Ustadh Shafi Amkalia Kooni Dr Sulle "Hakuna Uislam Wa Majini Bora Utumie Mabodigadi Wa Kijini Tuu"

QIBLATEIN ONLINE Ni channel ya dini ambayo inajihusisha na kukusanya taarifa za kidini kutoka Tanzania na huripoti matukio yote ya ndani ya Tanzania kila siku kupitia FACEBOOK, INSTAGRAM KZread @QiblateinOnlineTv)
🙏🤝Tafadhali🙏Subscribe #qiblateinonlinetv #ili uwe sehemu ya familia hii muhimu.
INSTAGRAM 👉👉 / qiblatein_online_
FACEBOOK👉👉 profile.php?...
TIKTOK 👉👉 www.tiktok.com/creator-center

Пікірлер: 152

  • @hamzakimaro3764
    @hamzakimaro3764Ай бұрын

    Sheikh shafii sasa hiyo ndiyo inayoitwa RADD!!amefanya kazi nzuri!!ALLAH AKUONGOZE KWENYE SUNNAH KWA UFAHAMU WA MASWAHABA WA MTUME صلى الله عليه وسلم

  • @AminaSalim-vs8ve
    @AminaSalim-vs8ve5 күн бұрын

    Bismillahi rrahmaani rrahim, na kwake yeye tunaomba msaada.waislamu kwa waislamu ni ndugu sasasi vyema kugombana bali nivyema zaidi kueleweshana na kukubaliana. Tuendelee na mjadala huu kwa kutafuta hoja kupitia quran, hadithil quddus na nabawwiy pia maisha ya mitume, maswahaba, matabiiina na tabii wa tabiina inshaallah tutajbika swala letu, na kupata faida zaidi InshaAllah

  • @user-uw5oh5yy5m
    @user-uw5oh5yy5m29 күн бұрын

    Mashallah sheikh Shafi mungu akuongezee kheri kwa kuwaelimisha watu,na kupinga ushirikina inshaAllah uachane na bid'aa za maulidi😊

  • @Nily-kz3db
    @Nily-kz3db19 күн бұрын

    Sheehe Shafii Allah Akulpe kher kw Mafundsho yk Mazur

  • @adijamuke8590
    @adijamuke8590Ай бұрын

    Shekhe Shafii Allah akulipe kilalakheri fi dunia wali akhera Unaonge ya kweri

  • @AliomarAli-wu6br
    @AliomarAli-wu6br8 күн бұрын

    Kweli sheik mungu akujalie ❤❤

  • @allyfutto8763
    @allyfutto876312 сағат бұрын

    MashaAllah mawaidha mazito mungu akizidishie nguvu na uwezo Aamin

  • @HassanOsimine
    @HassanOsimine16 күн бұрын

    Shee shafi mzee wa kusafisha mazingira MashALah

  • @issamuhibu-dd5eu
    @issamuhibu-dd5eu23 күн бұрын

    Inshaalla mungu amlipe makazi mema peponi.

  • @yusuphsuphian8521
    @yusuphsuphian852126 күн бұрын

    Asante sana sheke shafii mungu akupe nguvu

  • @AminaSalim-vs8ve
    @AminaSalim-vs8ve5 күн бұрын

    Sasa kama mlivyolianzisha!!( nina imani kabisa kwa nia safi basi kuna kazi nyengine ya kulisawazisha) naomba mashekhe wangu tuwe fasta juu ya hili kwa ni tushawatoa watu walikokua na kuwapeleka kwengine. Iko ivi!!! Ndani ya uislamu anaeshea wema, kila areutenda wema huo yy anpata thawabu, na anaeshea uovu basi kila ataeutenda atapata dhambi, mashekhe wangu, yuko anaehimili kubeba dhambi za mwenzie? USTADHSHAFI!!¡big up sheikh wangu pull up your socks!!!

  • @user-hi5hi7nt3b
    @user-hi5hi7nt3b25 күн бұрын

    Unaeleweka shehe kuna watu wanahalibu dini kwa masilahi ya kidunia hawamuogopi Allah hata kidogo

  • @EmanuelMduma-uo7lb
    @EmanuelMduma-uo7lb20 күн бұрын

    Ndio mana nawambie kiboko ya yoyote njooni kwa Yesu

  • @EmanuellMaduhuEmanuell

    @EmanuellMaduhuEmanuell

    16 күн бұрын

    Kwer

  • @winnieofutare5324

    @winnieofutare5324

    13 күн бұрын

    Kabisa yy ndio njia na uzima wa milele

  • @Twahirpizza1994

    @Twahirpizza1994

    7 күн бұрын

    Yesu hayupo wamebakia maaskofu wa uongo Wenye kutumia uchawi wa mashetani wanasingizia wamepewa miujiza

  • @OkayaYahya
    @OkayaYahya25 күн бұрын

    Sawa kaka, mungu akujalie kila la heri.

  • @hatibumohamedi3471
    @hatibumohamedi347128 күн бұрын

    جزاكم الله خيرا و احسن الجزء

  • @barkyabdallah170
    @barkyabdallah17017 күн бұрын

    Mashallah sheikh Allah azidi kukupa umri mrefu na zaidi akupe jannat

  • @ZUHELIWafula
    @ZUHELIWafula15 күн бұрын

    Proud to be Muslim din ya haki🇰🇪🇰🇪🇰🇪😊

  • @HassaniKikkwa
    @HassaniKikkwa29 күн бұрын

    Allah akujaze kheri shekhe shaf yapo mamb yamsingi yakukemea sio khitma namaulid

  • @AminaSalim-vs8ve
    @AminaSalim-vs8ve5 күн бұрын

    Namaanisha jamii ya kiislam tokea kutokea kalima hii(waislam wanaruhusiwa kutumia majini ktk kujitafutia utajiri)(kwa kupitia PETE ,) hakika jamii imeparaganyika mno. Msione tu kwamba tunaongea hapa mtandaoni labda kuonesha kwamba tunaujua saaana dini, mashekhe wangu!!! Wajisemee watoto, hakiki mmeliamsha.

  • @user-ji1in8bs7k
    @user-ji1in8bs7k19 күн бұрын

    Sheikh Shaffi Allah akuongeze insha'Allah. Ulikuwa customer wangu mkubwa Likoni.

  • @issackadan7702
    @issackadan770213 күн бұрын

    Jazakumullah kheyr

  • @martingeorgenzali5614
    @martingeorgenzali5614Күн бұрын

    Shekhe...Wangu-Ninae...Mkubaligi...Dayre...Niweye....Na..Dr Sulle

  • @user-ri4cm2xk1l
    @user-ri4cm2xk1lАй бұрын

    Masha Allah kweli kabisa

  • @OmanOma-xi3hm
    @OmanOma-xi3hm28 күн бұрын

    Shekhe sha fi uko vzr wakrito hawajui maana kwe ndomaan yesu aliwaambia wagaratia nana aliewa waroga akili wakuelewe ss

  • @bongotel5823

    @bongotel5823

    22 күн бұрын

    Chuki kwa Wakristo ndicho ulichoambulia kwenye hayo mawaidha... je ndio moyo wako umejaa chuki tele umejifunzia wapi?

  • @KibibySaide
    @KibibySaide27 күн бұрын

    Sheikh shafi mimi docta sulle si muamini naona anafania beishara

  • @suleimaniddi
    @suleimaniddi26 күн бұрын

    Salaam kaeni nyumbani mtowane makosa kuliko kuliko kuwapa faida watu au kujigamba mtandaoni si vizuri kuwapa faida watu.

  • @IdrissaMoussa-tx7jy
    @IdrissaMoussa-tx7jyАй бұрын

    Shekhe sfafi Allah agupe la sheil

  • @user-hu2bz1tj4c
    @user-hu2bz1tj4c18 күн бұрын

    Namkubali sana uyu shafi na kjna mashekh wengine wsnaamini Pete za majini zipo na Pete ys bshati ipo huo ni ushilikina😊

  • @mudhihirugara8845
    @mudhihirugara884521 күн бұрын

    Mashaa alwaha ukasahihi hatamimi nisituka sure alivyo ongea huu niushirikina mwenyezimungu amuongoze

  • @HAMISISHABANIDAUD
    @HAMISISHABANIDAUD26 күн бұрын

    Uko sawa kabsa

  • @Ezekiel-rh2ni
    @Ezekiel-rh2ni12 күн бұрын

    Safi sana sheikh umenena kweli

  • @abdallahjuma2608
    @abdallahjuma260829 күн бұрын

    Mashaallah

  • @iddiabdallah7352
    @iddiabdallah735218 күн бұрын

    Inalillah wahinailah rajuun ☝️🤲🙏🏿

  • @user-mr3mf3zs1u
    @user-mr3mf3zs1u8 күн бұрын

    Shekh shafi muhimu kukumbushana kama mtume kakumbushwa na alla kuhusu asali basi Kila mtu akikosea akumbushwe

  • @bostonbensonkapute5274
    @bostonbensonkapute527425 күн бұрын

    MASHALLAH!

  • @albertvalentino130
    @albertvalentino1303 күн бұрын

    Hadithi za kizee ---- Yaani hata hujui anazungumzia nini,anatoka wapi anaenda wapi --- ubabaishaji mtupu ---- " halafu wamapenda kudanganyana "

  • @DidaManzi
    @DidaManzi15 күн бұрын

    Sawa saw shekh shaf

  • @user-ke2gy6nx1i
    @user-ke2gy6nx1i27 күн бұрын

    Mtihani wallhah

  • @yarkbrownofficial
    @yarkbrownofficial21 күн бұрын

    tofautisha kati ya msikiti na hekalu au sinagogi ni wapi iliandikwa sinagogi ni msikiti

  • @hawashehe4487
    @hawashehe448728 күн бұрын

    Sawa sawa shekh shafll

  • @allyabubakari5940
    @allyabubakari594013 күн бұрын

    Hii ndyo vita ya kifkra kweli Niatari sana na watu wengi awajalingundua hili

  • @AllyAthuman-v3t
    @AllyAthuman-v3t18 сағат бұрын

    Tuupinge ushirikina Mungu Anatisha

  • @ABDULLAOALI
    @ABDULLAOALIАй бұрын

    yaan mashe wa saiv, wakilala wakiamka wanawaza kupigana vijembe t baada ya kufikiria dn inaokolewaje, kla mmoja anataka umaarufu, mmmh Allah atuhifadhi

  • @AziziMachweo

    @AziziMachweo

    Ай бұрын

    Tumia maarifa lengo ni kuelimisha waislmu kua atutakiw kuamn ushrkn we unjibu nn

  • @user-id1gz3ng3k

    @user-id1gz3ng3k

    Ай бұрын

    Ww ni muisilam? Uwisilam nikukumbushana ukikosea lazima ulinganiwe sio eti umaarufu. Kwani ww huna elim yeyote kuusu dini ya Allah?

  • @zulekhaa6817

    @zulekhaa6817

    Ай бұрын

    Huo ni mtazamo wako tu kwa sababu huna elimu. Hujui kuchambua haki n batili

  • @johariabdalla3319

    @johariabdalla3319

    29 күн бұрын

    Hayo ni maono yako,lakin kuekana sawa kama umekosea ni lazima,haiwezekani uachwe..na zaid kama ni maarufu unaefwatiliwa na jamii,maana unaweza kupoteza wengi.Ukiharibu utarekebishwa tu

  • @lexygeisar8303

    @lexygeisar8303

    28 күн бұрын

    Bila kuwepo upande wa pili mtihani duniani hakuna. Kwa hiyo Mwenyezi Mungu Katu fanya tofauti ili tuweze kupimana Na tuji kinge Na zuri au baya

  • @SeifMasoud-cp2rd
    @SeifMasoud-cp2rd27 күн бұрын

    Subuhana lh

  • @user-id1gz3ng3k
    @user-id1gz3ng3kАй бұрын

    Sule anapotelea kwakutafuta riziki kwanguvu , aachane na majini amfate Allah peke yake

  • @MustafaGolden-np9qy
    @MustafaGolden-np9qy15 күн бұрын

    Sawa sawa

  • @user-dt5wp5qo4n
    @user-dt5wp5qo4n27 күн бұрын

    Sheikh safi fundisha waaumini ukweli acha kupoteza watu,mbele yamungu na mbele ya nabii isa,hakuna motor Haram wote wanafaa nihalali,laminitis kwako niharamu, usitupoteze sheikh safi,

  • @muhmmadilutando9561
    @muhmmadilutando956119 күн бұрын

    ni kweli

  • @halimaa9367
    @halimaa936727 күн бұрын

    Kweli maneno yko shekhe

  • @allyway999
    @allyway9992 күн бұрын

    Eti mzee Mbonde 😂😂😂 kwani mzee Mbonde kakukosea nn shekhe wangu Nakuelewa sana shekhe wangu

  • @AbubakarAlly-th6op
    @AbubakarAlly-th6opАй бұрын

    Sure kapotea mshirikina Na anapotaza watu atubie kwa Allah na abainishe

  • @user-ub8ig1rl7h
    @user-ub8ig1rl7hАй бұрын

    Mtihani mkubwa, MOLA atuhidi

  • @baysomapea500
    @baysomapea5009 күн бұрын

    Mashehe mnatuvuluga

  • @user-ug8ye1yh8o
    @user-ug8ye1yh8o8 күн бұрын

    Msiwa sifie awa wapuuz tyu Kwan ss tunawajua kiac gan wanawapotosha waislam amkeni waislamu tuisome dini yetu msiwafate awa wanawazuoni suhi wanaoendeshwa na matajiri au waflame au maraic embu zinduken acheni kuwafatilia awa wapuuz tyu

  • @KhalidAlly-je8ky
    @KhalidAlly-je8ky27 күн бұрын

    Nasimama na docta sule daiman Shida mtu akiwazidi mpunga mnamkufurisha achen unafki wewe shafi simuuza madawa yauongo mnachemsha zafarani na mafuta mna waambia watu kua mafuta hayo yametoka katika mti unaopatikana italia 😂😂😂😂shafi kumbuka ukimnyooshea kidole kunavingine vyakutazama wewe

  • @Tajiriabasy
    @Tajiriabasy20 күн бұрын

    Sheikh wa maana sana huyuu

  • @RamadanPaul
    @RamadanPaul28 күн бұрын

    Shafii unaelimisha watu, japo walishakuwa wengi wanaomuunga mkono.

  • @AngelinaAkuyen
    @AngelinaAkuyen14 сағат бұрын

    Shafi no salimu burundi Londwar turukana kenya niko muhamgayikonarafubukisema kwelinkuva peta haramu shafi nakuja kwako zazimba mwezinujawo wallahi nakutaka wewe shekh nurudine niko na sawali rake nawewe arafi shekhe make

  • @HadinanKimimbi
    @HadinanKimimbi28 күн бұрын

    Wama akharatu waljini walinsi ila liabuduni.(Inshaalah)

  • @khamisisalim5742

    @khamisisalim5742

    24 күн бұрын

    Ni khalaqtu si akharatu

  • @Mwasame_Official1
    @Mwasame_Official113 күн бұрын

    Mungu wa waislamu si Mungu kweli ni mkatili muuaji ,,wakristo mabishop wanadungwa visu mathabahuni kweli huyu ni Mungu gani?? Waislamu

  • @NasibuANyakule

    @NasibuANyakule

    13 күн бұрын

    Hao mabishop wenu wanauuana wenyewe usiupakazie uislam

  • @awadhrajabu1403
    @awadhrajabu140326 күн бұрын

    Dini Aifi Isipokua Watu Ndio Ufa Kimawazo Mashee Hela Kwanza Wauze Pete Maji Mafuta Kitabu Simu Yani Siku Izi Mungu2 Atusamee

  • @allysaidlyambange4500
    @allysaidlyambange45007 күн бұрын

    YAANI WAISLAM TUSOME TUU QURAN ILIYO TAFSIRIWA TUUJUE UJUMBE BARABARA

  • @bernardjohn8788
    @bernardjohn878821 күн бұрын

    Kwenye suala la majini na shetani uislamu unajichanganya sana

  • @SaidFupi
    @SaidFupi11 күн бұрын

    Elimu sahihi ya dini imekosekana kwa watu wengi saan

  • @user-cw3no6tk9o
    @user-cw3no6tk9o15 күн бұрын

    We acha bidg'aa kwanz 😊😊😊

  • @IsayaSosolo-nx8zk
    @IsayaSosolo-nx8zk29 күн бұрын

    Dini ya haki hiyo waumini wanafuga majini, Mingi wewe wajua Kila Jambo la heli,

  • @JamaliBanga
    @JamaliBanga11 күн бұрын

    Kwer mukiaza ivyo kwer sis wasirimu kwer tufanyej

  • @silassaitoti7689
    @silassaitoti768922 күн бұрын

    Taqibiir

  • @kasimsaleh7103
    @kasimsaleh710326 күн бұрын

    Mimi mwenyewe nishakula sana

  • @annymacher3829
    @annymacher38294 күн бұрын

    Mmmh mnadanganyana kwel,kwann aseme siku nane na pengine siku 6?haya naulza swali nionyeshe wap Katika quran inasema Allah ni Mungu?

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l26 күн бұрын

    Lakini bidaa ndo isizungumzwe iyachwe sindi dini inavurugwa.?

  • @geoffreyembasa8483
    @geoffreyembasa848326 күн бұрын

    Mbona masheikh wanahofia wakristo wakati wansema wanamwamini kristo?

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze731128 күн бұрын

    Cheikh shafi kaka yangu uko sahihi mpaka nasikiyaga haya juu ya macheikh wetu mnadhalilisha waislam nyie wenyewe

  • @user-lm3lt7xx6l
    @user-lm3lt7xx6l26 күн бұрын

    Tanganyika ndio mnabisjana sana kwasab maslah mnayaweka mbele sisi zanzibar tumetulia

  • @OmarMohamed-bs2hf
    @OmarMohamed-bs2hf13 күн бұрын

    Mm naomba kuiliza kwa Nini mashekhe mnapiga sana vita Pete na haliya kuwa nyinyi mumevaa kwa Nini Tena utakuta mtu ana Pete 4

  • @user-eb2fo6xq4t
    @user-eb2fo6xq4t15 күн бұрын

    Yesu ni nani njooni hata kwangu kwanza yesu hajawahi ata kuoa

  • @IssaNassir-tv6lh
    @IssaNassir-tv6lh20 күн бұрын

    Nyte wapuzi mashekhe ni watu waungwana kaeni chini muelimishane kuliko kuleta tofauti baina yeny nynyi muelimishe mwenzio afundishe watu swa swa sio kuleta majigambo kwni mtume s.a.w hakujigamba

  • @eliasmarwa4085
    @eliasmarwa408520 күн бұрын

    Korani 72:2 inasemaje jamani?

  • @AngelinaAkuyen
    @AngelinaAkuyen14 сағат бұрын

    Dr sule nakuja kwake nikarimbu kira mutu natambea kwake

  • @gabrielkabato9909
    @gabrielkabato990920 күн бұрын

    Hahaha 🤣🤣 Uislamu ni tatizo 😂😂

  • @JitihadaRashidi
    @JitihadaRashidi3 күн бұрын

    Duuuu

  • @helenarhobi1250
    @helenarhobi125010 күн бұрын

    Hahahahaha! Gombaneni kabisa ndiyo raha hiyooooooo. Majini, majini, majini. Mmeshajiumbua!

  • @JamesArakwiye
    @JamesArakwiye24 күн бұрын

    B

  • @dvjtwentyfivedecember4398
    @dvjtwentyfivedecember43988 күн бұрын

    I'm proud to be a Christian ✝️ hii uislam sio Dini ni kikundi chenye msimamo mikali Duniani yani ni kama chama cha na Ugaidi Duniani.

  • @MediMo-os4vk
    @MediMo-os4vk2 күн бұрын

    Shekh huyu nampendea mawaidha yake yanaendana na kizazi chetu yangusa mojakwa moja sio aya nyingiiiiii

  • @user-hg5wr2mc7k
    @user-hg5wr2mc7k18 күн бұрын

    yani sijawai kukupinga

  • @abuuammar4924
    @abuuammar492422 күн бұрын

    Anaongea jambo serious lkn anatia visa vya vichekesho vya uongo..hilo ndo tatzo lenyewe Anazisema vibaya radd kisha hapohapo anampiga radd Dr.Sule

  • @yarkbrownofficial
    @yarkbrownofficial21 күн бұрын

    shekhe kwenye icho kijitabu kukiita biblia umefeli biblia ni ni moja wala haifanani na vitabu vya hadithi za biblia hapo ndo umechanganya review

  • @user-cz8ee6ef3g
    @user-cz8ee6ef3g22 күн бұрын

    Sasa ustadh unataka kutwambiya majini ananguvu zaiidi ya MUNGU WATU???

  • @othmanhamad7887
    @othmanhamad788727 күн бұрын

    Waisilamu tunatupiana vijembe wnyw ktk vi2 vcvyo na mcngi na ww ndo unapita mlemle

  • @alyumaraos
    @alyumaraos29 күн бұрын

    Acheni mambo hayo mumeshamsema inatosha dkt.sule kafanya kz kubwa ktk hii dini kwaiyo anapo teleza mumrekebishe sio kumdharau na kumkejel

  • @OmanOma-xi3hm

    @OmanOma-xi3hm

    28 күн бұрын

    Allah ana angalia mwisho mwema sio mwanzo mwema km kafanya kazi kubwa asikuchafulie dini mpak majafiri Wana sema waislam kz kufugamajin unaonajehilo

  • @alyumaraos

    @alyumaraos

    28 күн бұрын

    @@OmanOma-xi3hm kwaiyo ww ushaujuwa mwisho wake niupi rejea ktk khadithi Mtume (s.a.w) anasema kila mwanaadamu ni mkoseaji ila mbora wa mwenye kukosea ni yule anae tubia au ww nyinyi hamfanyi dhambi mumesalimika na kumuas Allah?

  • @alyumaraos

    @alyumaraos

    28 күн бұрын

    @@OmanOma-xi3hm kawaida yetu ss waislam kila mt hujiona yy ni bora kuliko mwengine na mwenzake pale anapo teleza huona kwake yy ndo fursa ya kutafuta wafuas wengi ila tunatakiwa tubadilike hata masahaba walikuwa wakiteleza na wakafahanmishana na kuelewana ss kila jambo ni kubwa kwetu ni wepes sana kusahau wema na ni rahis sana kukumbuka mabaya

  • @SAIDIYABUSHINGEDJUMA

    @SAIDIYABUSHINGEDJUMA

    25 күн бұрын

    Tatizo sio kuteleza Tatizo ni kuambiwa haki ila unafanya kibri yali mkuta ferauni laana tullah uyo sule alisha ambiwa mara ngapi na masheikr tafauti ila haachi ingelikuwa ni ameteleza kwa kosa limoja apo tunge muelewa ila ana kazana na uku ipo anausiwa icho ni kibri ​@@alyumaraos

  • @SITIHASSAN-we9is
    @SITIHASSAN-we9is26 күн бұрын

    Jamani- mambo mengine yawe siri

  • @HassaniKikkwa
    @HassaniKikkwa29 күн бұрын

    Mashekhe wamekaa mjini wananadi Pete,

  • @SalumMzee-cw8do
    @SalumMzee-cw8do28 күн бұрын

    Hakika usemayo asiyejua ataonekana anajua kumbe ukafiri mtupu

  • @lovelableru
    @lovelableru28 күн бұрын

    Je ni nini Ruhani basi

  • @zahiruhamisi4162
    @zahiruhamisi416225 күн бұрын

    Anaongea km doctor Sule🤷🏾‍♂️

  • @user-jh9yv1zp1l
    @user-jh9yv1zp1l21 күн бұрын

    Achen kupinga anaongea ukwel wa uislam ulivy ,mbn tunjuw mamb mabayanyoyafny

  • @nurdinally3451
    @nurdinally345111 күн бұрын

    Nyote mnafeli mitandao imewateka

  • @titondugai
    @titondugai25 күн бұрын

    Mi hua najua waislamu ni mapepo hamuelew haya sule anawaanika

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray768923 күн бұрын

    Umekosea 1 tuuu...kutaka wakristo wakati ukristo original n uislam kasoro jina tuuu..biblia 1 IPO kama Koran na mpadre wanashujudu kabla ya misa

Келесі