USTADHI SHAFII AMVAA UST. DANIEL KUHUSU MAFUTA YA MAJINI KUTUMIWA NA ZUMARIDI, MACKENZIE NA EZEKIEL

BAADA YA USTADHI DANIEL KUTOA ELIMU KWAMBA WACHUNGAJI WANATUMIA MAFUTA YA WAISLAMU KUFANYA MIUJIZA, USTADHI SHAFII AMEJIBU

Пікірлер: 60

  • @user-li2el5vb8w
    @user-li2el5vb8w3 күн бұрын

    Ramadhan Mwawila. Mash Allah' Shekh' SHAFII ALLAH AKUHIFADHI NA AKUPE UMRI MREFU ILI TUENDELEE KUNUFAIKA KWA ILIM ZAKO UNAZOTUFUNDISHA.

  • @innocentndikumana8928
    @innocentndikumana89283 күн бұрын

    Mashallah allihamdullilah kupata nuru yakuwa mwislam ❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @favoritebrayo

    @favoritebrayo

    2 күн бұрын

    na motoni bado utaenda

  • @user-nq2np6de6l

    @user-nq2np6de6l

    Күн бұрын

    @@favoritebrayo lete ushahidi nipo hapa?

  • @favoritebrayo

    @favoritebrayo

    Күн бұрын

    @@user-nq2np6de6l Yohana 14:6 hakuna njia ingine ya uzima wa milele

  • @mukhusinathuman6596
    @mukhusinathuman65963 күн бұрын

    Safi sana shafii kwa hili nime kuelewa vzr sana Allah aendelee kukuongoza ktk ulinganiaji...

  • @abangaabanga4677
    @abangaabanga46773 күн бұрын

    Jesus is the way, the truth and life......🙏

  • @LucaWanzuki
    @LucaWanzuki2 күн бұрын

    Shekh shafi unatisha sana mungu akujalie elimu zaidi tujifunze kwako

  • @babazungu3180
    @babazungu31803 күн бұрын

    Wanachukii tu shekh shafii

  • @user-dt5wp5qo4n
    @user-dt5wp5qo4n2 сағат бұрын

    Ww shafi jua namna yakuongea hakuna mahali yesu alitumia majini hamna kabsa usiharibu bibilia tueshimiane,

  • @prochesernest5439
    @prochesernest54393 күн бұрын

    Duuuuuuuu mungu wenu anaijua lugha Moja usiposwali kiarabu allah ajui ulichokisema waislamu na majini kazi mnayo sisi wakristo Mungu wetu lugha za wanadamu hazimsubui Sali vyovyote anapokea sala Yako njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo

  • @rashidibrahim8316

    @rashidibrahim8316

    2 күн бұрын

    Uelewa wako Ni mdogo Sana soma lugha ya Arabic ndiyo waislamu waliekezwa kutumia katika maombi Haya umetowa wapi hiyo elimu ya kusema usipotumia kiarabu maombi yako hasikii Mungu

  • @prochesernest5439

    @prochesernest5439

    2 күн бұрын

    @@rashidibrahim8316 hiyo ndo lugha ya allah kiarabu ndomaana huyo shafi kasema popote palipo msikiti lugha ni kiarabu ndomaana hatumuelewi tukaamua kutomfuata huyo mtume wake WA kiarabu aliyeoa mtoto WA miaka 6 na majini yakamfuata na kuamini ndo mtume wao hawana mwingine na Wala kitabu kingine ni Quran tu Toka huko njoo Kwa Yesu kristo mwokozi wetu hupone jehanamu ipo

  • @prochesernest5439

    @prochesernest5439

    21 сағат бұрын

    @@rashidibrahim8316 nyie waislamu hachana na majini mapepo wachafu yanawapoteza jehanamu ipo

  • @omarsultan4502
    @omarsultan45022 күн бұрын

    Endelea kuwaaelimisha ili wote waipate pepo inshallah

  • @user-yj5es1jw8c
    @user-yj5es1jw8c2 күн бұрын

    Nakukubali mwalim

  • @danielkamau2987
    @danielkamau29873 күн бұрын

    Wee fanya mdahalo na Ndacha tunjue ukweri.

  • @jomeshastudio7046

    @jomeshastudio7046

    Күн бұрын

    hahaha ndacha pasua kichwaa hakuna wa kumuwezaa

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin6343 күн бұрын

    Nliona rafiki yangu kenda fanya Ibada Kanisani lakini ibada yote yupo nje dirishani kabeba mtoto,mwingine kila Jumapili asema aenda kufanya ibada lakini akifika kazi yake ni kumpikia mchungaji chai mwaka wa 30 sasa...inamaana hajawai ata kufanya ibada io yao wenyewe ata kama sio ya kweli

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino1303 күн бұрын

    Eti Mungu haangamizi umma mpaka siku ya kihama,eti kwasababu kuna mtu Fulani aliomba ---- kwahiyo Mungu mwenyewe hana ratiba wala utaratibu wowote,ispokuwa anategemea maelekezo ya mwanadamu --- " Hadithi za kizee "

  • @user-nq2np6de6l

    @user-nq2np6de6l

    Күн бұрын

    Kwani uwongo hili? Km ni uwongo leta angamizo moja tuu kutoka kwa Mungu

  • @georgekimasaofficial1629
    @georgekimasaofficial16293 күн бұрын

    Moja ya vitu vingi ambavyo Waislam wengi hawajui ni kuhusu kuteremshwa kwa Quran wengine husema iliteremshwa puuuuu wengine hudai kunawaandishi wanne walio tumika kuiandika, na wengine husema Quran hii ya sasa iko tofauti na Quran aliyo iacha Muhamad lakini pia kuhusu kujuwa kusoma na kuandika kwa Muhammad wengi hawakubari kuwa hakujuwa kusoma na kuandika japo pia hakuna sehemu inayo onyesha mtume huyu aliwahi kuandika, lakini leo shafii anasema kumbe iliandikwa na watu wakiwa chini ya usimamizi, lakini pia hawa watu ambao waliandika hizi Aya ambao wanaaminika kuwa walikuwa maswahaba je nikweli walikufa wakiwa ktk imani hii ya Uislam au waliacha Uislam coz zipo hadithi zinazo weka wazi kuhusu maisha ya waandishi hawa Wanne kuwa walikufa ktk hali yakuwa walevi kupindukia na mmoja wao aliacha Uislam.

  • @hassantoure7472

    @hassantoure7472

    3 күн бұрын

    Bana we,,sasa nini hujaelewa hapo😂

  • @favoritebrayo

    @favoritebrayo

    2 күн бұрын

    nakwambia uislam ni kaburi la wazi yaani wote maiti

  • @Chrisblaze-beats
    @Chrisblaze-beats3 күн бұрын

    9:59 Tatizo la shafiii mwambie akupe vifungu sio maneno mdomoni. Shafii anatumia maneno sana

  • @favoritebrayo

    @favoritebrayo

    2 күн бұрын

    yaani ana story za jaba huyu kadhee nakwambia

  • @AzizaNurdin

    @AzizaNurdin

    18 сағат бұрын

    ​@@favoritebrayohumjui suafii kakojoe ukalale

  • @lydianyangau8142
    @lydianyangau81422 күн бұрын

    Wacha kupotonza watu Yesu hawezi tumia majina Kama ndugu wenyu Mohamed nyinyi kaa na majini Kwa misikiti yenyu but sio kanisani

  • @jacksonngusi4122
    @jacksonngusi41223 күн бұрын

    Bado tunahitaji mkutano na ndacha tuwaone mnavopapaluka katika utetezi wa maandiko

  • @user-tz8zu2gt6u
    @user-tz8zu2gt6u3 күн бұрын

    ndacha Yuko usinyamasiye haya mrekebishe ju huyu ametawaliwa na majini nakudhània wakristo NAO ni watu wa majini

  • @user-tz8zu2gt6u
    @user-tz8zu2gt6u3 күн бұрын

    shafiu hili ni jina la maji. ni njoo kwenye mdahalo aja kupitia mbali hata hujui qurani wewe muisilamu kamili lazima awe na jini , qurani ni kitabu Cha majini

  • @user-tz8zu2gt6u
    @user-tz8zu2gt6u3 күн бұрын

    jini unasemaje huyu nijini tena jike

  • @rweyemamueustace4254
    @rweyemamueustace42543 күн бұрын

    Luka 4:14-22 Yesu alijua/ anajua kusoma na kuandika. Achani UONGO we Shafii

  • @prochesernest5439

    @prochesernest5439

    3 күн бұрын

    Huyo shafi mjinga hanataka kumfananisha Yesu na kilaza wao mtume asiyejua kusoma Wala kuandika Quran 7:157

  • @salimchimwaga8384

    @salimchimwaga8384

    20 сағат бұрын

    Yesu alifundishwa na nani???

  • @prochesernest5439

    @prochesernest5439

    17 минут бұрын

    @@salimchimwaga8384 Yesu ni Mungu aitaji kufundishwa Yesu sio kama allah aliyeshindwa kumfundisha Muhammad kusoma na kuandika kwaili allah hatakuwa naye ajui kusoma Wala kuandika 7:157

  • @user-tz8zu2gt6u
    @user-tz8zu2gt6u3 күн бұрын

    majini huyu naye ana jini usipingane

  • @RichardHenjewele-gs8rk
    @RichardHenjewele-gs8rk2 күн бұрын

    Sheeee uko vizuli

  • @nubianqueen6700
    @nubianqueen67003 күн бұрын

    Waislamu hujadiliana na wa Christo kwa sababu ni amri kutoka kwa mwenyezi Mungu, ila elimu ndani ya uislamu, ni Pana sana na inahitaji mtu mwenye kutumia mental capabilities vyema. Wakristo hamna akili na hampendi kufikiria.

  • @joshuajohn8533

    @joshuajohn8533

    3 күн бұрын

    Kama waislamu Wana akili mbona Marekani kila siku anawatandika na kuchukua rasilimali? Kama mna akili mbona Macca na Medina zinalindwa na Mifumo ya ulinzi wa Marekani? Kama mna akili mbona waganga wote wa kienyeji ? Kama mnaakili mbona gudunduzi nyingi zinatoka magharibi?

  • @nubianqueen6700

    @nubianqueen6700

    3 күн бұрын

    Ukraine ni waislamu? Congo ni waislamu? Africa ilivyocolonaiziwa mpaka Sasa ni waislamu? Ndo Nika Sema hamna akili, Ata hufikirii kabla ya kuuliza swali. Fanyisha akili kazi siku ya qiyama mwenyezi mungu atakuuliza ulitumia akili vipi?

  • @nubianqueen6700

    @nubianqueen6700

    3 күн бұрын

    @@joshuajohn8533 pia hauna uelewa wa mambo ya politics, ndo nikasema hampendi kusoma, mpaka msomewe na wachungaji. Piga research kidogo usiropokwe tu. Unazidi kuonekana mjinga.

  • @nubianqueen6700

    @nubianqueen6700

    3 күн бұрын

    @joshuajohn8533 technology is at your fingertips, use it.

  • @favoritebrayo

    @favoritebrayo

    2 күн бұрын

    sasa wewe mwenye akili nyiiiiiiingi na bado upo gizani

  • @Kuminamoja1995
    @Kuminamoja19953 күн бұрын

    Yule jamaa anachuki dhi ya muislam? Sasa sikuizi wanalimana wenyewe na ndacha kuhusu usabato.

  • @phakundigervas1360
    @phakundigervas13602 күн бұрын

    Ikiwa mnaiamini Injili ya YESU MBONA hamuitangazi tena mnamkana Mungu Yesu Kristo?

  • @salimchimwaga8384

    @salimchimwaga8384

    20 сағат бұрын

    Kwani yeye mwenyewe Yesu alisema Mimi ni Mungu??

  • @AzizaNurdin

    @AzizaNurdin

    17 сағат бұрын

    Na uzima wa milele ndio huu wakujue wewe mungu wa kweli na wa pekee na yesu kristo uliyemtuma.

  • @prochesernest5439
    @prochesernest54392 күн бұрын

    Mtume Muhammad heti katumwa na Mungu? Kwaiyo Mungu alishindwa kumfanya ajue kusoma na kuandika? Mungu huyo Mimi simtaki maana kunavitu anashindwa ndomaana allah atumtabui kama ni Mungu WA kweli hataki kuitwa baba wakati Mungu WA Musa anakubari Wana wa Israel ni wanaye torati 14:1

  • @favoritebrayo

    @favoritebrayo

    2 күн бұрын

    allah si ni shetani mwenyewe

  • @MohamedAhmada-ie7ke

    @MohamedAhmada-ie7ke

    2 күн бұрын

    Uwo ndio upuuzi wenu mliokua nao Mungu hufanya kitu vile anavo taka yeye sio unavo taka wewe, kwani hakuna mkiristo mwenye ulemavu mbona wewe hauna ulemavu au kama unao mbona wenzio hawana lazima akili zenu muwe mnazitumia vyema

  • @MohamedAhmada-ie7ke

    @MohamedAhmada-ie7ke

    2 күн бұрын

    ​@@favoritebrayoAllah atakuongoa In Shaa Allah

  • @favoritebrayo

    @favoritebrayo

    2 күн бұрын

    @@MohamedAhmada-ie7ke sisi na nyinyi nani hawatumii akili my friend?

  • @MohamedAhmada-ie7ke

    @MohamedAhmada-ie7ke

    2 күн бұрын

    @@favoritebrayo kama wewe utakubaliana na ayo mawazo ya uyo mwenzio na wewe pia utakua hauna akili

Келесі