HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu

HISTORIA Ya IDD AMIN, Darasa La 4 Aliyetikisa Wazungu/NYERERE Akimtia Adabu
IDD AMIN DADA OUME wa Uganda ni mwafrika pekee aliyebebwa kichwani na wazungu kama wao walivyotufanyia enzi za utumwa.
Dunia ikashangaa, Afrika ikaduwaa,Waganda wakashangilia wasijue baada ya wenzao ni wao! Kweli alipowamaliza wageni alihamia kwa waganda waliofikiri tofauti nay eye.
#HISTORIAYAAMIN
Watch More Videos here: goo.gl/GvVdZw Watch More Videos here: goo.gl/ae33fL Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook: globalpublishers Instagram:
globalpublishers Twitter: GlobalHabari Install Global App: ANDROID: goo.gl/QvT6RV Install Global App: iOS: goo.gl/2jDyho

Пікірлер: 461

  • @petermichael8211
    @petermichael82115 жыл бұрын

    DAAAAAH HII KTU SAFII MLIYOANZISHA NAPATA KUJIFUNZA NA KUJUA MENGI HONGERENI SANAAA GLOBAL ENDELEENI KUPATA ELIMU HII YA HISTORIA MUNGU AWABARIKI SANAA.

  • @azzakhamiz3858

    @azzakhamiz3858

    5 жыл бұрын

    Ahsante sana kwa story yani daaah inatisha kwakweli

  • @miswagatz1580

    @miswagatz1580

    5 жыл бұрын

    Nzuri

  • @mwamvitashaban3178

    @mwamvitashaban3178

    5 жыл бұрын

    Peter Michael

  • @thomasmario950

    @thomasmario950

    5 жыл бұрын

    Hongera sana msimuliaji kwa history mbalimbali nzuri zenye kufunza sana Mungu akusaidie sana

  • @abdullahiahmed5343

    @abdullahiahmed5343

    3 жыл бұрын

    Haya sio historia sahihi....mbovu na usiokuwa na hakika

  • @Thuon_
    @Thuon_5 жыл бұрын

    Mimi nampenda sana *Idi* *Amin* sisi waafrika tusiwe watu wa kuambiwa kila kitu. Wazungu wanatuambia historia bandia ya kuwachukia viongozi wetu. Ni vipi *Amin* alikuwa mzuri wakati wazungu wanamtumia kuwaua watu waliohusika na Mau Mau nchini Kenya. Akapelekwa north eastern Kenya kupambana na wasomali na bado mzuri. *Milton* *Obote* akawa hana faida kwa wazungu sababu aliwafungia *interests* zao wakamtumia *Amin* tena kupindua serikali yake akahamia Tanzania kwa nyerere. Amin kuingia uongozini akawa Pan-Africanist, hafanyi vile wazungu wanataka. Akaapa kuitumikia Uganda na wananchi akawa mbaya wakaandika historia mbaya kumhusu. Tukawa brainwashed, tukawaamini wazungu. Sisemi alikuwa mzuri, kuuwa aliuwa watu na si wengi wasemavyo wazungu. Hata Kenya, kenyatta aliuwa wengi, aliyemfuata, ni rais Moi akauwa na kuwafunga wengi, wazungu kimya sababu wanakula kwa meza moja. Waafrika tuamke twatumiwa vibaya. Umefika wakati tuwatambue viongozi wetu sis wenyewe. Mimi nampenda sana H.E, Field Marshal, President for Life, Maj. Gen. Al Hadji Doctor, VC DSO MC, BC, CiC, Father of twins, Lord of all the clans in the land, Lord of all the Beasts of the Earth and Fishes of the Seas, the cook with all the firewood, the queen termite, Conqueror of the British Empire(CBE) in Africa in General and Uganda in Particular. Speaker of truth, Pan-Africanist, Maj. Gen. President *Idi* *Amin* *Dada*

  • @sultansaidisaid-ft6yv

    @sultansaidisaid-ft6yv

    7 күн бұрын

    hivi jaman au basi iddi amin dada pepon

  • @khamishaji6705
    @khamishaji67055 жыл бұрын

    Ikiwa unakubali kaz ya uyu mtangazaji weka like yako

  • @BigZhumbe
    @BigZhumbe5 жыл бұрын

    Idd Amin was a Legend.... story mbaya zipo kumhusu story nzuri kumhusu zipo...... nasimama kwenye positivity he was a Legend

  • @ramadhanboi6485

    @ramadhanboi6485

    4 жыл бұрын

    Big Zhumbe ;kabisaa brooo he was a man 😥😥

  • @barakachami8218
    @barakachami82185 жыл бұрын

    Uyujamaa hanae simulia.. Hanatakiwa hapewe mshahara Mara tatu hanao lipwa kwel hanafanya kz vema nimemfatilia Sana yupo vizur Kk mungu hakubariki!

  • @emmalyanga3726

    @emmalyanga3726

    5 жыл бұрын

    Ndugu kiswahili fasaha anae simulia Anatakiwa apewe. Anaolipwa

  • @barakachami8218

    @barakachami8218

    5 жыл бұрын

    Emma Lyanga true kz nzur

  • @lulanjamd3886

    @lulanjamd3886

    5 жыл бұрын

    Wewe Baraka Unatumia ha badala ya A .Jifunze kiswahili

  • @sabinamaremi1498

    @sabinamaremi1498

    5 жыл бұрын

    Baraka Chami ujue unaboa kiswahi gani hicho au hujui kusoma

  • @justinemganiwa5764

    @justinemganiwa5764

    5 жыл бұрын

    We unaongea madudu gani

  • @goo6341
    @goo6341Ай бұрын

    Historia shwari mno! Asante Kaka Edgar kwa simulizi bomba sana!!

  • @rosenight272
    @rosenight2725 жыл бұрын

    Asante sana kwa historia hiyo muhimu sana, Ndio maana Mungu wa Israeli mwenye mamlaka atailinda Kenya na kuitetea kwa ukarimu wa kuruhusu jeshi la Mungu wa Majeshi kujaza mafuta hapa kwetu Kenya...BABA wa mbinguni kusije kukawa na mkatili kama huyo tena UGANDA. UILINDE UGANDA NA AFRICA YOTE.

  • @mpagazedenis8395

    @mpagazedenis8395

    5 жыл бұрын

    Ameen

  • @dhakomodherooherokoko6037
    @dhakomodherooherokoko60375 жыл бұрын

    Huwa nakufwatilia sana kutoka hapa Nairobi, kazi nzuri ndugu yangu

  • @husseinkassimshehe4996
    @husseinkassimshehe49965 жыл бұрын

    Nnachoshangaaa mimi story za Iddi Amin ambaz n mbaya n hku Tanzania i huk kwao Uganda wanamuelewa kam Shujaa wa Nchi yao. Hzo xtory za msingi il ukikua unajifunza unajua ukwel. Ndiio maaana hta ile triangle trade kule sekondari ni Hovyo t il ukixom unajua

  • @hashimutambala7730

    @hashimutambala7730

    5 жыл бұрын

    Iddi amini alikuwa ni mwema Sana sema kachafuliwa kwa chuki binafsi ya nyelele kwa ajili ya dini nyelele mkirsto Iddi ni muislam na Iddi alipenda Uganda iwe ni nchi ya kiislam

  • @asiliyakechuma7335

    @asiliyakechuma7335

    5 жыл бұрын

    Mm naomba unisimulie history ya Eid amin

  • @africangirls482

    @africangirls482

    5 жыл бұрын

    @@hashimutambala7730 huo ndo ukweli mkuu me sisemi tena kitu sema tu nyerere alitupandikiza chuki lakn idiamini nimtu poa sana

  • @kidundasalum4088

    @kidundasalum4088

    4 жыл бұрын

    Hueleweki ulichosema

  • @jastinimwita1028

    @jastinimwita1028

    3 жыл бұрын

    @@hashimutambala7730 kwani nyie mnapenda wakristo? Tumia ubongo kufikiri mkuu...

  • @fistonkyuing9888
    @fistonkyuing98885 жыл бұрын

    Asante kwa kazi nzuri na kutupatiya historia nzuri Mungu akubariki kwa kazi yako

  • @ashifighter8159

    @ashifighter8159

    5 жыл бұрын

    Una itwa nan isntgrm?

  • @fistonkyuing9888

    @fistonkyuing9888

    5 жыл бұрын

    Fidjok fiston

  • @lucaspius1430

    @lucaspius1430

    5 жыл бұрын

    Fiston Kyuing kweli

  • @djatm1319
    @djatm13195 жыл бұрын

    Napenda kusikiza histolia ya Global TV....nikiwa hapa Kenya.... Tuko pamoja

  • @danielshauri6390

    @danielshauri6390

    4 жыл бұрын

    Asanteni sana

  • @janjatv9619
    @janjatv96195 жыл бұрын

    najisikia murua sana mashaalah👏 ninaposikiliza simulizi za historia zako usichoke kutusimulia daily🙏

  • @mwanajumaomahundumla6504
    @mwanajumaomahundumla65045 жыл бұрын

    Asante kwa hii historia Nzuri na sauti yako ya kuvutia

  • @keziaayubu8614

    @keziaayubu8614

    5 жыл бұрын

    Paka raha jamn hanavyo tafasir

  • @mwanajumaomahundumla6504

    @mwanajumaomahundumla6504

    5 жыл бұрын

    @@keziaayubu8614 sanaa

  • @ashifighter8159

    @ashifighter8159

    5 жыл бұрын

    Una itwa nan instgrm

  • @mwanajumaomahundumla6504

    @mwanajumaomahundumla6504

    5 жыл бұрын

    @@ashifighter8159 omwanajuma-Tz-255

  • @michaelvutakamba1126

    @michaelvutakamba1126

    5 жыл бұрын

    Mwanajuma O Mahundumla et hii ina itwa kuondoa kero kwa kutumia kero hahaaaa atari xana broooooooooooo "

  • @HABIBULLAH-nd9ft
    @HABIBULLAH-nd9ft5 жыл бұрын

    Kaka mungu akupe maisha mema hakika unavutia sana utangazaji wako Ni zaidi ya grobal tv

  • @AnaniasEdgarTV

    @AnaniasEdgarTV

    5 жыл бұрын

    Amina

  • @alexlingwendu6780
    @alexlingwendu67805 жыл бұрын

    Unastahili tuzo ya thamani Sanaa.Big up Ananias

  • @hemedsalim8837
    @hemedsalim88374 жыл бұрын

    Mungu Amrehemu Iddi Amini amlaze mahali pema peponi. Nyerere Mungu amlaani kwa udini aliokua akileta na ambao unaendelea mpaka sasa Mungu amchome tu...........

  • @hemedytengu5718

    @hemedytengu5718

    6 ай бұрын

    Aamin 🤲

  • @sidedirtylevel8483
    @sidedirtylevel84835 жыл бұрын

    Naomba aongezewe mshahara huyu muandaaji na msimuliaji...yaani ana manjonjo uyo..

  • @katanicarter0568
    @katanicarter05685 жыл бұрын

    MtangaZaji/Msimuliaji yupo Tofauti saaaana....... Gud Job.... MAMBO SWADAKTA

  • @jameschipande1090
    @jameschipande10909 ай бұрын

    I can't stop watching your stories, proud to be Tanzanian

  • @harunakayega5531
    @harunakayega55315 жыл бұрын

    Story imepangwa vizur sana

  • @omarysweya1439

    @omarysweya1439

    5 жыл бұрын

    Haruna Kayega

  • @AsiaAsia-sv6ok
    @AsiaAsia-sv6ok4 ай бұрын

    Allah akurehem Iddi Amini Akujaalie Jannat Firdausi ulikuwa kidume kweli kweli

  • @Nyam033
    @Nyam0335 жыл бұрын

    Nilikua nasubiria muapload kwa hamu👍👍👍👍👍

  • @paschalewamtaa726
    @paschalewamtaa7265 жыл бұрын

    Mtangazaji upo safiii umeeleweka

  • @nzeyyunus5990
    @nzeyyunus59905 жыл бұрын

    Broo Honestly speaking una Sauti nzuri asee!!

  • @godfreysafaryjohn6785

    @godfreysafaryjohn6785

    4 жыл бұрын

    Mimi safari

  • @sabinajames6539
    @sabinajames65395 жыл бұрын

    Wow asante

  • @fhdhilyhamidu4422
    @fhdhilyhamidu44225 жыл бұрын

    Daaah shukran global kwa kunifunua akili na kunipa faida zaidi ya kuijua Africa na utawala wa kikoloni kwa sasa ni (watalii/wawekezaji) mmh Africa bado tuko utumwani

  • @mattaromar2624
    @mattaromar26245 жыл бұрын

    Nakuku bali sn mzeebaba uko vzr sn

  • @sol-ql1kt
    @sol-ql1kt5 жыл бұрын

    Hii ni nzuri Sana... Keep on

  • @yahyabakari4000
    @yahyabakari40005 жыл бұрын

    Historia ya Idi Amini Imepotoshwa wala hakua hivyo Mnavyoisimulia he was a Good man

  • @shabanimarijani662

    @shabanimarijani662

    5 жыл бұрын

    If he was a good man please tell us a good history of iddi amin.we hope that you know much better about IDD amin.

  • @ndagaujenzi1211

    @ndagaujenzi1211

    4 жыл бұрын

    Wapumbavu kama ninyi ndio mnaamini he was a good man....imagine the whole world to hate you...why then?

  • @lugishoboy6280
    @lugishoboy62805 жыл бұрын

    Hatar xana gonga like hapa kama mtu wa pili

  • @abdulmkwawa2419
    @abdulmkwawa24194 жыл бұрын

    Dah huyu Jamaa kuna maneno mengi sana ya uhongo

  • @lucasroswe6544
    @lucasroswe65445 жыл бұрын

    Msimuliaji yupo vizuri sanaaaa

  • @rashidbusanya883
    @rashidbusanya8835 жыл бұрын

    Hamna mwenye uhakika juu ya jambo lolote ispokua mungu ndio anajua yawezekana alikua mtu bomba bali akazuliwa uongo kama vitabu vya mungu vilichafuliwa iweje historia ya mwanadam ikaacha kuchafuliwa

  • @user-lt9sp7wv1j

    @user-lt9sp7wv1j

    5 жыл бұрын

    Kiukweli kwa hizi historia najihisi faraja mnooooo hadi najikuta nawoch mara kibao video moja

  • @user-lt9sp7wv1j

    @user-lt9sp7wv1j

    5 жыл бұрын

    Ila kama kuna uwezekano muanze kuleta na historia za makabila mbalimbali hapa bongo kwa kuonesha mila zao na destuli na chimbuko lake ila ni vzuri iwe ni kwa video inayoonesha moja kwa moja na sio picha

  • @veronicafredy4101
    @veronicafredy41014 жыл бұрын

    Jamn nyerere baba amefanya kazi kubwa na naamini magufuli mungu amemleta kwa niaba yake

  • @hemedsalim8837
    @hemedsalim88374 жыл бұрын

    Nyerere mkatolik na iddi Amini muislamu anaejua haki hakuwez kuwa na salama apo.

  • @venasmlega6727

    @venasmlega6727

    2 ай бұрын

    Umeanza udin naww

  • @ruqiaothman3112
    @ruqiaothman31125 жыл бұрын

    Duh! Asnten kwa kutujuza ya kale global tv mpo vzr sana hongereni ila msikae kimya muwe mnatuwekea mambo ya kale tuyajue vzr

  • @asmamtoaichew9446

    @asmamtoaichew9446

    5 жыл бұрын

    O

  • @razackkalanje5049
    @razackkalanje50495 жыл бұрын

    Navutiwa sana na utangazaji wako very impressive

  • @globaltv_online

    @globaltv_online

    5 жыл бұрын

    Thanks.

  • @beatricekamengekamenge5543

    @beatricekamengekamenge5543

    5 жыл бұрын

    @@globaltv_online kaka upo vizur sanaa hongera sana instar unatumia nani

  • @globaltv_online

    @globaltv_online

    5 жыл бұрын

    @@beatricekamengekamenge5543 Ananiasedgar_tz

  • @beatricekamengekamenge5543

    @beatricekamengekamenge5543

    5 жыл бұрын

    @@globaltv_online poa kaka

  • @nikristee
    @nikristee3 жыл бұрын

    Ningependa Kuviona vizazi vya Iddi Amin

  • @athumanjuma2772
    @athumanjuma27725 жыл бұрын

    Much Respect 🤔

  • @silasjuma6569
    @silasjuma65693 жыл бұрын

    am happy to be in this class learning has no end

  • @thomasbobtv7584
    @thomasbobtv75845 жыл бұрын

    Huyu mhariri ndio anafaa kupewa utangazaji dunia nzima maanake yuafaham kazi yake vilivyo,pewa kinywaji mzee kwa bill yangu

  • @chrissfadhaa216
    @chrissfadhaa2165 жыл бұрын

    Edgar Unajua sana unasauti nzur sana na maneno mazur sana

  • @jacqulinechawala2494
    @jacqulinechawala24943 жыл бұрын

    Mtanqazaji uko vzr sana na sauti inaskika vzr sana

  • @rachellebahati7512
    @rachellebahati75125 жыл бұрын

    Nakupenda ,unasema kweli

  • @stevenalex9590
    @stevenalex95904 жыл бұрын

    Msimuliaje congratulations....🙏

  • @jimmykimaro8163
    @jimmykimaro81635 жыл бұрын

    Hongereni sana Global tv

  • @shijaimhamila3604

    @shijaimhamila3604

    5 жыл бұрын

    Hongera sana kaka

  • @muchijp3266

    @muchijp3266

    5 жыл бұрын

    W muongo 2

  • @globaltv_online

    @globaltv_online

    5 жыл бұрын

    @@muchijp3266 Hatuwezi kutoa taarifa za uongo kiuwepesi hivyo.

  • @papaaclements6439
    @papaaclements64395 жыл бұрын

    TANZANIA ya enzi zile iliyokuwa na umoja siyo 'UPINGAJI' kila jambo ndo maana umoja uliiwezesha kushinda vita ingekuwa leo hii tungepigwa saana maana IDD AMINI angekuwa anapewa siri za nchi na watanzania.

  • @allywendo2553

    @allywendo2553

    5 жыл бұрын

    Gghuza migyango

  • @titothoya1618

    @titothoya1618

    4 жыл бұрын

    Pale tatizo linapo ingia nyumbani wenyeji huja wakatafuta suluhisho hata kama kuna utengano. Hivyo basi Tanzania ya sasa ina uwezo katika kila jambo litakalo kabili Taifa

  • @boylondontztz920

    @boylondontztz920

    4 жыл бұрын

    Haahahaha sijui umewaza nn,siku hizi bongo kuna watoboa siri wengi sana

  • @abdulrahmanhussein1644
    @abdulrahmanhussein16445 жыл бұрын

    Muwe mnajitahidi kupata taarifa sahihi.amini alipenda na waganda

  • @purryselestine4000
    @purryselestine40005 жыл бұрын

    Hivi hii story ukiisikiliza kwa makini na huu huongozaji wa magu kam nisaw magu nae nikatili km idd amini

  • @hemedsalim8837

    @hemedsalim8837

    4 жыл бұрын

    Waache wanaoelewa nyamaza

  • @singanoherieth1331
    @singanoherieth1331Ай бұрын

    Adui wa mzazi wangu ni adui yangu huwezi kuwachukia wazazi wetu ukanipenda mim mimi namchukia uyo amini hadi leo

  • @lymoordeseeker7332
    @lymoordeseeker73325 жыл бұрын

    I Appreciate ur voice

  • @OswardAndrea
    @OswardAndreaАй бұрын

    Hatar sana huyo Id amin

  • @richardsoka2400
    @richardsoka24005 жыл бұрын

    Very informative and educative!Kudos Edgar!

  • @abdullahiahmed5343

    @abdullahiahmed5343

    3 жыл бұрын

    This is just information intended in a hidden way...Neither is it educative nor imformative

  • @suleimanmohammed7559
    @suleimanmohammed75595 жыл бұрын

    Kizazi sana kamanda

  • @raymondamosi9059
    @raymondamosi90595 жыл бұрын

    Nime enjoy sana Thanks! Tuekeeni storia Kama izi mbona mtafraia maisha WENYEW na WATAKAO follow account wataongezeka Amini nawaambia

  • @deogratiuskapulwa8874
    @deogratiuskapulwa88744 жыл бұрын

    Kashmir shujaa wa mfano mwenyeakili ,mcha Mungu ,jasiri wa kuigwa...

  • @dannymoses1882
    @dannymoses18825 жыл бұрын

    Yan anania nakupenda bure ninge kuwa na Dada ningekupa uoe I love you sana

  • @asiaseif7229

    @asiaseif7229

    4 жыл бұрын

    Ana mchumba huyo😀😀

  • @erodeshayo8672
    @erodeshayo86725 жыл бұрын

    Nimeipenda hii ase na iwe endelefu

  • @nestospecial1412
    @nestospecial14125 жыл бұрын

    Naipenda sauti yako hiko poa

  • @nyakinyaki1702
    @nyakinyaki17025 жыл бұрын

    nimependa sana bro jinsi unavyo simulia vizur sana

  • @manmacho6529
    @manmacho65295 жыл бұрын

    unatangaza vizuri sana

  • @jeffmsomali4264
    @jeffmsomali4264Ай бұрын

    Waooo respect brother

  • @venstonvedasto
    @venstonvedasto5 жыл бұрын

    Naumia sana kwa nn nilipata D ya history o level.. unajua sana I feel you

  • @nganzijunior5563
    @nganzijunior55635 жыл бұрын

    Ananias Edgar unasimulia makala vizuri sana. Hongera sana

  • @daudaloyce1891
    @daudaloyce18914 жыл бұрын

    Safiiiiiii sana Ananis Ediger kazi nzuri

  • @kombuchahluckyMartin
    @kombuchahluckyMartin5 жыл бұрын

    Mku uwezo wako mkubwa sana kusimulia. Napenda sana

  • @hayatihkhadija1924
    @hayatihkhadija19245 жыл бұрын

    simuulizi nzuri

  • @athumanomary1438
    @athumanomary14385 жыл бұрын

    Ewe mwenyez MUNGU tunazidi kukuomba enderea kumuongoza vyema raisi wetu majeshi yetu na viyongoz wote wanaomsaidia raisi wetu kuriongoza vyem taifa retu ewe mwenyez MUNGU mkuu

  • @markwambura2113
    @markwambura21134 жыл бұрын

    Kazi nzuli asante kwa elimu

  • @nkwabitz233
    @nkwabitz2335 жыл бұрын

    Idd Amn dada

  • @hemedytengu5718
    @hemedytengu57186 ай бұрын

    Hiii history sio rafiki kabisa maana uongo nimwingi kuliko ukweli,, pumbavu sanaa

  • @ivancharles578
    @ivancharles5785 жыл бұрын

    Iko pow sana

  • @abangaabanga4677
    @abangaabanga46775 жыл бұрын

    Da unaelezea ka ulikwepo vile, safi sana

  • @ramadhanimandoa4058
    @ramadhanimandoa40585 жыл бұрын

    Historia kaichakachua nyerere sababu ya chuki zake za kidin kati yak na idd amin ,lakin ualisia amin hakuw muuaj

  • @ramadhanboi6485

    @ramadhanboi6485

    4 жыл бұрын

    Ramadhani Mandoa asante kwakusema ukweli broo kwasababu ukienda uganda mshikaji anajulikana kama legend

  • @anthonybenedict3307
    @anthonybenedict33075 жыл бұрын

    Zamani waliolewa wadogo..ila siku hizi wanachezewa wadogo alafu hawaolewi

  • @josephjiloya7805

    @josephjiloya7805

    5 жыл бұрын

    duh

  • @yasinamiri7649

    @yasinamiri7649

    5 жыл бұрын

    Acha ushabik wa kijinga na sikwel waliolewa wajiwa wadogo usicho kijua uliza ili ujue bro

  • @vuaipanduhaji3681

    @vuaipanduhaji3681

    4 жыл бұрын

    Ha ha haa 😂😂😂 imepenya iyooo

  • @reginambawi7103
    @reginambawi71035 жыл бұрын

    jamaa unajuwa kuelezea sana bi gup..rest in peace Mwl.juliusi kambalage nyerere hakika umetuokoa

  • @majidshaibsaid7389
    @majidshaibsaid73895 жыл бұрын

    Nice for good story

  • @davidowino4262
    @davidowino42625 жыл бұрын

    Kaka mpaganzi upo vzr sana tena sana..never seen

  • @yusufally6853
    @yusufally68534 жыл бұрын

    IDD amin nduri...hakika kifo na mizani kisha utalipwa kulingana na hesabu zako...we mwenyezimungu uwalipe hawa madhalimu walioyafanya. .adhabu ya jahannam mileelee.kwan wanaweza kuuua lkn kuumba ni uwezo wako tu ya rabbi.

  • @yusufally6853

    @yusufally6853

    4 жыл бұрын

    Uwalipe laaana tu LLAH hao adhabu isiyokomma

  • @al-bashirclinic3326
    @al-bashirclinic33265 жыл бұрын

    tnx for enlighten

  • @reyham1722
    @reyham17225 жыл бұрын

    Sauti mashallah uwiiiii sipat picha ukiwa......😍😍😍😍

  • @laurentbudu9862
    @laurentbudu98624 ай бұрын

    Nakubal sana kaka kwa kazi zako

  • @billyotienojuma9932
    @billyotienojuma99325 жыл бұрын

    i loovw your information

  • @elizabethmhapa3658
    @elizabethmhapa36585 жыл бұрын

    Asante kaka

  • @user-um4dt5dn6l
    @user-um4dt5dn6lАй бұрын

    Dah noma sana

  • @symonnduati5849
    @symonnduati58494 жыл бұрын

    Hongera waelezea vyema sana

  • @frenklubago5748
    @frenklubago57485 жыл бұрын

    Vzuri sana

  • @godsonhance684
    @godsonhance6845 жыл бұрын

    Kazi nzuri sana msimulizi upo vizuri

  • @aishalyova5751
    @aishalyova57515 жыл бұрын

    Kaka uko vizur mpka raha big up sana

  • @zaituniintiaz8431
    @zaituniintiaz84315 жыл бұрын

    No comment mana sijui nani mkweli

  • @omarmhmammed216

    @omarmhmammed216

    5 жыл бұрын

    Zaituni Intiaz historia haikusanyi mabaya tu hata mazur nayo muyaseme

  • @allyclassic1768
    @allyclassic17685 жыл бұрын

    Uko vizuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii xanaaaaaaaa xafiiiiiiiii

  • @shaabandede4814
    @shaabandede48145 жыл бұрын

    Umetisha San bro mungu akutangulie

  • @abdulrahmanhussein1644
    @abdulrahmanhussein16445 жыл бұрын

    Muwe mnajitahidi kupata taarifa sahihi.amini alipendwa na waganda je mnajua kwann.kwann walitaka azikwe Uganda?

  • @jemakhalifa6807

    @jemakhalifa6807

    4 жыл бұрын

    tujuze

  • @ilumbohaby3271
    @ilumbohaby32714 жыл бұрын

    Uko vizuri sn sijutii MB zangu

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud47415 жыл бұрын

    STORY NZURI SANAAA

  • @iyobotz4746

    @iyobotz4746

    4 жыл бұрын

    Da saf sanaaaa

  • @jamesmyoka8846
    @jamesmyoka88464 жыл бұрын

    Global nawakubali kwa kutoa elimu njema kupitia tv yenu

  • @yusuphasenga8192
    @yusuphasenga81924 жыл бұрын

    Safini sana

  • @kokudo8389
    @kokudo83895 жыл бұрын

    Umbali kutoka kwenye hasira ni mdogo

  • @twaliburamadhani912
    @twaliburamadhani9124 жыл бұрын

    mwanangu unajua sana

  • @kiblamchengule8394
    @kiblamchengule83944 жыл бұрын

    Anaitwa yasini arafat