HUYU ASKOFU NI BALAA, BILA WOGA ADAI RAIS SAMIA ANAHONGA PIKIPIKI NA GESI ILI APIGIWE KURA 2025

#TANZANIA: Huyu Askofu Mwanamapinduzi Machumu ni balaa, aanika siri nzito ya Rais Samia, adai anahonga pikipiki na mitungi ya gesi kwa Wananchi ili apigiwe kura uchaguzi ujao, wananchi wathibitishankupokea mitungi ya gesi.
Fuatilia Mwanzo TV Plus
SUBSCRIBE KZread Channel yetu
Follow us on X, Facebook and Instagram

Пікірлер: 88

  • @thadeusmateru1356
    @thadeusmateru1356Ай бұрын

    Zimwi la Magufuli litamtafuna Mama Samia

  • @BartonyMwasambili

    @BartonyMwasambili

    25 күн бұрын

    Simba

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159Ай бұрын

    Fisiyemu tulieni sindano iwaingie

  • @user-iy8mq9ii8t
    @user-iy8mq9ii8tАй бұрын

    Msisumbuke alilopanga Mungu HATA watu wasipolipenda litatimia tuu msijisumbue Kwa neno lolote Bali kila neno kusali kuomba pamoja na kumshukuru Mungu yeye atosha haleluya

  • @ntulimwakimonga6966
    @ntulimwakimonga6966Ай бұрын

    Kesho utasikia yuko lupango" mchochezi" 😮😮

  • @hassannuru7399

    @hassannuru7399

    Ай бұрын

    hakuna mwenye time naye. hayo yalikuwa ni ya kipindi cha yule mwendazake.

  • @gowekogoweko5803

    @gowekogoweko5803

    Ай бұрын

    AA WAPII

  • @IssaMohamed-mp4hj

    @IssaMohamed-mp4hj

    29 күн бұрын

    Mchungaji atapotezwa na ccm

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159Ай бұрын

    Fisiyemu halijitambui watanganyika tunajitambua tumewakataa hata mkiongea. Humu mautumbo yenu hamtaeleweka

  • @user-uq5vm2ge4q
    @user-uq5vm2ge4qАй бұрын

    Safi sana

  • @EzekielKaminyoge
    @EzekielKaminyoge24 күн бұрын

    Usutumie vibaya neno la Mungu askofu

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha593324 күн бұрын

    Askofu Big up!

  • @paulalubini8930
    @paulalubini893027 күн бұрын

    Watu tumechoka na maisha magumu ya huyu Raisin samia

  • @karolikisaka8991
    @karolikisaka8991Ай бұрын

    Biblia nzima ukiisoma mgogoro mkubwa uliokuwepo ni baina ya viongozi wa kidini na serikali. Hovyo viongozi wa dini Wana wajibu wa kuingilia kati pale serikali inapokosea

  • @jacksonndiu1070
    @jacksonndiu1070Ай бұрын

    kweli alitakiwa ajiuzulu

  • @emmanuelkaale6448
    @emmanuelkaale644823 күн бұрын

    Ukipewa chukua piga kura kwa anayetetea rasilimali

  • @user-mh9hj3lx7q
    @user-mh9hj3lx7q27 күн бұрын

    Mama samia rudi kwenu znz

  • @BardenBensonMwamfupe-dk3yg
    @BardenBensonMwamfupe-dk3yg28 күн бұрын

    Watu wa mungu acheni siasa. Hubirini injili

  • @IssaMohamed-mp4hj
    @IssaMohamed-mp4hj29 күн бұрын

    Kweli maisha magum sana tz

  • @allymusira2153
    @allymusira215325 күн бұрын

    Haya maneno angekuwa kayasema sheikh sasahivi angekuwa keshabambikwa kesi ya ugaidi

  • @BonaBonala-bp5qm
    @BonaBonala-bp5qmАй бұрын

    Mh samia atareta Vita ya wazanzibar na watanganyika kwa kuwasaport wazenji tuuu inchi itakua kama Rwanda kwa ujinga wake samia

  • @kassimualli1755

    @kassimualli1755

    28 күн бұрын

    Mkundu wako

  • @evelina9621
    @evelina9621Ай бұрын

    Kweli Ajihadali Maguli.alisem@

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6dАй бұрын

    Kachanganyikiwa na udini huyu cio kosAlake tumuombe amuongoze halafu askofu sijui hao anaowaongoza wakoje huu mtihani mungu Samia urais Kapewa na mungu wewe huwezi kulitengua Hilo na chuki zako binafs

  • @venceslausmtanila93
    @venceslausmtanila9328 күн бұрын

    Sio askofu huyu

  • @KhamisiSalimu
    @KhamisiSalimuАй бұрын

    Faida ya mungano huo munauziwa nchi yenu sasa na bado pumbavu kwa nini munataka mungano

  • @allyalsubhy6899
    @allyalsubhy6899Ай бұрын

    Sasa Samia ni rais wa Z,bar we mpumbavu Nini na Kwa uchochezi huo naaoa kama mtapata ushidi,

  • @thepresidenttobe5481

    @thepresidenttobe5481

    29 күн бұрын

    Mpumbavu ni wewe boya wewe

  • @martinisadru9899

    @martinisadru9899

    27 күн бұрын

    Umejaa matope kwenye ubongo

  • @AdamShaban-uu4en

    @AdamShaban-uu4en

    19 күн бұрын

    Watanzana amkeni ccm ni sawa na nguo ya zamani au nguo mtumba shauri yenu

  • @user-rd2no1sm2u
    @user-rd2no1sm2u28 күн бұрын

    😅

  • @evelina9621
    @evelina9621Ай бұрын

    😢ombeni.kura.punguzeni.maneno.mkali.sera Zuri.mafundi sho Juu.uchaguzi.waamke.wasids

  • @venceslausmtanila93
    @venceslausmtanila9328 күн бұрын

    Hana kanisa kanisa kwanza

  • @miraabdul7470
    @miraabdul7470Ай бұрын

    Huyu akawaulize wa Pemba na unguja, walifikia wapi. Upinzani uchwara hautachukua dola kwa vikaratasi vya kura

  • @user-gc1ez1yv4k
    @user-gc1ez1yv4kАй бұрын

    Samia naona amechanganyikiwa.Maana hata polisi wamemsaliti.

  • @adorchmassimba4413
    @adorchmassimba4413Ай бұрын

    Hatujafikia steji ya kutumia siraha za jadi kwenye uchaguzi mnatutisha sisi wapiga kula tusiende hata kupiga kula siku ya uchaguzi mtaenda wenyewe wewe ni mchungaji unatakiwa kuhamasisha amani sio machafuko na swala la ccm kuiba kula kwakutumia vyombo vya dola kama wewe mtumishi wa Mungu unatakiwa ulikemee nakumuomba Mungu aingilie kati haki itendeke hakuna kisichowezekana kwa Mungu

  • @hassannuru7399

    @hassannuru7399

    Ай бұрын

    acha uongo mchungaji.Hakuna mtu anakataliwa na mungu.huna hoja mchungaji.kangombee uone kama utapata kura hata moja,kama kuna mtu anakataliwa na mungu kama unavyosema labda ni huyo aliyekufa akiwa ofcn.

  • @zawadimbwambo1091

    @zawadimbwambo1091

    Ай бұрын

    Mungu kashaa ombwa Sana haki itendeke na haikutendeka Hadi Leo. Sasa nikummaliza tu atakaejaribu kupora haki.

  • @EmmanuelKuzenza

    @EmmanuelKuzenza

    29 күн бұрын

    Mtukutu haishi kwa maombi. Fimbo hutumika kumwelimisha mtukutu.

  • @NayratOmar
    @NayratOmarАй бұрын

    Umeyakamyaga

  • @user-xs3ko8pg2g
    @user-xs3ko8pg2gАй бұрын

    siku mkirudi njooni G Lema

  • @AnaniaBulaya-rc3jv
    @AnaniaBulaya-rc3jv27 күн бұрын

    Yaani askofu u nahimiza watu kubeba silaha mungutuepushe.

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha593324 күн бұрын

    Askofu pokea 100% kwako,

  • @user-ry3zq8vp5c
    @user-ry3zq8vp5cАй бұрын

    Kweri wewenichawa wasamia mpaka unasema mungu samia

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa615929 күн бұрын

    Wenye akili timamu tutaenda misukule ibaki. Nyumbani

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole743829 күн бұрын

    pole sanaaaa huwezi kuisinda Ccm hata ufanye pamoja na uaskofi wako

  • @philemonsnyanda9450

    @philemonsnyanda9450

    28 күн бұрын

    Kuisinda😂

  • @martinisadru9899

    @martinisadru9899

    27 күн бұрын

    Kwani ccm ni MUNGU?

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6dАй бұрын

    Asikofu mjinga anapingana na mungu wewe Kama Nani mungu hajamkataa samia ila wewe mpumbavu aliekwambia bandali zimeuzwa nani wewe unachuki za kidini sio acha uongo askofu mzima unamused mjinga

  • @thepresidenttobe5481

    @thepresidenttobe5481

    29 күн бұрын

    Mjinga ni wewe kenge wewe. Askofu kasema huyo kakataliwa na Mungu, wewe unasema mungu, sasa huyo mungu ni shetani. Jifunze ili uelewe boya mkubwa

  • @gowekogoweko5803
    @gowekogoweko5803Ай бұрын

    HABARI NDO HIYOO

  • @davidkawesa3594

    @davidkawesa3594

    Ай бұрын

    Pole sana

  • @abuuazhar3738
    @abuuazhar373829 күн бұрын

    Chadema UDINI UTAWAMALIZA.

  • @erickmsigala138

    @erickmsigala138

    28 күн бұрын

    Utahira wako ndiyo unawaza udini

  • @jumakapilima7295
    @jumakapilima7295Ай бұрын

    Huyu ni askofu au mwanasiasa?

  • @philemonsnyanda9450

    @philemonsnyanda9450

    28 күн бұрын

    Gwajima yeye unamusemaje

  • @jumakapilima7295

    @jumakapilima7295

    27 күн бұрын

    @@philemonsnyanda9450 ulishawahi kumuona Gwajima anavaa nguo za kiaskofu na misalaba katika majukwaa ya kisiasa?

  • @BonaBonala-bp5qm
    @BonaBonala-bp5qmАй бұрын

    Askofu mwana mapinduzi Mungu yupo na Wewe tanganyika irudi Zanzibar iende Mungu aripanga sio Nyerere mbweha

  • @janengaga2928
    @janengaga292828 күн бұрын

    Askofu wewe huogopi.

  • @clemencemkondya8561
    @clemencemkondya856125 күн бұрын

    Ujinga wa askofu huyu .Mheshimiwa Samia hahongi pikipiki kwani vitendea kazi vya CCM vinakuhusu nini .Siasa na dini hiviendi njia moja .Askofu uliyechanganyiikiwa kama Tundulisu.Mungu hajakwambia hayo nimajukuu .

  • @majebelemathis9991
    @majebelemathis999128 күн бұрын

    Huyu mtawala hatumtaki kabisa ila analazimisha tu

  • @kassimualli1755

    @kassimualli1755

    28 күн бұрын

    Mkundu wew

  • @emanuelmkama1325

    @emanuelmkama1325

    26 күн бұрын

    ​@@kassimualli1755acha matus boya wew

  • @kassimualli1755
    @kassimualli175528 күн бұрын

    Kafiri mkubwa huyu analeta uchochezi wa wazi kuma la mama yake huyu askofu

  • @erickmsigala138

    @erickmsigala138

    28 күн бұрын

    Umelaaniwa kwa laana huna Mungu wewe ni shetani umekosa elimu kichwani umejaza kinyesi ndiyo maana huoni haya kutamka matusi matandaoni hujuwi madhara yake kwasababu u mjinga tu

  • @emanuelmkama1325

    @emanuelmkama1325

    26 күн бұрын

    Wew imetokea wap kwa mam ako

  • @user-wt7vz1xx6c

    @user-wt7vz1xx6c

    24 күн бұрын

    Mapema tulia sindano ningie

  • @AdamShaban-uu4en

    @AdamShaban-uu4en

    19 күн бұрын

    Unamtukana askofu wewe ni shoga hujielewi unafirwa na ccm

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaibАй бұрын

    Nyie ni wadini sana Na ndio maana wakirusto wenzenu wakiongoza hamsemi chochote. Nyerere ndio Raisi anaeingoza kufanya hali ya watanzani kuwa mbaya tena kwa muda zaidi miaka 20. Mkapa.alibinafsisha vitu vingine vya umma na hamkusema chochote

  • @GodfreyOsward

    @GodfreyOsward

    Ай бұрын

    Sio kweli,ukitaka kufanya kubuka historia mkapa alipingwa kwa sera ya ubinasaj, mchanga wa dhaabu kupelekwa nje ulipingwa rejea doc za bunge, Tics ikija bandari mkurugenzi wa badandari alilamika mbele yake akikataa uwezaji. Mbunge aloys kimaro alitaka Kwa hoja mkapa ashitakiwe. Huyo mbuge mali zake arushwa Ilihujumiwa. Magu alipingwa kila kona na akitwa dictator. Vyombo ya habari kama BBc, hazikukosa habari ya kukosa kila leo. Mwl Nyerere historia inaonyesha alikuwa apinduliwe. Sisi tuna kasumba ya kumjadili mambo ya kutupotezea mda. Kama mzalendo hoja mfano kwa nini kiwanda kinateneza chupa za glass kwa kutumia maligafi za nje wakati Ziko hapa nchini? Kwa nini hua hatuoni haya?. Kwa nini tusifufue viwanda vya mikakati kama general tyre. Hivi hawa tunaowatetea kwa Imani Zetu kwa nini tushauri kwa Watoe uongozi wao Raia tufufue viwanda. Kule nchi ya Ethiopia bwa la umeme limejengwa kwa hisa za raia. Sisi hapa hoja uchwara na ukuwadi wa mali, rushwa.

  • @edosha3137

    @edosha3137

    Ай бұрын

    Wote walikuwa Watanganyika hawakuuza kwa Waarabu.

  • @Al.habeebAl.habaaib

    @Al.habeebAl.habaaib

    Ай бұрын

    @@edosha3137 wameuza kwa wazungu

  • @jumakapilima7295

    @jumakapilima7295

    Ай бұрын

    ​@@edosha3137 Msenge wewe, kwahiyo nchi ilivyouzwa Kwa wengine hiyo ni Sawa, kuuzwa Kwa waarabu ndio tatizo? Msenge sana wewe

  • @martinisadru9899

    @martinisadru9899

    27 күн бұрын

    Hao akina mkapa waliuza kwa nani? Kwahiyo wewe mtu akiwa wa imani mwenzako, hata kama ni jambazi, utamtetea, hii tanganyika ni mkate wa wote, sio wachache wamege pakubwa, wengine wakose, kwa nyie waislamu hamna jeuri ya kuipinga serikali, sababu ni waoga sana,, wapinzani wenye nguvu duniani kote ni wakristo. Hata katika vitabu vya dini, manabii wengi wa MUNGU walizipinga tawala za miaka ile kwa uzalimu waloufanya.

  • @user-vl4rz6lf6d
    @user-vl4rz6lf6dАй бұрын

    Acha uaskofu uwe mwanasiasa yani wee dogo umekuwa aibu na unalitia aibu Kanisa na kwataarifa yako samia atapita kwa kishindo 2025 unapoteza muda wako bure Bwanamdogo utakufa na kijiba cha roho

  • @user-ry3zq8vp5c

    @user-ry3zq8vp5c

    Ай бұрын

    Naonamachawa mnamzoga asikofu mtapatauteuzi waobarozo hata wanyumba kumi asante

  • @edosha3137

    @edosha3137

    Ай бұрын

    Kama Chawa wake mtaiba kura. Na haipendi Tanganyika yenu.

  • @edosha3137

    @edosha3137

    Ай бұрын

    Hamuipendi Tanganyika. Mnapenda kutawaliwa na Wazanzibar

  • @PetroMpunga-rt7hv

    @PetroMpunga-rt7hv

    Ай бұрын

    Katiba mpya

  • @karolikisaka8991

    @karolikisaka8991

    Ай бұрын

    Uaskofu ni kazi,na kazi mojawapo ya askofu ni kuwasemea wasioweza kusema

  • @jimmymnuano7165
    @jimmymnuano7165Ай бұрын

    Hivi vitabu vya Mungu nchini. Tanzania vinaruhusu unafiki hivi sasa Dunia inakwenda wapi ? Ona huyu mchungaji wa Mungu kweli? Mbona anawapeleka kondoo wake kwenye mto wenye mamba ili wakaliwe ivi Baibo la Mungu kweli limeandikwa hivyo kweli ? Jamani hii njaa wa Tanzania itatupeleka pabaya. Ndiyo maana Tanzania wachugaji wanajitundika kwa kujinyonga ndiyo kama hayo anayoyafanya kama huyojivisha ngozi ya kondoo huyu sio mchungaji bali ni mtu anayetafuta lana kwa Mungu. Emen

  • @user-iy8mq9ii8t

    @user-iy8mq9ii8t

    Ай бұрын

    Sio lazima umkubali anyesema usiyopenda.bali Mungu atasmama na kweli daima

  • @jumakapilima7295

    @jumakapilima7295

    Ай бұрын

    Uko sahihi

Келесі