MCHUNGAJI AWAOMBEA WAISLAMU DUA NZURI KWA KAZI NGUMU YA DAWAH WANAYOIFANYA

Please subscribe to our channel. #StraightPathDawah

Пікірлер: 59

  • @omarmuhamud3302
    @omarmuhamud3302Ай бұрын

    Kila alie na roho mzuri Allah amuongoze. Aaameeen

  • @josemu870
    @josemu870Ай бұрын

    Kwa neema ya uislamu barikiweni Allahamdhulla

  • @user-oy4gc8bi7g
    @user-oy4gc8bi7gАй бұрын

    Allah awahifadhi na awape umri mrefu. Na awajaalie wepesi

  • @Fumokale
    @FumokaleАй бұрын

    Kazi inaendelea na inshaAllah itaendelea hadi ifike saa...Allah awawezese kwa kila namna na awajaalie IKHLAS....aaaaminaaaa

  • @minaniyasini7834
    @minaniyasini7834Ай бұрын

    Masha allah. Allah awalipe wahadhiri kwa juhudi zeni

  • @seifserenge3340
    @seifserenge3340Ай бұрын

    Nawapongeza sana mashekh wetu. Huyo pasta ni mtaratibu sana na anaweza kukufahamuni, ushauri wangu musimwache akatoa tu maneno yake kichwani Kila hoja mbaneni atoe maandiko na kama hajatoa mtoleeni nyinyi haraka, nyinyi ni TX wa maandiko kwani anawazungusha zungusha akwepa kujibu maswali.

  • @mobutu3884

    @mobutu3884

    Ай бұрын

    Yote aliyoongea mchungaji maandiko yapo labda useme ni wapi hujaelwa utolewe andiko hapahapa 😂

  • @kimzymamy6594
    @kimzymamy6594Ай бұрын

    MashaaAllah Allah awahifadhi. Mashekhe wetu kaz nzuri❤❤❤❤

  • @abdalaauame3863
    @abdalaauame3863Ай бұрын

    Mashalla ustaz ramazane kuria 🤲🤲🤲🤲📿

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560Ай бұрын

    Allah akulipe sheikh wangu

  • @user-du2fy5sd5u
    @user-du2fy5sd5uАй бұрын

    MashaaAllah tabarakah Rahman

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wkАй бұрын

    Allah awaongoze waione haki na waifuate.

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847Ай бұрын

    Mashaallah Allha 💖💖💖

  • @MohamedMeja
    @MohamedMejaАй бұрын

    Mashallah mungu awajazii herii

  • @Sai.Mo69
    @Sai.Mo69Ай бұрын

    Pastor haja towa ANDIKO iki sema UKRISTO ni dini! Na wala HATA TOWA, kwa sababu 'UKRISTO' hai EXIST! Pastor ni mjanja sana! Ame DODGE swali laku towa ANDIKO iki sema Ukristo ni Dehebu! Pastor ana taka ku okota SADAKA tuu, aki jua ana DANGANYA Watu! Welldone Team! MashaAllah.

  • @StraightPathDawah

    @StraightPathDawah

    Ай бұрын

    Halipatikani abadan

  • @hemedalli4073
    @hemedalli4073Ай бұрын

    Mashallah

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249Ай бұрын

    Masha Allah.

  • @salmaminja7714
    @salmaminja7714Ай бұрын

    Assalam Alaykum. Shekh Ramadhan, na jopo lako sijui km naweza kuwaclisha furaha yngu kwa kaz ya kutangaza dini ya khaq, hakika siwez kwn napata furaha mnoo kwa video zenu Alhamdulilah. Allah azid kuwapa afya nzr na wepec kwn hii kazi ina vikwazo snaa. Namuomba pia hapa na kesho akhera awajalie pepo yke tukufu nac tunaofuatilia atujalie pia. Inshallah. Allahu Maa'ana.

  • @Aminedanisman76799
    @Aminedanisman76799Ай бұрын

    MashaAllah

  • @SalmanMughal-lq5lt
    @SalmanMughal-lq5ltАй бұрын

    SbhanaAllah.kaokoka...a.Allah.AtuongozewooteYaarabi

  • @zainabhussain4114
    @zainabhussain4114Ай бұрын

    MashaaAllah ❤️

  • @user-yt9lb5zd5d
    @user-yt9lb5zd5dАй бұрын

    ❤asc Masha'Allah kazi ni ngumu lakini mjikaze nira

  • @bahsansheikh6042
    @bahsansheikh6042Ай бұрын

    Mzee Yusuf umemkaba sana pastor mpaka hana pumzi😂😂

  • @user-fc6uf6be5u
    @user-fc6uf6be5uАй бұрын

    Mashallah pastor anakua muelewa inshaaAllah Allah amuongoze awe muislam amiin ✋

  • @HassanKipyego-cs5ff
    @HassanKipyego-cs5ffАй бұрын

    Sema bismi

  • @aliissa-je6gt
    @aliissa-je6gtАй бұрын

    shekhe wang umenifurahisha sana leo huwaga nasikiliza sana dawah na furahi kuona hivyo mungu awafanyie wepesi insha allah❤sasa kilicho nichekesha leo na nikacheka kwa sauti nikwamba jamaa anasema yy ni mchanganyiko na ww ukamjibu hahahha sasa ilo jibu lenyewe sasa😁😁😄

  • @StraightPathDawah

    @StraightPathDawah

    Ай бұрын

    😅😅😅😅

  • @abdallahjuma2608
    @abdallahjuma2608Ай бұрын

  • @MalowhassanMalow
    @MalowhassanMalowАй бұрын

    Mash Allah

  • @zeharaz4116
    @zeharaz411613 күн бұрын

    Huyu kijana poa kweli na Jina kesha litafuta Ya Rab amjalie asilim

  • @iddyjuma8036
    @iddyjuma8036Ай бұрын

    Hahahaaa iyo kama dawa kama kawa

  • @user-fr6rv2yb4s
    @user-fr6rv2yb4sАй бұрын

    Masha Allah huyo pastor ni mtu mwenye ilmu, utulivu na ana tamaa ya kujua uislami. Namuombeya ALLAH ampe hidaya na apate na kufata njia ya haki baada ya kusoma hiyo Qur'an aliyopewa na ma sheikh. Na kwa team ya straighpath daawa ni ALLAH pekee yake atakayewalipa kwa KAZI mzuri mnayofanya kwa niaba ya waislamu billioni 2 duniani mzima. ALLAH awafanyie kazi yenu rahisi na yenye baraka. Allahibarik na fiamanallah

  • @SalmanMughal-lq5lt

    @SalmanMughal-lq5lt

    Ай бұрын

    AaminayaarabiKwasoteUmmati.Muhammad

  • @mufunyiibrahim3655
    @mufunyiibrahim3655Ай бұрын

    Mimi nilisilimu kitambo natafuta msichana muislamu kati ya miaka 25-28 wa kuoa kabla ya September mwaka huu.akuwe serious

  • @StraightPathDawah

    @StraightPathDawah

    Ай бұрын

    Tupigie simu insha'Allah

  • @user-ng1po1dh4z

    @user-ng1po1dh4z

    18 күн бұрын

    Waislamu tunao Wasichana wengi tu. Ila yabidi kumchagua aliye na hofu ya Mwenyezi Mungu mmoja peke yake, kwa kuufuata Uislamu Dini moja ya haki Duniani.

  • @user-rc7oi2hp8l
    @user-rc7oi2hp8lАй бұрын

    Ustadh mukitoa quran muwambie wakieke pasafi nawakisome wakiwa wasafi(twahara)

  • @SalmanMughal-lq5lt

    @SalmanMughal-lq5lt

    Ай бұрын

    HawanagaTohara.wanatumiaTishu

  • @mwanaidiissa10
    @mwanaidiissa10Ай бұрын

    Mbona huyu mchungaji anakwepa swali

  • @mwangimuhammad-sx9hb
    @mwangimuhammad-sx9hbАй бұрын

    Justus ole tipis

  • @hythamhashiem4458
    @hythamhashiem4458Ай бұрын

    Aadam alipo kuwa hapo peponi hakuwa na sheriya yoyote illa alipo fika Ardhini ndipo alipo pewa uongozi! hivo ndivyo ayah zinavyo sema kwe suratul baqara na surat twaha, na baada kupewa uongofu hakufanya makosa yoyote alio fanya

  • @StraightPathDawah

    @StraightPathDawah

    Ай бұрын

    Maelekezo ya kutokula katika ule mti alipewa akiwa wapi?

  • @hythamhashiem4458

    @hythamhashiem4458

    Ай бұрын

    Ni peponi lakini sio pepo watakao ingia watu siku ya mwisho sababu huko hakuna kutaliwa kula kitu chochote bali hiyo ni bustani la strehe kiarabu ime itwa jannah na maana zaidi ya moja

  • @martymcfly9232
    @martymcfly9232Ай бұрын

    Hapo ni mji gani?

  • @StraightPathDawah

    @StraightPathDawah

    Ай бұрын

    Mariakani

  • @user-vj2bv6dv2p
    @user-vj2bv6dv2p7 күн бұрын

    Nina swali hivi niseemu gani kwenye biblia au kwenye koroani imehandikwa wanahume kuhowa wana wake 2 au 4

  • @kennodhiambo
    @kennodhiamboАй бұрын

    Aliwaumba majini na watu wamuabudu... dini inayowatukiza majini (mashetani). Mbona msiwatukuze malaika ambao ni viumbe vya nuru bali mnawatukuza majini ambao ni mashetani. Waislamu fungueni macho! Hakika Allah ni Al-Makir, Al-Muzil

  • @StraightPathDawah

    @StraightPathDawah

    Ай бұрын

    Aliowataja ni mwenye kuwaumba na amewataja malaika vivyo hivyo. Ukifungua akili utaona

  • @mobutu3884

    @mobutu3884

    Ай бұрын

    ​@@StraightPathDawahSiku zote majini hukaa sehemu wasiyosumbuliwa na hawapati madhara yoyote ndio maana huwezi tenganisha majini na uislamu,

  • @kennodhiambo
    @kennodhiamboАй бұрын

    Soma Luka 4:16 katika lugha ya Kiingereza halafu msome maelezo kama itasema ni msikiti. Uwongo itawasaidia na nini? Biblia iko na majina kama Shehe na kadhi kwa sababu ya tafsiri kwa wakati huo

  • @isaa_ogutu

    @isaa_ogutu

    Ай бұрын

    So ya kiswahili hakieleweki sio na unajaribu kusema ya kiswahili walio tafsiri uko na elimu kuwashinda sio? Kaka wacha ubishi bana.

  • @mobutu3884

    @mobutu3884

    Ай бұрын

    ​@@isaa_ogutumbona sasa quran haitambui kuwa sinagogi ni msikiti? Kwa hiyo unakubaliana na Biblia kuliko quran?😂 Soma quran 22:40 halafu utwambie sinagogi ni nini

  • @hamisikassimmwatamu7949

    @hamisikassimmwatamu7949

    Ай бұрын

    Lugha ndio inakutatiza msikiti ni kiswahili sinangogi ni kibrania kwa kiarabu ni masjid na nyumba ni hiyo hiyo mmmojy

  • @mobutu3884

    @mobutu3884

    Ай бұрын

    @@hamisikassimmwatamu7949 kama lugha inanitatiza ndio maana nikasema basi soma quran 22:40 halafu uniambie kati yangu, wewe na quran ni nani lugha inamtatiza?

  • @kennodhiambo

    @kennodhiambo

    Ай бұрын

    @@hamisikassimmwatamu7949 Hebu nikuulize ndugu yangu, kisawe cha msikiti ni sinagogi? Soma Surah 22:40 mbona sinagogi na misikiti zimetajwa kando kando