EXCLUSIVE: MJUE JOB NDUGAI "SPIKA ALIYEJIUZULU" Tangu AONDOKE HAJULIKANI ALIPO"na ASIKIKI KABISA
Ойын-сауық
Fuatilia Mkasa Huu Mwanzo Mwisho Hapo Tutakufahamisha NI wapi Spika ALIYEJIUZULU Kwasasa Yupo wapi Na kwanini Amekaa KIMYA Kipindi chote hichi
• MAISHA YA VIONGOZI
#simulizinasauti #wasafimedia #cloudsmedia #exclusive #millardayo #dullysantz #santzmedia #ccm #efm #history
Пікірлер: 24
Ndugai Oyeee
Tumemchoka mama tunatam atoke halaka
Hapa kuna KICHWA !! Watu kama hawa hatutawasahau .😊
Ndugai anayopitia ndio majibu yawatu kama yy hapa duniani ni mmoja ya watu washenzi wakubwa wapatapo nafasi za uongozi
@Santzmedia
3 күн бұрын
😥
JOBU YUSTINO NDUGAI MWANASHERIA NGULI MBUNGE MIAKA ZAIDI YA 20, NAIBU SPIKA, SPIKA NA KADHALIKA.
@Santzmedia
14 күн бұрын
Safi "Short story
Agombee urais
Anafaa kuwa rais, maana anauchungu na nchi yake hataki mizigo ya kukopa
Ndugai jiwe
@Santzmedia
9 күн бұрын
👊👊
Ndugai alisema ukwel, na alisema kua nchi itauzwa, kwasabab aliyaona ndio maana aliyatamka, ndio haya yanayoonekana leo hii nazan mnafaham yaliopo bandalin na nengneo
@Santzmedia
9 күн бұрын
📌
@wadeelegbogun3015
3 күн бұрын
Kweli kabisa
Leo mama anasema amechoka kukopa.
@Santzmedia
2 күн бұрын
😆😆
Ndugay yupo na atajitokeza
@Santzmedia
12 күн бұрын
Umemaliza📌🤝
Ni kweli rais wa mpito ,2O25 mama kapumzike.
@Santzmedia
3 күн бұрын
😆😆😆
Uongozi ni kiti cha daladala huenda akapandia hapo mbele kwa mara nyingine coz huyo ni miongoni mwa wasafiri wazuri tu, tena akiwa miongoni mwa watakaokaa seat ya mbele kabisa 😢😮😮😮
@Santzmedia
7 күн бұрын
😢
Ndugai Oyeee
@Santzmedia
Күн бұрын
🤷🤷