Waziri wa Mafuta wa Oman alivyolonga Kiswahili kama Mbongo IKULU

Unaweza kushtuka kidogo ukisikia Waziri wa Mafuta wa Oman kaongea Kiswahili fasaha tena bila kuchanganya lugha nyingine yoyote... yes, imetokea leo IKULU Dar es salaam baada ya kukutana na Rais Magufuli, tazama hii video umuone vizuri.
Video kwa hisani ya Kurugenzi ya Mawasiliano IKULU.

Пікірлер: 940

  • @abdikadirali1761
    @abdikadirali17614 жыл бұрын

    Masha-Allah, KISWAHILI ya Oman ,Nchi za kama east Africa

  • @mutomubaya
    @mutomubaya4 жыл бұрын

    Shukran sana kwa yale mumetuonesha kuhusu maendeleo ya undugu wa kibinadamu baina ya Oman na Aftika Mashariki. Allah abariki Afrika na aunganishe Wa Oman na ndugu zao wakuze umoja na wakuze pia lugha ya Kiswahili.

  • @chaileeportraits
    @chaileeportraits4 жыл бұрын

    Niwajulishe 5:25 ndo inapoanzia 😂😂😂😂 afu nipe like

  • @juliusmrimi8632

    @juliusmrimi8632

    4 жыл бұрын

    Hahahha! Wizi mtupu uandishi😜😜😜

  • @amoskahinda6221

    @amoskahinda6221

    4 жыл бұрын

    @@juliusmrimi8632 vp mbo hujalala

  • @amoskahinda6221

    @amoskahinda6221

    4 жыл бұрын

    Thanks

  • @chaileeportraits

    @chaileeportraits

    4 жыл бұрын

    😂😂😂😂😂😂

  • @thebucketlist.

    @thebucketlist.

    4 жыл бұрын

    Umenisaidia kaka

  • @swahibasportsacademy
    @swahibasportsacademy2 жыл бұрын

    As Kenyans,we lost a very sharp president. Intelligent.Hope Prof Wajahkoya will take it up where Maguvuli left

  • @basharahamtzhalisi6871
    @basharahamtzhalisi68716 жыл бұрын

    ALHAMDULILLAH . MPAKA RAHA ANAVYOZUNGUMZA. RAIS WETU HONGERA SANA. HUO NDO USHIRIKIANO TUNAOTAKA MZEE. DAH! BIG UP. HAPA KAZI TU.

  • @salimali9957
    @salimali99574 жыл бұрын

    Muarabu ndiye mtu pekee mwenye kuweza kukizungumza kiswahili vizuri kama kweli nipe like

  • @tatiya6883

    @tatiya6883

    4 жыл бұрын

    Kwani wewe hujjasoma kua kiswahili kilitoka ndani yakiarabu hulijuwi hilo

  • @cypmkutubi3109

    @cypmkutubi3109

    4 жыл бұрын

    Hivi ni kweli Oman wanaongea Kiswahili bila kukulia hapa Tanzania!!

  • @festokinyogotojr3214

    @festokinyogotojr3214

    4 жыл бұрын

    Uongo

  • @abdallahabeid4138
    @abdallahabeid41386 жыл бұрын

    asilimia 40 ya wa Oman wanaongea kiswahili. ni kama lugha yao ya pili, na sio lazima awe kakulia au kasoma tanzania

  • @zezezeze8408

    @zezezeze8408

    4 жыл бұрын

    mhm ni kidogo mm naona asilimia 70 maana mashaAllah kila uendapo wanaongea kiswahili

  • @yusufmohamed7161

    @yusufmohamed7161

    4 жыл бұрын

    Uko vizuri

  • @abchunabdi352

    @abchunabdi352

    4 жыл бұрын

    Mashaalah....

  • @abchunabdi352

    @abchunabdi352

    4 жыл бұрын

    Mashaalah....

  • @zakyahya4645

    @zakyahya4645

    4 жыл бұрын

    @@zezezeze8408 nikweli kabisa wengi sana

  • @veenpoul900
    @veenpoul9002 жыл бұрын

    Tutakukumbuka daima baba kwabusara zako nauwezo wako mkubwa wakufikiria,,hakika niadimu sana kumpata kiongozi wa aina yako,,,mzalendo halisi may Allah keep your soul in a safe place father!!!!

  • @kingoman7895
    @kingoman78954 жыл бұрын

    Nakupenda sana rais wangu na waoman ni wenzetu kila hatua dua ln shaa Allah bagamoyo nyumbani asanteni sana kwa hilo

  • @saidvieira441

    @saidvieira441

    3 жыл бұрын

    DAR ES SALAM NI MAENEO YA ZANZIBAR PAMOJA NA BWAGAMOYO.

  • @abdihirsi6367
    @abdihirsi63674 жыл бұрын

    I love Oman their nice people and generous as well I would like to visit Salalah it's very beautiful

  • @moussahabyarimana5983

    @moussahabyarimana5983

    4 жыл бұрын

    kwa nini wa oman hawakarimu wa afrika wa tanzania kongo rwanda burundi kenya wenye asiri ya oman wenye wazazi wa asiri wa oman kwani ni?,?hawapewi VISA ya kwenda oman kama kwawo na kupewa kazi na watu hawo ni damu zawo hiyo ni dhuruma mimi nateteya wa cotara wa kyarabu wote haswa haswa wanawake

  • @zamzamabdi5279

    @zamzamabdi5279

    4 жыл бұрын

    Yes bro.ni kweli sana

  • @ukhtyalpha1344

    @ukhtyalpha1344

    4 жыл бұрын

    Yes I have been there you really get the feeling of been in Arab country

  • @courtneywelch7108

    @courtneywelch7108

    4 жыл бұрын

    True true

  • @shadyamohd4651

    @shadyamohd4651

    2 жыл бұрын

    Me too

  • @phydiliahmwagodi2254
    @phydiliahmwagodi22543 жыл бұрын

    Hongera President Pombe Magufuli Nice investment to Tanzania! Watching from Nairobi Kenya.

  • @andreajeremia436
    @andreajeremia4364 жыл бұрын

    Safi sana,Kiswahili safi Mwarabu wangu,tujengeeni hizo kitu kizuri,hizo Brbr mwachieni mwenyewe JPM ameziweza na anafanya vizuri,tunataka kitu kipya cha tofauti Dodoma ambacho kitatambulisha JIJI letu Kimataifa.!!

  • @nfbdbxbxbdb2902

    @nfbdbxbxbdb2902

    4 жыл бұрын

    mashaallah inapendezaa saana wekezeni mtuinue karibuni saaana ✋👏👏👏

  • @Ysule

    @Ysule

    Жыл бұрын

    Kiswahili safi kwasababu anatoka zanzibar na kazaliwa Pemba

  • @JamesC22
    @JamesC224 жыл бұрын

    Let's proud Tanzania!! Swahili spread world widely i real like it. Nakupenda Tanzania naipenda lugha yangu

  • @ahmedzahor2975

    @ahmedzahor2975

    3 жыл бұрын

    Hawa watu wengine una coment kitu hata nchi yenyewe unaisikia jina tu eti Tz ilimu bora mara kumi kuliko Oman first oll oll uliza mazingira ya Oman Maisha na Schooll zake hizo skuli za serikal yaani bure mwanafunzi hanunui kitabu wala buku anakuja kuchukuliwa kwao kwa gari ya serikali bure Skuli bora hakuna anae ksa chini skuli full kiyoyozi wewe umekaa kijijini huendi pahala ushamba umekujaa Chuki zimeingia katika nafsi yako kusema usicho kijua

  • @andrewnyamwaro5174

    @andrewnyamwaro5174

    Жыл бұрын

    Swahili is not Tanzanian language.

  • @parisz
    @parisz3 жыл бұрын

    There’s something special happening inside of me when I see Arabs speaking our language, Kiswahili 🙏🏽

  • @deejean344

    @deejean344

    3 жыл бұрын

    Kiswahili is Arabic + Bantu languages so🙄🤔🤷🏾‍♂️🤷🏾‍♂️

  • @mwanafalsafa3613

    @mwanafalsafa3613

    3 жыл бұрын

    Yes of course the master is calling his slave

  • @salumkanju1732

    @salumkanju1732

    2 жыл бұрын

    Nakumbukaga fom6 kumbe nilikuwa sahihi San kukana kwamba kiswahil sio kibantu Bali ni kiarabu leo najipongeza

  • @tttthundercatttt

    @tttthundercatttt

    2 жыл бұрын

    @@mwanafalsafa3613 🤣🤣🤣 These female living in ignorance, learn history!!!

  • @bayombejean3959

    @bayombejean3959

    2 жыл бұрын

    @@salumkanju1732 kiswahili ni kiarabu pamoja na lugha za kibantu

  • @moanshabahrain8621
    @moanshabahrain86214 жыл бұрын

    Mashallahu .oman hoyeee mungu awape fahamu nzuri

  • @j-sonlian8053
    @j-sonlian80534 жыл бұрын

    Hahah et" Barabara lenye hadhi ya Mfalme" Anko mjanja sana. Saf sana kaz nzuri ase

  • @ssmithsaid3483

    @ssmithsaid3483

    3 жыл бұрын

    Mwanzo ilikuwa ni nchi moja kihistoriya mfalme alie awala omani mji mkuu wa omani ilikuwa ni zanzibar

  • @sarahmwaluko2480
    @sarahmwaluko24804 жыл бұрын

    Mashaghala wenzangu ambao tupo Oman gonga like tujuane

  • @nasrashaame467

    @nasrashaame467

    3 жыл бұрын

    Kwahaya manyanyaso au

  • @soniasamir7260

    @soniasamir7260

    3 жыл бұрын

    Vip

  • @yvekay5139
    @yvekay51393 жыл бұрын

    Not surprised cause, well, we all know the history of swahili.

  • @kadaawizaa5588
    @kadaawizaa55884 жыл бұрын

    MASHALLAH... Inshallah kher.. For all We Plan T.z.... vs Oman #Makufulii Atheka tu

  • @zeddysale217
    @zeddysale2174 жыл бұрын

    Hongera kubwa kwenyu TZ na OMAN

  • @shamsaismaily3476
    @shamsaismaily34766 жыл бұрын

    Siwashangai wahawatu oman mwengi wanaongea kiswahili 💞💞💞

  • @Ysule

    @Ysule

    Жыл бұрын

    Yeah ni kweli na huyo waziri kwao alipozaliwa ni Pemba

  • @miriyamasanja6766
    @miriyamasanja67664 жыл бұрын

    Aweee Mimi nimekataa huyo ni mtanzania kabsaa sio kwa kiswahili icho🤗

  • @asiakibonge4699
    @asiakibonge46994 жыл бұрын

    Maashallah mungu afanye wepesi

  • @conradkarume3733
    @conradkarume37332 жыл бұрын

    Wow. Respect!!!!! Flawless Kiswahili

  • @AbdillahSOthman
    @AbdillahSOthman4 жыл бұрын

    Huyo waziri ni miongoni mwa waliosoma shule ya Uweleni Pemba miaka hiyo usishangae kuzungumza kiswahili.. Na maeneo mengi Huko Oman utakutana na watu wanaotoka Zanzibar, ndo ukawaona wengi wanapenda kuja kutembea Zanzibar hata kama alizaliwa kule. Atajua kiswahili mwenye kutaka.

  • @shifahkyomia1736
    @shifahkyomia17364 жыл бұрын

    Pole sana mfalume wa Oman kaondoka duniyani. Rip. 😭

  • @saidmatola8015
    @saidmatola80154 жыл бұрын

    Hahahaha, safi me President. Mwaga sound watatuelewa tuu.....

  • @shaibumwegero5085
    @shaibumwegero50854 жыл бұрын

    Ni ushirikiano mzuri baina ya Tanzania na Oman Keep it really

  • @zainabumwagiroabdallamwagi97
    @zainabumwagiroabdallamwagi974 жыл бұрын

    Wa oman Ndio waliosherehesha kiswahili Afrika mashariki.

  • @sturbbornvideoz8547

    @sturbbornvideoz8547

    3 жыл бұрын

    Hujiulizi kiswahili kilitoka wapi

  • @myoutubecom-gg7sb
    @myoutubecom-gg7sb4 жыл бұрын

    MashaAllah mzee barakat magufuli hoye

  • @hawaamohammed6687

    @hawaamohammed6687

    4 жыл бұрын

    Oyeeeeeee?!!!!!!

  • @wahidashabaz5982
    @wahidashabaz59824 жыл бұрын

    tulipo oman tujuane na kiswahili chetu mic arabic

  • @moussahabyarimana5983

    @moussahabyarimana5983

    4 жыл бұрын

    oman ifanye wanawake wa oman wa olewe afrika na wa cotara wa afrika wa olewe oman nawanayoka wanitumiye number za simu ama jina la fcbk instagrame niwatafutiye ma bwana

  • @khadijahomankweliyamjahaya7421

    @khadijahomankweliyamjahaya7421

    4 жыл бұрын

    Tupo sana tu

  • @Edo272

    @Edo272

    4 жыл бұрын

    Duh

  • @lightnessmungaya3280

    @lightnessmungaya3280

    4 жыл бұрын

    Mmmmmmmh nipo nao hapa Tanzania nawafanyia kazi zandani , mmmmmh kuolewa hawaowi wanachezea tuuu ,

  • @reyrio279

    @reyrio279

    4 жыл бұрын

    Msijidanganye kuolewa Oman Tanzania inajipeleka wenyewe kufanywa watumwa wa oman kwakazi zandani kama nyie mnataka kua ndugu acheni kuomba kufanya kazi za ndani oman

  • @husseininteligence6234
    @husseininteligence62344 жыл бұрын

    Mungu akulinde rais mzuri zaidi dunia nzima

  • @nellymariamblessed8385
    @nellymariamblessed83853 жыл бұрын

    Friendship between TZ an Oman seems to be very nice 🙂 More likes to you

  • @dalvinwinda4873

    @dalvinwinda4873

    3 жыл бұрын

    Sexy body

  • @vonexmobile9116
    @vonexmobile91164 жыл бұрын

    Kama uko Oman gonga like hapa chini

  • @aishasalimaishasalim1323
    @aishasalimaishasalim13234 жыл бұрын

    Maashallh .( itakuwavinzuri pia mkizungumzia swala lawatumishiwenu jinsimnavoishi nao majumbani,,,

  • @elfuego9117
    @elfuego91174 жыл бұрын

    Heri nyinyi watanzania,,, sisi wakenya uongozi ambao uko kwa mamlaka,,,, tushatiwa maji bdo kuzaa tuu,,,, big up rais,,,, kwetu bdo mikopo ya kichina twakopa tuu ushoga mtupu dah,,,,, Mola atusaidie jameni

  • @mohamedsaid1804
    @mohamedsaid18046 жыл бұрын

    Huyu amezaliwa pemba ni jamaa yangu huyo.

  • @zulfikakalumba1977

    @zulfikakalumba1977

    3 жыл бұрын

    Hahaha

  • @saidalkhusaibi6066

    @saidalkhusaibi6066

    3 жыл бұрын

    Kuna wengi wamezaliwa Oman wanazungumza kiswahili sio sababu ni jamaa yako au kazaliwa TZ, pia kuna walio zaliwa TZ na hawajui kiswahili hapa Oman

  • @danieldaniel-lb2on
    @danieldaniel-lb2on4 жыл бұрын

    Hili lijamaa limekinyoosha kiswahili kumzidi Pombe!

  • @solomonadams6337

    @solomonadams6337

    4 жыл бұрын

    true sayin king huyo ni mzinjibar aliyezaliwa katika kisiwa cha pemba sawa?

  • @mariamichael6134

    @mariamichael6134

    4 жыл бұрын

    Nyie vipi jamaan kwan mmeulizwa heeee nashangaaa haya mabishano ya zenji na Tanzania cjui veep😏😏

  • @abdulwahidmsellem1964

    @abdulwahidmsellem1964

    4 жыл бұрын

    Mariam michael hapo panangelewa jinc wa2 wanavoelewa hapaongelewi uzenji na u Tanzania

  • @mariamichael6134

    @mariamichael6134

    4 жыл бұрын

    @@abdulwahidmsellem1964 soma comments vzur za solomon uone na kuna wa Tz nao wanabishana hapo sasa cjui ndio inakuaje cpendag mini😏😏😏

  • @abdulwahidmsellem1964

    @abdulwahidmsellem1964

    4 жыл бұрын

    Kisha 2nagombna cc kwa cc how come m friends

  • @sethsindamka8465
    @sethsindamka84652 жыл бұрын

    Mungu akufufue hata sikumoja eemungu tenda huo muujiza

  • @olaolacocacola9242
    @olaolacocacola92424 жыл бұрын

    Huyo waziri kazaliwa kisiwani Pemba na kapata elimu mpaka secondar kisiwani Pemba na hata Sultan wao Qabus ni mzaliwa wa Pemba sisi waPemba hatushangai hapo

  • @geoegedonard8548

    @geoegedonard8548

    4 жыл бұрын

    Kasoma wete huyu alikua anapenda sana kushinda micheweni kwa shehe amour

  • @jumakapilima5674

    @jumakapilima5674

    4 жыл бұрын

    Ujinga tu!!!

  • @deepsea2141

    @deepsea2141

    4 жыл бұрын

    Qaboos alizaliwa Salalah, Oman. Wacha ujinga. Nyerere aliwanyima elimu

  • @olaolacocacola9242

    @olaolacocacola9242

    4 жыл бұрын

    Deep Sea Alizaliwa Pemba na wazazi wa Qaboos walihama kisiwani Pemba Qaboos akiwa mdogo wa uchanga na kuhamia Salalah ambako Wazanzibari wengi wamehamia na kuishi

  • @deepsea2141

    @deepsea2141

    4 жыл бұрын

    @@olaolacocacola9242 ndivyo ulivyodanganywa na wapemba wenzako.

  • @aaronoluoch4510
    @aaronoluoch45104 жыл бұрын

    Najivunia kuwa mzungumzaji wa lugha ya kiswahili

  • @wasqwe9059
    @wasqwe90596 жыл бұрын

    oman pia wanaongea kiswahili bwana mushishangae sana watanzania

  • @niaanthony9588

    @niaanthony9588

    6 жыл бұрын

    Was Qwe tupo nao huku wanaongea sana tu ila wanajifanya kuwa niaibu kwao kuzungumza kiswahil

  • @asadisse5012

    @asadisse5012

    6 жыл бұрын

    NIA ANTHONY p

  • @cyprianbernard907
    @cyprianbernard9074 жыл бұрын

    Gud kwa nice kiswahili

  • @telaamtauta2227
    @telaamtauta22273 жыл бұрын

    Hongera sana viongozi wetu

  • @abduboydancerofficialtztv1211
    @abduboydancerofficialtztv12116 жыл бұрын

    Appreciated this video Mr Millard ayo coz i was with him in Zanzibar this person from Oman. I do like that.

  • @aklanhassan2917

    @aklanhassan2917

    4 жыл бұрын

    Acha mbwembwe wee

  • @ntabashwaamos2816

    @ntabashwaamos2816

    4 жыл бұрын

    Mbona kiswahili sanifu kama mtanzania hongera sana mshikaji

  • @deogratiuskahigi4738
    @deogratiuskahigi47386 жыл бұрын

    Tunapoongelea international relationships hatuachi nyuma kipengele cha lugha, Mtukufu Mfalme hawezi kuchagua mwakilishi yeyote yeyote tu, anachagua mtu mwenye sifa stahiki kulingana na mahali anapokwenda...Lugha(mawasiliano) ni kipengele muhimu katika kujenga uhusiano wa kimataifa...

  • @yayalefarmtv2165

    @yayalefarmtv2165

    6 жыл бұрын

    umesema kweli

  • @hisanmwakijungu10

    @hisanmwakijungu10

    3 жыл бұрын

    Mdogo wangu wew ni genus hongera sana

  • @hudaakrabi4604
    @hudaakrabi46043 жыл бұрын

    Woow MashaAllah kiswahili imenyokaaaaa. hongera Oman

  • @dalvinwinda4873

    @dalvinwinda4873

    3 жыл бұрын

    Wasema Nini wewe Sasa nkt

  • @makunjajohn1581
    @makunjajohn15814 жыл бұрын

    Tunashukuru sana kutemberewa nawangeni mbali mbali

  • @maryammct3967
    @maryammct39674 жыл бұрын

    Oman kwetu namagufuri hodari sana kweli kabasi oman tutafaidi nyamafreshi❤❤❤❤👍👍👍👍

  • @salimalghannami3059
    @salimalghannami30594 жыл бұрын

    Very interesting, both countries should be keen to promote good relationship as well investment opportunities for the benefit of their countries and their peoples 💐

  • @aminafesali5817
    @aminafesali58174 жыл бұрын

    Woooow shukran maghuful nikweli maduka hata yachakula ya africa huku oman yanauza sana halaf ghali kulko vitu va hapa oman

  • @abdulshellah8975

    @abdulshellah8975

    4 жыл бұрын

    Je hiyo ni kweli?

  • @NinjaHackz
    @NinjaHackz4 жыл бұрын

    I like the speech ✌️🇹🇿 🇴🇲

  • @justinejulius3544
    @justinejulius35444 жыл бұрын

    Karibun maana tu nafuraha ya nyie kuliko wazungu wezi

  • @ukhtyalpha1344

    @ukhtyalpha1344

    4 жыл бұрын

    Wanafik wakubwa nyie ndumi la kuwili hamna haya

  • @justinejulius3544

    @justinejulius3544

    4 жыл бұрын

    @@ukhtyalpha1344 Hamna unafiki swaiba. Dunia ya sasa inahitaji ushirikiano, ukiringa utabakia na gesi yako na mafuta yako, alafu nawao watabakia na pesa zao. Mwisho wasiku wote mtakosa. UKUMBUKE TECHNOLOGY INAKIMBIA VIBAYA. MUDA SI MREF WATU WATAACHA GESI WATATUMIA MAGARI YA UMEME, TRENI ZA UMEME. GESI NA MAFUTA TUTAACHANA NAZO. .Just a wake up call

  • @africanchocolate4216

    @africanchocolate4216

    4 жыл бұрын

    Nayyar Ahmed “Wazanzibari ni wachoyo, ubaguzi wa Wazanzibari una tokana na uchoyo, ubinafsi, wivu, chuki, uzembe na uvivu!

  • @africanchocolate4216

    @africanchocolate4216

    4 жыл бұрын

    Nayyar Ahmed “Mimi ninaye kuambia ni Mzanzibari sawa! Una elewa? Bara matajiri sana, wana madini yote kama dhahabu, almasi, shaba, chuma, zink, ruby, silver = fedha, urenium ya kutengeneza nuclea, Gas ⛽️, oil = mafuta, mbuga kubwa nyingi zenye wanyama wengi sana kuliko sehemu yoyote hapa duniani, ardhi yenye rutuba na vyakula vingi sana mpaka vyakula vingine wana peleka kuwa saidia nchi za jirani, vivutio vya kitalii vingi sana, mlima Kilimanjaro ambao ni mrefu kuliko milima yote barani Africa, kabila 162 na hakuna ubaguzi, Wazanzibari, Waarabu, Wahindi, Wazungu, Wachina, na mataifa mengi yapo bara wakiishi raha mustarehe bila ubaguzi, milima na mabonde mazuri, maziwa na mito ya kupendeza! Zanzibar tuna vinyani vidogo pale Jozani Forest na karafuu tu kule Pemba, lakini tuna ubaguzi na uchoyo wa ajabu! Je, tunge kuwa na mali na utajiri kama bara inge kuwaje? 🤷🏽‍♂️🙄”

  • @eveimbusi5940
    @eveimbusi59403 жыл бұрын

    Prezzo Magofulu l like your speech unaongea vizuri siyo ya maporomoko

  • @Masta313
    @Masta3136 жыл бұрын

    Thnx Magu

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum90304 жыл бұрын

    Sisi Zanzibar mnatuambia tutaletewa waarabu kwaio tusikubali mbona nyinyi tanganyiki mnawapokea na kuwakaribisha namnasema nindugu wadamu hasa baunayenu na Oman inakuaje

  • @hilalyhashim2194

    @hilalyhashim2194

    4 жыл бұрын

    Acha ubaguzi huo

  • @jumaaally220

    @jumaaally220

    4 жыл бұрын

    Hakika leo wao wanaunga udugu

  • @fatmasuleiman5242

    @fatmasuleiman5242

    4 жыл бұрын

    Mashaallah yaasalaam

  • @wannaproducts

    @wannaproducts

    4 жыл бұрын

    Hamchelewi kujilipua nyie ndio maana bora apokelewe na Tanzania na sio huko visiwani. MNA ubaguzi pia dhidi ya wengine ndio maana mnafuatiliwa msilete madhara sana kwa taifa zima.

  • @ukhtyalpha1344

    @ukhtyalpha1344

    4 жыл бұрын

    Naam kweli ati ata hawana haya kutwaa wahalabu Wahalabu machotara machotara haaaaa mnajidai ni ndugu kweli kwa vyao ni ndugu zenu khabithi alamal nyie

  • @saumuhassan1365
    @saumuhassan13656 жыл бұрын

    Safi sana, soon tutakuwa matajir tz

  • @Masta313

    @Masta313

    6 жыл бұрын

    Saumu Hassan kwakweli

  • @activestudios.

    @activestudios.

    4 жыл бұрын

    😂😂😂😂

  • @faboge
    @faboge2 жыл бұрын

    Tunashukuru siso sote Africa Mashariki, hapa Kenya!

  • @t1910j
    @t1910j6 жыл бұрын

    Haya ni maendeleo. Proud of you my president.

  • @pendael02
    @pendael024 жыл бұрын

    Muwe makini na mikataba ya ardhi pamoja na mikataba ya madini na mafuta pamoja na gas. Kwa manufaa ya vizazi vyetu isije ikawa kama south Africa walifvyokuwa wakiporwa ardhi kwa ajili ya kilimo kama sababu.

  • @adilimssusa8232

    @adilimssusa8232

    4 жыл бұрын

    Sio kwa uoga wetu haiwezi kuwa kama south afrika milele

  • @matingo-bk1248

    @matingo-bk1248

    4 жыл бұрын

    Magu mtu makini hawezi kusahini mkataba wa ajabu ndio maana akaanza kuipitia mikataba iliyopita amepitisha panga

  • @hawaamohammed6687

    @hawaamohammed6687

    4 жыл бұрын

    ,Apolwiiii mtuhapaaa Magufuriii yupomakini wanamfuataaaa Magufuli tofautiiii waliopita

  • @dothomwandaliw4057

    @dothomwandaliw4057

    3 жыл бұрын

    Wewe. Unayemuona mjinga nanii hapo? Jpm. Yupo makini namikataba ndugu hanaujinga huo

  • @reyrio279
    @reyrio2794 жыл бұрын

    Nivizuri watanzania kuacha kwenda kufanya kazi za ndani Oman kama mnataka kua ndugu maana kazi zandani ni ribo ya utumwa

  • @Zainab-sq1tc

    @Zainab-sq1tc

    3 жыл бұрын

    Sanaaa kama wanataka hvyo wa2pe pesa nyingi bhc

  • @amenaamena2283
    @amenaamena22836 жыл бұрын

    safi sana Oman 🇴🇲😍😍😍😍

  • @abaskasim7262
    @abaskasim72623 жыл бұрын

    Maashaallah

  • @kakamau0384
    @kakamau03846 жыл бұрын

    Mimi sishangai kwa kua Kiarabu na kiswahili ni kama kitu kimoja so kwa Muarabu kuongea Kiswahili Sio shida kabisa

  • @alhamdulillah5796

    @alhamdulillah5796

    6 жыл бұрын

    Maingo Maulidi. Muarabu wa Omani hajui kiswahili. Lbda awe alikaa yy au mzee wake znz

  • @salehkaroa2366

    @salehkaroa2366

    5 жыл бұрын

    hata kama ila tangya mdogo kakulia pemba na kasoma pemba

  • @sawbaa6332

    @sawbaa6332

    4 жыл бұрын

    @@salehkaroa2366 kamba

  • @yussufabdul-rahman5601
    @yussufabdul-rahman56015 жыл бұрын

    Kwao ni Pemba uyo wazir

  • @OmarAli-bq9ey

    @OmarAli-bq9ey

    3 жыл бұрын

    Bodigadi wa mfalame wa omani ni mpemba

  • @saidalkhusaibi6066

    @saidalkhusaibi6066

    3 жыл бұрын

    Kwao ni Oman, Pemba kazaliwa tu, kwani ukizaliwa USA basi kwenu ni huko

  • @oookkk3965
    @oookkk39654 жыл бұрын

    Nataman waj na kwetu Burundi kujenga barabara jmn wa Tz hongeren

  • @zozohmeed5546
    @zozohmeed55464 жыл бұрын

    Hata mm nawapenda wa Oman karibu I Sana Tanzania mjisikie km mko nyumbani

  • @moodkhamis3850
    @moodkhamis38504 жыл бұрын

    jamani mnashangaa kuzungumza kiswahil wa omani wote asili yao ni pemba

  • @zainabkawambwa8146

    @zainabkawambwa8146

    4 жыл бұрын

    Woman acri yao pemba au walikuja 2 pemba ucdanganye bhana wa acri ya wapemba ni wamakonde kabla ya kuzaliana na waarabu

  • @fatemaligalawa4151

    @fatemaligalawa4151

    4 жыл бұрын

    @@zainabkawambwa8146 kwani Pemba au Unguja

  • @halinishihalinitokimoyoni8302

    @halinishihalinitokimoyoni8302

    4 жыл бұрын

    @@fatemaligalawa4151 pemba na unguja ni kama oman nyanya yangu alizaliwa pemba

  • @maikhan1580

    @maikhan1580

    4 жыл бұрын

    @@zainabkawambwa8146 kweli

  • @lucasmhagama8166

    @lucasmhagama8166

    4 жыл бұрын

    Asili yao sio Pemba ila walikuja Pemba unakwama wapi wewe

  • @ahmedyoung7300
    @ahmedyoung73006 жыл бұрын

    Hahah safi sana ah sante rais wetu ao ni ndugu zetu kabisa hahah bahat nzur makamo wa raisi ndugu zake wako oman ndio asili ya watu wa visiwah mchanganiko

  • @jerrjamary2649
    @jerrjamary26493 жыл бұрын

    Mbona kawaida tu watu wa oman kiswahili wanajua sana tena 85% wanajua kiswahili Wala usitetemeke kwa Hilo ....

  • @maryuabdallah7345
    @maryuabdallah73454 жыл бұрын

    ماشا الله

  • @zahorrashid5459
    @zahorrashid54594 жыл бұрын

    Nimpemba gani hajui kiswahili. kwani hamjui km omani asiliyake niwapemba?

  • @alikarisa6156

    @alikarisa6156

    4 жыл бұрын

    Wapembaa ndioo asili Yao n oman..si unavosema

  • @fakihidarous8396
    @fakihidarous83964 жыл бұрын

    hao wazaliwa wa zanzibar sio ajabu kuongea KISWAHILI-HUSBU SIO HAWA

  • @julihanjosephyjs6361

    @julihanjosephyjs6361

    3 жыл бұрын

    Asili ya kiswahili kimetokana na Quruani kwaiyo lazima wajuwe nandiyo wao wanaongea kiswahili chenyewe

  • @nauhattz8226

    @nauhattz8226

    3 жыл бұрын

    Sio kweli

  • @rysali5254
    @rysali52543 жыл бұрын

    Bruh 🙌🙌

  • @allyzanzibar8983
    @allyzanzibar89832 жыл бұрын

    Oman na Zanzibar ndio wenyewe history moja na sio Tanganyika mnayoipa jina la Tanzania

  • @rosekingalu4403
    @rosekingalu44034 жыл бұрын

    Mheshimiwa wa raisi kwann watanzania wasingekuwa wanaingia bila visa😓😓

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu77714 жыл бұрын

    Mashaallah,,

  • @faridafarida4314

    @faridafarida4314

    4 жыл бұрын

    Mashaalah

  • @abdallanuhu4236

    @abdallanuhu4236

    4 жыл бұрын

    Huyo alizaliwa Pemba sehemu inayo itwa shumba vyamboni pia akasoma skuli ya uweleni Mkoani. Aliondoka MTU mzima akiwa anaendesha magari

  • @azizimuhibu7771

    @azizimuhibu7771

    4 жыл бұрын

    @@abdallanuhu4236 sawa

  • @azizimuhibu7771

    @azizimuhibu7771

    4 жыл бұрын

    @@faridafarida4314 naam

  • @user-jk5ir4ke3z
    @user-jk5ir4ke3z3 жыл бұрын

    Mashaalah

  • @africanmandetraveler2847
    @africanmandetraveler28474 жыл бұрын

    Ana lafudhi nzuri tu nakubaliana Na wanahistoria wanaposema maneno mengi ya Kiswahili ni ya kiarabu.

  • @doctorgames5011
    @doctorgames50114 жыл бұрын

    Anaongea kiswahili kizuri kuliko wakenya

  • @Elohim2

    @Elohim2

    3 жыл бұрын

    Lol! Wacha zako wewe! 🤣 lakini kweli

  • @juliusjones8353

    @juliusjones8353

    3 жыл бұрын

    Wakenya wa bara lakini wakenya wapwani kiswahili kipo nyumbani hapa

  • @dullahkader5275
    @dullahkader52756 жыл бұрын

    kiswahil kimetokana na kiarab nasi wazir tu mfalme mwenyewe anaongea

  • @eradmdage8504

    @eradmdage8504

    6 жыл бұрын

    Dullah Kader sio kweli, thibitisha??

  • @hassanomarhassan4734

    @hassanomarhassan4734

    4 жыл бұрын

    Nikweli usimkatalie hebu angalia maneno meng ya kiarab yamo kweny lugh ya kiswahili

  • @hassanomarhassan4734

    @hassanomarhassan4734

    4 жыл бұрын

    Uyo wazir amesoma Pemba shule ya uweleni

  • @sevelinimatonya1990

    @sevelinimatonya1990

    4 жыл бұрын

    @@hassanomarhassan4734 huyo wazr kasoma zanzibar

  • @khadijakhadija6212

    @khadijakhadija6212

    4 жыл бұрын

    @@eradmdage8504 Acha ubish huku tu aishi nao wanaongea kiswahili

  • @khadijaamrani6282
    @khadijaamrani6282 Жыл бұрын

    Mashallah hata sisi twarudi kwetu oman

  • @Suleiman_Alabry
    @Suleiman_Alabry4 жыл бұрын

    Ana asili ya Zanzibar

  • @MoMo-wx2vx
    @MoMo-wx2vx6 жыл бұрын

    Elimu yake kasomea zanzibar

  • @masoudmasoud8138

    @masoudmasoud8138

    4 жыл бұрын

    Sikasoma tu huyo mpemba mzaliwa

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy6 жыл бұрын

    Wameitawala Zanzibar miaka 300 lazima wajue kiswahili fasaha.

  • @feiz3180

    @feiz3180

    5 жыл бұрын

    hawajatawala zanzibar. Hebu tusomeni historia vizuri.

  • @josephsiwale4983
    @josephsiwale49836 жыл бұрын

    nice millard kazi nzuri bu joseph siwale mbeya

  • @tko2218
    @tko22183 жыл бұрын

    Oman speaking swahili...NICE

  • @jacquelinerayamu3187
    @jacquelinerayamu31874 жыл бұрын

    Mashallah Kiswahili kisafi cha Mombasa mjini jamani

  • @olaolacocacola9242

    @olaolacocacola9242

    4 жыл бұрын

    huyu waziri kazaliwa Pemba na kasoma hadi secondar kisiwani Pemba

  • @mariamichael6134

    @mariamichael6134

    4 жыл бұрын

    @@olaolacocacola9242 🙄😏😏😏 umeulizwa

  • @abdulwahidmsellem1964

    @abdulwahidmsellem1964

    4 жыл бұрын

    Nikweli kazaliwa Pemba,kaulizwa vip nwy wakt kila mtu anatoa comment zake wacha ushamba uwo we dada

  • @abdulwahidmsellem1964

    @abdulwahidmsellem1964

    4 жыл бұрын

    Bwana wanguee!vipi na ww uwe mwanamke wanguu

  • @olaolacocacola9242

    @olaolacocacola9242

    4 жыл бұрын

    Maria michael hata jibu langu halikuhusu ww,kwani ww ndio Jacqueline Rayamu?niliemjibu amepata faida na hata ww pia umepata faida ya kujua kwahio acha kukurupuka kinyege nyege,naongezea jengine Unguja,Pemba,Mombasa,Ukanda wa pwani wote wa Tanganyika,Kisimayuu hadi maeneo ya Kongo yote ilikua ni ZENJ EMPIRE na ndiomana sehemu kubwa ya maeneo nilioyataja kiswahili chao kinafanana na hata muingiliano na mchanganyiko wao ni mkubwa

  • @samranoor1360
    @samranoor13604 жыл бұрын

    Cmon guyz it ain't a shock dat he can speak swahili probbably himself he's from tanzania

  • @tausilifestyle795
    @tausilifestyle7956 жыл бұрын

    Waoòooo

  • @5dproductiontv601
    @5dproductiontv6014 жыл бұрын

    Usishangae kuona kiswahili ktk watu wa oman ni watu walioishi zanzibar na wanaendelea na huyo waziri unaemshangaa kuongea kiswahili amezaliwa zanzibar kasoma zanzibar..

  • @ndotcherohosafi3539
    @ndotcherohosafi35394 жыл бұрын

    Kiswahili kitukuzwe

  • @godfreyms8005
    @godfreyms80054 жыл бұрын

    Tuliopo Oman tujuane kupitia like

  • @salmaoriginaloriginal6478

    @salmaoriginaloriginal6478

    4 жыл бұрын

    2pooo

  • @fatemaligalawa4151

    @fatemaligalawa4151

    4 жыл бұрын

    Rustaq,Alalayah

  • @hildababyabdullah5627

    @hildababyabdullah5627

    4 жыл бұрын

    Tupo

  • @masoudmahmoud5255

    @masoudmahmoud5255

    4 жыл бұрын

    ssalaam

  • @winchlausonbanjuneki3430
    @winchlausonbanjuneki34304 жыл бұрын

    Wajenge uwanja mzuri Wa mpira vingine tutafanya michezo ni Muhimu hatuna viwanja vyenye hadhi ya kidunia

  • @omantimes9699
    @omantimes96993 жыл бұрын

    Tanzania Na Oman Nindugu... Tunaomba Rais Bas Sisi Tulio kuwa omani Watuongezee Mshaara Basi Jmn...

  • @binswifa3373
    @binswifa33734 жыл бұрын

    Ungemuweka huyo waziri tu, hao wengine sio lazima

  • @davidw.4524
    @davidw.45244 жыл бұрын

    Huyu kwanza yuwazungumza Sheng sio kiswahili.. Labda mzaliwa WA Nairobi kama mimi tu.. Lol

  • @hamadrashid9828

    @hamadrashid9828

    4 жыл бұрын

    Huyo kazaliwa Pemba halafu watu was Pemba wengi wao Ni wa mombasa

  • @idaaman7489

    @idaaman7489

    4 жыл бұрын

    Amezaliwa pemba mkoani ,but zanzibarian are mix btn arabs and swahili

  • @amourbundrez3731
    @amourbundrez37314 жыл бұрын

    Kiswahili cha waziri wa Oman ni kiswahili cha Mombasa kabsa...,Zanzibar,Pemba n Mombasa history yao ni moja..Sayyid said na wa Oman wenzake walipokuja Africa,walitua na kuishi katika sehemu izi...wakajamiiana na ata kuowana na watu wa pwani izi ambao ni Bantus...ndo lugha ya kiswahili ikaebuka

  • @josephkiiru9090
    @josephkiiru90902 жыл бұрын

    Waooh...m happy huyu waziri kuongea Swahili...m a Kenyan though I love tz

  • @abrahambalamba7108
    @abrahambalamba71084 жыл бұрын

    Duh! Huyu mwarabu wa Pemba siyo omani

  • @freshtiff1265

    @freshtiff1265

    4 жыл бұрын

    Abraham Balamba uko sahihi

Келесі