''Wazanzibari 39,999'' yataka muungano uvunjwe

Kundi la 'Wazanzibari 39,999' limefikisha shauri katika mahakama ya Afrika Mashariki, kupinga muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar. Awali, mahakama ililikataa shauri hilo kwa hoja kuwa halikufuata utaratibu wa kisheria.

Пікірлер: 15

  • @bakarihamisi5638
    @bakarihamisi56384 жыл бұрын

    Hatutaki muungano tumechoka nahii miungano

  • @namisgiggah1571
    @namisgiggah15716 жыл бұрын

    Hatuutaki muungano

  • @ramadhanramadhan8205
    @ramadhanramadhan82054 жыл бұрын

    Inshaallah

  • @misscoast3174
    @misscoast31742 жыл бұрын

    muungano hatuutakiiiiiii

  • @mamyrylovemeagain2406
    @mamyrylovemeagain24064 жыл бұрын

    Ha2taki muungano znz inaharibika vibaya hatuutak

  • @rastafare878

    @rastafare878

    2 жыл бұрын

    Ni kweli mi nahisi wagelitutajia maendeleo Gani yamefanyika Zanzibar , katika miaka yote hiyo zaidi ya kuimarisha kwao Tanganyika , ninaloliona Zanzibar ni kuongezeka Kwa makanisa Na mabaa, Na Wenda uchi kutoka huko kwao

  • @abuubakalmtangenange4389
    @abuubakalmtangenange43893 жыл бұрын

    Muungano ni batili uvunjwe2 hauna masrahi kwa Zanzibar na wazanzibar

  • @masoudysuleiman5553
    @masoudysuleiman55534 жыл бұрын

    Muungano lazima utavunjika tu inshaallaah

  • @habibkhamis4705

    @habibkhamis4705

    3 жыл бұрын

    amiiin

  • @kinglast9507

    @kinglast9507

    2 жыл бұрын

    inshallah

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf Жыл бұрын

    Muungano hatuutaki (n'goooooo) we don't want Tz (union).

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe38262 жыл бұрын

    Nyie wanzanzibar amjielewi kabisa kila siku mnalalamika nyie 2 kwa sasa ma Rais wote ni wenu kwanin msiuvunje uwo muungano 2me kuchokeni naizo polojo polojo zenu

  • @alialamoudi9729

    @alialamoudi9729

    2 жыл бұрын

    Yarabi akuifathi inshalla tupate mamlaka kamili hatutaki muongano tuliulewa kama nzige

  • @habibkhamis4705
    @habibkhamis47053 жыл бұрын

    hatutaki muungano

  • @ramadhanramadhan8205
    @ramadhanramadhan82054 жыл бұрын

    Hatutaki muungano

Келесі