Makonda akutana na waendesha bodaboda Dar, awatangazia neema

Ғылым және технология

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda amekutana na waendesha bodaboda leo na kuwataka wafanyanye kazi kwa bidii na si siasa ili kwa pamoja waweze kushughulikia kero zinazowakabili.

Пікірлер: 2

  • @tereseamasawe8111
    @tereseamasawe81117 жыл бұрын

    kazi ni nzuri mwesh makonda.

  • @shrooqsaid5857
    @shrooqsaid58577 жыл бұрын

    ba © Mwaka unaisha mimi ni mwanadamu si mkamilifu huenda kuna siku 1-Nilikusema 2-Nilikukera 3-Nilikuudhi 4-Niliondoa Amani Moyoni Mwako, iwe bahati mbaya au kukusudia Kama lipo moja katika haya Naomba UNISAMEHE, ikiwezekana uniambie nilipokosea ili nijirekebishe na tumalize mwaka kwa AMANI. ® Nathibitisha kwa ulimi wangu na ,%'''% ,.,..%'''%, %' kwa moyo % '% wangu %' '%, wa ,%' "%, : %" Dhati na Mkunjufu bila kinyongo chochote nakutakia MAISHA MAREFU NA YENYE MAFANIKIO KTK KILA JAMBO MWAKA 2016-2017 KAMA NA WEWE WANITAKIA MEMA MIMI NIRUDISHIE SMS HII. Na uitume kwa wengine ndugu na marafiki wote DUNIANI kisha angalia utarudishiwa na wangapi wakikurudishia zaidi ya wa 5 jua wewe ni mtu wa watu.

Келесі