MAGUFULI AMSEMA WAZI WAZI KAMISHNA WA TRA ALIYEMTUMBUA

#ProfesaKabudi
#WaziriMpango
#RaisMagufuli

Пікірлер: 17

  • @edsonlaurencemwagamasasi9074
    @edsonlaurencemwagamasasi90745 жыл бұрын

    Nakuelewa Sana Mheshimiwa Rais wa Jamuhuri ya muungano wa Tanzania

  • @anthonygikuri
    @anthonygikuri Жыл бұрын

    Untouchable, touch them seriously🎉🎉🎉🎉

  • @minjacsd1874
    @minjacsd18745 жыл бұрын

    Fukuza watu wote wa TRA ajili wapya

  • @allykinama7450
    @allykinama74505 жыл бұрын

    Uko sawa

  • @saeedisa9798
    @saeedisa97985 жыл бұрын

    Jameni huyu rais halali.

  • @victormanqa3879
    @victormanqa38795 жыл бұрын

    Yani uyu mzee sijui nisemeje ila munqu akupe maisha marefu

  • @mrafm7285
    @mrafm72855 жыл бұрын

    Unachozungumza mkuu ni ukweli kabisa bila ya kodi huwezi kuijenga nchi na mwisho wa siku haohao ndio watakusema umeshindwa kuijenga nchi kuwa mkali mzee kwa maslahi ya nchi

  • @billgussy6099
    @billgussy60995 жыл бұрын

    Siasa hizo...haiwezekani ndani ya miaka 3 ufukuze kazi makamishna 4 halafu unatuambia mapato yako juu. Kama mapato yako juu kwanini wanao kusanya uwafukuze? Kitillya alikua kamishna kuanzia utawala wa Mkapa hadi utawala wa kikwete yaani miaka 20,. Mwanaume anae oa na kuacha mara kwa mara mara nyingi yeye ndo mwenye matatizo na wala sio wanawake anao waoa., wenye akili wananielewa.

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762

    @yahyamajidyahyahilalal-har8762

    5 жыл бұрын

    Ww elewa kwanza sababu, Amesema malalamiko yalikuwa mengi

  • @billgussy6099

    @billgussy6099

    5 жыл бұрын

    yahya majid yahya hilal al -harthi kwa hiyo leo ndo anakiri kuna malalamiko?? Najua uchaguzi mwakani tutaona mengi.

  • @adrianvandervalk6734
    @adrianvandervalk67345 жыл бұрын

    tanzania ni nchi kati ya nchi zinazokomba makodi kwa wingi kwa raiya lakini hatimae raiya wananjaaa miundo mbinu hamna majumba ya raiya mabovu. lakin nchi za wenzetu wanachukuwa kodi kwa raiya lakini hawatumii kwa vitu vengine zaid kuwajengea majumba raiya wake maskini na kutoa huduma za afya bure . elimu bure, masikini wanalipwa posho kila mwezi pesa ya kula yeye na wanawe. je tanzania lini?

  • @chambimagele6726

    @chambimagele6726

    5 жыл бұрын

    Politics

  • @ChangchunRealstateDragon

    @ChangchunRealstateDragon

    5 жыл бұрын

    We uache kujituma serekali ukijengee nyumba

  • @yahyamajidyahyahilalal-har8762

    @yahyamajidyahyahilalal-har8762

    5 жыл бұрын

    Ww Shukuru Elimu ni Bure na miradi mingine inaendelea mikubwa. Hizo nchi hazikupata Elimu Bure, posho na Afya Bure bila viongozi kuchapa kazi

  • @ivanmbuyah9077

    @ivanmbuyah9077

    5 жыл бұрын

    Not true.... duniani hakuna kitu cha bure bure...

  • @nachatvonline2996
    @nachatvonline29965 жыл бұрын

    Daa !mr president kwel wanakuangusha sanaa.

  • @stanelynjimbi7975

    @stanelynjimbi7975

    5 жыл бұрын

    Tunakuelewa baba

Келесі