MSWAHILI NI NANI

MSWAHILI NI NANI

Пікірлер: 88

  • @sherkyryusuf3463
    @sherkyryusuf34635 жыл бұрын

    Msikizeni Abdurahim Ali Bakadhir,awafunze vizuri asili ya Mswahili.

  • @chotaramswahili2835
    @chotaramswahili28353 жыл бұрын

    Narudia kusema tena na tena Mswahili sio zalio la mwarabu na mwafrika huu ni uongo na upotoshi..Mswahili alikuwapo kabla kuja kwa mwarabu wa mgeni yeyote..naomba nihusishwe katika mahojiano ya ASILI YA MSWAHILI..tuelekezane

  • @swalehgakurya9938

    @swalehgakurya9938

    Ай бұрын

    Nakubaliana na msemaji, Mvita Kassim Taratibu. Kiswahili ni mchanganyoko wa kibantu cha mwambao wa pwani wa Kenya na Tanzania. Lakini Standard Swahili kinacho zungumzwa inje ya madarasa ya shule na inje ya mashahiri, ni Kidigo 70% na 20% Kiarabu na 10% Kireno Kizungu na Kihindi na wengineo Kwanini ? Waarabu walikuja pwani ya afrika mashariki karne ya 7/8 kabla ya Wareno, Waengereza, Wajarumai, na Wahindi, na wakaoa wenyeji. Walipofika Mombasa, ( ambayo ilikua ikiitwa CHISUWANI, maana neno Mombasa lilizaliwa na Wareno, pamoja na neno Mzungu,abalone nineno la Kidigo ) ( angalia raamani ya Kireno, ya zamani Mombasa wanaiita Mombaze, na yale manor wanaka wadigo wanayaita musonglos) wakaoa Wadigo. Ikawa mama afundisha mwana Kidigo, na baba afundisha mwana Kiarabu. Kwavile mama ndoakaae na mwana zaidi, mwana yuwazungumza luga ya mama, Kidigo. Baba akanusa hatari, akachukua mwana na kujifunza Kidigo. Hakujua kwamba Kidigo kinacho zungumzwa na mtoto si kamakile kinacho zungumzwa nawakubwa. Kwamfano. Mtoto wa Kidigo hawezisema Ndzo, husema njo...dzana/jana...dzuzi/juzi...singo/shingo ... tseka/cheka ...na kadhalika. Kuna mengine anaweza tamka kama, lenga, bwaga piga, na kadhalika. Nikianza kutengeza kamusi ya kiswahili kwa kidigo nitachekesha. Ukiwa na maswali zaidi nitafurahi kujibu.

  • @jebellwallace3509
    @jebellwallace35092 жыл бұрын

    Mashallah hapa naona walimu wangu watupu.

  • @kebo2155
    @kebo21554 жыл бұрын

    Nyie ni machotara lakini Mswahili alikuwepo kabla ya Waarabu ambao walikuwa baada ya wapersian... Mswahili ni mtu aliyezaliwa kwenye Pwani au Mwambooni.. Swahili ni Wabantu ( wangozi, tumbatu, wapemba).. 🇹🇿 💯💯

  • @aliciousdaqueen6385
    @aliciousdaqueen63858 жыл бұрын

    proudly mswahili

  • @mohamedabsi9874
    @mohamedabsi98746 жыл бұрын

    Proudly pure swahili

  • @Quilant749
    @Quilant7497 жыл бұрын

    uongo mswahili alikuepo kabla muarabu kuja Africa...mtawacha kutudanganya mpaka lini

  • @muslimassociationnakuru990

    @muslimassociationnakuru990

    5 жыл бұрын

    ...wewe mturkana ulijuaje?unataka ku-promote Pan-Africanism ya kijinga?

  • @deepsea2141

    @deepsea2141

    5 жыл бұрын

    jina la swahili inatokana na Ibn Batuta kutoka Morocco mwaka 1331, aliwahi kuzuru pwani ya Afrika mashariki akaiita sahil yaani pwani. Kabla waswahili walikuwa wanaitwa wangozi kutoka pwani ya Kaskazini ya Kenya

  • @feisalmohamed1777
    @feisalmohamed17774 жыл бұрын

    Mtembezi tv... tafuta makala za Abdurahim Ali Bakathir utajifunza mengi kumhusu Mswahili

  • @MoRasheed

    @MoRasheed

    3 жыл бұрын

    ebu mwambie mara nyingine, hakuskia.

  • @trophywilson7211
    @trophywilson72112 жыл бұрын

    Mswahili ni mjanja tu na Msemaji saana ba Muislamu basi

  • @sellamwani7300

    @sellamwani7300

    2 жыл бұрын

    Yaonekana boss wangu huna habari kabisa,mswahili amekuwepo kabla ya muarabu kukanyaga Afrika mashariki,Usha sikia embe bila kuwa na mti wa maembe?ama fenesi bila mfenesi?lugha huwa ni ya mama sasa alimfundisha nani mtoto kiswa hili wakati mama muafrika na baba muarabu?

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi48825 жыл бұрын

    Huyu Mvita atleast ameongea kiusahihi hawa wengine hapana.

  • @carolinemuthoni6284
    @carolinemuthoni62844 жыл бұрын

    Waswahili ni wangozi toka kenya

  • @mpendakiswahili3053

    @mpendakiswahili3053

    3 жыл бұрын

    Hawa sijui wanazungumza kuhusu nini...ati mswahili ni mchanganyiko na waarabu...

  • @mpendakiswahili3053

    @mpendakiswahili3053

    3 жыл бұрын

    Hawa sijui wanazungumza kuhusu nini...ati mswahili ni mchanganyiko na waarabu...

  • @osmansaid4745
    @osmansaid47452 жыл бұрын

    Wow well represented

  • @alexbundi889
    @alexbundi8895 жыл бұрын

    Mswahili ameomba mila nyingi kutoka kwa waraabu, wahindi,

  • @saidiomar447
    @saidiomar4474 жыл бұрын

    Mm ni Mpemba na ndio mswahili halisi na najivunia kua mswahili kwa asilimia Mia moja

  • @trophywilson7211

    @trophywilson7211

    2 жыл бұрын

    Kumbe ni muislamu na mjanja ndo mswahili

  • @HassanMorowa
    @HassanMorowa6 жыл бұрын

    Mswahili alikuwapo kabla kuja muarabu. Na asli ya Kiswahili ni kaskazini, na wala si kusini

  • @deepsea2141

    @deepsea2141

    5 жыл бұрын

    @Mohammed Ibrahim jina la swahili inatokana na Ibn Batuta kutoka Morocco mwaka 1331, aliwahi kuzuru pwani ya Afrika mashariki akaiita sahil yaani pwani. Kabla waswahili walikuwa wanaitwa wangozi kutoka pwani ya Kaskazini ya Kenya

  • @aliabasi9563

    @aliabasi9563

    4 жыл бұрын

    Mm nauliza wabongo nao waswahili?

  • @maintenancews4200

    @maintenancews4200

    4 жыл бұрын

    Kwa mfano baba na mama wote ni WAMASAI au WAJALUO au WAHA basi mtoto hawezi kuwa MSWAHILI na kama bado wanaishi katika MKOA wao basi hata hiyo lugha ya KISWAHILI itabidi WAFUNDISHWE.

  • @ramadhanmusa2878

    @ramadhanmusa2878

    4 жыл бұрын

    @@deepsea2141 mwambie uyo Ibrahim ajui mswaili alikua kabla ya waarabu

  • @ramadhanmusa2878

    @ramadhanmusa2878

    4 жыл бұрын

    @@aliabasi9563 apana sio swaili ni lugha tu wanaitumia

  • @shifaaal-baity4503
    @shifaaal-baity45035 жыл бұрын

    Kweli ni wastarabu sana

  • @mohamedsasma7664
    @mohamedsasma76646 жыл бұрын

    Mswahili hakuwepo kabla ila mtu mweusi alikuwepo!

  • @kfastak

    @kfastak

    5 жыл бұрын

    Mswahili alikuwepo nawalikuwa wakiitwa wangoz . Wenye asili ya kibantu

  • @deepsea2141

    @deepsea2141

    5 жыл бұрын

    jina la swahili inatokana na Ibn Batuta kutoka Morocco mwaka 1331, aliwahi kuzuru pwani ya Afrika mashariki akaiita sahil yaani pwani. Kabla waswahili walikuwa wanaitwa wangozi kutoka pwani ya Kaskazini ya Kenya

  • @AsmahMakau
    @AsmahMakau9 жыл бұрын

    nice keep up the good job..

  • @aliciousdaqueen6385

    @aliciousdaqueen6385

    8 жыл бұрын

    Yeah for real

  • @parisz
    @parisz5 жыл бұрын

    Al7amdulillah ya rabbi

  • @teddyngowa7937
    @teddyngowa79374 жыл бұрын

    Eti wagiriama Ni was China haaahaa..😂😂😂😂😂😂

  • @alfanm.8221

    @alfanm.8221

    4 жыл бұрын

    😂😂😂 sijajua kwamba wagiriama wachina najua leo

  • @Dymitri-Babushka.

    @Dymitri-Babushka.

    4 жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @dullakhb3401
    @dullakhb340110 ай бұрын

    Kabla ya wadigo na waarabu kuja pwani waliokuwa wakiishi mwanzo

  • @jenuarioahereza9122
    @jenuarioahereza91225 жыл бұрын

    mswahili ni mwafrika

  • @maintenancews4200
    @maintenancews42004 жыл бұрын

    WAZANZIBARI wanazo asili zao lakini hawana KABILA na ndio maana lugha ya Mzanzibari ni KISWAHILI na hawana lugha nye ngine na wao ndio wa mwanzo kuitwa WASWAHILI kabla ya WATANGANYIKA.

  • @Dymitri-Babushka.
    @Dymitri-Babushka.4 жыл бұрын

    Waswahili asili yao ni MAHASIDI

  • @mohamedabsi9874

    @mohamedabsi9874

    4 жыл бұрын

    Hahaha the hate in your heart will consume you too

  • @maintenancews4200
    @maintenancews42004 жыл бұрын

    Kwa utafiti wangu mimi naamini kuwe na mchanganyiko wa DAMU,na lazima damu moja iwe ya KIBANTU na ndio maana hadi leo kuna baadhi ya MAKABILA hawaitwi WASWAHILI,kwa mfano WAMASAI na baadhi ya makabila ya mikoa iliyopo mbali na pwani.

  • @geoffreysoloshija1909

    @geoffreysoloshija1909

    2 жыл бұрын

    Hujui kitu

  • @nusafriksuk
    @nusafriksuk4 жыл бұрын

    Shukran sana

  • @pabloramadhan5815
    @pabloramadhan58158 жыл бұрын

    i need u.

  • @aliciousdaqueen6385
    @aliciousdaqueen63858 жыл бұрын

    wooow thanks so much hv learn alot

  • @anuaryally6177
    @anuaryally61775 жыл бұрын

    Muumba ndio anayejua mengine ni mbwe mbwe baada ya kushiba mseto haya neno mchina neno mzungu neno mwaraabu yametokana na nini kama swahili ndio ivyo je na uyo mchanganyiko wa mzungu na mchina tuite mzuchina

  • @alfanm.8221

    @alfanm.8221

    4 жыл бұрын

    😂😂😂 iyo kwa muonekano wangu tutamuita mcina mzungu.

  • @binkhalfan7213
    @binkhalfan72133 жыл бұрын

    Hizi ni porojo tu zilianzishwa na walafi mwisho mwisho mwa karne ya kumi na tisa kwa maslahi yao, wala hazina ushahidi wowote kihustoria ya makabila yote ulimwengun hakuna hata kabila moja lilibuniwa kwa muingiliano wa mskabila mawili, kama lipo jengine nambieni. Hivi Dada zetu na kaka zetu fukweni wanazaa na wazungu wanaozuru fukwe zetu, tushawahipata kabila jengine. Au wakolon wajeruman tanga Nyika walizaa na watanganyika, waingereza kenya ama wahindi walio jenga reli ya Afrika mashariki walizaa na wataita pale kenya Kuna makabila mengine yalizaliwa. Iweje tu kiswahili ndio kilizaliwa na waarabu na wabantu. Huu ni ukandamizaji wa waswahili huu ni ubanguzi wa rangi tusiwakweze wageni waswahili ni wabantu halisi. Tusiwafanye wawe wageni Afrika ya mashariki waambie kwao arabun la hasha. Hizi ni porojo tu hazina msingi hata Kidogo

  • @tboe4045

    @tboe4045

    3 жыл бұрын

    Hapo umeongea nilichofikiria, uko juu sana kibongo kaka, wachana na hao walafi, mbona kabila zingine za mchanganyiko hawaitwi waswahili

  • @emmanueltsuma4997

    @emmanueltsuma4997

    3 жыл бұрын

    @@tboe4045 makabila mingi duniani hususan yanayo ongelewa sana hutokana najamii tofauti kuishi pamoja kwa mfano pidgin west Africa(kizungu na kabila asil za Africa magaribi), urdhu(kihindi),afrikaans(Africa kusini),patos(jamaica) mandarin, kinepali na hata kingereza kingereza kinachozungumzwa sasa kimeombwa kutoka lugha tofauti tofauti

  • @emmanueltsuma4997

    @emmanueltsuma4997

    3 жыл бұрын

    Ndio nashindwa elewa kwanini wanao sema kabila lao ni waswali wanakosa neno hata moja lisilo tumika kwa lugha/kabila lengine... maneno yote yameombwa

  • @sellamwani7300

    @sellamwani7300

    2 жыл бұрын

    @@emmanueltsuma4997 sasa kama mama ni mijikenda na baba muarabu nani aliyemfunza mtoto kiswahili na lugha huea ni ya mama?Usha sikia maembe kukakosekana mti wa muembe?

  • @emmanueltsuma4997

    @emmanueltsuma4997

    2 жыл бұрын

    @@sellamwani7300 kwann lugha iombe karibia maneno yote kutoka lugha zengine

  • @kfastak
    @kfastak5 жыл бұрын

    Mswahili sio mwarabu . Msawahli alikuwepo kabla ya warabu .. acheni historia zenu za kujipendekeza Munalemaza akili za watu . Tatizo ninalo liona munahs kama mukiwatoa warabu mutakuwa sio waislam... Wasahli walikuwepo nawalikuwa na ligha kamilika kabla ya hata wakoloni kutengeneza mseto kiarabu ndani ya Kiswahili. Nawalikuwa wakiitwa wangoz nalugha yaokingoz

  • @corrolesscps

    @corrolesscps

    5 жыл бұрын

    Bongo Tz . Yaani wanavyouongelea huo uwaraabu. Wakati katika maneno yote wanayaongea ni asili ya kiafrica hakuna hata la kiarabu, Sana sana kibantu,

  • @shifaaal-baity4503

    @shifaaal-baity4503

    5 жыл бұрын

    Neno la swahili ni saahil ni kiarabu..wewe hujui kitu lbda ni mbaguzi

  • @shifaaal-baity4503

    @shifaaal-baity4503

    5 жыл бұрын

    @@corrolesscps hujui chochote wala huna lolote...maneno meengiii sana ni y kiarabu n hii sio aibu wacha ubaguzi..je unajua neno Bendera ni kireno?? Mana yake hio hio bendera..wao wanaitmka bandera..mbona hujapinga neno shule..kijerumani hata wa turkey wa irani wamechanganya lugha wao n waraabu..mimi sikufichi nlishangaa sana kua ndugu wakristo wantmka maneno y kirabu ambapo warabu waliofika huku ni waislamu..neno kanisa..madhbahu..kasisi askofu yesu..maryamu../mesiah mtawa..na mengineo

  • @deepsea2141

    @deepsea2141

    5 жыл бұрын

    @@shifaaal-baity4503 jina la swahili inatokana na Ibn Batuta kutoka Morocco mwaka 1331, aliwahi kuzuru pwani ya Afrika mashariki akaiita sahil yaani pwani. Kabla waswahili walikuwa wanaitwa wangozi kutoka pwani ya Kaskazini ya Kenya

  • @shifaaal-baity4503

    @shifaaal-baity4503

    5 жыл бұрын

    @@deepsea2141 shukran

  • @deniskanja1952
    @deniskanja19525 жыл бұрын

    wasawahili niwezi wliotumiwa na waarabu kuwaiba waafrika wapumbavu sana

  • @arafatali1327

    @arafatali1327

    5 жыл бұрын

    Wacha chuki zako

  • @deepsea2141

    @deepsea2141

    4 жыл бұрын

    Wanyamwezi na Baganda Kingdom walikuwa ni waafrika kamili na walikuwa mstari wa mbele kuuza waafrika wengine wa Jamii ndogo kiutumwa. Kwahivyo waafrika waliwauza waafrika wenzao

  • @mohamedsuleiman7215

    @mohamedsuleiman7215

    2 жыл бұрын

    wacha ujinga utumwa ata ulaya ulikuwepo. nyiye ndiyo muliosineshwa skuli utumwa ulifanyika afrika tu.