No video

Rigathi Gachagua alazamisha rais Ruto kutangaza msimamo wake kuhusu vita dhid ya pombe haramu

Rais William Ruto Sasa Anasema Kati Ya Mabadiliko Yaliyofanywa Katika Idara Ya Polisi Yalinuia Kuwaondoa Maafisa Ambao Wamekuwa Wakishirikiana Na Wafanyabiashara Wanaolemaza Vita Dhidi Ya Vileo Ghushi. Ruto Amefichua Hili Alipozungumza Katika Ibada Ya Jumapili Eneo La Ndaragwa Kaunti Ya Nyandarua Baada Ya Naibu Rais Rigathi Gachagua Kumtaka Kutoa Msimamo Wake Kuhusu Swala Hili.

Пікірлер: 103