Karume aeleza sababu za msingi Tanganyika kuungana na Zanzibar

Balozi Ali Karume ambaye ni mtoto wa Hayati Abeid Amani Karume Rais wa kwanza wa Zanzibar akieleeza sababu Tanganyika kuungana na Zanzibar kuwa wamoja akitolea mfano nchi ya Marekani.
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa Aprili 26, 1964 ikiwa ni muungano wa mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ambayo yaliingia mkataba wa muungano mnamo mwaka 1964 na kuanzishwa Dola ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkataba wa Muungano ulitiwa saini na aliyekuwa Rais wa Tanganyika, Hayati Mwalimu Julius Nyerere na aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Aprili 22, 1964 huko Zanzibar.
Mkataba huo ulithibitishwa na Bunge la Tanganyika na Baraza la Mapinduzi Aprili 26, 1964 naAprili 27, 1964 viongozi wa nchi zote mbili walikutana katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam na kubadilishana Hati za Muungano

Пікірлер: 2

  • @ferouzkeis6994
    @ferouzkeis6994 Жыл бұрын

    Ndo ashaeleza au

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 Жыл бұрын

    MNAKULA PESA TU NA MITUMBO MIKUBWA

Келесі