8. Kuundwa Afro Shirazi Party, Zanzibar

Sheikh Ali Muhsin Barwani aneleza vipi Afro-Shirazi Party (ASP) imeundwa na Nyerere pamoja na wakoloni wa Kingereza. Makusudio ya kuundwa ASP ni kupinga chama cha ZNP (Hizbu).

Пікірлер: 40

  • @user-yy6vy4xu2s
    @user-yy6vy4xu2s3 ай бұрын

    Mungu akulaze pema mzee wetu

  • @AM-xi4sy
    @AM-xi4sy4 жыл бұрын

    Nyerere alikua na chuki kubwa sana na Zanzibar

  • @ussikhamisussi4882
    @ussikhamisussi48826 жыл бұрын

    Knowledge kubwa sana kwa wale walioharibiwa vichwa vyao na vitabu.

  • @jumasaid5215
    @jumasaid52157 жыл бұрын

    Very sad to loose this celebrity, he's brain of Zbar.

  • @jumaa2856
    @jumaa2856 Жыл бұрын

    We mzee salum uwe na heshima,u

  • @asrymohd6690
    @asrymohd66904 жыл бұрын

    Nimekuelewa mzee

  • @hajimakame1062
    @hajimakame10624 жыл бұрын

    Ndio mzee alokua hayapendi maogezi yako ni mtwana wa kibara ndoyayokua hayana uchungu ba na visiwa hivi washezi wakubwa wazungu kutoka waegreza ndo walotugawa sie watu wa visiwa vya Zanzibar na kibaraka wao nyerere na karume

  • @rajpatesh3631
    @rajpatesh36318 жыл бұрын

    bring more videos so zanzibar people can lean more history

  • @MzeeBarwani

    @MzeeBarwani

    8 жыл бұрын

    +Raj Patesh Mpaka sasa hatuna nyengine. Tukipata tutaweka.

  • @MzeeBarwani

    @MzeeBarwani

    8 жыл бұрын

    +Raj Patesh Angalia part 15 - 26 Aman Thani ankumbuka mavamizi ya Zaqnzibar.

  • @bilbenmoraes4006
    @bilbenmoraes40065 жыл бұрын

    I was born in unguja and my father worked for Ali Barwani as a tailor.

  • @shamsisaady4029

    @shamsisaady4029

    4 жыл бұрын

    So which message did you intend to convey here? It seems your statement is incomplete.

  • @khalidkadhimuhija1708

    @khalidkadhimuhija1708

    3 жыл бұрын

    Wow. Where are you now

  • @salummzee9739
    @salummzee97394 жыл бұрын

    Wazazi wetu mume watia mimba wakazaliwa watoto hawana baba tunajua yote Kuna Mshenzi moja anaitwa Said Saudi alikuwa na tomba bibi zetu kwa nguvu akiwa hataki ana chukuwa kwa nguvu jee mema haya mulotenda acheni utumwa km mulitawaliwa na warabu nyny Vibaraka

  • @hassansimbano9869
    @hassansimbano98695 жыл бұрын

    Amani thaan kwa mbali

  • @leblue4768

    @leblue4768

    2 жыл бұрын

    Ivi Amani thani bado yuko hai?

  • @GlobalSouthObserver
    @GlobalSouthObserver2 жыл бұрын

    Ufalme wa kiarabu hautorudi Zanzibar tena

  • @111dudi

    @111dudi

    2 жыл бұрын

    Waarabu walikuwa ni vibaraka wa waingereza katika kuitawala Zanzibar. Wengi wao walikuwa wameoleana na waafrika. Wabantu wote ni wakuja Znz, hao wanaojiita washirazi, weusi kama wabantu. Shiraz iko Iran, mbona wao hawabaguliwi? Kasome kijana, inaonyesha hujui historia

  • @Kjswiftc

    @Kjswiftc

    8 ай бұрын

    This is not arab, this is an iranian

  • @salummzee9739
    @salummzee97394 жыл бұрын

    Na km mshamba munadai yenu mume yapata wapi na mumekuja tu kuvamia, sio kweli ubaguz upo mwarabu haku muowa mwanamke wa kiarabu mpk leo yapo, elimu munapeana wenyewe tu,

  • @yussufhamad5801
    @yussufhamad58013 жыл бұрын

    Mulikua Hugo nyerere mumtiye mapanga iwe musho was fitna

  • @salummzee9739
    @salummzee97394 жыл бұрын

    Sasa nyinyi warabu kwani Zanzibar yenu hata museme mumepinduliwa mbona muna tuweke fitina ktk Zanzibar yetu machotara kwao

  • @extramoments7254

    @extramoments7254

    3 жыл бұрын

    Wewe mwenyewe mnyamwezi wa kuja. Kaulize wazee wako watakwambia

  • @yanamwisho871

    @yanamwisho871

    3 жыл бұрын

    Mbona hata wewe jina lako ni la kiarabu nakushauri ubadilishe jina

  • @salummzee9739
    @salummzee97394 жыл бұрын

    Sasa ww jee unatoka wapi au ndio umezaliwa nje ya ndoa mama yk ametiwa mimba ukazilowa wachani chuki hizo

  • @alialamoudi9729

    @alialamoudi9729

    2 жыл бұрын

    Huyo mwanasiasa katika serekali mpumbvu hujui kitu

  • @muhidinali8180
    @muhidinali81804 жыл бұрын

    Kama huna la kuchangia usiitewatu washenzi hawa sisi niwazeewetu wametoamchango mkubwasana

  • @UNO-xt7we

    @UNO-xt7we

    4 жыл бұрын

    Mchango wa kuuwa watu ? Wewe muislamu kweli lakini

  • @ladislausngoyinde4384
    @ladislausngoyinde43846 жыл бұрын

    wanshenzi wakubwa mmetunyanyasa sana

  • @shamsisaady4029

    @shamsisaady4029

    4 жыл бұрын

    Ulikuwepo wakati mnanyanyaswa?

  • @lenniefei6710

    @lenniefei6710

    4 жыл бұрын

    Kunyanyaswa na kipi?!

  • @khamissaleh921

    @khamissaleh921

    4 жыл бұрын

    Ladislaus Ngoyinde mbona huwleweki nani kanyanyaswa kwani wewe ulinyanyaswa na nani zanzibar tuone

  • @masoudmasoud8138

    @masoudmasoud8138

    4 жыл бұрын

    Msenge tu wewe nani aliekunyanyasa weeee

  • @ladislausngoyinde4384

    @ladislausngoyinde4384

    4 жыл бұрын

    @@masoudmasoud8138 mnatumia kila njia kufcha ukwel lkn hamtaweza