Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji azungumza na Abdushakur Aboud

Rais Filipe Nyusi wa Msumbiji akiwa katika ziara ya kikazi Marekani alitembelea Sauti ya Amerika na kuzungumza na Abdushakur Aboud juu ya mazungumzo take na wake wa Marekani.
Originally published at - www.voaswahili.com/a/3512467.html

Пікірлер: 32

  • @guebene
    @guebene6 жыл бұрын

    My president speaking in Kiswahili! i loved to hear.

  • @dennismukoyatv
    @dennismukoyatv4 жыл бұрын

    Interresante que Presidente de Moçambique fala lingua Swahili muito fluente...

  • @sasyasalum4036
    @sasyasalum40363 жыл бұрын

    Hongera raisi wa ndugu zetu wa msumbiji hakika ww ni mswahili tosha bila tone la shaka

  • @nixonmakyao4881
    @nixonmakyao48816 жыл бұрын

    anaongea kiswahili kizuri sana good

  • @dennismukoyatv
    @dennismukoyatv4 жыл бұрын

    Yapendeza kumsikia kiongozi wa nchi ya Msumbiji akikiongea Kiswahili kwa uweledi na ufasaha wa hali ya juu. Hili ni jambo la kutia moyo na litarahisisha uhusiano Kati ya nchi za Afrika ya Mashariki na Msumbiji.

  • @gabrielmashauri8236
    @gabrielmashauri82366 жыл бұрын

    Mh.Rais tunafurahia kiswahili chako

  • @fadhilisilwimba523
    @fadhilisilwimba5236 жыл бұрын

    saf sana kiswahili kizur

  • @profkrayshelu5379
    @profkrayshelu53795 жыл бұрын

    Kiswahili kinakua kwa kasi sana. Mheshimiwa Raisi anaongea Kiswahili kizuri sana.

  • @allystanlee7144

    @allystanlee7144

    5 жыл бұрын

    prof krayshelu amekualia mtwara amesomwa mtwara atashindwa kuongea kiswahili

  • @munyororo
    @munyororo3 жыл бұрын

    Huyu ni mswahili aliyedimu katika lugha ya Kiswahili. Hongera Raisi...!

  • @vincentmokenye4465
    @vincentmokenye44654 жыл бұрын

    Huyu atakuwa mnyakyusa 😄😄😄

  • @mishaelmgendi8274
    @mishaelmgendi82745 жыл бұрын

    Abdushakur nimefurahi kukuona kwa mara ya kwanza, maana nimekuwa shabiki wako wa kipindi cha maswali na majibu kwa muda mrefu sasa.

  • @patrickKitambo
    @patrickKitambo5 жыл бұрын

    kasoma ndada boys

  • @abubakarihamissi4178
    @abubakarihamissi41784 жыл бұрын

    Aise kiswahili ni lugha kubwa sana

  • @ibrahimkassim1664
    @ibrahimkassim16645 жыл бұрын

    Huyu nyusi kasoma Sana Tanzania Ndo maana kiswahili chake kizuri ni mmakonde wa kabrigado

  • @shifaaal-baity4503

    @shifaaal-baity4503

    5 жыл бұрын

    Hawana shukrani miaka miiiingi wameishi Tanzania toka enzi z ukoloni wa Portugal hata chama chao Frelimo walisaidiwa saaana n serekali ya Tanzania

  • @hemedmasoud9306
    @hemedmasoud93064 жыл бұрын

    Nimefurai San kumuona Abdushakulu Abud kwamala ya kwanza.ila uyu raisi nchi yke wapo wanajihad cabodelgado

  • @lemumsesa5039
    @lemumsesa50395 жыл бұрын

    uyo mbongo

  • @anthonyndungu5431
    @anthonyndungu54312 жыл бұрын

    Pia raisi wa Malawi Lazarus chakwera alipoalikwa kama mgeni wa heshima katika sherehe za mashujaa nchini Kenya alitoa hotuba yake kwa lugha ya kiswahili.kiswahili ni lugha yatushikanisha afrika mashariki na kati.

  • @Mfh650
    @Mfh6504 жыл бұрын

    Pongezi rais kwa kuongea kiswahili sanifu na yenye ufasaha na nasaha ya busara.

  • @semanasitv8303
    @semanasitv83035 жыл бұрын

    kweli jamaa anabusara ataitoa nchi yake kwenye vita za kijinga

  • @wahidawahida6675

    @wahidawahida6675

    5 жыл бұрын

    Nikweli kabisa maan huku kujazan jazan ktk nch za watu bila vibali napo mtihani

  • @mosessiame924
    @mosessiame92411 ай бұрын

    Ukovizuri muheshiwa

  • @uledimtumwa3045
    @uledimtumwa30456 жыл бұрын

    Huyu rais inawezekana ni mtanzania kanisa. Anaongea kiswahili fasaha Sana.

  • @allystanlee7144

    @allystanlee7144

    5 жыл бұрын

    Uledi Mtumwa si inawezekana kasoma bongo mtwara

  • @mrcapybara3579
    @mrcapybara35792 жыл бұрын

    Kiswahili chake ni kizuri kuliko ya wakenya. No offense 😄😉

  • @anthonyndungu5431

    @anthonyndungu5431

    2 жыл бұрын

    None taken we have various variants of languages the Swahili spoken in lamu island in Kenya is different from that in mombasa or even in eastern congo.if you go to south America the Spanish spoken between the latin countries is different,just as it is different from what is spoken in spain.the English language spoken in West Africa is different from what is spoken in east Africa or in South Africa due to dialects and adapting the language to fit the local customs of the speakers Great Britain the English spoken in London is different from what is spoken in Manchester, Liverpool or even in Scotland due to the different dialects.

  • @mauridejuma9997
    @mauridejuma9997 Жыл бұрын

    Anazingua uyu jamaa

  • @fransiscomyoka4022
    @fransiscomyoka40226 жыл бұрын

    kiswahili kizuri anaoongea

  • @allystanlee7144

    @allystanlee7144

    5 жыл бұрын

    Fransisco Myoka amesoma Tanzania atashindwa kuongea kiswahili

  • @tundulimungameti2165

    @tundulimungameti2165

    3 жыл бұрын

    Kiswahili kizuri sana