HII NDIO SABABU YA WANAUME ZANZIBAR KWENDA SOKONI

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#Habari #KtvTzOnline
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
Wasiliana nasi kupitia number
+255 625 323 932
Ktv Tz Online Journalists
cc: Sadia Rashid
cc: Juma Maulid
cc: Masoud Maganga
cc: Sauti
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Пікірлер: 71

  • @hassanturky7511
    @hassanturky75114 жыл бұрын

    Alhamdulillah hali nzuri bado. Imani ipo.

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime57174 жыл бұрын

    Znz oyeeee naipenda sana znz yetu na waliomo ndani ya znz

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf95664 жыл бұрын

    Shukran Ktv tz online hakika hii ni FAHARI yetu

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi51044 жыл бұрын

    Mwanamke ni diamond hatakiwi haitakiwi kuzurura mashallah wazanzibari Allah tutunzie utamaduni wetu

  • @courtoiskimweli2506

    @courtoiskimweli2506

    4 жыл бұрын

    Kwa maisha ya sasaiv hakuna ivyo lazima wanawake nao wachakalike enzi za mtume ndokulikuwa kunaizo tamaduni lkn sio enzi hizi

  • @mwatumsaidi5104

    @mwatumsaidi5104

    4 жыл бұрын

    @@courtoiskimweli2506 kuchakarika na kuzurura mambo mawili tafauti hata mke wa mtume akijihangaisha na mabiashara

  • @maryammct3967
    @maryammct39674 жыл бұрын

    Mwenye hanawivu hato ingiya peponi dini inavyo sema isllam❤❤👍

  • @naimamwambe8083
    @naimamwambe80834 жыл бұрын

    Zanzibar yetu iko wapi zaman ilikuwa hata mwanamke kumuona sokoni ni Bahati mbaya bado sikuizi wamejaa Tele Mila zetu nazipenda sijui kwanini wanatuingilia kuziharibu M'mungu tuhifadhie zanzibar yetu

  • @LaBboogo
    @LaBboogo4 жыл бұрын

    Mwanamke ni almasi haitakiwi kuwekwa ovyo na hivi ndivo alivotufundisha mtume (S.A.W) tuwe na mapenzi na wake zetu na kuoneana huruma

  • @SalimAhmed-yn9gd

    @SalimAhmed-yn9gd

    3 жыл бұрын

    Ndio wivu asie na wivu hana dini.

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf95664 жыл бұрын

    Mm nimewapenda haswaaaa wanaume wa zenji yani raha haswaaa nilikua nakuchukia sokoni hususani ikinyesha mvua nakulivyo kuchafu hongera sana wanaume wa zenji

  • @aliy3303

    @aliy3303

    4 жыл бұрын

    Zayyati. Mola atukutanishe tuonane. I miss you my sister

  • @issamohammed2458

    @issamohammed2458

    4 жыл бұрын

    Zayyati Miaka ya nyuma hakukuwa na mwanamke akienda sokoni kabisaaa, leo unakuta wauzaji wanawake na itafika wakati hutokuta wanaume sokoni.

  • @zayyatiyussuf9566

    @zayyatiyussuf9566

    4 жыл бұрын

    @@issamohammed2458 sasa hivi wanauza wanawake sokoni zenji eeeeeee? Napenda haswa unijuze kama 👍au 👎ilinimalizie kuzungumza

  • @zayyatiyussuf9566

    @zayyatiyussuf9566

    4 жыл бұрын

    @@aliy3303 Hujambo Akhuy upo lakini nimekumiss pia mm zamiaka

  • @issamohammed2458

    @issamohammed2458

    4 жыл бұрын

    @@zayyatiyussuf9566 wanawake masoko yote ya unguja wapo wanawake wenye kufanya biashara, hata kuuza samaki, Zayyati kazi ya kuuza samaki ni ngumu maana mwanamke ni mtu wa manguwo manguwo sasa niambie yakisharowa mavumba na atashinda nayo kutwa kazi yenyewe kuchezea maji ya vumba MTIHANI

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung24104 жыл бұрын

    Ni saw sana sis wanaume kwenda markti

  • @khadijaa815
    @khadijaa8154 жыл бұрын

    Ndio inavotakiwa kidini mwanamme ndio apeleke kila kitu nyumbani

  • @salumbabesh8828

    @salumbabesh8828

    4 жыл бұрын

    iyo ndo mzr mwanaume aende sokoni mwnyewe

  • @omarmuhnzi7412
    @omarmuhnzi74124 жыл бұрын

    Sokoni Kuna manyaku nyaku Mke hapekekwi Sokoni kumpeleka Sokoni ni Sawa na kumuuza kwa bei ya Mnada.

  • @khamisjuma5046
    @khamisjuma50464 жыл бұрын

    Salam zangu message from USA 🇺🇸

  • @issamohammed2458
    @issamohammed24584 жыл бұрын

    Zama hizo kwa hapo soko la darajani mlango wa katikati baina soko la samaki na nyama WANAWAKE walikuwa hawakatizi wakizunguka pembezoni mwa soko, lakini huu ulimwengu wa utandawazi mwanamke atazurura sokoni kila kipembe akisafi yeye.

  • @yasodishonest9792
    @yasodishonest97924 жыл бұрын

    Mashaallah vizur

  • @issamohammed2458
    @issamohammed24584 жыл бұрын

    Zama hizo sisi tulipokuwa wadogo tukitumwa sokoni huwakuta akina mama wapo pembezoni mwa soko wakiwa wamejistiri vizuri hadi kujishushia vitabaa vya mabai bui usoni na hutwita na kutuagiza wanachohitaji na huwatumikia kwa uadilifu tu pasi na kuwakimbia au kuwakatalia.

  • @khadijamohanani6476
    @khadijamohanani64764 жыл бұрын

    Wow mashaallah

  • @fdhjffdhjfsjdjfjfi9477
    @fdhjffdhjfsjdjfjfi94774 жыл бұрын

    Uislam umekuja kumkomboa mwanamke kutokana na kila hali nisisi 2 wenyewe kujingiza kwenye mambo mengine hifadhi ndio ngao yake

  • @maryammct3967
    @maryammct39674 жыл бұрын

    Mashallah raha kweli👍👍👍👍👍👍❤❤❤

  • @Amneamne-qi2du

    @Amneamne-qi2du

    4 жыл бұрын

    Masha'allah wana wake awa umizi vichwa

  • @oparetionmaalum9030
    @oparetionmaalum90304 жыл бұрын

    Ni utamaduni ambao tulio urithi kwa waarabu lakini pia tunawajali wakezetu hatupendi kuwaaanika masokoni

  • @amourmtungo623
    @amourmtungo6234 жыл бұрын

    Ni utamaduni wa Kiislamu kwa kweli. Lakini sio wivu au vibaya kufanya hivyo. Mbona wanawake wengi hivi sasa wanaenda wenyewe. Ila wapo wenye msimamo mkali wa Kiislamu hawatamruhusu mke kwenda sokoni.

  • @khamisihaji2905
    @khamisihaji29053 жыл бұрын

    Huyo si mzanzibar hajui hasa.

  • @biramsakh9212
    @biramsakh92124 жыл бұрын

    Kiasili hasa mwanamke wa kizenji haonekani masokoni

  • @chulbulturky
    @chulbulturky4 жыл бұрын

    Sunnah mwanamme kwenda sokoni

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo43824 жыл бұрын

    KWA SABABU WENGI WANGELI FILISIKA MAANA, WANAWAKE HUREGEZA MACHO NA SAUTI ILI WAPEWE VITU BURE.

  • @saidmo8392
    @saidmo83924 жыл бұрын

    Rekebisha sio wanaume wengi watu wa bara hawako hivyo hiyo ni asili ya mzanzibar halisi

  • @rasykizanjbari4996
    @rasykizanjbari49964 жыл бұрын

    Mwanamme ndo wa kwenda sokoni haswa kiilivyo yeye ndo mchumi

  • @abamohamed7092
    @abamohamed70922 жыл бұрын

    Jamani hii nadhani ni mwalimu wa ziwani

  • @abamohamed7092
    @abamohamed70922 жыл бұрын

    Sauti ya mwalimu wa ziwani

  • @user-qe9ot4kl9u
    @user-qe9ot4kl9u4 жыл бұрын

    Ngoja ikaribie sikukuu uone darajani kunavyofurika mabaibui na visuruali vya kubana, tuseme ni utamaduni tu

  • @saidahajimgeni8893
    @saidahajimgeni88934 жыл бұрын

    Zenji zenji nimekumiss wewe😟

  • @yussufhaji3335
    @yussufhaji33354 жыл бұрын

    Sio kweli kama BARA wanaume hawaendi sokoni navojua nimila za pwani kote mm

  • @zendopkop2310
    @zendopkop23104 жыл бұрын

    Mtangazaji ukitaka kujua mambo ya watu fulani basi waulize Wao tu Sio kuwachanganya na wengine utapata deffirent opinion

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd40954 жыл бұрын

    hayo ni mapenzi wala haiiongikiani na masuala ya wivu. wanaume wa zenj ni wachumi. tumejaaa mahabba na mahabba sio km wenzetu kazi kutiana mapanga kuchomana moto na majisu

  • @zayyatiyussuf9566

    @zayyatiyussuf9566

    4 жыл бұрын

    Dunia langi langele aso hili ana lile

  • @chulbulturky
    @chulbulturky4 жыл бұрын

    Kama hana mume anaweza kwenda hajakatazwa

  • @shamsahaji6202

    @shamsahaji6202

    4 жыл бұрын

    Ndio na ni kawaida na hata akiwa na mume hakatazwi itakua ni mapenzi yake tu wala hamna shida

  • @chulbulturky

    @chulbulturky

    4 жыл бұрын

    @@shamsahaji6202 ndio

  • @josej9888
    @josej98884 жыл бұрын

    Kuna matumizi mengine yamwanamke, halafu wanaume wa Zanzibar wana wivu wakupita kiasi, halafu niwatu hatari kwa kuchepuka!!

  • @rizikisalum9678

    @rizikisalum9678

    4 жыл бұрын

    Hiii wanaume wazanzibar wanachepuka kuliko wapara🙄🙄

  • @zayyatiyussuf9566

    @zayyatiyussuf9566

    4 жыл бұрын

    Mtalam wa kujua zenji ikoje

  • @josej9888

    @josej9888

    4 жыл бұрын

    😂

  • @sikandaryakoub3777
    @sikandaryakoub37774 жыл бұрын

    Wanawake ukiwapa pesa wanabania kwenda sokoni

  • @ibrahimali-tf1or
    @ibrahimali-tf1or4 жыл бұрын

    Mwanamke ni nyumbani kazi za soko nizakiume Mimi kazi yangu kumwambia tu mahitaji yangu

  • @zulfahaji4666

    @zulfahaji4666

    4 жыл бұрын

    Naenda akiwa hayupo lisilobudi nafsi ya ngu sikupendi

  • @mwanaateahmed5861
    @mwanaateahmed58614 жыл бұрын

    Sokoni na sie tuende sometime

  • @allyhamad707
    @allyhamad7074 жыл бұрын

    Mwanamke sio mtu wa masokon

  • @simbalion2871
    @simbalion28714 жыл бұрын

    Mwanamke mtu wakutunzwa

  • @madatamponeja8777
    @madatamponeja87774 жыл бұрын

    Mwanaume kwenda sokoni si sawa ni ubaili tu apo amna kingine

  • @issamohammed2458

    @issamohammed2458

    4 жыл бұрын

    mimi mwaume ndio mtafutaji na mwamke ni mtayarishaji. waname wa sokoni ni wahongaji sana na mwamke ukimwona anapenda kwenda sokoni anatafuta mambo mengine.

  • @sadiaabed6687
    @sadiaabed66874 жыл бұрын

    Ni wivu wa mapenzi ama hakuna utamaduni sasa dunia sio ya sasa na pia wengine wanapata sababu ya kama anakimada na pia wanawake pia mwanamke kutembea nikufanya viungo visilegee utakuta mama kachoka kuhema sasa utakuwa mume unampa maradi na presha

  • @gangmore9091

    @gangmore9091

    4 жыл бұрын

    No dini ndio imesema ivo mungu ndio amesema mwanamke stara

  • @mbarooksleiman2917

    @mbarooksleiman2917

    4 жыл бұрын

    ww mwandishi kamilisha mahojiano yako kwa kuwahoji viongozi wetu wadini

  • @rizikisalum9678

    @rizikisalum9678

    4 жыл бұрын

    Mtume saw ndie aliefundosha Kama unaona kakosea waeza fanya sahihi

  • @dhiabmohammed4238

    @dhiabmohammed4238

    4 жыл бұрын

    Stara kwa mwanamke na inaepusha mambo mengi sana katika jamii fitna na hata misiba tushasikia kesi nyingi kwa jamii zengine hufikia kuuwa mpaka watoto wao sabubu ni wivu sasa bora kuepusha kabla kufikia huko

  • @AhmedAli-xw6xf
    @AhmedAli-xw6xf4 жыл бұрын

    Sasa mbn face za wadda wa znz hamukutonyesha ama ndio wa bara hawana aib

  • @ahmeidyoung2410

    @ahmeidyoung2410

    4 жыл бұрын

    Hahahah ata sijui

  • @issamohammed2458

    @issamohammed2458

    4 жыл бұрын

    hata adabu, ndio maana ukaambiwa mwanamke sio mtu wa sokni, hao waliogeuka ndio angalau wana heshima zao, na hao ndio wenye kukuudhini.

Келесі