SHEIKH MSELEM AMWAGIA CHECHE MZEE YUSUFU|SHETANI ANAAFADHALI KULIKO MZEE YUSUPH"AMERUDI KWENYE FANI"

#AdilTV

Пікірлер: 8

  • @AthumanHamissi
    @AthumanHamissi3 ай бұрын

    Tamaha tu huyo mzee yusufhu hajiamin na maisha yake ibilisi Sana uyo jamaa

  • @othmanmasoud1672
    @othmanmasoud16726 ай бұрын

    Unakuta mtu katoka makka kihijji utafikiri alikuwa kwenye bar anakunywa tabia mbaya roho mbaya ndio zake machafu ndio yake matusi na ujinga ndio wake

  • @user-uw4sz1lm3b

    @user-uw4sz1lm3b

    6 ай бұрын

    Allah njo mlipaj nasio watu

  • @othmanmasoud1672
    @othmanmasoud16726 ай бұрын

    Asalaam alaykum . Siku hizi baazi ya waislam kama vile wanaenda makka kutalii tu sio kichukuwa faida

  • @user-uw4sz1lm3b

    @user-uw4sz1lm3b

    6 ай бұрын

    Allah njo mlipaji sio watu

  • @nasirmohamed1589

    @nasirmohamed1589

    6 ай бұрын

    Mi nadhani wengi huwa wanenda kutalii tu,make mcheki mtu aliyekuwa hija akarudi matendo yake yapo palepale kama alikuwa mwizi anaendelea kama alikuwa mzinifu anaendelea jamani watu wanahiji nn.

  • @mubarakmohammed7311
    @mubarakmohammed7311Ай бұрын

    Wanaokadhibisha wameangukia pua!