Ай бұрын

    Kaongea kiswahili vzr

  • @husseinshamte7129
    @husseinshamte7129Ай бұрын

    Tarekhe ya kiislamu (kufwta mwezi mwandamo) huwa zinafungamana na Ibada Ama hilo calendar la kidunia Wala halina mafungamano na Ibada Kama Tarekhe ni Moja ,,, kwanini ابن عباس aligoma kufungua alipoambiwa mwezi umeandama kwenye hadithi ya كريب na mwisho akasema هكذا علمنا رسول الله صلى الله عليه وسلم Hivi Ibn Abbas yeye alikua hajui kama Tarekhe ni Moja?

  • @abdukherykhamis73

    @abdukherykhamis73

    Ай бұрын

    Mie naongezea Ile tafsiri aliyo itoaa,ni swali kwa mwezi muandamo au miez miandamo kwa mujibu wa aya?

  • @saidmohamed6802
    @saidmohamed680227 күн бұрын

    mashaalaah

  • @mwalimumzimba
    @mwalimumzimbaАй бұрын

    mashaalla jazakk llahu kheir

  • @abdallasalim4104
    @abdallasalim4104Ай бұрын

    Hiyo mantiki sheikh imemempiga chenga sana

  • @ShaibuMohammed-tj8il
    @ShaibuMohammed-tj8ilАй бұрын

    MIMI NAONA HIZI NI NJAMA TU ZA MAKAFIRI, KUTAKA ISIPATIKANE USAHIHI WA SIKU YA ARAFA , MANA KMA UKIIFATILIA CALENDA YA HIJRI , RAMADHANI YA MWAKA UNAOKUJA WASHAJUWA NI TAREHE NGAPI NA CKU GANI. Aliekuwa hanayo iyo kalenda adawlod calender HIJRI ataipata aone. Haiwapotezi wla haibadilki.

  • @NassorHamad-dj6sv
    @NassorHamad-dj6svАй бұрын

    Mi nimependa apo kwenye lailatul kadir kila Mmoja apelekewe yake kwenye kisahani Kwa siku yake

  • @w4058
    @w4058Ай бұрын

    Kila Sheikh anafahamisha kwa ufahamu wake na elimu yake hivyo kila kuna khadithi na technology haijaja kubadilisha fiqhi shariya na kuna kila aina ya vigezo hapo mbona Oman hawafuati saudia wazo zuri ni kukaa na wenzenu mkapeana kila kitu kwa mujibu wa aya na khadithi maana nyote mnatumia aya hizo hizo lakini tafauti kwa ufahamu wa kila mmoja wenu ndio mnatuzonga hatujizongi

  • @msafirithabiti2724

    @msafirithabiti2724

    Ай бұрын

    Bado Oman wanamakundi yao na siasa zao. Sheikh ameeleweka Maa shaa Allah

  • @user-et1ow9ic4u
    @user-et1ow9ic4uАй бұрын

    Shekhe nimekuelewa sana

  • @HamadaZubeirTahir
    @HamadaZubeirTahirАй бұрын

    Kwaiyo Sheikh Mselem ile Hadithi ya Abdallah Bin Abbaas na Quraib wewe huitaki ama unaikataa si ndivyo?

  • @ShaibuMohammed-tj8il
    @ShaibuMohammed-tj8ilАй бұрын

    Mtume aliweza kuwaambia LAKUM DIINUKUM WALIYA DIIN , Lakin binadamu wa leo kwenye pesa yupo tayar kupotesa dini kw ajili ya dunia

  • @HileHile-ns9xv
    @HileHile-ns9xvАй бұрын

    Swadakta nkwel kabsa Allah atuongoze

  • @Adamu972
    @Adamu972Ай бұрын

    Ukirejea Hadith ya Qurayb kwenye Sahihi Muslim, utagundua kuwa hata kama Mtume (S.A.W) angekuwepo leo asingetangaza mwezi wa sehemu nyengine, kwa sababu hivyo ndivyo alivyoamrisha.

  • @sheikh_abdulkarim
    @sheikh_abdulkarimАй бұрын

    Toa hoja za upande wako lakin sio kuona upande mwingine hawajui maana mwenyewe hapo..... sijaelewa kabisa

  • @RamadhaniShabani-nc5ve
    @RamadhaniShabani-nc5veАй бұрын

    Masha Allah

  • @abdallabundala404
    @abdallabundala404Ай бұрын

    Mashallah

  • @abdab8466
    @abdab8466Ай бұрын

    Hapo mseleme unalizimisha

  • @IbrahJumbe
    @IbrahJumbeАй бұрын

    Shekh hapo nataka kukuuliza kitu kiislam siku inaisha saa kumi na mbili za jioni je kama sehemu moja tayari muda huo ushafika na hawa wengine bado je yupi atakuwa mbele na siku na tarehe au wote wapo sawa na kama wapo sawa inawezekanaje na hawa washamaliza siku na hawa wengine ndo wanaenda kuimaliza siku

  • @msafirithabiti2724

    @msafirithabiti2724

    Ай бұрын

    Siku inaanzia mashariki. Hivyo sisi tuko mashariki ndio wa mwanzo then wanafuata wengine

  • @msafirithabiti2724

    @msafirithabiti2724

    Ай бұрын

    Fuatilia hata mpira, wakicheza saa kumi hapa Tanzania basi nchi nyingi zinakuwa ni saa nyuma ya saa kumi kama saa saba na kadhalika.

  • @fedrickchristopher8956
    @fedrickchristopher8956Ай бұрын

    Mashaallah

  • @IssaChikoka
    @IssaChikokaАй бұрын

    Shekhe ninakuelewa cn ishaalla zidi kutuelimishs

  • @issahaji2937
    @issahaji2937Ай бұрын

    Shekh hili suala ni kwa ajil ya manufaa ya watu eid ya kuchinja tanq lin tukahitilifiana akat ni kit cheny kuelewek tu

  • @ahmedaltiwany
    @ahmedaltiwanyАй бұрын

    Samahani sheikh, Nahisi pia mwisho kama umeghafilika kuwa hawa wanaosema kuwa kila kanda flani ina muandamo wake ni kwamba wana dalili zao zilizo makini na mashiko

  • @ShaibuMohammed-tj8il
    @ShaibuMohammed-tj8ilАй бұрын

    Ivo ndivyo ilivyo msimfananishe mtume na binadam walioko makka wao ni kama cc wanaweza kushawishika na njama za makafiri tunawajuw hawautkii mema uslam tang enz hadi leo

  • @jumasalum2677
    @jumasalum2677Ай бұрын

    Swadakta Umesema ukweli Kumbe wewe una elimu kweli na msimamo wa kweli Masha Allah

  • @nassorsuleiman451
    @nassorsuleiman451Ай бұрын

    Halaf kafikiria mtume kwamba akisema leo tarehe flan makka lkn hakujua pia km atasema mji mwengine leo ni tarehe flan

  • @masoudsalum
    @masoudsalumАй бұрын

    Kumbe kwa mtazamo wako sio kwa mafunzo ya dini

  • @HijaSaid-xd7fg
    @HijaSaid-xd7fgАй бұрын

    Allah aendelee, kukupa umri, maana hao mamluki wanapotez kundi kubwa sana, na Allah ajua mafikio yao

  • @hamisisempanga7773
    @hamisisempanga777329 күн бұрын

    Quran imeweka wazi kabisa lkn je wanoongoza saud ni waadilifu kama maswahaba na mtume! S.W.A. pili niwapi au ni dalili gani imeeleza mwazi utafutwa na darubini! Sisi na saudia tuko sawa kwa saa sekunde na dk shida iko wapi? Hapa ndio masheikh wanatakiwa kutufafanulia kwanini mwezi kila mara unaandama kwao tuu wakwetu unachelewa kwanini!

  • @ahmedaltiwany
    @ahmedaltiwanyАй бұрын

    Suali lipo hapa, je ikiwa kuna nchi ipo mbele kwa masaa imetizama mwezi siku ya 29 haikuoona watahesabu 30, na kuna nchi nyengine ipo nyuma kimasaa ilipofika magharibi wakatizama mwezi wakauona sasa kwao ni tarehe 1, je wale wa mwanzo wabadilishe records zote walizoeka ili tu kufanana na hawa??

  • @user-je6qh6it5w
    @user-je6qh6it5wАй бұрын

    Sheikh Mselem Mashallah lakini hoja zako umetumia zaidi sayansi na fikra zako, Mimi ningepata ushahidi wa Hadithi na Quran kwamba dunia nzima tutumie tarehe moja katika uislamu ningekuunga mkono. Hatuwezi kuwa kama makafiri wao wana kalenda yao ya jua ambayo haibadiliki, sisi tunafuata muandamo wa mwezi. Siku inakua moja kama ijumaa, lakini kuna tofauti ya kuchomoza na kuzama kwa jua na mwendo wa mwezi katika falaq, Mambo haya ndo yanafanya watu kutofautiana katika ibada ikiwemo ibada ya swaum. Pia unasema Mtume angekua hai akatangaza mwezi, hayo ni mambo ya ghaibu hakuna ajuae Ispokua Allah Kipindi alicholetwa kimetosha ndo mana Mtume akasema kupitia Quran "leo hii nimekukamilishieni dini yenu" Wallahu aalam

  • @challengepcn7982
    @challengepcn7982Ай бұрын

    What about the people living in Australia and America

  • @JUMAKANYEBWE-hy7ge
    @JUMAKANYEBWE-hy7geАй бұрын

    Hii ndo kweli hakuna tarehe moja mbili kwa mwezi wakiona wenzenu fateni mwezi hautoshi kuenea dunia nzima kwa wakati mmoja

  • @isihakamgomi
    @isihakamgomiАй бұрын

    Shekhe,Umeeleka watu wapo kwenye (tumewakuta baba zetu Wanaabudu hivyo

  • @mattarrashid7625
    @mattarrashid7625Ай бұрын

    Kwani hii funga ya arafa nilazima watu wasimame kule au ni tarehe yaani inategemea watu kusimama kiwanja cha arafa au

  • @mussammanga7791

    @mussammanga7791

    Ай бұрын

    Unauliza funga au unaliza Arafa?

  • @aliabdalla9297

    @aliabdalla9297

    Ай бұрын

    ​@@mussammanga7791umefahamu alichouliza vizuri usimzonge

  • @aljalilatiba9873

    @aljalilatiba9873

    Ай бұрын

    TUWENI NA AKILI KIDOGO ZAMANI KWELI ILIKUWA WATU WANAFATA KUFUNGA MWEZI 9 ILA NI.KIPINDI CHA NABII IBRAHIM ILA KIPINDI CHA MTUME MUHAMMAD SWALALLAH ALAIHI WASALAM ILIPOFARADHISHWA HAJJI KUWA LAZIMA KWA MWENYE UWEZO MTUME MUHAMMAD AKAIFUNGAMANISHA HIJJA NA ARAFA KWA USHADI WA HADITHI HII atayo: عن عبد الرحمن بن يعمر قال: قال رسول الله صلى الله عليه وسلم: ((الْحَجُّ عَرَفَة، مَنْ جَاءَ قَبْلَ طُلُوعِ الْفَجْرِ مِنْ لَيْلَةِ جَمْعٍ فَقَدْ أَدْرَكَ الْحَجّ)) صحيح الجامع ‘Abdur-Rahmaan bin Ya’mur (Radhwiya Allaahu 'anhu) amehadithia kwamba: Nabiy (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Al-Hajj ni ‘Arafah, atakayekuja kabla kutoka Alfajiri usiku wa kujumuika atakuwa ameipata Hajj)) [Swahiyh Al-Jaami’]. KISHA AKASEMA FUNGA YA SWAUMU YA ARAFA SIO MWEZI 9 TUWE NA AKILI KIDOGO SOMA HADITHI HII INASEMA FUNGA YA SWAUMU YA ARAFA SIO FUNGA YA SWAUMU YA MWEZI 9 عَنْ أَبِي قَتَادَةَ رضي الله عنه أن النَّبِيَّ صَلَّى اللَّهُ عَلَيْهِ وَسَلَّمَ قَالَ : ((صِيَامُ يَوْمِ عَرَفَةَ أَحْتَسِبُ عَلَى اللَّهِ أَنْ يُكَفِّرَ السَّنَةَ الَّتِي قَبْلَهُ وَالسَّنَةَ الَّتِي بَعْدَهُ )) أخرجه مسلم Abuu Qataadah (Radhwiya Allaahu 'anhu) amehadithia kwamba Rasuli wa Allaah (Swalla Allaahu 'alayhi wa aalihi wa sallam) amesema: ((Swawm ya 'Arafah nataraji (kwa Allaah) kufuta madhambi ya mwaka uliopita na wa baada yake)) [Muslim] PIA KATIKA DINI HAKUNA KULAZIMISHANA HALALI IPO WAZI HARAMU IPO WAZI. KILA ASHIKE LILE ANALOONA NI SAHIHI

  • @user-ox4fv4cf5l

    @user-ox4fv4cf5l

    Ай бұрын

    Funga ya Arafa inaendana na kisimamo cha Arafa kwa sisi ambao hatukufanikiwa kwenda hijja

  • @mussammanga7791

    @mussammanga7791

    Ай бұрын

    Na sio Fardhi ni sunna. Maana ukifunga utapata thawabu na kama hukufunga hutopata thawabu wala dhambi. Kwa ufupi hutopata malipo yoyote ukiwa hukufunga.

  • @SalumJuma-iz2gj
    @SalumJuma-iz2gjАй бұрын

    Daa shukraan kuanzia leo nafunga popote utakapo onekana mwez

  • @abdulabdulathumani5992

    @abdulabdulathumani5992

    Ай бұрын

    Me naleta challange mwezi wakizungu tareh uangalii kwa mwenzio ikifika ngap siku au mwezumechange sasa lakin sis adi uandame tufanye hao walokuwa saa8 usiku awakuuona ukiandam kwamaan taraweh awataswali nia ya kufunga swaum awatakuwa nao watapat taarifa pengine sa8 ucku 9 au 10 au 11 au 12 awa ibada awakujiandaa nayo na at least iwe alotangulia zaid awepo saa 8 itakuaj taarif ikitok wengin kwao ishakuw asubuh

  • @abdallasalim4104
    @abdallasalim4104Ай бұрын

    Masala kadhaa ktk Dini yana ikhtilafu ...hata siku ya kuzaliwa Mtume Muhamad saww kuna ikhatalafu ya tatehe na suku pia ..na mwezi ikhtilafu yake ni mbili tu Ima popote uwonekanapo 2-au uonekane pahala ulipo kwa matilai Ahamad bin habal asema popote uonakanapo ..yeye ameyafuki rai hii Shafi asema pale ulipo kulingana na matlai yako yeye ameiyunga rai hii Na hawa wote wawili ni wanazuoni Kisha hii dunia tunayoishi ni moja lkn dunia hii hii saa hii sehemu nyingine ni usiku na nyingine ni mchana Kwani dunia imegawanyika mara ngapi? Kwa nini dunia hii isiwe ulimwengu mzima masaa yawe sawa ?

Келесі