KONGAMANO BWAWANI ZANZIBAR~ MUUNGANO BASI

Пікірлер: 31

  • @utaani1
    @utaani112 жыл бұрын

    wazanzibar muungano hatuutaki na wakatafute makafiri wenzao wa kuungana nao

  • @40hamdan
    @40hamdan12 жыл бұрын

    shukran SANA kwa video zako ziweke kwa wingi hizo nitamu sana zina ELEMISHA WAZANZIBARI NAWATU WATE WA PWANI...... WATUWABARA HAWANA ASILI NAWATUKOME

  • @zenionepureone1265
    @zenionepureone126512 жыл бұрын

    NA PIA INGLAND EMEVUNJIKA NA IRLEND NA MWAKA WA 2014 SCOTLAND INAGAWANYIKA NA INGLAND JE SISI TUTASHINDWAKANI, TUSIOGEPE MABOMUYAO HATA RISASI ZAO KWA HAO MABWANA ZAO UN NDIO WATAKUWA ADUI ZAO. ONLY GOD WE RESPECT

  • @othumanbakari1404
    @othumanbakari140411 жыл бұрын

    tunasema tunataka z,bar yenye mamlaka kamili ya nje na ndani

  • @issahajiday4398
    @issahajiday43985 жыл бұрын

    Mnatuzingua .....Mnatuzingua. kama mnajiamini tujipange tukinukishe sio lazma bunduki

  • @othumanbakari1404
    @othumanbakari140411 жыл бұрын

    Ipo siku muungano utafikia kikomo utakuja kuamini nawewe unataka mafuta basi huoni husikii njaa yako tu"

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo4111 жыл бұрын

    na baadaye waanze vurugu za kueneza uislamu kusini mwa Afrika katika juhudi zao za kurejesha milki ya kiislamu ya Ottoman na usultani wa kiislamu duniani kote. Ndio kisirani kilipoanzia. Kwa upande mwingine ni ukweli kwamba nchi za magharibi ndizo zenye kutenganisha nchi ili kuweza kufikia rasilimali za nchi husika. Lakini uwezekano wa negotiations on resource use unawezekana dhidi ya nchi hizo kama viongozi wetu wataacha manufaa binafsi.

  • @othumanbakari1404
    @othumanbakari140411 жыл бұрын

    Gombalo haya rasimu imetajwa wabara wanataka sirikali 3 wazanzibar sio maoni yetu ss tunataka muungano wa mkataba ss sirikal 3 mutaisoma z,bar

  • @OmerSuley-gl7go
    @OmerSuley-gl7go6 ай бұрын

    Wazanzibari tukinukishe hawa wanataka fujo na vurugu la kuda usiokuwa na muda hadi tuwapindue

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo4111 жыл бұрын

    The whole issue is about geopolitical influences and resource control. Waarabu wa Yemeni bado wana fikra ya kwamba visiwa vya zanzibar na pemba ni mali yao hivyo wana haki pia kumiliki mafuta yaliyogunduliwa katika eneo la bahari lililomo ndani ya mipaka ya zanzibar. Yemeni ni nchi maskini na hawana kitu katika uchumi wa sasa. Nia yao ni kutumia uislamu kuyapata hayo mafuta na ndugu zangu wazanzibari wapate masalio yatayonguka kutoka mezani kwa mabwana wa wakiarabu;

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo4111 жыл бұрын

    The only way watakayoweza kunufaika na hayo mafuta, under current geopolitical tensions and threat of islamic terrorism for spread of islam ni kufanya kazi ndani ya muungano; ndani ya Tanzania na sio zanzibar peke yake. Labda wawe na uwezo wa kupigana na western armies. Kama kawaida ya waislamu hawaoni cho cho te zaidi ya dini na mtume wao!

  • @nuramoboy
    @nuramoboy11 жыл бұрын

    ndugu Gomalo unahitaji therapy na pia ya akili vile vile -bora huyo anompikia Muarabu we unaona ustaarabu kumfulia na kumnawisha mavi mzungu au sio ndio anathamani zaidi?

  • @utaani1
    @utaani112 жыл бұрын

    wewe interpeao na makafiri wenzako kwanini mutulazimishe muungano na sisi wenye nchi hatutaki

  • @zenionepureone1265
    @zenionepureone126512 жыл бұрын

    WELL WE ARE RICH WE DONT WANT TO GO NAY WHERE WE ARE INVESTING MONEYS IN TANGANYIKA TO GET YOU UGALI AND WE HAVE BIG SHOPS IN TANGANYI IF WE WILL GO OFF FROM TANGANYIKAWILL BE NOOOO EMPLOYMENT AS NOW WE WILL KEEP LOW COST FROM VISA FOR TOURIST AND PORT FOR INPORT AND EXPORTAND ZANZIBAR WILL BACK AGAIN FOR GOOD PARTY FOR BUSYNESS AND WE WILL LIVE GOOD LIFE THAN NOW WE KNOW WHERE WE CAN BUY EVEN POTATOS IN UEROPE COUNTRYWE DONT NEED TO COME TANGANYIKAFOR ANY THING LIFE GOOD IN ISLAND NOT CONTINENT

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo4111 жыл бұрын

    Well nitaenda kwa therapist baadaye tu; lakini ukweli ndio huo. Lalamika mpaka utoke damu. Kama unayo akili hata chembe ye yo te ile utaelewa ninachosema. But I dont think there is any in your skull. Unasahau kwamba resources ndio zinazoleta vurugu duniani na njia pekee ya kujilinda na vurugu hizo ni watu kushirikiana na sio vurugu zenu za kutumia dini=

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo4111 жыл бұрын

    Terrorism implications especially when muamsho is supported by Yemenis; Thats where you wont win. Acheni fikra za kitumwa zinazowafanya mfikiri waarabu wa muamsho wana nia nzuri na nyie. Kama waarabu wangekuwa na nia nzuri na nyie kusingekuwa na mapinduzi ya '64. Sie hatuwaki pia lakini kwanza tunywe hayo mafuta halafu mwende. Tutakuwa wapumbavu tukiwaachia waarabu.

  • @alialamoudi9729

    @alialamoudi9729

    2 жыл бұрын

    Yemen hajui kitu cho chote kuhusu zanzibari walio tawaala zanzibari ni wa oman kabla ya miyaka sitini eliopita lakini sasa wazanzibari ndio wa nataka kujetenga peke yake wa yemeni inawahusu nini hao wazanzibari wanalalamika kuvamia zanzibari NA tanganika NA nyerere pamoja NA ungereza waarbu inawahusu nini nchi yao sasa ni inchi tajiri duniani wanaitaka nini nchi maskini duniani kama tanzania kila kitu waarbu waarbu unajua mpaka leo waarbu wanasaidia watu maskini huko tanzania kujenga barabara msikiti hospitali wala hana shukurani nynye akili yenu ndogo sana mimi sijawahi kuona mwarabu hata siku moja anamchukia mwafrika

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo4111 жыл бұрын

    Machogo ni slaves na wapenda kubaki slaves. Kuna mchezaji mmoja wa timu ya taifa ya zanzibar ambaye aliikimbia timu hiyo ilipokuwa ziarani Ujerumani akahamia ukimbizini Belgium; Alikuwa anamfulia, anampikia, anatumwa dukani and "God knows what else" na mwarabu mmoja aliyekimbia vita ya Sudan alikokuwa anaua watu weusi. Wazanzibari ni watumwa wa kiakili wanaotegemea waarabu watawafanyia kila kitu.

  • @rastafare878

    @rastafare878

    2 жыл бұрын

    Nyinyi watanganyika munawachukia waarabu , acheni , chuki Na wivu , nyinyi mumeshika waarabu , waarabu , Basi tuwaachieni Zanzibar yetu Na hao waarabu wetu Na nyinyi bakini kwenu mbona munain'gan'gania Zanzibar

  • @nuramoboy
    @nuramoboy11 жыл бұрын

    1.Tunaolia hasa ni sie lakini wanaong'ang'ania ni nyie.2.Kama hujui umuhimu wa mawasiliano ndugu na unaishi dunia ya leo basi kweli sina nafasi ya kuongea na zumbukuku.ila kwa ufupi tu Huyo Obama na Raisi wa China kama si kukuleteeni hiyo TV na mawasiliano

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo4111 жыл бұрын

    I dont think kuna mtanzania au muafrika anayetaka kuishi kwenye islamic caliphate wanayoitaka waislamu chini ya sharia law including moslems themselves who run for asylum in western countries instead of islamic countries! Kwa hivi sasa serikali ya Tanzania haina kiongozi asiye na uhusiano mzuri na magharibi katika kuyafikia mafuta hayo; Nia kubwa ni kuwanyima islamists wanaotumia yemeni kama kituo cha ugaidi financing ability

  • @bilalikaoneka5080

    @bilalikaoneka5080

    2 жыл бұрын

    Pumba

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo4111 жыл бұрын

    Sasa wewe unafikiri hao waarabu wa muamsho wanakutaka wewe au hayo mafuta? Mwenye mafuta yake anakuja June 2 wala hapitii hata kwao Kenya! Ushajiuliza kwa nini? Mtapiga makelele sana lakini nimpaka sie tuamue kuwaachia mwende kwa mabwana zenu wa kiyemeni. Kuweni na akili kidogo.

  • @josephgomalo41
    @josephgomalo4111 жыл бұрын

    Walioivunja USSR hawataki kuona Tanzania inavunjika. Otherwise wangeshakuja kuwasaidia kuvunja muungano na DR. Rose Migiro asingepewa heshima ya kuwa Deputy Secretary wa UN; Mkiendelea kuwahusisha waaraabu wa Yemeni katika madai yenu mtakuwa labelled Al Qaeda and kujitenga mtakusikia hewani. Keep on dreaming. Gosh you guys are so stupid.

  • @othumanbakari1404
    @othumanbakari140411 жыл бұрын

    tunasema tunataka z,bar yenye mamlaka kamili ya nje na ndani

Келесі