UTATA MKUBWA SHAMBA WALILOZIKWA MAREHEMU WA MV SPICE

Angalia Video Hii Mwanzo mwisho , Kisha Subscribe ili uendelee Kupata Habari Zote.
#Habari #KtvTzOnline
Follow Ktv Tz Online
Facebook | KTV TZ ONLINE
INSTAGRAM |@ktv_tz_online
cc: Sadia Rashid
cc: Masoud Maganga
Video Zingine:
Angalia hapa - Diamond Platnumz Alivyolisha watoto yatima
- Ali Kiba akiwa Oman
• ALICHOKIFANYA DIAMOND ...
• NI KWELI ALI KIBA AMNU...

Пікірлер: 255

  • @leilabuisha1952
    @leilabuisha19525 жыл бұрын

    mjue mwenyezi mungu anaona mnavo wadhulumu wanyonge haki zao' hapa duniani sote tunapita tutakufa na kiviacha vyote papa hapa..

  • @yussuphshilingi3258
    @yussuphshilingi32585 жыл бұрын

    Kama ndio mnaona sahihi mufanyavyo mungu atawalipa malipo Kama ya salmini nabado akhera adhabu zinawasubir 🔸🔸ogopa Dua ya mzulumiwa..

  • @salimmauly9575
    @salimmauly95755 жыл бұрын

    Mlevi wahed mmezoea dhulma hadi uongozi sasa mnadhulumu Mashamba Allah atakulipani mnachokichuma

  • @bimmasoud6638
    @bimmasoud66385 жыл бұрын

    Mbona wao mashamba wanayoyamiliki hawafanyi mava wanazidi tu kujenga mahoteli

  • @aishhasalim3639

    @aishhasalim3639

    4 жыл бұрын

    u77

  • @youngmohd1534
    @youngmohd15345 жыл бұрын

    Nakuonea sana huruma bi mdogo ww muombe mungu sana km haki yenu basi mutaipata tu na kama ilo shamba serekali munalitaka sio vibaya haki itendeke km sio lenu basi mufanye makubaliano na wenye shamba mulinunue mufanye Ayo mambo yenu tunapokwenda kugumu jamaa mungu amesema haki Qul haki usizulumu wala usizulumiwe

  • @sulymansalymaly3859
    @sulymansalymaly38595 жыл бұрын

    Inawezekana hawa wenye eneo hawana shida na hii sehemu kuzikiwa au kustiriwa binadam ila ubabe wa serikali na dharau ndio tatzo kubwa

  • @hamadsaidi9376
    @hamadsaidi93765 жыл бұрын

    Mama ameongea kwa utulivu na kasimama zaidi kwenye tauhid hakika mwenye kuzungumza kwa upole huku akitaraji malipo toka kwa mola wake hakosi malipo serikali ya mapinduzi ya zanzibar mujue mupo hatarini na mwenyezimungu atawalaani zaidi ya alivyowalaani

  • @zainasoud7164
    @zainasoud71645 жыл бұрын

    Huu msemo wa waardhi ni Mali yaserikali ubadilishwe unawanyonya wananchi wapi kimbilio la wananchi viongozi watumie hekma

  • @abrahmanabdullmalik3926

    @abrahmanabdullmalik3926

    5 жыл бұрын

    Nimekuelewa zai sud

  • @nurjahanabdulrahim9588

    @nurjahanabdulrahim9588

    5 жыл бұрын

    Yeah the Government should consider that the ARDHI which is of the wana nchi should be given to the people who owns the land

  • @wahidawahida6675

    @wahidawahida6675

    5 жыл бұрын

    Nikweli kabisa sasa ardhi mali ya serikali kwaiyo sis raia hatuna haki tz hi

  • @zuusaidibushiri5556

    @zuusaidibushiri5556

    5 жыл бұрын

    Mi naomba kuuliza jamani labda nakuwa na uelewa mdogo wanaposema ardhi ni mali ya serikali , serikali wameinunua kwa nani? Mwenye majubu anisaidie

  • @nasibugunda7927

    @nasibugunda7927

    4 жыл бұрын

    Ardhi ikiwa ni mali ya mtu binafsi watu wenye uwezo watamiliki sehemu kubwa kuna watu wananunua visiwa na kuvimiliki ni vyao kwaio angaliene pande huo pia isije Ardhi ya zanzibar Ikajakua kua chini ya umiliki wa mjinga mmoja mwenye hela zake

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf95665 жыл бұрын

    Mnajiona wageni na eneo lenu haki itendeke mtapata haki yenu Allah atakua msaidizi wenu haki yenu mtaipata in shaa Allah

  • @shehaabbas8294

    @shehaabbas8294

    5 жыл бұрын

    Unanikumbuka

  • @zayyatiyussuf9566

    @zayyatiyussuf9566

    5 жыл бұрын

    @@shehaabbas8294 sikukumbuki Nikumbushe hatasikuile uliniuliza nikasema sikumbuki nifahamishe bas

  • @shehaabbas8294

    @shehaabbas8294

    5 жыл бұрын

    Kunasiku ulusema unatamani kuolewa Zanzibar na uliniambia uko Oman ila mwezi watano utaenda tz kimatembezi sasa nilitaka kujua ulikua kwenye ukweli au matani

  • @shehaabbas8294

    @shehaabbas8294

    5 жыл бұрын

    Nakama ukweli jeee umesha ingia tz au bado

  • @shehaabbas8294

    @shehaabbas8294

    5 жыл бұрын

    Vilevile kivipi naweza kupata mawasiliano hadi kufika nakukamulisha lengo

  • @maulidkhatibu9279
    @maulidkhatibu92795 жыл бұрын

    kila MTU na mtazamo wake Mimi nasema penye ukweli basi uongo hujitenga pakipinduliwa subra ndo jambo jema kwa mwenyezi mungu sio mbali huko ndo kwenye uadilifu.

  • @leilabuisha1952
    @leilabuisha19525 жыл бұрын

    jamani tunakwenda wapi? mtu leo unanyang'anywa haki yako? Eti ni ya serikali wakati watu wanao ushahidi wa documents zote hizo?

  • @magibomwita8134
    @magibomwita81345 жыл бұрын

    Dah pole sana ndugu zetu ila nchi yetu inaendeshwa kibepari sana

  • @salummzee9739
    @salummzee97393 жыл бұрын

    Mitihani mikubwa maana unanikumbusha mbali dada yng Shida hio hata ss ilitufika ila Marehemu baba yetu alikuwa hai akafuatilia tukatiwa kipande kidogo ndio mpk sasa tunaishi na familia yetu tulikuwa tumeshataka kutupwa mwitumin huko tena tujengewe kibanda kimoja,,yaaan madaraka mabaya ila mola Atakujaliye kheri mutapata haki yenu

  • @zainabuahmed5910
    @zainabuahmed59105 жыл бұрын

    Mwandishi muoga ajabu Naona mlikuwa mnapiga porojo tu. Unaogopa kumchapa maswali Waziri?

  • @zayyatiyussuf9566
    @zayyatiyussuf95665 жыл бұрын

    Shukran Ktv tz online hakika hii ni FAHARI yetu

  • @kibojewee2710

    @kibojewee2710

    5 жыл бұрын

    0

  • @mumybhay6561
    @mumybhay65615 жыл бұрын

    haiwezekeni hii fammily naijua ni watu wa karibu na hii sehemu nishawai kwenda kama Mara 2 kwenye shguli zao na hili eneo kweli ni lakwao.

  • @emanuelmhoja2411
    @emanuelmhoja24115 жыл бұрын

    Na ninavyoijua Zanzibar lazima watadhulumiwa tu kwa kisingizio kuwa ni wakoloni wa kiarabu.

  • @mohdmussa5587

    @mohdmussa5587

    5 жыл бұрын

    Kwa kweli

  • @aminaame8219

    @aminaame8219

    5 жыл бұрын

    Mhoja masanja 7

  • @hamadsaidi9376
    @hamadsaidi93765 жыл бұрын

    Kwanini serikali mashamba yao wanajenga mahoteli si wafanye makaburi mbona hawa njaa kali ivi kwanza toka enzi kwerekwe lini ikajaa makaburi hayajai hawa mbwa wanatusumbua migombani lipo eneo kubwa kwanini wasifanye makaburi washenzi sana

  • @youngmohd1534
    @youngmohd15345 жыл бұрын

    Mungu tusitiri uko Zanzibar kila kiwanja cha serekali tu tunaenda wapi jaman ña kila kukisha Zanzibar yanaibuka mambo mapya serekali ya uko bwana mitihani kweli wale wanyonge ndio wanao teseka

  • @muhidinali8180
    @muhidinali81805 жыл бұрын

    wa zanzibar tunaongoza kwa dhulma ya ardhi hadi ardhi ya msikiti watu wanadulumu hawajali lakini mbele ya allah ndio wagonvi watakakokutana

  • @ramzangomez9597
    @ramzangomez95973 жыл бұрын

    Hawana haya Jku. Inshalah watapata kubainikaa

  • @lenniefei6710
    @lenniefei67105 жыл бұрын

    Wazanzibari licha ya matatizo kama haya mushukuru Allah kwa ardhi kua yote ya serikali na wala sio ya mtu binafsi kwani WaKenya tunateseka na kudhalilika kwa ubinafsisaji wa ardhi.Pwani yote ya Kenya imenyakuliwa na mabwenyenye,matajiri na watu kutoka sehemu za bara.Nawatakia suluhisho bora katika swala hili lakini nawasihi bora muache ardhi iwe mikononi mwa serikali ! YOU'LL THANK ME LATER.

  • @muhammedwakif6216

    @muhammedwakif6216

    5 жыл бұрын

    Hata hy zanzibar ardhi yote ya pwani ni imechukuliwa na Serikali na inawauzia wazungu

  • @youngmohd1534
    @youngmohd15345 жыл бұрын

    Zuluma mbaya sana na sikama hamjuwi Allah ataenda kukulizeni zanzibar bwana

  • @lovely10emoji49
    @lovely10emoji495 жыл бұрын

    Dhulma tu serikali ya znz mukheir family msikubali nendeni mbio Inshaa Allah Allah atakusimamieni mpate haki yenu.

  • @aminaviratu6839

    @aminaviratu6839

    5 жыл бұрын

    Acheni zulum kam hizo tena munambi nyingi muno mungu atawalaani

  • @hishammugheiry3724

    @hishammugheiry3724

    4 жыл бұрын

    Ndio power hio....

  • @hishammugheiry3724

    @hishammugheiry3724

    4 жыл бұрын

    Kila kitu kina mwisho wake,one day yes

  • @saheedaliali8676
    @saheedaliali86765 жыл бұрын

    Dhulmaaaaa mwisho wake ni motoniiiiii. mjueni mola wenu nyinyi viongozi mafisadiiiii loooh

  • @adillhabib2006
    @adillhabib20065 жыл бұрын

    mtihan sana jaman

  • @tonysolomon2841
    @tonysolomon28415 жыл бұрын

    Hapafai kutumia ardhi ya dhulma kufanyia ibada wala kuzikia kwa hiyo atakaeona dhulma ni sawa hiyari yake

  • @abdumazid7402

    @abdumazid7402

    5 жыл бұрын

    Ndomana zanzibat hamna bargain sasa kwa Zuma niko Omani sada

  • @mamaladfa8531

    @mamaladfa8531

    5 жыл бұрын

    Toka lini? Serikali kuwa na shamba dhuluma tupieni wamefanyiwa wananchi

  • @stonetown578
    @stonetown5785 жыл бұрын

    Allah atakufanyieni wepesi mpate haki yenu lakini mtihani

  • @king_agil6297
    @king_agil62974 жыл бұрын

    huyo jamaa wa mwanzo alosema viwanja vote vya serekali 😂kanichekesha kweli

  • @osamamaphonephone6274
    @osamamaphonephone62745 жыл бұрын

    Subhana Allah hii ndio dhulma,kwsbanu ni serikali wanajiona wanaueezo wakufanya wanacho jiskia na kunyanyasa raia lanatullah

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan63655 жыл бұрын

    Subhannallah, serikali ina dhulma.

  • @khamisame4732
    @khamisame47325 жыл бұрын

    Jaman serikali inataka kuwaluzu wenyewe kabla hawajaf inalilahi wainaihirajuuni jaman luzuma mbaa tena mbaa sana

  • @suuharoun5604
    @suuharoun56044 жыл бұрын

    Hawa wanaolalamika ni wajukuu lakini watoto wa mzee mugheiry ambao ndiyo warithi wa kwanza si wa zanzibar,maana ni ma balozi wa serikali ya Oman nchini German na Marekani,ikiwa serikali yetu hairuhusu kumiliki raia mbili,je serikali inaruhusu mtu asie raia kumiliki ardhi?ukiangalia kiundani waweza kuta hata huyo mzee mugheiry aliichukua ardhi kutokana na cheo chake,maana viongozi wengi wa serikali walikuwa wanachukua mali za serikali kuzifanya kuwa zao binafsi,wanasahau kuwa mali ya serikali ni mali ya wananchi woote,na tukumbuke pale serikali inaposema kuwa ardhi ni ya serikali ina maana ni ardhi ya wananchi soote na si ya ukoo au mtu binafsi...Allah atuzidishie hikma

  • @oscarezekiel1826

    @oscarezekiel1826

    Жыл бұрын

    Porojo rojo

  • @zahorrashid5459
    @zahorrashid54595 жыл бұрын

    Allah ajalie khaki itendeke kwasababu sisi waislam hatupendi kuhifadhiwa.ktk khaki yamtu.

  • @abouymuba3582

    @abouymuba3582

    5 жыл бұрын

    Hapo si umemskia bwana mohd aboud anasema ardhi ni mali ya serikali kwahiyo kama kuna vipando waende wakaseme, na hapo wallah hao mugheiry wataondoshwa na wataambiwa si raiya wa tz . Tusubiri tuone wana Mapinduzi watavoamua

  • @fauziaalbahrihuyukijanahod9318

    @fauziaalbahrihuyukijanahod9318

    5 жыл бұрын

    Mimi najua toka zamani kama hilo shamba kama la Sultani spacter ushahidi wato wazamani waka mivhungwamiwi mfenesini kazole kivuma mbaleni mwangapwani tunajua lakini dhulma.imekua nyingi tunajua

  • @shemsasalum2145

    @shemsasalum2145

    5 жыл бұрын

    Inshallah mungu atakuwa na wewe kudai haki yenu muombe mungu usichoke kwa mungu hakuna kubwa

  • @hamoudsaid635
    @hamoudsaid6355 жыл бұрын

    Wallah Nasema Mimi Ni Mtu Wa Motoni Lakini Sitokwenda Peke Yangu Eeeh Mungu Tupe Subira Waja Wako Mana Kuna Watu Wanamabavu Wallah

  • @maryammasoud5586

    @maryammasoud5586

    3 жыл бұрын

    Allah akuhifadhi usijiombee kuwa mtu WA motoni

  • @hamoudsaid635

    @hamoudsaid635

    3 жыл бұрын

    Astaghafirullah Mariam wanakera sana

  • @SA-xj8hc
    @SA-xj8hc5 жыл бұрын

    Kwa kweli suala la ardhi Zanzibar na Tz ni mtihani .serikali ya Zanzibar na Tanzania wanasema “ardhi ni mali ya serikali” maana yake ni kuwa hakuna mwananchi anaemiliki ardhi. Yote hio ni sera ya kuwafanya wananchi kuwa “powerless and lack of confidence “ ile watawalike uzuri . Hili suala la ardhi Zanzibar wengi tushaungua vidole kwa hio tunaogopa hata ukiona ardhi kwa bei ya tasi basi bora ununue tasi ukapike ule. 😂😂😂

  • @lenniefei6710

    @lenniefei6710

    5 жыл бұрын

    Suleiman mushukuru ardhi kua ya serikali na sio ya mtu binafsi Wakenya hususan Wapwani tunajuta kwa kubinafsishwa ardhi,imenyakuliwa yote ya wenye nguvu za kifedha na kimamlaka.

  • @alhamdulillah5796

    @alhamdulillah5796

    5 жыл бұрын

    Ni kweli kabisa. Hzo ni sera za nchi za kibepari. Tanzania wanasema ni nchi ya kijamaa sasa hzi sera za kibepari wanazitolea wapi?

  • @lenniefei6710

    @lenniefei6710

    5 жыл бұрын

    @@alhamdulillah5796 Mushukuru ardhi yote kua ya serikali waKenya tunajuta kubinafsisha ardhi.WaTanzani fungueni macho!

  • @alhamdulillah5796

    @alhamdulillah5796

    5 жыл бұрын

    @@lenniefei6710, sijakufaham dear. Inamaana ardhi kua ya serikali ni afadhali kuliko kua ya mtu binafs? tufahamishe zaidi tufaham. Mana hapa tunasikitika tu!

  • @lenniefei6710

    @lenniefei6710

    5 жыл бұрын

    @@alhamdulillah5796 Ardhi kua kwa serikali ni bora zaidi kuliko kubinafsishwa kwani ikiwa ya serikali itaondoa commercialization of land by individuals.WaKenya tumeona makubwa kutokana na ulafi wa ardhi kwa matajiri,wafisadi,mashirika binafsi na hususan wansiasa Dear natamani nikueleze kwa lugha ya kiswahili kwa undani lakini naomba uelewe mtazamo wangu musije mukabaki na laiti.....

  • @saifa5005
    @saifa50055 жыл бұрын

    Sipekeenu mam yanowakuta

  • @jeejstmukhtar7852
    @jeejstmukhtar78525 жыл бұрын

    Kwaheri Karume kwaheri Zanzibar

  • @hajihassan5433
    @hajihassan54335 жыл бұрын

    Usijali Mama Inshallah haki itatendeka na msiseme ni WAKFU wenu labda mseme URITHI wenu kwa sababu WAKFU huwa hauna mwenyewe rasmi. Serikali naomba kwa haraka wapatieni HAKI wanaohusika. Sikusudii kusema Bora Ukoloni kuliko Uhuru lkn kama uneo ambalo toka uhuru na 1970s Serikali haifanyi vizuri ni suala la ardhi SMZ imedhulumu sana watu ardhi kuliko Ukoloni. Serikali ya kikoloni haikuwahi kulitumia eneo lolote hata kwa kazi ya muda mfupi bila kulipa fidia kwa familia husika.

  • @salmaelhinai833
    @salmaelhinai8335 жыл бұрын

    Mungu awafanyie wepesi yarabi

  • @maryamoman5926

    @maryamoman5926

    5 жыл бұрын

    Amen

  • @binmohamed4527
    @binmohamed45275 жыл бұрын

    Mmmh mm naona wazee wa kukomenti munajitia shida sana sas hizo lawama zote munazozisema nani atawaskiliza Chamsingi wao wamuombe mungu hao maiti waliozikwa hapo mungu awape kauli sabiti inshaalah bas hakuna tena lakulumban kwan serikali sio meisho wa hukumu bali ni dunian tu huko tunako elekea ndio mtu atasema laiti angejua angekua mchanga Ahsante wabilah taufiq By juma .776024901

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi51045 жыл бұрын

    Hii nchi zulma kwenda mbele

  • @aliebrahim9423
    @aliebrahim94234 жыл бұрын

    Mungu anawaona.

  • @faizasaleh9783
    @faizasaleh97835 жыл бұрын

    allaha. atawalipia. haki. haizami.

  • @user-pf9cd6zj1g
    @user-pf9cd6zj1g4 жыл бұрын

    Wamezoa kuchukua vya watu usemi wao MAPINDUZI DAIMA

  • @asiaissa976
    @asiaissa9765 жыл бұрын

    Assalamu alaikum warahmatullahi wabarakatuh Ikiwa hilo eneo ni haki yao bas hakuna budi watizamwe kwa jicho la huruma au washauriwe hao warithi ukiwa kama watakubali kalitolea sadaqa kwaajili yakuwazikia watu bas wenyewe tuu uamuzi wao

  • @gangmore9091
    @gangmore90913 жыл бұрын

    Wanaona wataishi milele kila sehemu kufanya dhulma karume kuzulumu n nyinyi munaendelea kuzulumu ila hakimu wahaki Allah kila mtu ataondoka n amali yake ccm kila sehemu kila kitu munasema cha serekali

  • @Apeacfulguy
    @Apeacfulguy5 жыл бұрын

    Hapafai kununuwa kiwanja hivi sasa zanzibar tafuteni kwingine

  • @tonysolomon2841

    @tonysolomon2841

    5 жыл бұрын

    Wallahi tena hapafai japo kama mtu ni kwao

  • @sammo6090

    @sammo6090

    5 жыл бұрын

    Umemfahamu mmiliki au unachapia gari tu

  • @rashidmbipa5276
    @rashidmbipa52765 жыл бұрын

    pole mama

  • @fatmakakuni8915
    @fatmakakuni89154 жыл бұрын

    Mtapata haki yenu kwa uwexo wake Allah likishachunguzwa.

  • @kassimali1943
    @kassimali19435 жыл бұрын

    Mwanakwerekwe pazuri

  • @leilabuisha1952
    @leilabuisha19525 жыл бұрын

    ina maana hio ardhi ya serikali ndo izikiwe watu ama haki ya wenyewe?

  • @hawamohammed4065
    @hawamohammed40655 жыл бұрын

    Bad thing hao wanaopayuka ardhi ni Mali ya serikali wao mashamba yao hayaguswi ...wabadilishe kauli tuuu ardhi wanazomiliki wanyonge ni Mali za serikali....pia utawaskia na hapa pangu. Kwakweli mungu anawaona

  • @ahmeidyoung2410
    @ahmeidyoung24105 жыл бұрын

    Hee

  • @maryamoman5926
    @maryamoman59265 жыл бұрын

    Wawa pe sehem nyingine wacheni mzulma muwapehakiyawo

  • @magibomwita8134
    @magibomwita81345 жыл бұрын

    Serikali inawapa wawaekezaji kutoka nje kujenga mahotel inashndwa kupata maeneo ya kuzikia inaishia kupola wananchi puuuh

  • @safiasaleh669
    @safiasaleh6693 жыл бұрын

    Serekali zilizopita ni zakibabe hawaangalii Sheria wanatumia mabavu wakiamua Lao ni Iloilo mahafizina ila Mungu atakulipeni Haki ya mtu hailiki

  • @fatmamohamed1099
    @fatmamohamed10995 жыл бұрын

    duuh,kumbe ilikuw c eneo la serekali eee

  • @halimasaleh5705
    @halimasaleh57055 жыл бұрын

    Kwa mfano hakuna sehemu nyingine kubwa ya kuhifadhi marehemu na nyinyi mna eneo kubwa hamlitumii kwann msiache waislamu wenzetu wakastirika kesho kwa Allah utakuta jaza yako na wazazi wenu

  • @seifbaharia8319

    @seifbaharia8319

    4 жыл бұрын

    Muhim kuridhika na wao usije ukatoa Jambo ukaadhaa kununika utowe kwa Nia safii Cha umuhim wakae wazungumzee

  • @abdulhamidy8920
    @abdulhamidy89205 жыл бұрын

    Mi naona kuepusha yte kwa serikali hii nadhani wauze tu kisha wafanye mengne kama serikali ishaingilia bas itafika muda wamiliki watalikosa mazima

  • @mwainehaji5722
    @mwainehaji57225 жыл бұрын

    ee muogopen mungu nyie duniyani tunapita

  • @farhathassan7178
    @farhathassan71784 жыл бұрын

    hii serikali yetu ya kisenge sana kalam farik

  • @princeganji2779
    @princeganji27795 жыл бұрын

    kama mm siwezi kuzika maiti yangu kwenye ardhi ya zuluma

  • @khamismaulid6839
    @khamismaulid68395 жыл бұрын

    Huu nimsemo wa kihuni ati ni mali ya serikali“ na yeyote atakae kwenda kuzika mtu wake mahali kama hapo basi amdhalilisha maiti wake kwani hapo kuna dhulma

  • @tunuali7355
    @tunuali73553 жыл бұрын

    Haiwezekani tukazikwe kwenyewe arzi ya mtu bila kirizika mwenyewe taka km serikali basi iwe na huruma nasio kuwapora arzi wamiliki hakuna kitu kibaya km zulma Tena iyo arzi nimbaya Sana inakusubir ikakubane ukiba nyanda t mtihani ww una taka kuchukua heka 70 wacha ubabe sekali kitu gani na hatuto kubali kizikwa sehemu ya wizi kwani dini imekata wizi zulma n. K fikiria vizuri sikali wacha ubabe ww kwangu sio mbali

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi85685 жыл бұрын

    SERIKALI INAFANYA DHULMA TENA SANA WAACHE KUSEMA ALDHI YA SERIKALI

  • @faizasaleh9783
    @faizasaleh97835 жыл бұрын

    kama. iko. haki. ya. watoto. wake. wapewe. maana. haki. ya mtu. haiĺki iyagaliwe. vizuri. sehemu. yao. kama. iko. wapewe. 500. hutaki. mtu. akuchukulie. kefu. shamba. zima.

  • @alialibablly7010
    @alialibablly70105 жыл бұрын

    Ukimstiri mwenzio duniani na ww Mungu atakustiri kesho Akhera

  • @allyderossi9742

    @allyderossi9742

    5 жыл бұрын

    Ali Ali Bablly:Sio kustiriana huku kutiyana umaskini na jua kali hili,,hapo m2 pengine anapiga hesabu za kumto kila life kustiriana ni kwny shida tu wache Gorvement watoe mpunga wa wa2.

  • @alialibablly7010

    @alialibablly7010

    5 жыл бұрын

    @@allyderossi9742 hela mapambo tu kaka Akhera raha utakacho utapata

  • @hhonest9553
    @hhonest95535 жыл бұрын

    Hii ndio serikali ya ccm.Hamna marefu yasiokuwa na ncha.Kwa wasio juwa,hili linatendwa kusudi kuwadhalilisha wenye kiwanja.Familia ya mughery ni maarufu tu zanzibar.Hizi ni siasa zakijinga na chuki.Serikali inaitambua familia na ina watu wao wanawalenga kuwadhalilisha.Yatafika mwisho na kila mmoja atahukumiwa na amali zake.

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime57175 жыл бұрын

    Serikali itendee wanachi wake haki mtu chake apewe zulma haina mwisho mwema

  • @tonysolomon2841

    @tonysolomon2841

    5 жыл бұрын

    Hawajui kama Iko siku watakufa na kufufuliwa na tutapewa hesabu zetu

  • @samsungjsevenprime5717

    @samsungjsevenprime5717

    5 жыл бұрын

    @@tonysolomon2841 wanajuwa lkn wanajiona wajikumbizie zulma lkn Allah yupo na ipo siku ya malipo katuekea

  • @hamidakondo6043
    @hamidakondo60435 жыл бұрын

    Huyo ndio mbayaa wenyew

  • @mahersaid258
    @mahersaid2584 жыл бұрын

    Zanzibar bwan ingekuwa Dar mjomb magu ataki ujinga kabis ila Zanzibar utasikia wameamishwa wamepew pengin

  • @burhanisaidi9811
    @burhanisaidi98115 жыл бұрын

    Duh! Kuna mijitu ina mioyo migumu kama mawe! Yaani mwenzako anazulumiwa wee unaunga mkono zulma!! Dhulma ni dhulma tu haijalishi umemdhulumu mtu wa aina gani kutokea wapi! Yote ni dhulma tu na wala dhulma haidumu na ikidumu bas mwisho wake huangamiza.

  • @sautisamsu2981
    @sautisamsu29815 жыл бұрын

    munaoneka waraabu hata ss mashamba yetu mingi yamechukuliwa na serekali

  • @kadijahajali3918
    @kadijahajali3918 Жыл бұрын

    Hii mtihani mkubwa huo

  • @humaidalnaamani4183
    @humaidalnaamani41834 жыл бұрын

    Ukweli ktk serikali ya zanzibar na jinsi ilivyo onyesha ktk mazungumzo ya mkubwa wa serikali yaonyesha waimesha jipanga kwa majibu ya mkato moja tu na hii ya hitaji wanao dhurumiwa wakaombe hata robo la eneo waachiwe na ikiwa wataachiwa bado maana ya onyesha hata nyumba wanayo kalia iko ktk mkono wa serikali ni serikali ya julikana kwa dhuruma huwezi ukashindana nayo

  • @awadhimbarak2349
    @awadhimbarak23495 жыл бұрын

    Ardhi ni maliyaserekali naserekali ni watu nawatu ndio hao munao wa nyanganya

  • @alizahranmohd4095
    @alizahranmohd40955 жыл бұрын

    serikali ni sirikali.hasa ya ccm

  • @zahranlofymbarouk7407
    @zahranlofymbarouk74075 жыл бұрын

    nikweli sio haki ilikua watu wakubaliane tu

  • @amnemkubwa7353
    @amnemkubwa73535 жыл бұрын

    Haki ya Mtu huliwa na mtu😩😩

  • @is-haqel_kenzo5925

    @is-haqel_kenzo5925

    5 жыл бұрын

    Chuma ndio huliwa na kutu Sub hana Allah

  • @2pacshakur912
    @2pacshakur9125 жыл бұрын

    Ardhi ni mali ya serikali mh hatar sana hili neno

  • @jumamwadhini6066
    @jumamwadhini60665 жыл бұрын

    serikali iangalie hio ni dhulma wakayo ifanya

  • @samsungjsevenprime5717
    @samsungjsevenprime57175 жыл бұрын

    Hapo haki itendeke tu sheria na huruma mtu haki yake apewe

  • @albassamjjamali9205
    @albassamjjamali92055 жыл бұрын

    ardh mali ya serekali serekali mali ya watu

  • @hishammugheiry3724
    @hishammugheiry37244 жыл бұрын

    Dhulma haidumu always...

  • @aniphalookmoneylookmoney8881
    @aniphalookmoneylookmoney88814 жыл бұрын

    Litumike mmenunuanyie au mnabweka tu kuwathulumu watu tafuteni uwanja mnunue wakwenu kama serikali acheni ubabe usokua wa maana watu wamekula dagaa leo hii mnachukua tu

  • @kibojewee2710
    @kibojewee27105 жыл бұрын

    Bora watu wawazike vartical ardhi ndio itatosha.

  • @dullyboy1139

    @dullyboy1139

    4 жыл бұрын

    Hee kijan kwa vip

  • @yussuphshilingi3258
    @yussuphshilingi32585 жыл бұрын

    Mm naiomba serikali iwahurumie hao walalamikaji ..hivi kwanini muzieke maiti kwenye mava yasio ya halali

  • @salmahoumud4950

    @salmahoumud4950

    3 жыл бұрын

    Miogopeni mungu dunia ni mapito tu

  • @rizikimabruki4131
    @rizikimabruki41315 жыл бұрын

    Mitihani kwa kweli iyo nii haki yao jamani

  • @yussuphshilingi3258
    @yussuphshilingi32585 жыл бұрын

    Kama viongozi hamukua na huruma naraiya wenu Sasa tupeleke wapi malalamiko yetu⚠️⚠️⚠️⚠️♿♿♿

  • @mwanaidiramadhan3919

    @mwanaidiramadhan3919

    5 жыл бұрын

    Kwa Allah sw

  • @monicamwazambe9427
    @monicamwazambe94275 жыл бұрын

    Althi ni Mali ya selekal achen kunyanyasa wanyonge izo Mali zote mnakufa mnaziacha

  • @nasibugunda7927
    @nasibugunda79274 жыл бұрын

    Ardhi kuwa ya serikali shida ni Nn? Ushirikishwaji unatakiwa

  • @sharifabdul6085
    @sharifabdul60855 жыл бұрын

    Kwa hakika ni suala la kufanyiwa kazi isijekua tunafanya jambo jema lakini tukalipwa uovu,sio vyema kutumia mabavu kwa kila jambo

  • @kassimmanaramalika8592
    @kassimmanaramalika85925 жыл бұрын

    Doh huo ni🙄mtihani kama sio raiya🤔

  • @hajihassan9097
    @hajihassan90975 жыл бұрын

    Na hata hiyo wizara ya ardhi na ofisi ya wakfu ziondosheni kwetu sisi wananchi hazina maana. Tunachukua hati rasmin kisheria kutoka serikalini halafu hiyo hiyo serikali inakuzunguka na kukunyang'anya kimabavu ardhi yako kwa misemo ya mpuuzi. Lakini kwa Allah si mbali.

  • @abdulabass5808

    @abdulabass5808

    5 жыл бұрын

    Kweli niwahuni sana hawa

  • @suleimansauti5255
    @suleimansauti52554 жыл бұрын

    Mg dunia mapito tu Ila ahera kuzto

  • @abasamwame6583
    @abasamwame65835 жыл бұрын

    Hakika katika hili kunahitaji haki na uadilifu nguvu Zealan zisitumike kwa sababu ya mamlaka tukumbuke kuwa mamlaka INA ukomo na tukiondoka hapa duniani mamlaka hiyo haitakusaidia

  • @ibnually7428
    @ibnually74285 жыл бұрын

    Serikali haina ardhi ni dhulma tu wanayoifanya

  • @muhsinnainoabdullah1539
    @muhsinnainoabdullah15394 жыл бұрын

    AAA huyu mlevi hajali ata kuzulumu anaweza mshenzi uyuu uyuu kazi kuchukua wake za watu mbwa uyuu

  • @hishammugheiry3724

    @hishammugheiry3724

    4 жыл бұрын

    Hahahaa,kila kitu kina mwisho wake

  • @abdulhamidy8920
    @abdulhamidy89205 жыл бұрын

    Ukiambiwa ardhi ni mali ya serikali faham kua huna lako

Келесі