Wafanyibiashara walalamikia kukaa muda mrefu kwenye barabara

Wafanyibiashara walalamikia kukaa muda mrefu kwenye barabara
Wanalalamikia msongamano unaoshuhudiwa kwa mgomo wa madereva
Madereva wanagoma wakilalamikia malipo na sheria za kupimwa corona

Пікірлер: 7

  • @daudidaudi3106
    @daudidaudi31062 жыл бұрын

    Kenya wanatangaza covid ni kama wanaipigia debe, usiyalaumu mataifa mengine yakiogopa wakenya kuingia kwao. Wanaitangaza ni kama matangazo hayo yanawafaidi halafu na masharti za kibwege, wengine walishaamua kuendeleza maisha yao bila v.a vikwazo.

  • @shebbahflourence6896
    @shebbahflourence68962 жыл бұрын

    Why don't the contractors make three routes or roads, tracks Kwa line Yao, Kila make of gari Kwa line yake..shame on you Uhuru

  • @Actor_bad24IK
    @Actor_bad24IK2 жыл бұрын

    This trade policy misalignment is clogging down the growth of E.Africa.Clear Covid1 guidelines should be drawn and agreed upon by both Kenya and Uganda

  • @scattx
    @scattx2 жыл бұрын

    The road to success is very long let's keep that in our minds

  • @millicentayangokunting3728
    @millicentayangokunting37282 жыл бұрын

    Nini inasumbuwa uhuru

  • @Okolotube
    @Okolotube2 жыл бұрын

    Railways and shipping across the lake is the solution....

  • @nuuradan8264
    @nuuradan82642 жыл бұрын

    Kama driver Hana haki sirkali aseme driver ndio mambo yote