DAKIKA 19 ZILIZOMUANGUSHA SULE NA WAPIGA RAMLI WENZIWE || Muhammad Bachu.

Ойындар

Пікірлер: 111

  • @fatmaZakiya
    @fatmaZakiya24 күн бұрын

    Shukran kwa ukumbusho sheikh Allah akupe umri mrefu uzidi kututoa kwenye ujinga

  • @SinemaZaChina
    @SinemaZaChina24 күн бұрын

    najifunza kupitia wewe sheikh wangu nakupenda kwa ajili ya Allah❤

  • @user-yu9gy6dg3g
    @user-yu9gy6dg3g24 күн бұрын

    Alhamdulillah kweli yakhe bachu, Allah pekee yake anatosha kutegemewa, na pia mashallah kisa kizuri sana & chenye mazingatio ya huyo mchamungu inatupasa tujifunze kupitia hiki qisa.

  • @KhalfanMassoud
    @KhalfanMassoud24 күн бұрын

    Peace be upon you. Sheikh Muhamad Bachu may Allah bless you along with all the present and previous Muslims in the hereafter, including your elder. Amen السلام عليكم ورحمة الله وبركاته، الشيخ محمد، بارك الله فيك على كل ما تفعله، وبارك أيضاً على جميع المسلمين الحاضرين والسابقين، بما فيهم شيخك، آمين.

  • @ALLYMATIMBWA-cz3zg
    @ALLYMATIMBWA-cz3zg23 күн бұрын

    Allah akulipe kher mwalimu wetu unatupa maarumat mazuri san na kuonyesha mchamung ananguv kuliko jini,omari ibun al hatwabi majin walikuwa wanamkimbia

  • @AminaIbrahim-qh2gn
    @AminaIbrahim-qh2gn4 күн бұрын

    Allahu Akbar nimekuelewa sana shekh, Allah Awaongoze Washilikina wote. Atunusuru pia.

  • @fatimahirakoze7311
    @fatimahirakoze731122 күн бұрын

    Uki sahihi bachu mwanangu Allah akuifadhi naakukinge n'a Kila lashari n'a akupe mwisho mwema duniani n'a akhera kama mzee wako Allah amrehem

  • @SwahibuAthuman-yv2mn

    @SwahibuAthuman-yv2mn

    6 күн бұрын

    Shukran

  • @muhamadikombo4976
    @muhamadikombo497624 күн бұрын

    Maashaallah mungu akupe umri mrefu Sheikh Muhammad . Sis wanafunzi wa Sunna tunastafid San na da'awa zako za kila siku Mungu akihifadhi🤲🤲🤝❤️

  • @jaaffarabuu6750
    @jaaffarabuu675022 күн бұрын

    Allah akujaalie afya njema sheikh bachu

  • @AbuujureyjKhaniy
    @AbuujureyjKhaniy21 күн бұрын

    جزاك الله خيرا و احسن الجزء في أمان الله Allah akuhifadhi hii ndio haki

  • @abubakarishame2624
    @abubakarishame262423 күн бұрын

    Maashaallah mashaallah mashaallah ❤❤❤❤❤ barakalllah fiika. Allah akulipe kheri.

  • @ibnuh5361
    @ibnuh536123 күн бұрын

    Ustadh Muhammad Bachu.. Suala la majini liko wazi.. Haina haja ya kuongea snaa.. Mambo na majini HAIFAII. hapo tuko pamoja

  • @SalehSonda-bz3hl
    @SalehSonda-bz3hl5 күн бұрын

    Bachu Allah akuhifadhi

  • @feisalmbamba9729
    @feisalmbamba972924 күн бұрын

    Au tumuombe allah tu amtoe kizuizini kwa rehma zake na huku tubaki na pirika zetu za maisha

  • @Baliyosentertainment
    @BaliyosentertainmentКүн бұрын

    Barakallahu fiyka😊

  • @musadavid9938
    @musadavid99383 күн бұрын

    Mimi ni mkristo lakini huyu ustadhi nimemuelewa sana

  • @augustomariosama1542
    @augustomariosama15425 күн бұрын

    Shaikh Muhammad bachu namkubali sana MashaAllah

  • @okirorasuman-fl2db
    @okirorasuman-fl2db10 күн бұрын

    May Allah reward you abundantly, kutuelimisha kwa khatar yakutumia majini kwasababu yeyote

  • @GoodluckPaul-wf9gn
    @GoodluckPaul-wf9gn24 күн бұрын

    Ma Shaa Allah Tunazidi kujifunza katika miongozo anayoihitaji Mwenyezi MUNGU. na kwahakika ukweli huwa mchungu. Mwenyezi MUNGU azidi kawajaalia kheri wote mnaotufundisha katika kheri.

  • @AllyOmary-rg9zx
    @AllyOmary-rg9zx15 күн бұрын

    Bachu ni mwanafunzi akisoma vizuri atakuja elewa

  • @swalehmohamed4849
    @swalehmohamed484923 күн бұрын

    Mashaallah akhi Allah akujaze kheir kwa dhana nzuri naona umesahau kufinika kichwa naswaha yangu ikiwa hukusaha basi bora usiwache kufinika kichwa Ulamaa wamesistiza sana mtume s.a.w hajawahi kuswalisha kichwa wazi mbali na hajj na Umrah

  • @MohamedMeja
    @MohamedMeja23 күн бұрын

    Mashallah bachu kwa kutuilimishaa mungu atakulipaa ilimu kwako iko punguzaa presha tu ndio tutafaidikaa

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu764110 күн бұрын

    shukran sheikh Allah akujaze. majini ni haram kutumia waache kupotosha wajawaallah

  • @nadeemadams-mr3bs
    @nadeemadams-mr3bs24 күн бұрын

    Ebtehak al ahkee shukran jazeelan

  • @defantasticacomedy6366
    @defantasticacomedy63664 күн бұрын

    Jazakallah kheyr

  • @ameali1251
    @ameali12517 күн бұрын

    Kwa hiyo shekh anafundisha majini wote ni mashetani au

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu764110 күн бұрын

    wallah mitiani tunatafuta moto kwanguvu. turudini nyuma tumuabuduni Allah bas

  • @abdulmwakubambanya9091
    @abdulmwakubambanya909123 күн бұрын

    Barakh Allah Kher

  • @saidjuma4547
    @saidjuma454719 күн бұрын

    tunamkubali Sana shekh Allah amlinde na Kila shari

  • @KASSIMABDULLA-wm7bn
    @KASSIMABDULLA-wm7bn20 күн бұрын

    Hivi kweli hatuelewi ,vinavyo someshwa au hatumpendi bachu

  • @TamimuMikidadi
    @TamimuMikidadi20 күн бұрын

    buchu kwa hapa yupo vizuri sna sule unajivunjia heshima ktk dini

  • @KASSIMABDULLA-wm7bn
    @KASSIMABDULLA-wm7bn20 күн бұрын

    Mashallah tunaelewa wenye kutaka kuelewa

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu764110 күн бұрын

    subhannallah wallah mitiani watu waache kumchezea Allah haifai kabisaaaa kutuia majini haifai wallah waachekupotisha watu

  • @fadhilmandaliabdalla6736
    @fadhilmandaliabdalla673624 күн бұрын

    MashaAllah ✅

  • @youngtomuller-vh2pu
    @youngtomuller-vh2pu22 күн бұрын

    Allah ti abençoe irmao ❤❤❤

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b23 күн бұрын

    Tunajivunia kua namwalim kamabachu

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra63624 күн бұрын

    Ahsante

  • @SaidiBakari-kl1gu
    @SaidiBakari-kl1gu24 күн бұрын

    HUYU SULE ANAONEKANA AMEPATA ELIMU NDOGO UKUBWANI NDIO MAANA ANAKUWA LIMBUKENI WA MAJINI NA MAISHA. PERCEPTION YAKE YA MAJINI(MASHETANI) HATOFAUTIANI NA SELEMANI RUSHDIE. AYA ZA QUR'AANI ANAPOTOSHA KUZITAFSIRI KWA CONCERN YAKE MAJINI...

  • @musseleng.2124

    @musseleng.2124

    23 күн бұрын

    We mganga wa majini eenhh...???

  • @shaniisack1153

    @shaniisack1153

    22 күн бұрын

    Kutumia majini havifai huo ni uchawi mkubwa tuwe makini tutaangamia

  • @mhandoonthebeats8581

    @mhandoonthebeats8581

    12 күн бұрын

    Mmeandika cha nini sasa

  • @mhandoonthebeats8581

    @mhandoonthebeats8581

    12 күн бұрын

    Majini walisilimishwa

  • @user-oo7yr5zq6g

    @user-oo7yr5zq6g

    3 күн бұрын

    Uja muelewa sule we

  • @rahamkibinda6137
    @rahamkibinda61376 күн бұрын

    Umetumia dakika nying sana lakin point yako dhaifu

  • @abuubabamzazi
    @abuubabamzazi23 күн бұрын

    Mashaalha

  • @user-xb6tr5vq4b
    @user-xb6tr5vq4b23 күн бұрын

    Masufi wale hawafai kwelikweli

  • @user-uv3tw1cu3l
    @user-uv3tw1cu3l21 күн бұрын

    Allah akbar

  • @hemedimuna1400
    @hemedimuna14005 күн бұрын

    Tatizo sure anatoa Aya ndani ya quran hapo ndipo pagumu

  • @AllyOmary-rg9zx
    @AllyOmary-rg9zx15 күн бұрын

    Mashekhe mnapingana midandaoni ndio mungu alivo wambia?

  • @SalehSonda-bz3hl
    @SalehSonda-bz3hl5 күн бұрын

    Waambie uwakumbushe waachi uchawi

  • @JumaMHDaffa
    @JumaMHDaffa12 күн бұрын

    Kisa hiki nilikisikia kikisimuliwa na Shekh Bakhero ila yeye hakukataza kusomwa Kwa hicho kitabu!!

  • @zainulabideen6955
    @zainulabideen69556 күн бұрын

    Quero Gmail deste Humilde Sheikh e irmão fillah.

  • @ViweHamad-cn7mh
    @ViweHamad-cn7mh7 күн бұрын

    Jins ya kupika achar ya mbirimbi

  • @mrmajengotz.
    @mrmajengotz.15 күн бұрын

    Wallhahi nimepanda haaa

  • @AllyOmary-rg9zx
    @AllyOmary-rg9zx15 күн бұрын

    Mashekhe mnatundisha nini?

  • @user-cw6jq7cv2k
    @user-cw6jq7cv2k5 күн бұрын

    Dr, Sulle kamaumeangalia mada hii tafadhal mjibu huyu sheikh tupate eilmu

  • @Nuru_ya_sunnah.official
    @Nuru_ya_sunnah.official24 күн бұрын

    ❤🎉

  • @user-zs6qg7ql1i
    @user-zs6qg7ql1i9 күн бұрын

    Kwn shorki ni nin kutum jini nd shirki lkn kuntum binaadam si shirki hhhh mkasom wachen ujinga

  • @zainulabideen6955
    @zainulabideen69556 күн бұрын

    Struth

  • @user-do2id6pp4g
    @user-do2id6pp4g24 күн бұрын

    Sasa sheikh unazuia kusomwa hicho kitabu mbn we kisa hicho umekitoa humo kwenye hicho kitabu kwa ajili ya kuuelimisha jamii hebu kitaje jina tusikie na kimeandikwa na nani..

  • @user-wk5ju8kd3u
    @user-wk5ju8kd3u24 күн бұрын

    Masha Allah Allah barik

  • @Versossecretosdoislam6595
    @Versossecretosdoislam659522 күн бұрын

    Swali la ufahamu, Sheikh uposema kuwa kuwatumia majini uleta madhara: Hapa unazungumzia majini yapi, Walio silumu au wasio silimu? a) Maana kwa mujibu wa Uislam na Qurani .. waislam wote ni Ndugu. Je! Mtu kupata msahada kwa Ndugu yake ni Dhambi???

  • @JanethAnton-fx1mk
    @JanethAnton-fx1mk12 күн бұрын

    Kwani sulle si amesema kweli kwani si wapo majini waislamu na waislamu wote ni ndugu kwaio tukisema nyie mnashilikiana na majini tutakuwa tunadanganya si ni kweli

  • @mussakantumba9914
    @mussakantumba991422 күн бұрын

    Kwa kweli kwa huyu kijana Allaahu anamtumia kuilinda dini yake dhidi ya washirikina,wachawi,Na Makafiri waliojificha kwenye Uislamu!! Na kwa kisa hiki na ushahidi huu sidhani kama yupo mwenye akili na anayemtaka Allaahu atawaamini washirikina na wachawi wakiongozwa na yule mjinga anayeitwa Sule, na sasa wenye akili wanatakiwa kumuunga mkono Sheikh Bachu tu.

  • @user13375
    @user1337510 күн бұрын

    Kitabu kina mambo haramu 😮😮😮😮😮😮🤔🤔🤔🤔🤔

  • @OmarAlly-iz8ot
    @OmarAlly-iz8ot24 күн бұрын

    Sule hana jipya wote waganga njaa tu, na hata hizo pesa walizo pata hazina kheri kabisa

  • @user-yh5fu5lo9r

    @user-yh5fu5lo9r

    24 күн бұрын

    Shukrani Lakini usijitolee mfano mbaya kama huo Kuna wasikilizaji watakujasema wewe nae maganga una kajini majini ilikuharibu mafunisho

  • @roseatienoogutu7641
    @roseatienoogutu764110 күн бұрын

    tukumbukeni moto mkubwa wenye mgurumo wallah mcheni Allah eeh

  • @nasrihussein4293
    @nasrihussein429321 күн бұрын

    Sulle amepoteya asiwapiteze nyinyi. Jahanam anaingiya oekeyako sio sjlle

  • @maryamtanzania9743
    @maryamtanzania974323 күн бұрын

    Baba kira.washa anataka ligi hataki kuelewa

  • @kassamalishabani
    @kassamalishabani23 күн бұрын

    Sio kweli dr sulle akusema kutuma majini kutoa majini anasoma kisomo

  • @dizobrownclassic8950

    @dizobrownclassic8950

    22 күн бұрын

    bado hujaelewa bwege wewe,,,point yake,,,,hapo anakusudia tawhid

  • @kassamalishabani

    @kassamalishabani

    22 күн бұрын

    Mana ya tauheed ni nini

  • @user-te5jr1rz7w
    @user-te5jr1rz7w22 күн бұрын

    Lakini kuna majini mabaya na maovu nisawa na binadamu yupo binadamu mwema na wPo wabaya

  • @user-pw4dx9hr1l
    @user-pw4dx9hr1l19 сағат бұрын

    Hicho kitabu kaandika Nani ? Wakati mashekhe unaowakubali wamehalalisha wakosoe kwanza mashekhe wako

  • @PanduMole
    @PanduMole24 күн бұрын

    Kwani kapiga ramli mumemuona

  • @mhandoonthebeats8581
    @mhandoonthebeats858112 күн бұрын

    Majini walisilimishwa so ni ndugu za waislamu msimlaumu sule yupo sahihi

  • @user-mc2xd4eu2p

    @user-mc2xd4eu2p

    2 күн бұрын

    Dogma zinakuharibu nikiomba andiko majini wote wamelaaniwa utatoa au mnaleta chuki tu na dini ya haki?

  • @user-zt6kn8qg7n
    @user-zt6kn8qg7n19 сағат бұрын

    Na. Wengine wamefungua magroup kwa kula hela za masikini kama huyu tapeli mkubwa Rakims spiritual na hakuna chenye wanapata na kuwaita wanafunzi zake lana za Allah ziwe ju yenu na kula hela za wanyonge kenge nyie

  • @Logicentric
    @Logicentric18 күн бұрын

    Hebu muacheni huyo shetani Sule na hao wapumbavu wenzake. Hao ni makafiri tu wasiwape tabu. Hao na majambazi wamepata njia nyengine tu ya kutapeli watu. Hawana mungu hao....Matumbo na matamanio yao ndio yamewaponza. Ukiwaangalia hawana chembe ya uislamu hao.

  • @JumaMHDaffa

    @JumaMHDaffa

    12 күн бұрын

    Shekh muogope Allah usijekuwa Muflis siku ya kiama bila sababu,kama unamkufurisha mtu kama sio unakurudia wewe mwenyewe

  • @salumsasua9906
    @salumsasua990623 күн бұрын

    Kwani kunakosa kujua Kila elmu

  • @hemedsaidi9388
    @hemedsaidi938822 күн бұрын

    Wewe bacho huna elimu

  • @issaibrahim8796

    @issaibrahim8796

    Күн бұрын

    Wewe mwenye Elimu toa faida ili watu wafaidike usikalie uzodoaji tu na Husda zisizo na sababu.

  • @presenterhabib
    @presenterhabib4 күн бұрын

    Bachu umekosa kazi. Kazi kuwaita waislamu wenzako mushrik na kafir. Faidisha umma acha uzombie wako. Masomo kidogo ushajiona unaeza toa fatwa

  • @ikabako2454
    @ikabako245423 күн бұрын

    Majini na waislamu ni ndugu kabisa

  • @Zainabnoor0087-ze

    @Zainabnoor0087-ze

    23 күн бұрын

    Wakristo ndio baba yao, ibilis, kasome Ayubu 1:6😂

  • @user-mc2xd4eu2p

    @user-mc2xd4eu2p

    2 күн бұрын

    makafiri wanalazimisha aabudiwe mwana wa adam ukafiri ni upofu

  • @ikabako2454
    @ikabako245423 күн бұрын

    Uislamu na uchawi vinaenda bega kwa bega !

  • @HafidhKhamis-ph8qg

    @HafidhKhamis-ph8qg

    21 күн бұрын

    Wewe unasemaje?

  • @MohammadJumah-qk2xc

    @MohammadJumah-qk2xc

    18 күн бұрын

    Tobaaaaaaaaa

  • @AsukuluIbucwa
    @AsukuluIbucwa18 күн бұрын

    JINI NI VIUMBE VYA MUNGU na SISI TUMEWEKWA ILI TUVIMILIKI KAMA HUNA ELIMU YA MAJINI ACHA KUFUNDISHA MAFUNZO USIYO YAJUWA

  • @MohammadJumah-qk2xc

    @MohammadJumah-qk2xc

    18 күн бұрын

    Duuuu

  • @rashidomar3557

    @rashidomar3557

    14 күн бұрын

    Allah atuongoze sote pamoja Kw kweli😢😢

  • @abuufaisal4383

    @abuufaisal4383

    11 күн бұрын

    Aya hiyo inapatikana wap kuwa majini tumewekwa ili tuwamiliki

  • @user-oc8uo9rl3u
    @user-oc8uo9rl3u23 күн бұрын

    MAWAHABI CHECHEIIII..........!! HII ELIMU YA MAJINI NI TAWI KTK ELIMU YA FALAQ NA NYINYI MAWAHABI HAMJUI ELIMU YA FALAQ KWAHIYO WAACHIENI WENYE ELIMU YA MAJINI WAITUMIEEEEEE TATIZO LENU MAWAHABI MNACHOKIJUA NYINYI MNALAZIMISHA KILA MTU AKIFATE HICHO HICHO.

  • @assdfettassaewq8604

    @assdfettassaewq8604

    23 күн бұрын

    Kweli kabisa na umesema kweli

  • @user-gm8xx9vn1g
    @user-gm8xx9vn1g19 күн бұрын

    Kazi kukosowa waislam wenzako pambana nawakirsto acha unafkii wewe nimnafki

  • @hasinaalrahbi6681

    @hasinaalrahbi6681

    18 күн бұрын

    Hapo inatushangaza kukosowa tu

  • @ISMAILIbrahim-ys5vl
    @ISMAILIbrahim-ys5vl24 күн бұрын

    Jini mchafu huyo na sio mwema hivyo mfano iliotowa juu ya kisa hicho jini hadi anamzuia mcha Mungu asiukate mti Naoshitokishwa Mungu ni jini mchafu

  • @jumayusuphu322

    @jumayusuphu322

    24 күн бұрын

    Acha ushirikina

  • @ISMAILIbrahim-ys5vl

    @ISMAILIbrahim-ys5vl

    24 күн бұрын

    @@jumayusuphu322 Elimu ya jini huna Kijana jambo lolote usilokuwa na elimu nalo ni geni kwako hivyo kama hujui kitu tulia Kijana

  • @maalimhamad1297

    @maalimhamad1297

    23 күн бұрын

    Nisawa ni jini mchafu na huyo jini mwema hawezi kwwnda kwa mshenz kaam daktari selemani

  • @kassamalishabani

    @kassamalishabani

    23 күн бұрын

    Nijini mchafu uyo bona usipotoshe watu na mifano yakutunga mcha mungu awezi kusawishiwa na shitwani kwa kweli mana Allah atamulinda

  • @muhammadnassibu7706

    @muhammadnassibu7706

    22 күн бұрын

    Sisi binadamu na majini sote tumeumbwa kwa ajili ya kumuabudu Allah s.w hakuna mwenye mamlaka ya kumtumikisha mwingine

Келесі