7 Siku ya Kwanza kwa Bamkwe

Aman Thani Fairuz anaendelea kutueleza yaliyomfika kwa Bamkwe (Mandera). Huko kakmkuta Mzee Kenyata aliekua Afro-Shirazi mkubwa kafungwa ndani. Mzee Kenyata aliongoza mgomo wa wafanyakazi gatini katika mwaka 1948. Mzee Kenyata akawaeleza nini la kutaraji jela hiyo.

Пікірлер: 14

  • @majidhassankhamis9501
    @majidhassankhamis95015 жыл бұрын

    Daah asanteee sana mzee kwa kutufungua macho

  • @saidahmed9688
    @saidahmed96882 жыл бұрын

    aman thani allah akusameh dhambi zako

  • @ludacrissrangiyabank3737
    @ludacrissrangiyabank37375 жыл бұрын

    Safi sana kwa kutujuza

  • @princenyakurungwi6925
    @princenyakurungwi69254 жыл бұрын

    Jaman huyu mandera alikuwa MTU wa wapi

  • @ussikhamisussi4882

    @ussikhamisussi4882

    4 жыл бұрын

    Prince Nyakurungwi; Alikuwa ni mkuu wa moja ya jela za Z'bar, lakini alikuwa ana asili ya bara kama wakina Kilozi.

  • @princenyakurungwi6925

    @princenyakurungwi6925

    4 жыл бұрын

    @@ussikhamisussi4882 watanganyika kumbe wameishika Zanzibar tokea waondoke waarabu na wazungu mpaka Leo Hatar kweli kweli

  • @ussikhamisussi4882

    @ussikhamisussi4882

    4 жыл бұрын

    Prince Nyakurungwi; Yeah, Serikali ya kweli iliyoshikwa na Wazanzibari wenyewe ni ile iliyodumu miezi kadhaa tu ambayo kutoka mwaka 1963 wao(Malmalaka ya Bara) wakadanganya dunia; kwa kuita ni uhuru wa bendera. Ndio ikawa nchi huru ya Z'bar, hapo ndipo Watanganyika wakaiona hiyo ni fursa sasa ya kuinyang'anya madaraka nchi ya Z'bar na kuitawala kabisa baada ya kuona haina nguvu kama Bara ila iliwashinda maendeleo Afrika mashariki yote na kati, hakuna anayekataa hilo. So, wanaume wa Tanganyika wakaingia kazini mwaka 1964 wakishirikiana na wale wengine waliokwisha kuwepo na wengine kutumwa kwa makusudi kuja Z'bar kwa dhamira hiyohiyo ya kuipundua na walifanikiwa kwa kweli na ndio mpaka sasa Z'bar ni koloni la Tanzania bara, hakuna asiyejua.

  • @princenyakurungwi6925

    @princenyakurungwi6925

    4 жыл бұрын

    @@ussikhamisussi4882 kweli kabisa uliyo yasema,ila jee hawa vuongozi wa Zanzibar hawalijuwi hili au

  • @ussikhamisussi4882

    @ussikhamisussi4882

    4 жыл бұрын

    Prince Nyakurungwi; Wanalijua vzuri sana ila wapo kwa ajili ya maslahi binafsi, ni vibaraka tu