HOTUBA NZIMA YA MAGUFULI KUHUSU TRA NA UKUSANYAJI WA KODI

Пікірлер: 10

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi82414 жыл бұрын

    Kumbe Kenya wanajitaidi sana na ukusanyaji wa kodi. hongera sana Kenyatta na administraton yako..Kenyatta oyeeee...Magufuli oyeeeee!!!!

  • @alexkihongola798
    @alexkihongola7985 жыл бұрын

    JPM huwa anatoa pindi LA hatari Sana, yupo vizuri hatari chuma chuma Dahaaa.

  • @juliethsamwel4151
    @juliethsamwel41515 жыл бұрын

    Ubarikiwe sana rais wetu

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi82414 жыл бұрын

    natamani tungepata matokeo ya huu mjadala..dah jmni wanatakiwa waje na strategy nzuri sana. wafanye pia research ya nchi za ngambo wanakusanyaje kodi..tax base yao ikoje an ni tactic gani wanatumia kukusanya...systems zao zikoje...pia kuwepo na ushindani mkoa kwa mkoa kwa namna wanavyokusanya kodi na maendeleo ya mikoa yao..Mkuu wa mkoa ndio governor wa state yake..

  • @karimmohamed4989
    @karimmohamed49895 жыл бұрын

    Ningeiomba serikali kwsababu tuko kwny mfumo wa soko huria na pia inataka kukuza sekta binafsi basi tuangalie wenzetu waliokuw ktk mifumo hii kw miaka mingi utaratibu wa kodi zao ukoje ili kuondoa malalamiko na manunguniko toka kw wafanyabiashata na wananchi kw ujumla

  • @jedidahbintidaudi8241
    @jedidahbintidaudi82414 жыл бұрын

    Naskia wafanya biashara wadogowadogo bado kunausumbufu mkuu..

  • @stephanomapai7970
    @stephanomapai79705 жыл бұрын

    20000×3000000=? Mhhhhh hyu baba ni balaa

  • @petermanyambo8558

    @petermanyambo8558

    5 жыл бұрын

    Bima pia imepanda

  • @antonykahwage2189

    @antonykahwage2189

    5 жыл бұрын

    thanks my beloved president, penye kivuli cha chama hapo nimeelewa sana kwani,wasijisahau kwamba ibada njema huanzia nyumbani.

  • @hamadshein935
    @hamadshein9355 жыл бұрын

    Kipi kinatakiwa kilipiwe kodi Mtaji au Faida?

Келесі