MAZINGE NA MCHUNGAJI
MWANADANU AKIACHA MUONGOZO ALIOPEWA NA ALLAH ANAKUWA KAMA MNYAMA SHEKHE NASSOR BACHU
• MWANADANU AKIACHA MUON...
MCHUNGAJI KACHEMKA MBELE YA PROF.MAZINGE
• WEWE NDACHA ACHA KUWAD...
MWANAMKE AMBAYE MZAZI WAKE AMESAMEHEWA DHAMBI ZAKE KWA KUMTII MUME WAKE SHEKHE MSELEMU BIN ALI
• MWANAMKE AMBAYE MZAZI ...
Пікірлер: 91
Love you prophet Mohammed❤❤❤❤ True Prophet from ALLa
@whitetigerprincy5882
7 күн бұрын
not really
Shekh Mazinge una tukosha nafsi kweli Makafiri. Hawana lao ALLAHU AKBAR
@myself4128
Ай бұрын
Unaabudu Jiwe na wewe ndio Kafiri halisi,
Mpeee uyoooo😂😂😂 munyoshe SASA professa❤❤❤
Allahu akbar hakika muhamadi ni mtume wa allah
Shekhe unatisha wew kiboko ya makafili shekhe
Allah Akbar
Mazinge Allah akupe umri mrefu akupe haja za moyo wako . Akupe Leo na kesho ahera Kwa uwezo wake .
@madrasatulfurqani
Ай бұрын
aamin
Allah ❤ Akbar
Hao wamekarr maandiko c kuyafaham
Na hakika ewe Mohammed tumekufunulia wahai huu Kama tulivyo mfunulia Mussa , yakob, yunusu,Nuhu,na n,k Qur'an Surat Al nisaa
@madrasatulfurqani
2 ай бұрын
jazaaka llahu khaira
Muhammed ata Mungu hamjuwi Yani Bibiliya itamutaja haje
@madrasatulfurqani
3 күн бұрын
SABATO NI SIKU SIO DINI PRO MAZINGE kzread.info/dash/bejne/lKSF07h-laSsZbw.html
Mazinge wape maandiko vitabu vyao lakini hawavisomi ipasavyo
Takbiriii
@madrasatulfurqani
Ай бұрын
ALLAHU AK'BAR
Alla akbar
Quran 61:6 .Anasibitishwa Muhammad hapo
Kaumia uyo moyoni ata kama asiseme
Mazinge natamani unifundishe na mm niijue kufundisha dini
❤❤❤
WEYE padiri nishahidi WA Nanii Musa ushahidi. Ganiii
Ulishindwa bibya sana mazinge
Hapo hajashindwa mazinge alie hajuwi nacho uliza
Mazinge ni muongo sana ety wakristo wanafuata mtume Mohamed niongo juu bibilia ilikuwa imeesabu kutoka mwazo
@madrasatulfurqani
3 күн бұрын
SABATO NI SIKU SIO DINI PRO MAZINGE kzread.info/dash/bejne/lKSF07h-laSsZbw.html
Hongera Mazinge, umemziba mdomo huyu bwege asiyejua. Anatunia quraan kumkataa Muhammad. inachekesha sana.
@user-fg1gg3ec2o
2 ай бұрын
Toka lini mazinge anaakili
@111dudi
2 ай бұрын
@@user-fg1gg3ec2o wakristo hawamuwezi. Kubali. Mazinge anaijua biblia kuliko wakristo. Hiyo Yahaya, anamkataa Muhammad s.a.w.lakini anatumia quraan iliyoteremshwa kwa Muhammad s.a.w. ni akili hizo? ,yaani baniyani mbaya kiatu chake.dawa
@madrasatulfurqani
Ай бұрын
Tatizo Hawa hawataki kusoma bibilia wao Huwa wanasomei vifungu vya Aya vya kuwatia ujinga TU vile vifungu vya kweli hawawasomei
@dennisezakiel3380
Ай бұрын
😂😂😂😂😂 mtu alikuwa imamu asiijue Quaran
@rashidmexes3629
Ай бұрын
Acha matusi, Aya iko wapi muhamad kachaguliwa kuwa mtume
Hapo mazinge ulichemka na ulishindwa vbayasana
@madrasatulfurqani
2 ай бұрын
Hajachemka chocolate hapo
@johnkaliwanje434
Ай бұрын
hapo Mazinge kachemka vibaya sana
@araptenbeller996
10 күн бұрын
kachemka wapi
Mazinge Umewakomesha Makafiri Safari Hii Sana.ww ni kiboko ya Makafiri
@myself4128
Ай бұрын
Kuna kafiri zaidi ya mtu anayeabudu Jiwe Jeusi??
Mazingwe ashindwa kuthibitisha wapi Mohammad kachaguliwa na mungu kwa quoran ameandza kumtafuta padri mkorofi😂😂😂
Apa mazinge alichemsha
@madrasatulfurqani
Ай бұрын
Sikiliza hii kzread.info/dash/bejne/oHyplo-ElMrbgKg.htmlsi=tBX9YrqoD4gHPRvT
Mkahidi WA maneno ya mtume muhamadi ni kipofu WA akili
Makafiri ni watu gani
@madrasatulfurqani
24 күн бұрын
Kafiri ni kila anampinga Mtume Muhammad na qur,an na ALLAH
Wachungaji wote ni waganga tu
😂😂😂😂😂😂
huyo mchungaji akili hani yupo kimasilahi na hawa mapsta ni mashetani wote wanapotosha wakirsto tu hamna dini ya ukirsto ni watu tu wametunga kupeleka nje na mwenyezingu
wote nyie ni ni wapumbavu mungu gani mbona mwabishania mungu mmoja ivi nyie mnaakili kweli bora Mimi ambae simuamini maiamini nafsi yangu
@madrasatulfurqani
3 күн бұрын
Hakuna upumbavu hebu tazama hii kzread.info/dash/bejne/nGFtw9arc5C1k9o.html
Muhammada ni mtume wa shetani ndo Mana alimfanya Hadi mtoto wa myaka tisa
@abdallahmtula9467
18 күн бұрын
Mtume Muhammad hana hata siku Moja tabia mbaya huwezi kuzipata na ushetani uko kilometa nyingi na Muhammad
@jairusalim5526
17 күн бұрын
Allah akulipe
@ZainabsharifJuma-fg6dn
13 күн бұрын
Astaghafiruallah
@madrasatulfurqani
3 күн бұрын
acaha ubishi huu ndio ushahidi kzread.info/dash/bejne/nGFtw9arc5C1k9o.html
Pandiri ni alaha?
Nyinyi nyote mmelewa tu
@madrasatulfurqani
24 күн бұрын
Huna hoja
Huyu Mazige anafanya vichekesho wala hajajibu swali
@111dudi
2 ай бұрын
We ndiye usiyefaham
Mazinge jibu swali ni aiya gani Mohammed alichakuliwa na Mungu simple.
@profesakiongozi3930
2 ай бұрын
Ni aya gani hakuchaguliwa Ili kuthibitisha kuwa kachaguliwa
@criminalminds7723
Ай бұрын
Bro kwani Kiswahili sio lugha yako??kama mumeamkni kua Muhammad alisema Maryam ni mama Bora halafu muamini kabisa,kisha uje ukatae kwamba hajachanguliwa alijuaje kama Maryam ni mama Bora??na kwann mukaamini?
Mohammed ni mwongo anasema mariamu ni bora kuliko wanawake wote wakati bibilia inasema mariamu alikuwa bora katikaka wanawake sio kuliko, Mohammed mwongo kweli.
@madrasatulfurqani
Ай бұрын
Ni Bora unyamaze maana huna unalojua kubuau bibilia Usikurupuke soma vizuri biblia
@Sauda-yo2kg
Ай бұрын
wallah nakuona huruma nenda kasoma utajua muhamad n nani . mohamd na mjumbe wa mwenyezimungu nampenda mtume muhamad
@user-dy2lq9qh7c
Ай бұрын
Tupe aya kwenye bibilia mungu kataremsha kitabu kinacho itwa bibilia
Jiwe Limejengewa Nyumba ya Ibada😂😂na Linaabudiwa,Muhammad alifanya kulipa Jina tu la Kiarabu basi😂😂😂Jiulizeni enyi Wapagani Hiyo salamu mnayompa Mtume katika Swala mara5 kila siku anawasikia na mtu mwenyewe alishakufa akaoza??
@madrasatulfurqani
Ай бұрын
huna hoja
😂🤣🤣🤣🤣 mazinge bwana hiyo Quaran na Biblia kipi kilitangualia,muhamad anasema ibrahimu alichaguliwa wakati yote hayo alishaga andikwa kwahiyo muhamadi amekopi kwenye Biblia
@Clamvevo-dx3fk
28 күн бұрын
Bibilia yenyew inafanyiwa marekebisho kila baada ya muda kadhaa, lakini qu-ani haina udhaifu kma wenu
Akuna mazinge ujatoa jibu umeulizwa toa aya kua niwapi mtume kachaguliwa namunguuu wewe hujajibu swali acha porojo
@madrasatulfurqani
3 күн бұрын
SABATO NI SIKU SIO DINI PRO MAZINGE kzread.info/dash/bejne/lKSF07h-laSsZbw.html
Padiri. WEYE. Haujuwi. Iyo bibiliya yako
😂😂😂🤣🤣😋🤣 mazinge hapa umejichanganya sana , kabla ya muhamadi kuja duniani miezi ilikuwa mingapi ??? Biblia ndo kila kitu
@madrasatulfurqani
3 күн бұрын
hajajichanganya msikilize hapa vizuri uelewe kzread.info/dash/bejne/nGFtw9arc5C1k9o.html
Mchungaji ameuliza swari Haya gani Muhammad kachaguriwa simple question mambo meeeengi achana mjipu alidhike
@user-sz8sx8pn7v
2 ай бұрын
Wewe acha chuki ya kidini Soma ama sikiza kwa moyo msafi sio kwa upinzani Ila kwa kutaka kujua haki uko wapi?
@samuelondieki9164
2 ай бұрын
@@user-sz8sx8pn7v yes simumujibu Basi swari lake mambo ubishi uishe
@ibrahimually2180
2 ай бұрын
Mama wa yesu ni mama bora ujamini ndani ya kuruani aijaacha kitu mashallaa karibu uisilam
@ibrahimually2180
2 ай бұрын
Tulia
@nassorkhamis6233
2 ай бұрын
Namsaidia mazinge ndugu yng ktk imani alikua ajibu tu Quran 61.6. Bas kazi yake imeisha
Allah Akbar
Allah Akbar