HISTORIA ya RASHID KAWAWA: KUZALIWA, MAISHA YAKE, HARAKATI ZA KUDAI UHURU, HADI KIFO...

HISTORIA ya RASHID KAWAWA: KUZALIWA, MAISHA YAKE, HARAKATI ZA KUDAI UHURU, HADI KIFO...
Dkt. Rashid Mfaume Kawawa alizaliwa Februari 27, 1926 katika Kijiji cha Matepwende, Tarafa ya Ligera, Mkoani Ruvuma na alianza shule ya msingi mwaka 1935 huko Tunduru akiwa na umri wa miaka tisa, aliandikishwa shule kwa jina la Baraka ambalo lilikuwa jina lake la utoto mpaka alipomaliza elimu yake ya msingi na baadaye alijiunga na shule ya sekondari ya Tabora na kumaliza darasa la 12 Novemba 1949 kisha Mwaka 1951 alianza kufanya kazi Idara ya Maendeleo ya Jamii
⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx
⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES
⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 712 101 629), ( +255 784 888982)
⚫️ Email: globaltvbest@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com
⚫️ OUR PLAYLISTS:
⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
⚫️ Subscribe Global TV bit.ly/globaltvonline

Пікірлер: 26

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi38992 жыл бұрын

    Huyu alikuwa mpigania uhuru wa Tanzania na Africa inabidi familiya yake wapewe nyumba kama ma Raisi waliopewa sasa hivi mama Samia fikiria gili kawawa familey na karume Familey muwafikirie kwa kweli.

  • @LegaGlobal
    @LegaGlobalАй бұрын

    Vraiment poa sana

  • @hamissahamissa105
    @hamissahamissa1052 жыл бұрын

    Aise pazuri sana🤝🤝

  • @rapperdx1331
    @rapperdx13312 жыл бұрын

    Taa jamani technology ikuzwe upande wa Quality ili somo tulipate vyema

  • @universitylink
    @universitylink Жыл бұрын

    Wanatakiwa kukumbukwa kwa kweli may God rest his souls in peace

  • @zachariamungure6844
    @zachariamungure6844 Жыл бұрын

    Dah familia yake nimaskin ALLAH awafanyie wepes

  • @namirihamisi3899
    @namirihamisi38992 жыл бұрын

    Kabati nimelipenda hilo tupigie picha vizuri.

  • @sometimes5621
    @sometimes56212 жыл бұрын

    JPM alisema somo la Historia lianze kufundishwa katika shule zetu. Huo mpango naona haupo tena na umezikwa pamoja naye!

  • @hamisimpiluka586
    @hamisimpiluka5862 жыл бұрын

    Wako waliotumikia nchi hii takufikia kuahatarisha maisha yao walistaafu wakiwa maskini alikua was aminifu mno wameacha wajane wakihangaika lakini Leo hii wamesahaulika mmojawapo wapo ni mahamudu ISSA je selikali itamsaidiaje mjane aliedhumiwa nyumba yake

  • @lovenessvisent9408

    @lovenessvisent9408

    10 ай бұрын

    Hapa mabibo tunaye mzee alikuwa bregegia kabisa aliwapa mafunzo akina Samora mashell na wengine kibao na yupo hai adi Leo ila uzee unamuanda sana napata kujifunza mengi sana kwake Nampa cocacola Moja story inatembea wanasubiri afe wakapige mizinga yao

  • @isayakihongile4921
    @isayakihongile4921 Жыл бұрын

    Waziri mkuu wa kwanza wa Tanganyika alikuwa mwl.J.K.Nyerere 1961 hadi 1962 wapili ni Kawawa

  • @user-xg9cs9xc3o
    @user-xg9cs9xc3o2 жыл бұрын

    Mbona kuna giza

  • @mwajumasaid9304
    @mwajumasaid9304 Жыл бұрын

    Naijua hiyo nyumba nimekaa pia hapo bombambili ninyumbani kwetu nyumba hio nikubwa sana mala yamwisho miaka 2004 au 2003 alikua aki ishi mwanae wakiume baadae palibaki bila mtu kwamiaka mingi

  • @deusdeditswebe8930
    @deusdeditswebe89302 жыл бұрын

    Historia nzuri....lakini msimulizi na sauti yake

  • @tinershayo5397
    @tinershayo53972 жыл бұрын

    uvamivu au uvumilivu nyosha maneno

  • @johnmkenda1172
    @johnmkenda11722 жыл бұрын

    Alikua waziri mkuu wapili wa Tanganyika

  • @hamisimpiluka586
    @hamisimpiluka5862 жыл бұрын

    Mbona tunawasau wenginie kola Mara tunawakumbuka wana siasi tu Mimi namkumbuka kachero marehemu mahamudu ISSA jewanao mfaham wa comment

  • @tinershayo5397
    @tinershayo53972 жыл бұрын

    giza wekeni taa

  • @tunumwakanyamale9042
    @tunumwakanyamale90422 жыл бұрын

    Simba wa Ruvuma

  • @hamidaala2832

    @hamidaala2832

    2 жыл бұрын

    MleziWakijijiChetuKiluvyaNapajuwaLkwetu.alikuwaAnakujaNyumbani.kimtembeleaBabaAngu

  • @rajabumwashambwa7417
    @rajabumwashambwa7417 Жыл бұрын

    Huyu jamaa namchukia Sana alimuua manaharakati Edward mornge sokoine namchukia huyo mshenzi😢😢😢😢😢😢

  • @hassanmfaume4522

    @hassanmfaume4522

    Жыл бұрын

    Mchukie tu wala haibadilishi hali yake atabaki kuwa kawawa makamu wa rais na waziri mkuu..!

  • @adkajisi4536

    @adkajisi4536

    Жыл бұрын

    Una uhakika

  • @laurentbuhoy1832

    @laurentbuhoy1832

    Жыл бұрын

    Wivu2 unakusumbua, chapa naw uache story

  • @migedowzer504
    @migedowzer504 Жыл бұрын

    Hiyo hxtolia yake au histolia ya jengo

  • @lugwetunje3896

    @lugwetunje3896

    Жыл бұрын

    Hii inaeleza alivyo ishi maisha yake,na vile alivyo jenga nyumba yake kujilinda na mkoloni

Келесі