Je kama mtu sio muisilamu mwisho ataenda wapi ukweli wafichuka kimeeleweka vinzuri

Пікірлер: 75

  • @rahmaabdalla7643
    @rahmaabdalla7643

    Huyu kijana wa red salimu ,kazi yake nikusumbua hata ile side ya Eslaigh huwa anafukuzwa saa hii amefika huku na maswali ya Mungu ni mwanaume.Allah amuongoze

  • @Noorein-ws8wk
    @Noorein-ws8wk

    Wa mwanzo leo nimefurahii

  • @user-us6ox1xl1u
    @user-us6ox1xl1u

    Huyo dogo WA red n chizi ati ISsa n kiumbe wakwandza duniani

  • @suleymanali431
    @suleymanali431

    asalamu aleykum warahmatulahi wa wa barakatu niko hapa chonjo mashaalah naongojea sana video yenu

  • @Fumokale
    @Fumokale

    Allah awajaalie kila la khairi ktk kazi nzuri munao fanya na Allah awajaalie IKHLAS...aaaminaaa

  • @user-ng1po1dh4z
    @user-ng1po1dh4z

    Achana na huyo kijana, huwenda ana kasoro kichwani

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648

    Jamaa kaleta mpya yesu kazaliwa kabla ya mamake

  • @mwangimuhammad-sx9hb
    @mwangimuhammad-sx9hb

    Assalam alaykum warahmatullahi wabarakatuhu... Maa Shaa Allah...Allah awahifadhi nyote na awalalipe jannatul firdaus,,Huwa nafurahia mafunzo yenu.

  • @Leo-xc1nh
    @Leo-xc1nh

    😅😅😅 daawah nikazi nzito kabisa musiwe musiwemukichukuwa muda murefu kwawatu kama hawo kama hawo

  • @mwanaidiissa10
    @mwanaidiissa10

    Nimewahi mashallah Allah awalipe janna

  • @samxx411
    @samxx411

    Sheikh Salim nimemsoma huyo red jacket yupo kiubishi zaidi, hajui ikisha anajifanya anajuwa lakini hajui na hataki kujuwa ila time waster...

  • @samxx411
    @samxx411

    Sheikh salim wakati mwengine hao wote wanakuwa kitu kimoja lengo lao ni kuharibu mkutano kwa kupoteza muda.

  • @isaa_ogutu
    @isaa_ogutu

    Jamaa hachemuka kwa kutolewa bibilia😂😂😂😂

  • @SalumNyanza
    @SalumNyanza

    Mashaallah Allah awalipe masheh wetu kwa kazi kubwa mnayoifanya

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190

    Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh

  • @josemu870
    @josemu870

    Barikiweni

  • @AlhajiSaidi-uo8zl
    @AlhajiSaidi-uo8zl

    Waaleykumusalama

  • @user-xh6mt8xj9d
    @user-xh6mt8xj9d

    AAWWABARAKATU Hamjambo nyote waumini wa

  • @hassanimouigni6648
    @hassanimouigni6648

    Wuyu kiboko mungu na yesu wame Mumba adamu

  • @husseinmwenja4398
    @husseinmwenja4398

    MashAllah MashAllah MashAllah

Келесі