MUHIMBILI KUSHIRIKIANA NA JAMII KUTOA ELIMU YA MALEZI NA KUPUNGUZA MIMBA ZA UTOTONI

Hospitali ya Taifa Muhimbili kwa kushirikiana Shirika lisilo la ki Serikali la Jhpiego Tanzania imetoa mafunzo maalum kwa wauguzi na wakunga yenye lengo la kutafuta watoa huduma mahiri watakao kuwa chachu ya kuleta mabadiliko kwenye jamii na kusaidia kupunguza mimba za utotoni.

Пікірлер

    Келесі