HOTUBA YA RAIS SAMIA AKIPOKEA TAARIFA YA HAKI JINAI IKULU CHAMWINO TAREHE 15 JUNI, 2024

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia wakati akipokea Taarifa ya Haki Jinai Ikulu Chamwilno Mkoani Dodoma leo tarehre 15/06/2024.

Пікірлер: 4

  • @AbdilahiMriri
    @AbdilahiMririАй бұрын

    Hongera sana kwa ubunifu mkubwa juu ya Tume ya haki jinai ambapo lkn pamoja na mapendekezo hayo mengi lkn kubwa zaidi ni kuhakikisha Taasisi zetu nyeti zinakuwa na ufuatiliaji juu ya utendaji wao kwa kutumia vikosi vyenye meno zaidi Mhe daktari Rais Samia Suluhu Hasani Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mke wangu jamani mpenzi wangu.

  • @hakarim786
    @hakarim786Ай бұрын

    Raisi ateue kitengo ofisini kwake kusimamia utekelezaji wa haya maazimio ya tume hii ya haki jinai

  • @serengetitv
    @serengetitvАй бұрын

    kaziiendelee

  • @OmaryOmary-uw7fz

    @OmaryOmary-uw7fz

    Ай бұрын

    000😅

Келесі