ONA MSAKO MKALI ULIVYO PAMBA MOTO ZANZIBAR “PIKIPIKI NA VESPA....”

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 625 323 932
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Sauti Byego
cc: Maryam Busara
cc: Masoud Maganga
Camera Department"
Dadi Ali
Omar (OJ)
Nassor Shaibu
Abdallah Juma
Editors:
Juma Maulid
Dadi Ali
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Пікірлер: 46

  • @muhammedsaid1565
    @muhammedsaid15653 жыл бұрын

    Me nashangaa hiyo hesria ya kubeba mtt mwenye umri chin ya miaka tisa..sasa kama ww afande jifikirie mfano huna usafiri mwengine wwte zaid ya chomb cha maring mawili kwaiyo mtt wako ukitaka kumpeleka school au sehem yyte utampakia wap...? ,

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed92453 жыл бұрын

    Yes uzuri hasa kufanya hivyo hawajui sheria fine wapigwe msiwaachie iwe fundisho

  • @shebyboy2809

    @shebyboy2809

    3 жыл бұрын

    Wacha roho mbaya ww

  • @1964AliK
    @1964AliK3 жыл бұрын

    Vizuri kamanda lakini ondoweni bureaucracy. Kamata mtu mwenye makosa,, toza fine ilioekwa, muachie mwananchi aende na shughuli zake za maisha, punguza msongomano mahabusu na mahkamani.

  • @hassannassib8947
    @hassannassib89473 жыл бұрын

    Mnazalilisha watu na camera zenu kakamateni wauzaji cocaines

  • @abuuzayd1326
    @abuuzayd13263 жыл бұрын

    Mnajitahidi sana kutupa sheria lkn mna masharti magumu sna wakat wa kuitafuta lessen

  • @Abdalakangile1

    @Abdalakangile1

    3 жыл бұрын

    Kweli

  • @fahadfahmy
    @fahadfahmy3 жыл бұрын

    hivi kweli mpaka hii leo watu bado wanawekwa chini kama watoto wachuoni,serikali inashindwa kuweka mabenchi au viti.

  • @ukweliunauma4570
    @ukweliunauma45703 жыл бұрын

    Umefanya vizuri sana Mkuu , Vijay hwa ani wazembe sana , Watiwe adabu tu hawataki kufata sheria na hawasamini maisha yao wazembe

  • @kindysuleiman5935
    @kindysuleiman59353 жыл бұрын

    Well done police good job hao ni hatari tupu operation iwe jambo la kuendelea

  • @adammakame2154
    @adammakame21543 жыл бұрын

    Hiii kusahau bima na rod lesens pia unalipishwa sain duuuu hapa mme zd mbn sheria inasema ni maa 24unatkiw uvipeleke ivo vtu ulivo visahau km ni lesen au vyengnevyo au hii sheria haipo tena

  • @abdumodest5898
    @abdumodest58983 жыл бұрын

    Na wachukue izo pesa wakatumie wasjidai fain bure na njaa zao

  • @abuuzayd1326
    @abuuzayd13263 жыл бұрын

    Laiti mngelikua masharti yenu ya kuipata lessen ni mepesi sio magumu bac naamini wazanzibar wote wangelikua wanalesseni zao

  • @rajabkhalifan4188
    @rajabkhalifan41883 жыл бұрын

    Sasa kama mtu kasaidiwa tu hiyo sheria ikoje apo afande

  • @mohamedabdalla2548
    @mohamedabdalla25483 жыл бұрын

    Uyo wa mshikaki anomakosa yupi

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla57723 жыл бұрын

    Acheni upuuzi nyie mbona mambo muhimu hamuyafatili watoto wanabakwa .na mbakaji mukiletewa munamuwacha . Acheni ufezuli .

  • @mmadiausiy9810
    @mmadiausiy98103 жыл бұрын

    Ni vizuri kuzingatia na kufuata taratibu za barabara na pia kufata sheria zake! Ni kwa faida ya watumiaji wote wa barabara!

  • @abuubakarsaid2490
    @abuubakarsaid24903 жыл бұрын

    Kulikuwa kuna ulazima gani wakusema ndevu

  • @hassanally8237
    @hassanally82373 жыл бұрын

    Mm naomba hizo sheri mutusomeshe mana munatuambia tunafanya kosa wakati sheria hatuijui

  • @professorzola7742
    @professorzola77423 жыл бұрын

    Mbona mumewakusanywa sehemu moja na kuna maradhi ya kuambukiza

  • @khamissalmankhamis1587
    @khamissalmankhamis15873 жыл бұрын

    Well Done Traffic Police Safari hii lazima madereva waheshimu Barabara. SPEED KILLS. Aliye na ndevu refu au fupi mahakama inamhusu 😁

  • @jumamatao3628
    @jumamatao36283 жыл бұрын

    Nalipongezi Jeshi la police kwa kz nzr mnayo ifanya mana kwa kweli madereva wengi wa vyombo vya maringi 2 hawafuati sheria za barabarani , kwa nfano kwenye traffic light wao wanaonda tu , tena wanafanya wanaharaka kuliko mtu yyte. Kamanda nakupongeza.

  • @mahamoudduchi3318
    @mahamoudduchi33183 жыл бұрын

    Zanzibar watumiaji wa vyombo vya moto ujinga na ulimbukeni mwingi sheria hazifuatwi kbs kbs mtu anakusababishia ajali na dharau na matusi kibao mtu hana ata karatasi ya sheha hlf ukipata ajali ety mungu kapanga na nyie askari muache vitendo vya rushwa AMELAANIWA MTOAJI WA RUSHWA NA MPOKEAJI .

  • @himnasalum2424

    @himnasalum2424

    3 жыл бұрын

    Hhhhh umenifrahisha na maneno yko

  • @hassanally8237
    @hassanally82373 жыл бұрын

    Hii sheria ya bima naomba serekali iyondoe mana bima sio lazima kua nayo ya chombo mana kikiibiwa silipwi wala sisaidiwi mm kazi yangu kuchangia niwaenemeshe wao huku chombo bima mm mwenyewe Nina bima ya afya inamana gani mtu mmoja kuwa na bima tele wakati bima ni hiyari tu serekali litizameni na hili

  • @alijuma1189
    @alijuma11893 жыл бұрын

    Wewe kamanda unataka kufirwa tu

  • @abdulwahababdulkadir9965
    @abdulwahababdulkadir99653 жыл бұрын

    Uchumi wa kati

  • @husnamohamed9245
    @husnamohamed92453 жыл бұрын

    Msiwapeleke mahakamani wapigeni fine tu waende zao

  • @kassimomar7589
    @kassimomar75893 жыл бұрын

    Kwahyo ukivaa kofia ngumu hufi

  • @mmadiausiy9810

    @mmadiausiy9810

    3 жыл бұрын

    Nilijua umuhimu wake siku nilipoanguka na vespa! Usiombe kuanguka ndugu!

  • @ramadhanidaudihaji2174

    @ramadhanidaudihaji2174

    3 жыл бұрын

    🤣😂

  • @kingmagufuliforever3144

    @kingmagufuliforever3144

    3 жыл бұрын

    Hahahaha

  • @aminimushi6945
    @aminimushi69453 жыл бұрын

    Kuhusu bima, mbona mtu aliyepata ajali ya pikipiki, hakuna aliye wahi kulipwa? hata kama amelipia bima?

  • @nabilsuleimanhaji2437

    @nabilsuleimanhaji2437

    3 жыл бұрын

    Umesema ndipo hili mbona wanazulumu watu kama vipi bima itolewe ni dhulma

  • @salumft661
    @salumft6613 жыл бұрын

    honda yangu vario alafu nivae helment ah.. ushamba.. sivai

  • @asalkhan9168

    @asalkhan9168

    3 жыл бұрын

    Kwani vario hutakiwi kuvaa helmet ?

  • @asalkhan9168

    @asalkhan9168

    3 жыл бұрын

    Kama ushamba ni kwa faida yako mwenyewe. Likipata fracture ilo skull ndo utajua umuhimu wake

  • @shebyboy2809

    @shebyboy2809

    3 жыл бұрын

    😄😄😄😄

  • @suleshkaluu9068

    @suleshkaluu9068

    3 жыл бұрын

    Vario uvae helmet...ah uhanis et

  • @amnesamne8855
    @amnesamne88553 жыл бұрын

    Uyu c mnyawez

  • @suleshkaluu9068

    @suleshkaluu9068

    3 жыл бұрын

    Ndio hao hao haya tuu

  • @kreamagdfsa1697
    @kreamagdfsa16973 жыл бұрын

    Hamna kitu hapo agopa sana kitu kinaitwa njaa rushwa itahusika tu

  • @issahamad2502

    @issahamad2502

    3 жыл бұрын

    Hapo hapana kazi Bali wanataka pesa.

  • @adammakame2154
    @adammakame21543 жыл бұрын

    Hiii kusahau bima na rod lesens pia unalipishwa sain duuuu hapa mme zd mbn sheria inasema ni maa 24unatkiw uvipeleke ivo vtu ulivo visahau km ni lesen au vyengnevyo au hii sheria haipo tena