Itakuliza.! HOTUBA YA KUSISIMUA NA HISIA KALI YA HAYATI MAGUFULI

Tazama Dk 10 za hotuma ya #HAYATI #MAGUFULI Aliyekuwa rais wa Jamhuri ya Muungano wa #TANZANIA awamu ya nne akihutubia kwa hisia kali na kusisimua.

Пікірлер: 171

  • @user-zg6qi7uo8h
    @user-zg6qi7uo8h

    Huyu ndiye alikuwA laisi wetu anauchungu na wananchi wake mungu amuweke mahali pema peponi. Tuseme. Ameni

  • @peresjohn9763
    @peresjohn9763 Жыл бұрын

    Mwenyezi mungu akupumzishe kwa amani mzee wetu, ulikua na future Sana...R.I.P

  • @dorisjohn1272
    @dorisjohn1272 Жыл бұрын

    Baba .ni..kweli. Tunakumbuka..Sana..baba. Yetu

  • @user-wh8qb4ho7p
    @user-wh8qb4ho7p Жыл бұрын

    Mungu akuna mkubwa zaidi yako tuonyeshee miujiza katika kaline hiii😢😢😢😢😢

  • @idrissamustafabukenya6110
    @idrissamustafabukenya6110

    Our hero baba wawanyonge. President John Magufuli. Tunakumiss hapa Rwanda. Ulikuwa rafiki wa raisi wangu Paul kagame. Mashuja wa Africa

  • @user-yx5lv4pn4v
    @user-yx5lv4pn4v

    Mwenyezi munguakuwekesehemuzuri

  • @HashifuHashifu-tx2xv
    @HashifuHashifu-tx2xv Жыл бұрын

    Wewe magufuli mungu akupunguzie

  • @TadeusJoseph
    @TadeusJoseph21 күн бұрын

    Upumzike Kwa Amani Baba Magufuli🙏, I don't forget about National Development

  • @josephryoba9999
    @josephryoba9999 Жыл бұрын

    Naumia kupoteza 😭😭😭😭

  • @geophureysamsoni5033
    @geophureysamsoni5033 Жыл бұрын

    Sasa angaria wanatuuza huku tunaona mungu akukumbuke mzee

  • @KhadijaJuma-zb7or
    @KhadijaJuma-zb7or

    Ee mwenyezi mungu muweke baba magufuri mahari pema kwani arikuwa ni shujaa wa watanzania🎉

  • @ZahrasaidiSaidi-ux4ru
    @ZahrasaidiSaidi-ux4ru Жыл бұрын

    Tunakukumbuka baba

  • @user-bc5kt8hh6n
    @user-bc5kt8hh6n

    Rest internal peace,, watanzania tunakuombea upumzike kwa amani daima maneno yako tunayakumbuka

  • @MohamedBlanker-jw9qy
    @MohamedBlanker-jw9qy Жыл бұрын

    Inauma Sana

  • @user-zw4dx4go8o
    @user-zw4dx4go8o

    Jemedali haswa

  • @yusuphmarcelmasinde7263
    @yusuphmarcelmasinde7263

    Mungu ilitupa na kisha ukachukua kipenzi chako ,Mtetezi wa Wanyonge.

  • @user-zg6qi7uo8h
    @user-zg6qi7uo8h

    Huyu ndiye alikuwA laisi wetu anauchungu na wananchi wake mungu amuweke mahali pema peponi. Tuseme. Ameni ❤

  • @ZahrasaidiSaidi-ux4ru
    @ZahrasaidiSaidi-ux4ru Жыл бұрын

    RAISI WA MFANO

  • @user-hr7xv1lb6i
    @user-hr7xv1lb6i

    Uka pumzike kwa Amani baba yetu.tulikupenda lakini yeye Alie hai ndiye amekupenda zaidi.🙏😭😭

  • @kuzenmndele
    @kuzenmndele

    Uncle magu pumzika kwa aman kaka wa mama ata mungu akupokee uendako tutakumiss sana

Келесі