Wachimbaji wa madini watwangana na mwekezaji, Waziri aingilia

Wachimbaji wadogo wa madini ya dhahabu katika Kata ya Handali wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma wametangwana na mwekezaji wakigombea eneo la uchimbaji.
Kufuatia mgogoro huo, Waziri wa Madini, Antony Mavunde ametoa maagizo matatu ikiwemo kupiga marufuku kwa mgeni yeyote kwenda eneo la uchimbaji bila msaada wa kiufundi uliosajiliwa na wizara yake.

Пікірлер: 21

  • @VcentPaul
    @VcentPaul4 күн бұрын

    Mtanikumbuka Kwa mema , Na Wala si Kwa Mabaya , R.I.P - Mzee Magu . Sasahivi Shamba la bibi limeludi halina uzio Tena

  • @geey7893
    @geey78934 күн бұрын

    Magufuli alisema mtamkumbuka

  • @Zenny89
    @Zenny894 күн бұрын

    Wawekezaji wapi…Wezi haoo😆

  • @philimonmtweve4522
    @philimonmtweve45224 күн бұрын

    Huyu salikuwa mtangazaji,

  • @CotridaKigwile-d6p
    @CotridaKigwile-d6p3 күн бұрын

    Hii nchi ngum

  • @Worldunite
    @Worldunite4 күн бұрын

    Yaani huyu mchina analeta ubabe kwa wazawa jamani????😢😢😢 Ukitaka kujua walivyo huko kwao nenda kafanye ubabe km watakuacha salama. Na hata kama ana kibali cha kuchimba angefuata utaratibu na sio kupigana na wazawa

  • @user-mc3du2rz8l
    @user-mc3du2rz8l4 күн бұрын

    MH WAZIRI.....ZINGUKA MIKOA YOTE...UONGEE NA WACHIMBAJI WADOGO WAKUPE DATA, WAGENI WANAINGIA KUZURUMU LASILIMALI VIJIJINI

  • @BIGBOSS-hl3bu
    @BIGBOSS-hl3bu4 күн бұрын

    Tatizo mh nkamia ulichokosea ni kununua SEHEMU ambayo watanzania wenzako wanajipatia riziki HALALI siungefanya utafiti eneo jingine

  • @RenaldaZeramula
    @RenaldaZeramula4 күн бұрын

    Mbona hamna choo hapo.

  • @raphaelkessy7360
    @raphaelkessy73604 күн бұрын

    Nkamia acha ubabaishaji una wa zuia wata ishije

  • @user-lr1sd3wq4d
    @user-lr1sd3wq4d4 күн бұрын

    Watanzania tumezidi kucheka cheka. Mali zetu wanapewa kumiliki waja sii tunatumbua mimacho kodo😊😊

  • @awatifalghanim1106

    @awatifalghanim1106

    4 күн бұрын

    Kwasababu ujinga mwingi sana wanao.

  • @rehemashabaniameen
    @rehemashabaniameen4 күн бұрын

    Namie nataka duara ni bei gani

  • @gloriamichael7935
    @gloriamichael79354 күн бұрын

    Wa China ndo walivyo ubabe

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb4 күн бұрын

    Ulfuta utaratibu

  • @daviddonatus8121
    @daviddonatus81214 күн бұрын

    Pumba tupu

  • @gilbertmwakalebela2862
    @gilbertmwakalebela28624 күн бұрын

    Nyie ndio chanzo cha mgogoro, mmetoa leseni sehemu ya mashamba ya watu. Waziri ata simuelewi anaongea nini

  • @healinggospeltz4762
    @healinggospeltz47624 күн бұрын

    Anaongea nn huyu

  • @uraiatv8455
    @uraiatv84554 күн бұрын

    Huyu Waziri anaongea nini?

  • @FredMwamgogwa-td6ni
    @FredMwamgogwa-td6ni4 күн бұрын

    😂😂😂😂

  • @Esterkomba-ef7eb
    @Esterkomba-ef7eb4 күн бұрын

    Mlitumia rushwa tu

Келесі