No video
Kiswahili kinazungumzwa sana Msumbiji- Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji
#HabarizaUN #UmojawaMataifa #Kiswahili #UNNewsKiswahili #kiswahili #KiswahiliDay #FilipeNyusi
Pata taarifa ya habari, makala, habari kwa picha , mahojiano na matukio kuhusu masuala ya kibinadamu, SDGs na mengine mengi kutoka Idhaa ya Kiswahili ya Umoja wa Mataifa. Ni "Habari za UN" kutoka makao makuu ya UN New York City.
Пікірлер: 10
Hongera sana rais kwa swahili sanifu
Ninachangamkia sana kumwona rais wa nchi ya Msumbiji akizungumza Kiswahili sanifu na kwa ufasaha bora. Kongole kwako rais Nyusi.
Mzee Nyusi anaoengea kiswahili sanifu kabisa,hongera mzee
Hongera sana mh. Rais upo juu sana kwenye hii lugha, wasaidie wanamsumbiji waijue hii lugha
Mais um dia vou na Tanzania
Mhe. Wamalawi wameamka sana wanakuja sana kusoma vyuo vya zanzibar, pamoja na mambo mengine wanashauku na wanatafuta kujuwa lugha ya kiswahili hivyo basi nawashauri wanamsumbiji kusoma vyuo vyetu vya zanzibar
Watu wengi wanapendaga sana Tanzania lakini watanzania ni wanafiki sana tena wenye wivu dhidi ya wageni
@douglasmodrax4608
7 ай бұрын
Sio kweli tembelea Tz utaona
@user-jo3cs3yu3o
29 күн бұрын
Tatizo Elimu
@thanksrjhood9508
5 күн бұрын
Mgeni uwe na wivu nae ili iweje, kusemea watanzania wote, ukisema baadhi utaeleweka, ndio tuseme na ww ni mnafiki