INASIKITISHA CHANZO KIKUBWA CHA MAOVU ZANZIBAR

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#Habari #Zanzibar #KtvTzOnline
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
cc: Masoud Maganga

Пікірлер: 23

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf95665 жыл бұрын

    Sawa kaka Masoud Maganga Allah atusalimu salama na huu mswiba kulu makani dunia.

  • @josej9888
    @josej98885 жыл бұрын

    Ukigusa huku unagusa maslai yawatu wengi, chakukwepa hili janga niwewe kujitambua nakukwepa kujihusisha nahaya madawa.

  • @drahmadsara3264
    @drahmadsara32645 жыл бұрын

    Znz munashangaza sana. Wanakamatwa watu wenye karafuu, tena za kwao wenyewe kwa sababu ya kuamua kuuza wanako taka. Lakini wauza bangi, wanaoingiza, wabakaji na wauwaji. Mnawapa dhamana na pengine hata kuwaona mnajifanya hamuwaoni. Dah! Kweli znz ilikua znz lakini sio leo. Kwishaaaa... poleni sana wenye nia njema. Lakini kuna watu wanakupelekeni kubaya. Znz leo hii watu wanabaka na kuua halafu kimyaaaa! Subhanallah. Poleni sana Allah atakusaidieni.

  • @kuluthummbegakulu7564
    @kuluthummbegakulu75645 жыл бұрын

    ktv mungu awabariki

  • @salummkubwa
    @salummkubwa5 жыл бұрын

    Adhabu kali kwa waingizaji kama wanavyofanya China wakikukamata ingepunguza kwa kiasi kikubwa hili tatizo. Mzizi ni uingizwaji wa hizi dawa,kata Mzizi .

  • @alidingongo443
    @alidingongo4435 жыл бұрын

    Madawa ya kulevya ni donda sugu hasa katika miji iliopo kikongoni mwa bahari, Allah Atunusuru sie na vizazi vyetu

  • @zayyatiyussuf9566

    @zayyatiyussuf9566

    5 жыл бұрын

    Shukran Ktv tz ONLINE HAKIKA HII NI FAHARI YETU

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy70475 жыл бұрын

    Ukitaka kuuteketeza mti ambao nyoka wenye sumu kali wamefanya maskani usikate matawi bali teketeza mizizi. Zanzibar tatizo la madawa ya kulevya bila ya kudhibitiwa waletaji taabu kuuondoka. Kuwapata waletaji si rahisi kwa sababu kila myu mtoto wa dada. Tunafichana sana. Kisiwa hicho kinayoyoma kwa sababu ys mtoto wa dada!

  • @aboumaburaramadhan4188
    @aboumaburaramadhan41885 жыл бұрын

    Hagaikeni ila hizo biashara za viongoz

  • @najmamuss2806

    @najmamuss2806

    5 жыл бұрын

    weee waachee kam hawakuwekwa midomo wazii mh

  • @farhatelqalb9831
    @farhatelqalb98315 жыл бұрын

    Kwa kweli hili ni ttzo sugu tena linaloshughulikiwa na watu wa juu wenye nguvu nchini

  • @asfarsham9556
    @asfarsham95565 жыл бұрын

    Huyu mama apewe sapoti zaidi kuwasaidia vijana. La pili ni muhimu elimu ikatolewa mashuleni na mitaani kwa vijana ambao bado hawajaingia ili kuzuwia new addicts.

  • @moodyzanzibar4336
    @moodyzanzibar43365 жыл бұрын

    NI UNAFIKI TUU WOTE MNAWAJUA WAINGIZAJI NA WASAMBAZAJI NI KUPOTEZA MUDA TUU KUONGELEA UJINGA HUU -MUNGU NDIE HAKIMU

  • @hajiabdalla5772
    @hajiabdalla57725 жыл бұрын

    Tatizo vikundi maskani na wigo kujifanya msela au uolekane muhuni. Ndio chanzo .na ukiwa huna mpango wa maskani unajishuhulisha .ni vyema

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi48825 жыл бұрын

    Hiyo ni biashara ya watu na watumiaji ni watu vilevile so, inakubalika na watumiaji ndio maana inaendelea kushamiri.

  • @salimharrasy7047
    @salimharrasy70475 жыл бұрын

    Kila mtu mtoto wa dada.

  • @belgieboys9867
    @belgieboys98675 жыл бұрын

    utachukua hatua gani?? wakati biashara hiyo znz ni huria tusidanganyane. hakuna mtu asiyejua wapi unga unauzwa

  • @user-bd8de1wd9z
    @user-bd8de1wd9z5 жыл бұрын

    Njaa nidawa yakulevy tosha serekali haitupi ajira

  • @hfafjjhdfgh1545

    @hfafjjhdfgh1545

    5 жыл бұрын

    خالد الشقصي 😂😂kwaiy akili zako serekal ikupen ajira tumia akili yako vizur uo ni upuuzi kusubir ajira za serikal ,

  • @laylisaid9563
    @laylisaid95635 жыл бұрын

    Yopo anae tengemeza na yupo anae uza na anaye hakikisha zimeuzuwa je aneetegeneza amekamatuwe na anaeingiza amekamatuwe Hilo nidonda sugu la Dunia Zima 🤔🤔🤔

  • @adamukibuba3305
    @adamukibuba33055 жыл бұрын

    Madawa ya kulevya tatiz xugu kila cku serekali inajitahidi kusuwiy lakin hawezekan

  • @zanzibarsmzenji

    @zanzibarsmzenji

    5 жыл бұрын

    Wanaweza kuzuia, mbona wanayoyataka wanaweza kufanya?