Matokeo baada ya mwaka mmoja wa kuwekewa Puto, Prof. Janabi katika mahojiano maalum na mnufaika.

Matokeo baada ya mwaka mmoja wa kuwekewa Puto, Prof. Janabi katika mahojiano maalum na mfaidika, AFYA PODCAST

Пікірлер: 35

  • @mj.tv.forpeople992
    @mj.tv.forpeople9925 ай бұрын

    Dr janabi, ni mwalimu muzuli lkn pia mtangazaji anahoji vizurii Sana

  • @mtaalamshekidele4822
    @mtaalamshekidele48225 ай бұрын

    Kupunguza uzito ni Jambo muhimu sana Unaepukana na maradhi mengi yasiyoambukiza hasahasa sukari, shinikizo la juu la damu na kiharusi... well-done NMH

  • @James-hb2gv
    @James-hb2gv5 ай бұрын

    Namkubali sana juu dokta maana nimpambanaji akibadilisha sana mwimbili na maswala ya afya

  • @muhimbilitv847

    @muhimbilitv847

    4 ай бұрын

    Tunashukuru sana

  • @juliananasari2526
    @juliananasari25264 ай бұрын

    Asante Sana Pro Janabi

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma32315 ай бұрын

    Ndugu zetu tupunguze kula vyakula vya wanga😢chapati maandazi w a li ,vitumbua ugali ,chips,icecream nk.Mazoezi ni mhimu. Magari hayo kama siyo lazima kimbilia mwendo kasi.Beer ya baridi sahau😢

  • @reginamukama7333
    @reginamukama73333 ай бұрын

    Aaa mie puto hapana ila dispiine ya chakula naweza manage

  • @sophiakimaro5174
    @sophiakimaro51745 ай бұрын

    Namfuatilia saana huyu Dr.Janabi.tangu nilivyosikia akisema hata mlo mmoja kwa siku unapungua automatically mimi nimefanya na nimekubali.

  • @fahadfaraj6474

    @fahadfaraj6474

    5 ай бұрын

    Huyo ni profesa hakuna namna maongezi yake yakawa yakijinga ispokua tz wengi tumeamua kuwa na Maisha yakijinga nakubishia hata wanaojua tunawaskiliza sana machawa na watu wajinga muda mwingi mpaka tumeingiwa na ujinga wakuona kila kitu tunachoambiwa hata na wataalam ni mzaha au upuuzi tatizo sana

  • @beatriceemanuel1098

    @beatriceemanuel1098

    4 ай бұрын

    Umepungua my dear

  • @judithkatabaro3294

    @judithkatabaro3294

    4 ай бұрын

    Yani mimi nakunywa chai kavu asubuh na chakula mchana tu ndani wawiki mbili naona nime pungua sana nanina jisaidia mala nne mpaka tano kwa siku nime kuwa mwepesi

  • @judithkatabaro3294

    @judithkatabaro3294

    4 ай бұрын

    Na kiukweli wazungu hawal milo mitatu ni mlo mmoja wa nguvu kwa siku ana changu dinner au lanch alafu asubuh ana wanatunia coffee ndio mana hawanenepi ovyi

  • @wilihemumwashiuya3397

    @wilihemumwashiuya3397

    4 ай бұрын

    ​😊

  • @dicksonpetermganga5163
    @dicksonpetermganga51635 ай бұрын

    Ninzuri lakini baada ya puto kutolewa na usipobadili life style na ulaji utarudi kule kule ulikotoka. Meet Dietitians kwa ulaji endelevu

  • @user-io1dm2kc3e
    @user-io1dm2kc3e5 ай бұрын

    Mbona Peter Msechu hapungui tumbo ndo linaongezeka kabisa😢

  • @ramadhanishabani807
    @ramadhanishabani8074 ай бұрын

    Huyu dokta nae anashaur watu wale mlo mmoja kwa siku anataka watu wakondeane km yeye hajui pia kuna magonjwa unaeza pata km mwili hauna chakula yakutosha, watu wale mlo mmoja ili wapate kansa ya utumbo ajili ya vdonda vyatumbo, ww sisitza watu wafany mazoez

  • @mariamdeogratiusmalimayai4495
    @mariamdeogratiusmalimayai44954 ай бұрын

    Naomba kuuliza garama ya kuweka Hilo puto ni tsh gapi?

  • @muhimbilitv847

    @muhimbilitv847

    4 ай бұрын

    Habari tafadhali fika Muhimbili Tawi la Mloganzila kwa maelezo zaidi, karibu sana

  • @Fatima1234-wl1nu
    @Fatima1234-wl1nu5 ай бұрын

    mbona msekwa hapungui?

  • @aud548

    @aud548

    5 ай бұрын

    Hayuko serious😂😂

  • @gracemahugi4380
    @gracemahugi43804 ай бұрын

    Je mbona msechu hajabadilika Dr

  • @meshackmuna22

    @meshackmuna22

    4 ай бұрын

    Atakua anakula wanga sana huyo.

  • @josephlorri431

    @josephlorri431

    3 ай бұрын

    Msechu anakula sahani 3 za wali maharage kwa mlo moja... hadi mke wake anaficha chakula..

  • @DenismushiMushi
    @DenismushiMushi5 ай бұрын

    Nini chanzo cha tatizo la mgongo kuuma

  • @samweljulius1478

    @samweljulius1478

    5 ай бұрын

    Uzito mkubwa

  • @katalisajuka-fl3st
    @katalisajuka-fl3st4 ай бұрын

    Msechu mpaka Puto limegona

  • @ramadhanishabani807

    @ramadhanishabani807

    4 ай бұрын

    Msechu alivopata hela akawa mlafi akasahau leo yake ndio kesho yake acha ateseke na mimba yake

  • @SleepyBackgammon-nw7eb
    @SleepyBackgammon-nw7eb5 ай бұрын

    Kama Una kula mlo kamili.na Unafanya mazoez kiasi.puto halina maana.

  • @benedictaustard5583
    @benedictaustard55835 ай бұрын

    Hii Podcast ingekuwa na mwanndishi wa habari wa kuongoza Interview, akawepo daktari anayeweka maputo, then Professor angekuwa featured kutoa msisitizo na kuihasa jamii!.

  • @stephenndagalla8183

    @stephenndagalla8183

    5 ай бұрын

    Hapa Tz, waandishi wengi wa habari SIO WABOBEVU wa uandishi wa habari wa taaluma husika ktk mahojiano. Bali wengi ni Waandishi wa Kiuchawa ktk masuala ya Kisiasa, hasa baada ya kupewa bahasha.

  • @DICKSONTimoth-xk7rj

    @DICKSONTimoth-xk7rj

    3 ай бұрын

    ​@@stephenndagalla8183umeongea ukweli kabisa

  • @MagazihostTv
    @MagazihostTv5 ай бұрын

    Kumbe ukipunguza kiwango cha chakula unacho kula kila siku uzito unaweza kupungua

  • @DennisDidas

    @DennisDidas

    5 ай бұрын

    hasa wanga ndugu.

  • @SleepyBackgammon-nw7eb
    @SleepyBackgammon-nw7eb5 ай бұрын

    Dr.wenyewe kajikongoroa vya kutosha.kabaki mifupa

  • @josephlorri431

    @josephlorri431

    3 ай бұрын

    Unenepeane ili iweje..utauzwa mnadani..

Келесі