HOJA MEZANI || Muungano wa Tanganyika na Zanzibar

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania iliundwa Aprili 26, 1964 ikiwa ni Muungano wa Mataifa mawili huru ya Jamhuri ya Tanganyika na Jamhuri ya Watu wa Zanzibar.
Mataifa haya yaliingia mkataba wa Muungano mnamo mwaka 1964 na kuanzishwa Dola ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Mkataba wa Muungano ulitiwa saini na aliyekuwa Rais wa Tanganyika, Hayati Mwalimu Julius Nyerere na aliyekuwa Rais wa Zanzibar, Hayati Sheikh Abeid Amani Karume, Aprili 22, 1964 huko Zanzibar.
Mkataba huo ulithibitishwa na Bunge la Tanganyika na Baraza la Mapinduzi hapo tarehe 26 Aprili, 1964.
Tarehe 27 Aprili, 1964, viongozi wa nchi zote mbili walikutana katika ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam na kubadilishana Hati za Muungano.
Mwaka huu Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umetimiza miaka 59.

Пікірлер: 12

  • @mohammedmfamau43
    @mohammedmfamau43 Жыл бұрын

    Ah matatizo matupu muungano huu

  • @hamilsaleh-zo3hp
    @hamilsaleh-zo3hp3 ай бұрын

    Huo muungano mnalazimisha tu! Ss hatuna haja na mungano wenu

  • @user-gd2xj3xd1b
    @user-gd2xj3xd1b3 ай бұрын

    Muungano umeioa sura nchi Moja na kuipa mgongo nchi nengine

  • @user-gd2xj3xd1b
    @user-gd2xj3xd1b3 ай бұрын

    Tanzania ni nchi 2 zilizounganishwa na mafisadi

  • @user-gd2xj3xd1b
    @user-gd2xj3xd1b3 ай бұрын

    Wazanzibar wapo had india bara asia jee mumeungana?

  • @user-gd2xj3xd1b
    @user-gd2xj3xd1b3 ай бұрын

    Sio kweli huu muungano haujawahi kuridhiwa na baraza la wawakilishi Zanzibar wala baraza la mapinduzi kwasababu mwaka huo ilikuwa bado Zanzibar haina baraza la wawakilishi baraza liliundwa 1980s

  • @user-gd2xj3xd1b
    @user-gd2xj3xd1b3 ай бұрын

    Njooon muulize wananchi musiwasemee watu muone matokeo

  • @user-gd2xj3xd1b
    @user-gd2xj3xd1b3 ай бұрын

    Katawala kwa majaaliwa tu

  • @hamilsaleh-zo3hp

    @hamilsaleh-zo3hp

    3 ай бұрын

    Utawala n majaaliwa tu et kma hukujaaliwa hutawalipo,mbon ww hujatawal

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 Жыл бұрын

    MUUNGANO WA KIJINGA UTADUMU VIPI NA HAWA WABONGO NI WANYAGAO TU KUIKANDAMIZA ZANZIBARI KIVYOVYOTE HAIWEZEKANI POROJO TU MUUNGANO HAUNAMBELE WALA NYUMA MIAKAYOTE HAYA WACHINI UWONGO MUUNGANO HATUUTAKI WA WACHENI KUDANGANYA KIMACHO MACHO BARA MNAKAZIMISHA MUUNGANO NA WAZANZIBARI HAUTAKI NIKUIHARIBIYA NCHI YA ZANZIBARI TU 👹🇹🇿👹👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿👹🇹🇿😇🇹🇿👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇👹🇹🇿😇💪👹🇹🇿😇

  • @khatibal-zinjibari6956

    @khatibal-zinjibari6956

    Жыл бұрын

    @alihijiidi8977.Wazalendo wanataka: MAMLAKA KAMILI YA ZANZIBAR. Lakini Mawakala wanataka: UKOLONI KAMILI WA TANGANYIKA.

  • @abuubakar7594

    @abuubakar7594

    7 ай бұрын

    Cc wazanzibari hatutaki muungano munalizimixa tu wabongo wakuu wa vikoc majexi maxeha mpaka raic mumeleta mbongo tumechoka