Dakika 8 za Mbunge aliyetaka kuingia Zanzibar kutoka Tanzania bara iwe kwa pasipoti

Mbunge wa Konde (ACT Wazalendo), Mohamed Said Issa ameitaka Serikali kurejesha upya utaratibu wa watu wote wanaoingia Zanzibar kuwa na hati ya kusafiria.
Akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Ofisi ya Rais Makamu wa Rais kwa mwaka 2024/25 leo Jumanne Aprili 24,2024, Issa amesema lengo ni kuvilinda visiwa hivyo.
“Kwa nini waliweka pasipoti (hati za kusafiria) visiwa vile vinahitaji kulindwa, mimi sikubaliani na suala la kutovilinda visiwa saa hizi. Sasa hivi Zanzibar imejaa watu na tunavyoendelea hawatakuwa na sehemu ya kuishi,”amesema.
Issa amempongeza, hayati Abeid Karume kwa kujenga maghorofa yale (hakusema yako wapi) kwa kuwa alitaka Wazanzibar wote wakae humo, kwa sababu aliona ardhi ni ndogo sana.
“Sasa hivi ukienda pale Zanzibar utakuta viwanja vimechukuliwa, miti imekatwa, kulikuwa na zao la mikarafuu haliko tena, imebakia Pemba tu na kule Pemba linakwenda kuisha minazi hakuna sasa hivi tunaagiza kutoka Mafia ,”amesema.
Amesema jambo hilo sio zuri na hata ajira za watalii hawapati tena Wazanzibar wanaofanya kazi hizo ni wageni.

Пікірлер: 95

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7goАй бұрын

    Safi mbunge sisi Wazanzibari tunakubaliana na ww kwa asilimia 100% wacha baadhi ya Watanganyika watoke povu ila Wazanzibari tumekuelewa sana❤❤❤❤

  • @JoshNgera8-ff3cz

    @JoshNgera8-ff3cz

    Ай бұрын

    Sawaa hakuna shida jina liludi TANGANYIKA na muwe na passport yenu.msitumie hii iliokuepooo ya sasaaaa....

  • @JoshNgera8-ff3cz

    @JoshNgera8-ff3cz

    Ай бұрын

    Na nyie luja kwe2 mpka muwe na passport ya nchini kwenuuu zanzibar

  • @edwardmwambene3748

    @edwardmwambene3748

    Ай бұрын

    Achaujinga kunamanufaagani ya uomuungano wenu kwendeni uko Yani kakisiwa Ako ndokakujigamba gamba Nako apa ilinitaifa kubwa atubabaiki napumba zenu izo

  • @JoshNgera8-ff3cz

    @JoshNgera8-ff3cz

    Ай бұрын

    @@edwardmwambene3748 uvunjik e tu Muuungano

  • @Kokhaako

    @Kokhaako

    Ай бұрын

    Wacha wazimu wako mnaoing'ang'ania Zanzibar ni nyinyi wa Tanganyika. Sisi ndio kabisa hatutaki Muungano huu kwanza sio halali. Huu Muungano ni batili x 1000.

  • @ChimamyShaa
    @ChimamyShaa28 күн бұрын

    Asanteeeeee coz wanyamwezi wengi zenj asaiv

  • @user-jc6dk2fe8g
    @user-jc6dk2fe8gАй бұрын

    Sisi Watanganyika hatuutaki huu muungano.

  • @awatifalghanim1106

    @awatifalghanim1106

    Ай бұрын

    Wewe mbona imekukera sanaaaa. Nikitu muhimu sana hicho. Dar es salaam iwe kuingia kwa passport na Zanzibar watafata na Immigration itatia kipato Fulani baada ya kuwa vurugu mechi.

  • @awatifalghanim1106

    @awatifalghanim1106

    Ай бұрын

    Basi wewe uvunje Kama unayo power yako kwenye Dunia.

  • @fatimahants1526

    @fatimahants1526

    Ай бұрын

    Jaribu kama utaweza 😄😄😄😄👂🧠👆

  • @awatifalghanim1106

    @awatifalghanim1106

    Ай бұрын

    Zanzibar ndio kabisaaaa. 😂😂😂😂 Weeee jaribu kuungana na jirani yako uwa mmoja utizame kama utaweza hilo vurugu mechi.

  • @alijuma8009
    @alijuma8009Ай бұрын

    He is right

  • @fahadomar5809
    @fahadomar5809Ай бұрын

    Halafu sisi Zanzibar hatuutaki muungano na hii mpaka lini Tanganyika mutatupatia uhuru wetu Zanzibar tushachoshwa na ukoloni wa mtanganyika kuitawala Zanzibar

  • @Allybinamour
    @AllybinamourАй бұрын

    hongera mh mbunge

  • @user-bx2wk2pk7r
    @user-bx2wk2pk7rАй бұрын

    Huyu jamaa akili nyingi kuliko wabunge wote haya maneno alishayaongeya mtaalamu mmoja pale bungeni

  • @ramadhanimtetu3656
    @ramadhanimtetu365621 күн бұрын

    ACt Wazalendo KAZI Kazini

  • @HorizonLtd-ty7ep
    @HorizonLtd-ty7epАй бұрын

    Duh

  • @Kokhaako
    @KokhaakoАй бұрын

    Hongera Mhe Muh'd lssa kweli unajuwa wajibu w ulichopelekewa bungeni. Iteteye Zanzibar na uwateteye Wazanzibar.

  • @user-ug8wh1hg6r
    @user-ug8wh1hg6r14 сағат бұрын

    Lengo lenu tanganyika linafahamika kwann kila kitu mnakataa au lengo lenu n kuitaifisha zanzibar moja kwamoja

  • @alikidungura9419
    @alikidungura941919 күн бұрын

    Watanganyika wanatuumiza kimaendeleo na kikazi wizara zote za muungano zipo Bara

  • @solomonadams6337
    @solomonadams6337Ай бұрын

    Hakuna Mzanzibar anayetaka Muun'gano na Wizi Watanganyika sawa,thanks

  • @fatimahants1526

    @fatimahants1526

    Ай бұрын

    Akili mgando😷

  • @ZubeirJuma-up7kb

    @ZubeirJuma-up7kb

    Ай бұрын

    Hakuna mzanzibar anaetaka muungano labda chizi au mwanga au ccm​@@fatimahants1526

  • @user-mg2vt9ik8b
    @user-mg2vt9ik8b22 күн бұрын

    I like this good boy not afraid just talk

  • @personpeter2221
    @personpeter222117 күн бұрын

    Muungano hauvunjiki namkleta vyakuletwa tunaktandiken hamjui kuwa ni kolon la Tanganyika😂😂

  • @Worldunite
    @WorlduniteАй бұрын

    Nyie mna mashamba au mabustani???

  • @abdulrahmanrajab4369
    @abdulrahmanrajab4369Ай бұрын

    eeh waje kwa paspot na kwao twend kwa paspot au uvunjweeeeeeeh

  • @user-ob2ik5gy1b
    @user-ob2ik5gy1b18 күн бұрын

    Waliovamia unguja ni wapemba na sii watanganyika pia utalii wanafanya wageni kwa sababu kazi za makafiri hufanywa na makafiri.waislam hatuuzi sanam na pia mahotelini kunauzwa pombe na nyama za nguruwe.

  • @ibrahimmartinelli125
    @ibrahimmartinelli125Ай бұрын

  • @saidabdala4980
    @saidabdala4980Ай бұрын

    Kabla ya MUNGANO zenji kwa PASPORT baada ya MUNGANO zenji kwa VIBOTI.

  • @onelovetz7935
    @onelovetz793518 күн бұрын

    Tatizo sio muungano tatizo niubaguzi kama sote ni watanzania Tanganyika nilazima iwe na muhimili wake Rais wa muungano awepo na rais wa Tanganyika awepo na rais wa Zanzibar awepo kama ni viza iwe kote hata Tanganyika tunapaswa kulinda mbuga zetu bandari zetu thahabu alimasi nakila aina ya madini yetu tunufaike kama watanganyika na wao kwa sababu wana rais wao yasiyo husiana na muungano wanufaike wao KARAFU zao hapo kazi iendelee hapa kazi tu

  • @user-id6xo9td6k
    @user-id6xo9td6kАй бұрын

    Akili mgando

  • @victorgerryson2695
    @victorgerryson269517 күн бұрын

    hahaha! wazanzibar hawana uwezo wa kuja tanganyika kisa umaskin na ushoga sas, mkiona idadi ya wanyakyusa wanakuja kula bata zanzibar mnaisi mnanyonywa senge kweli

  • @PlatnamMogo
    @PlatnamMogoАй бұрын

    Na wao wakija bara waje kwa passport ? au waje bure ?

  • @JoshNgera8-ff3cz

    @JoshNgera8-ff3cz

    Ай бұрын

    Yan jino kw ajino waje na passport na sio hii.tunayotumia hii inatolewa kwetu tunafanya amrekebisho kidg tu tunaandika TANGANYIKA alaf wao wakatfte style yaooo mbwa hawa...

  • @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar

    @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar

    20 күн бұрын

    @@JoshNgera8-ff3czMbona unawaita M’mbwa tena? si kila Mtu ana Mtizamo wake

  • @Puppet666Master

    @Puppet666Master

    16 күн бұрын

    ​@@JoshNgera8-ff3czMmbwa Mama ako alo firwa akakuzaa aka kutolea kwa Mkunduni kwake Jimbwaa Mwenzake wewe

  • @JoshNgera8-ff3cz

    @JoshNgera8-ff3cz

    16 күн бұрын

    @@Puppet666Master mbwa alofirwa akanizaa ameshafariki nitamfikishia ujunbe pale kaburini

  • @abdallahmohd3777
    @abdallahmohd3777Ай бұрын

    Watafahamu 2 kwani ukisema ukweli wananuna wanasem taarifa why ila tunajuwa one day yes

  • @HamisJMB
    @HamisJMBАй бұрын

    bc na wao kuingia bara na waingie na paspot 😅

  • @mainamwareri6984
    @mainamwareri6984Ай бұрын

    Kwani bungee zote za Africa mashariki, ugonjwa ni sawa. Yaani wabunge hawahudhurii vikao, viti ndio waakilishi.

  • @ZubeirJuma-up7kb
    @ZubeirJuma-up7kbАй бұрын

    Watanganyika ovyohovyo imewauma kwa kweli na uo ndo ukweli zanzibbar freee under tanganyika Inshaalllah wakiisikia ivoo wanapagawa zanzibar kuwa huru 😂😂😂😂😂😂😂

  • @user-rg5sg1xz8p
    @user-rg5sg1xz8pАй бұрын

    Kama anataka watanganyika tuingia na pasipoti sawa ila wanao waachie maeneo wanayo muliki uku na Waldingfield kwao waje na pasopoti pia

  • @user-rm8gp2kr9i
    @user-rm8gp2kr9iАй бұрын

    Maneno ya hayati Malim sefu ya kwamba wabara waludi kwao mana ya passport kuingianayo zanzibar

  • @allyrembo6714
    @allyrembo6714Ай бұрын

    Huyu mbunge anaonekana ni mbaguzi na nimtu hatari sana hivi tukisema wazanzibar wote warudi kwao na watanganyika turudi kwetu nani wataumia? Istoshe anajua ni kitu gani kilipelekea ukafanyika muungano?

  • @AyoubPapiy

    @AyoubPapiy

    Ай бұрын

    Hatoumia mtu kwani wewe ukienda kwenu unaumia"!!? Mtu hukubaliana na mazingira ya kwao na huyazoweapia, wewe inaonekana husamini kwenu.

  • @OmerSuley-gl7go

    @OmerSuley-gl7go

    Ай бұрын

    Endeleeni kutoa madongo ila Wazanzibari hatuutaki Muungano kabisa

  • @JoshNgera8-ff3cz

    @JoshNgera8-ff3cz

    Ай бұрын

    ​@@OmerSuley-gl7gohata sisi hatuutak muungano ni hauna faida yeyote....iwekwe tu official bas kua sio tanzania tena ni TANGANYIKA na huko zanzibar na kuenda kwa mwenzake taratib za kimataifa zitahusika....

  • @user-co7bs2sm8g

    @user-co7bs2sm8g

    Ай бұрын

    Tukivunja muungano Zanzibar mnaingia Islamic country mkipigana kama Somalia msingae huku kwetu bara

  • @user-co7bs2sm8g

    @user-co7bs2sm8g

    Ай бұрын

    Kama Kuna muungano hakuna ulichonacho tukivunja utapata nn

  • @IbniMohdAli
    @IbniMohdAliАй бұрын

    Kumekucha

  • @thuweinmassoud9062
    @thuweinmassoud9062Ай бұрын

    iwepo paspoti zanzibar

  • @Whoisthismantalking
    @Whoisthismantalking17 күн бұрын

    KAMA WATANGANYIKA HATUUTAKI MUUNGANO NA WAZANZIBAR HAWAUTAKI MUUNGANO VIONGOZI WANAUNGANGANIA WA NINI?????

  • @mussammsaji1110

    @mussammsaji1110

    16 күн бұрын

    Bado hamjasema

  • @Whoisthismantalking

    @Whoisthismantalking

    16 күн бұрын

    @@mussammsaji1110 acha tuwssaidie maisha, maana muungano ni wa kisenge sana wa kuwasaidia wazanzibar kila kitu utadhani wamekatika mikono.

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo438223 күн бұрын

    MACHOGO WATANGANYIKA LAZIMA WAINGIE ZANZIBAR KWA PASS AKITAKA WASITAKE!

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104Ай бұрын

    Tunataka passport zirejeshwe zanzibar

  • @JoshNgera8-ff3cz
    @JoshNgera8-ff3czАй бұрын

    Na kuja dar na kokote bara kuwe na pasaport ukitokea zanzibar...na piaaa....jina libandiloshwe officially muungano uvunjwe mana wazenji washaonesha hawatak na sisi hatuwashikilii maana hawatufaidishi kwa lolote.....

  • @Whoisthismantalking
    @Whoisthismantalking17 күн бұрын

    Haya mazanziba yanafanya nini huku kwetu, HATUTAKI WAZANZIBAR WAISHI HU KWETU WARUDI KWAO, NA MUUNGANO HATUUTAKI.

  • @user-hn6kv6xe7m

    @user-hn6kv6xe7m

    15 күн бұрын

    Watarudi zanzibar.lakini mnao shida nyinyi watanganyika mana nyinyi ndio wengi huku zanzibar.tena tunamani sana muungano uvunjike

  • @user-hn6kv6xe7m

    @user-hn6kv6xe7m

    15 күн бұрын

    Na nyinyi wanyamwezi mmejaa tele huku Zanzibar muondoke tumechoka na nyinyi wachafu sana watanganyika

  • @isakasauna
    @isakasaunaАй бұрын

    Amelewa huyo

  • @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar

    @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar

    20 күн бұрын

    Hapana huyu Jamaa ata Sigara havuti, kasema Ukweli

  • @alikidungura9419

    @alikidungura9419

    19 күн бұрын

    Umelewa wew usio fahamu utakuwa wew mtanganyika safi japo upo Zanzibar au sibure unapewa kofia na fulana

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526Ай бұрын

    Wakitokeya viongozi tano kama huyo, muungano hatuna na wanaweza kutokeya tusiyatarajiya

  • @MAPETEE

    @MAPETEE

    Ай бұрын

    Au sio

  • @PhilipoMwita-ge2oj
    @PhilipoMwita-ge2ojАй бұрын

    Unganisha TZ na ZENJI ziwe nchi moja sio mnajikanyaga wee

  • @OmerSuley-gl7go

    @OmerSuley-gl7go

    Ай бұрын

    Inaonekana hujielewi kabisa TZ ni kifupo cha Tanganyika na Zanzibar sasa sijui unawezaje kuunganisha TZ na Zanzibar

  • @user-ze6lx9ng6s
    @user-ze6lx9ng6sАй бұрын

    Wazabari mtu wenu katuunzia bandari zetu,na mbuga za wanyama, kweli ni kero bora mmbaki kwenu huko

  • @user-rk9gr9yf3i

    @user-rk9gr9yf3i

    22 күн бұрын

    Mitano mingine Mama Samia tuko pamoja bado hamjasema

  • @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar

    @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar

    20 күн бұрын

    @@user-rk9gr9yf3i😂😂😂😂😂

  • @PartySekemi
    @PartySekemiАй бұрын

    Mnasema wanao fanya kazi za. Utalii ni wageni mkasome mjitahidi kwenda shule

  • @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar

    @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar

    20 күн бұрын

    Kazi za Utalii wala hazitaki Shule mana Watanganyika wingi wanaenda kufanya kazi kwenye Ma Hotels Zanzibar hawajasoma angelisema Wazanzibar hawapendi Kazi za Kitwana Sawa mana Kazi kubwa Mishaara midogo

  • @mbatatakiazi1678
    @mbatatakiazi1678Ай бұрын

    nani amechukuwa viwanja? Ni akina nai hao wanaoitwa wageni? HUYU hajuwi kuwa na BARA kuna WAZANZIBARI wengi tu kwenye payroll za BARA na wanafanya kazi kwenye idara ambazo siyo kabisa za MUUNGANO?

  • @AliAhmed-jf9ys

    @AliAhmed-jf9ys

    Ай бұрын

    ivi sisis na oman aunss na ulaya au amerika tuna muungano wangpa wana ishi huko na wana fanya shughuli zao achana na mawazo magndo

  • @OmerSuley-gl7go

    @OmerSuley-gl7go

    Ай бұрын

    Wazanzibari wapo kila sehemu na wanamiliki mali kulingana na sheria za nchi husika nyinyi muna miliki mali hapa kwa sheria za Zanzibar kwa iyo acha choyo

  • @JoshNgera8-ff3cz

    @JoshNgera8-ff3cz

    Ай бұрын

    Et wagen utazan sio watanzania😂😂😂kauli ya kibaguz kabisa...sema.sio kesiii....kama anavtaka hatujakataa ila.waooo pia kuja baraa waje na passport tena sio hii tunayotumia sab hii mal yetu watengeneze ya kwao...na sie tutalekebisha jina pale.TANGANYIKA.....

  • @user-ww5or9om1n

    @user-ww5or9om1n

    Ай бұрын

    ​hio sio yenu,hio ya TANZANIA,rudisheni TANGANYIKA yenu kwanza ndio mpate chenu.

  • @JoshNgera8-ff3cz

    @JoshNgera8-ff3cz

    Ай бұрын

    @@user-ww5or9om1n of coz irudi tu tanganyika

  • @abdirahmanmohamed3814
    @abdirahmanmohamed3814Ай бұрын

    angekaa kimya tu kuliko kuleta chuki

  • @HorizonLtd-ty7ep
    @HorizonLtd-ty7epАй бұрын

    Huyu jamaa hana sifa za kuwa kiongozi Kwan yeye huku Tz bara amekuja kwa pasport ?

  • @OmerSuley-gl7go

    @OmerSuley-gl7go

    Ай бұрын

    Kwani wewe ni Mzanzibari mbona kelele nyingi?

  • @user-qy4vk2qp9t

    @user-qy4vk2qp9t

    Ай бұрын

    Sisi si tuanaenda kuwapelekea moto mashogazao wanona wivu 😂

  • @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar

    @Zanzibar2023Zanzibarzanzibar

    20 күн бұрын

    Sio Jambo geni passports zilikuwepo Tangu Mwanzo wa Muungano sema Ali Mwinyi alipokuja kuwa Raisi wa Zanzibar Ndio aliondoa Passports

  • @IbniMohdAli
    @IbniMohdAliАй бұрын

    Kumekucha

Келесі