PANGO LA AJABU LAGUNDULIKA ZANZIBAR,UTASHANGAA YALIYOMO KATIKA PANGO HILO

fair use is a use permitted by copyright statute that might otherwise be infirnging non - profit education, or personal use tips the balance in favor of fair use all credit for copyright material used in video goes to the respected owner, Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#HabariZaUhakika #Zinjibartv
Follow Zinjibartv
Facebook | Zinjibartv
INSTAGRAM |@Zinjibar_tv_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 773 878 523
+255 773 071 409
Zinjibartv Journalists
cc: Abdallah Pandu
cc: Safia Hussein
cc: Maryam Kidiko
cc: Swaleh Watamaama
Camera Department"
Muarabu Mmadi
Ali Rajab
Rajab ahmada
Editors:
Ali Hassira
Mohammed Abeid
Ramla Haji
Abdillahi Said
Dereva
Yussuf Khanmis
Ali Mohammed
Video Zingine:
Angalia hapa - MTOTO WA TURKY AJITOSA KUMRITHI BABAYAKE UBUNGE
- HIZI NDIO TEGO ZA KICHAWI, SHEIKH SALUM MARDHIYA
• MTOTO WA TURKY AJITOSA...
• HIZI NDIO TEZO ZA KICH...

Пікірлер: 19

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar54723 жыл бұрын

    Mwenyewe n almaruhumu mzee Amer Amer Sud 2 bac ndo anayejuwa hstorya ya Zanzibar walobak wanabun 2 Mungu amlaze ktk pepozake tukufu Amina tutakukumbuka daima mzee wetu Amer Sud walokuzulumu nawao Watakuf 2

  • @rastafare878

    @rastafare878

    2 жыл бұрын

    AMIN

  • @saidomar6806
    @saidomar68063 жыл бұрын

    Zanzibar history km zote safi sn zenji raha

  • @mename6020
    @mename60203 жыл бұрын

    Shukran

  • @hajjism
    @hajjism3 жыл бұрын

    Munisamehe lakini taarifa za huyu mzee wetu adhim na nyinyi watu wa TV SIO ZA KWELI. Vyema mujizoeshe kufanya ngalau tafiti ndogo angalau kutupe taarifa za kweli.

  • @feiz3180
    @feiz31803 жыл бұрын

    Eeehhhh Babu , unatuzuga mbona. Historia ya kupangapanga. Hebu tuachieni historia yaetu wapo wenyewe .

  • @fathiyaabdallah4323
    @fathiyaabdallah43233 жыл бұрын

    Kwa kweli history hio si amin miaka 30000 mhh

  • @hassanhhassan6309
    @hassanhhassan63093 жыл бұрын

    History nyngne hazna ushahid zote ni assumption tu...

  • @iliasawanbi9447
    @iliasawanbi94473 жыл бұрын

    Kuumbi mbona maarufu lakini wazanzibari wengi hawalijuwi maana si watu wanaojishughulisha na historian yao. Mtangazaji asiseme Pango limegunduliwa, aseme ndio kwanza yeye analiona, wala sio ugunduzi, ni Pango maarufu tu

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor78473 жыл бұрын

    👌🏾

  • @suleimankhamis8298
    @suleimankhamis82983 жыл бұрын

    baba maelezo yako yana walakini

  • @obedmasaki3565
    @obedmasaki35653 жыл бұрын

    Kama pango nila miaka 3000? na liliishi watu; walioshi hapo walikuwa wamarekani? Iweje waligundue wamarekani? ACHENI KUUTUKUZA UZUNGU!!!

  • @vuvuzella667
    @vuvuzella6673 жыл бұрын

    Babu unatudanganya kwani Wazungu walipokuja Zanzibar kulikuwa hatuishi Wa Africa wenyewe?

  • @supumoto6819
    @supumoto68193 жыл бұрын

    Pango la akina ahdaly

  • @kaubaby7963
    @kaubaby79633 жыл бұрын

    Nashauri serekali itengeneze barabara ya lami kufikia huko kuumbi na kulitangaza zaidi ili wageni wafike kwa wingi ili kuongeza pato la serekali.maboresho ndio muhimu maana historia ndizo zinazotuweka mjini Zanzibar.

  • @issamabrouk3205

    @issamabrouk3205

    3 жыл бұрын

    Hilo pango hivi sasa ndipo penye huduma ya Maji ZAWA JAMBIANI

  • @ndimimaskati3641
    @ndimimaskati36413 жыл бұрын

    HUYU JAMAA ANQYEZUNGUMZIA HILO PANGO ANAONESHA KUWA SIO MZANZIBARI NI MTANGANYIKA, KWA ANAVYOZUNGUMZA UTAMJUWA.

  • @supumoto6819
    @supumoto68193 жыл бұрын

    Pango la akina ahdaly

Келесі