Rais wa Msumbiji Filipe Nyusi awashangaza wengi kwa kuongea Kiswahili Fasaha akimuaga Magufuli

Rais wa Msumbiji, Filipe Nyusi akizungumza kwenye uwanja wa Jamhuri jijini Dodoma kwenye mazishi ya kitaifa ya Hayati Dkt John Pombe Magufuli March 22, 2021

Пікірлер: 99

  • @alexlingwendu6780
    @alexlingwendu67803 жыл бұрын

    Nampa heshima kubwa saana Mh Rais Pllipe Nyusi .Kwa kutumia lugha ya kiswahili ktk hutubo yake

  • @rudeboymusic8874
    @rudeboymusic88743 жыл бұрын

    Sissi wa Mozambique tinaumia sana na kifo tcha magufuli

  • @felsonsanga8502
    @felsonsanga85023 жыл бұрын

    Rais. Shukrani kwa hotuba nzuri kiswahili kimenyooka

  • @baloz8974
    @baloz89743 жыл бұрын

    President wetu nyusi hongera sana

  • @Serge123
    @Serge1233 жыл бұрын

    Mweusi kuongea lugha ya mweusi(nikitu cha ajabu)ila mweusi kuongea lugha ya mzungu nikawaida,hakili ya utumwa kabisa

  • @kisalaTV

    @kisalaTV

    3 жыл бұрын

    Tena hata kidogo

  • @gabrieldenicc4502

    @gabrieldenicc4502

    3 жыл бұрын

    Nashukuru kwakulijua ilo waafrika tunatakiwa kufulaia vya kwetu ndipo tutapiga atua Mungu nae ataachilia balaka zake

  • @baloz8974

    @baloz8974

    3 жыл бұрын

    Msumbiji wanaongea kiswahili maeneo ya wamakonde na wamwani (wapwani)

  • @salmakea7797

    @salmakea7797

    3 жыл бұрын

    Hahaha

  • @rachelbahahazo6362

    @rachelbahahazo6362

    3 жыл бұрын

    Sio asili yake ndomaana tunashangaa na wewe nenda kwao kaongee lugha yao uone watakavofrahi na kushangaa

  • @winnieedson6937
    @winnieedson69373 жыл бұрын

    Magu wangu nitakukumbuka milele daima

  • @SwahiliAmbasador954
    @SwahiliAmbasador9543 жыл бұрын

    Kiukweli nomevutiwa Sana na hotuba ya raisi wa Mozambique God bless you

  • @alphoncedaud7976
    @alphoncedaud79763 жыл бұрын

    HUYU NDIE NYUSI HOTUBA YAKO ITAKUMBUKWA NA DUNIA

  • @aminaabdallah3644
    @aminaabdallah36443 жыл бұрын

    Wow mashallah perfect swahili

  • @halimabakari1085
    @halimabakari10853 жыл бұрын

    Hanangea kiswahili vizuri

  • @salomewandya7257
    @salomewandya72573 жыл бұрын

    Woow Mashaallah hotuba nzuri sana 👏👏👏👏👏

  • @odochokee9856
    @odochokee98563 жыл бұрын

    Kiswahili is a native language in northern Mozambique the former sofala region. So you should not be surprised.

  • @mymupapy1656
    @mymupapy16563 жыл бұрын

    Kweli kabisa

  • @Jkemtranslators
    @Jkemtranslators3 жыл бұрын

    Kiswahli kimeshika kasi ebu tukikubali na kukizungumza katika mawanda yote ili iwe lugha ya kutuunganisha sote kama waafrika

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan81843 жыл бұрын

    Hotuba nzuri

  • @Filmz639
    @Filmz6393 жыл бұрын

    Raisi wa Mozambike

  • @christinemapendo1584
    @christinemapendo15843 жыл бұрын

    Wow!!!

  • @dorothyannan8184
    @dorothyannan81843 жыл бұрын

    Be blessed

  • @chrisswambali7469
    @chrisswambali74693 жыл бұрын

    ubalikiwe lais wa msbj

  • @amrimwingwa994
    @amrimwingwa9943 жыл бұрын

    Maneno mazuriii

  • @JoanaMangoni-ub9pz
    @JoanaMangoni-ub9pz Жыл бұрын

    Apais da sua alma presidente da Repubilica John Josefi magufuli

  • @samuelezequiel7612
    @samuelezequiel76123 жыл бұрын

    Anajua kiswahili kuliko maelfu ya watanzania wanaishi Tanzania

  • @saidharuna8326

    @saidharuna8326

    3 жыл бұрын

    Kakulia tanzania huyo kasoma tanzania hadi chuo kama ilivyo kea kabila

  • @damariszuckschwert9489

    @damariszuckschwert9489

    3 жыл бұрын

    Wasanii wa bongo movie na flava kiswangilish

  • @monikalwambo2304
    @monikalwambo23043 жыл бұрын

    Nyusi 🤩🤩

  • @moz9dades673
    @moz9dades6733 жыл бұрын

    Nyussi, RIP, #JHONPOMBEMAGUFULI

  • @ericklaiton2763
    @ericklaiton27633 жыл бұрын

    Maraisi wote wa msumbiji wameishi sana Tanzania hasa ktk kambi za mpwapwa, Morogoro na mbeya. Kwahiyo msumbiji bado haijapata rais ambaye si zao la FRELIMO iliyopewa hifadhi na mwalim Nyerere hapa nchini miaka ya 1960's.Eduardo mondlane alifia tz, samora machel kalelewa tz hasa mkoani iringa , Armando guebuza ameishi sana hapa

  • @Mpakauseme

    @Mpakauseme

    3 жыл бұрын

    Mbona huko ni mbali sana wamsumbiji wapo wengi sana zanzibar Pemba na dar es salaam tanga na Mombasa

  • @r14kgroup68
    @r14kgroup683 жыл бұрын

    Safi sana

  • @rudeboymusic8874
    @rudeboymusic88743 жыл бұрын

    Nyusi🇲🇿🇲🇿🇲🇿

  • @na-cz1sp
    @na-cz1sp3 жыл бұрын

    Great

  • @ummukuluthumikoki7002
    @ummukuluthumikoki70023 жыл бұрын

    Alhamndulilah

  • @quranmedia197
    @quranmedia1973 жыл бұрын

    My presidente

  • @timothynjuguna9654
    @timothynjuguna96543 жыл бұрын

    Kiswahili chake ni nyoofu kuliko ya Rais Kenyatta wa Kenya

  • @munadlebobo5234
    @munadlebobo52343 жыл бұрын

    Em niokoeni msimbiji ndio nchi gani tna 🙄

  • @odochokee9856

    @odochokee9856

    3 жыл бұрын

    Mpaka wa Tanzania upande wa kusini

  • @munadlebobo5234

    @munadlebobo5234

    3 жыл бұрын

    @md lukman oooh Mozambique so kiswahili ndio hio msimbiji

  • @farajimtima9331

    @farajimtima9331

    3 жыл бұрын

    Mozambiki

  • @carlitacelestino4228

    @carlitacelestino4228

    3 жыл бұрын

    Mozambique tupo jirani sana na tZ

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything3 жыл бұрын

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🙏

  • @estellemwai5402
    @estellemwai54023 жыл бұрын

    🙌🙌🙌🇰🇪🇰🇪

  • @pradgill5221
    @pradgill52213 жыл бұрын

    👏

  • @stevewanga957
    @stevewanga9573 жыл бұрын

    Kumbe msumbiji wako na Kiswahili kizuri hvi

  • @sponsor7882

    @sponsor7882

    3 жыл бұрын

    Akina konde boy hawa

  • @smartonlinetv5144

    @smartonlinetv5144

    8 күн бұрын

    Makua and makonde haya makabila tipicaly yanatokea msumbiji. Ivo kireno wamakuwa wanakiongea vzr sana.

  • @JoanaMangoni-ub9pz
    @JoanaMangoni-ub9pz Жыл бұрын

    Apais da sua alma presidente da República de tanzania

  • @josej9888
    @josej98883 жыл бұрын

    🇹🇿💔😭

  • @salmakea7797
    @salmakea77973 жыл бұрын

    Hii msumbiji huiskia kwa simulizi mix tu sasa cjui waongea lugha gani

  • @fatimasofia9184

    @fatimasofia9184

    3 жыл бұрын

    Wanaongea lugar ya kireno

  • @veronicammole9158

    @veronicammole9158

    3 жыл бұрын

    Wanaongea Kireno

  • @carlitacelestino4228

    @carlitacelestino4228

    3 жыл бұрын

    Tunaogea kireno mama, falamos português

  • @smartonlinetv5144

    @smartonlinetv5144

    8 күн бұрын

    Kireno ndio lugha Yao kuu.

  • @smartonlinetv5144

    @smartonlinetv5144

    8 күн бұрын

    People of Mozambique (Maputo) just greetings to my Dad Marcos juma. Tunampenda sana Rais Filipe nyusi ni kiongozi shupavu sana na mwenye hekima kama mama etu mpendwa Dr Samia suluhu Hassan.

  • @abdullahmanalex2306
    @abdullahmanalex23063 жыл бұрын

    RIP

  • @nyamkamawanjara29
    @nyamkamawanjara293 жыл бұрын

    asee kiswahili kizuri mpaka kawashinda wakenya

  • @bantuvoicemuchaik.k.7715

    @bantuvoicemuchaik.k.7715

    3 жыл бұрын

    Kiswahili tuna kijua aisee... ila usitegemee rais akawa gwiji was lugha

  • @matukiosafaris6508

    @matukiosafaris6508

    3 жыл бұрын

    Mimi ni mtanzania lakini kwa utafiti wangu nimegundua wakenya wanaongea kiswahili kizuri sana tena kiswahili sanifu Kwa upande wa Tanzania vijana wote waliozaliwa kuanzia miaka ya 1990...... wengi wao hawajui kiswahili kabisa wanatumia zaidi maneno ya mtaani wakifikiri ndiyo kiswahili kumbe siyo hata kuandika kiswahili hawajui kuna makosa mengi sana kwenye herufi wanazotumia kwa mfano KULALA mtu anasema KURARA au badala ya kusema CHAKULA anasema CHAKURA badala ya kusema HABARI anasema ABARI Nawapongeza sana wakenya na ndiyo maana nchi karibia zote duniani ukienda utakuta walimu wa kiswahili ni wakenya

  • @timothynjuguna9654

    @timothynjuguna9654

    3 жыл бұрын

    Tena sanifu..... Twaitamka vilivyo...

  • @matukiosafaris6508

    @matukiosafaris6508

    3 жыл бұрын

    @@timothynjuguna9654 kuna watanzania wengi sana ukiwauliza maana ya SANIFU hawajui

  • @timothynjuguna9654

    @timothynjuguna9654

    3 жыл бұрын

    @@matukiosafaris6508 Hahaha......eti "KURARA".....hapo sasa....hahaha. Mimi hushindwa hiyo herufi "L" kubadili na "R". Nashindwa, hivyo ndivyo hutamkwa na Watanzania au ni lahaja tu za watanzania?

  • @jeyshillyjack4470
    @jeyshillyjack44703 жыл бұрын

    Au ana asili ya kitanzania?

  • @gka9147

    @gka9147

    3 жыл бұрын

    Amesomea Tanzania, kakulia Tanzania

  • @fainajaffary4070

    @fainajaffary4070

    3 жыл бұрын

    @@gka9147 kumbe

  • @johnmatiko2596

    @johnmatiko2596

    3 жыл бұрын

    Anaweza akawa ni mtanzania ila nisiri yake Kiswahili chake amemzidi hata uhuru wa kenya

  • @odochokee9856

    @odochokee9856

    3 жыл бұрын

    @@johnmatiko2596 kiswahili is a native language in Northern Mozambique so do not be surprised

  • @odochokee9856

    @odochokee9856

    3 жыл бұрын

    Hapana Hapana

  • @slowmenino7804
    @slowmenino78043 жыл бұрын

    He is makonde

  • @dorothyannan8184

    @dorothyannan8184

    3 жыл бұрын

    He is African

  • @wozanawewoz979

    @wozanawewoz979

    3 жыл бұрын

    True wasumbiji wenyewe hawajui kiswahili tena anaongea fasaha kabisa

  • @Mpakauseme

    @Mpakauseme

    3 жыл бұрын

    @@wozanawewoz979 Sasa huyo ameishi sana Tanzania nani Makonde , Wamakonde na wamakuwa wakiasili ya mocambique bado wapo wengi sana huko Tanzania

  • @timothynjuguna9654

    @timothynjuguna9654

    3 жыл бұрын

    Wamakonde wapo Kenya hapo Kwale. Serikali ya Kenya ilipitisha wamakonde kama kabila 43 ya wakenya. Walifika Kenya tangu ukokoli

  • @lovemyselflovemyself8201
    @lovemyselflovemyself82013 жыл бұрын

    Msumbiji ni inchi gani? Naomba munisaidiye

  • @chiefkiumbe9428

    @chiefkiumbe9428

    3 жыл бұрын

    Mozambique

  • @lovemyselflovemyself8201

    @lovemyselflovemyself8201

    3 жыл бұрын

    @@chiefkiumbe9428 Asante sana kwa jibu

  • @etonabintu

    @etonabintu

    3 жыл бұрын

    😅😅😅😅😅🤣🤣🤣🤣

  • @carlitacelestino4228

    @carlitacelestino4228

    3 жыл бұрын

    Upande wa kusini

  • @Agnes-qq4np

    @Agnes-qq4np

    3 жыл бұрын

    Ata mimi nimetaka kuliza ilo swali

Келесі