DR SULLE ASIMULIA PETE YA UTAJIRI ILIVYOCHUKULIWA NA MAJINI NA KURUDISHWA KWA MFALME SULEIMAN

KATIKA KUANGALIA NGUVU YA PETE, HAPA DR SULLE AMETOA ELIMU JINSI MAJINI WANAVYOWEZA KUKUNYANG'ANYA UTAJIRI WAKO

Пікірлер: 47

  • @saidimdoe5246
    @saidimdoe52465 күн бұрын

    Allah ukuhifadhi ww sulemani wa pili uendelee kutupa elimu

  • @KHADIJANDABABISA
    @KHADIJANDABABISA2 күн бұрын

    Kaka yetu sulley ALLAH akuhifadhi sanaaaaa inshaallah

  • @BrillyMontana
    @BrillyMontana5 күн бұрын

    Tatizo wanaosema dr ni mshirikina ni wale watu wasiokuwa na elimu

  • @FatwimaZahrau
    @FatwimaZahrau4 күн бұрын

    MashaLLAH DR ALLAH AKULIPE KHERI❤

  • @osamkabura9774
    @osamkabura97744 күн бұрын

    Allah akuzidishie kheri

  • @allycux1221
    @allycux12212 күн бұрын

    Uyu jama anailimukubwasan yani alafu history anaijuwa Sana Allah amwihifazi

  • @user-mb2ex7qu6x
    @user-mb2ex7qu6x19 сағат бұрын

    Huyuu jamaaa nilishaaamtoaaa kwenye list yangu kabisaaa

  • @user-tz8zu2gt6u
    @user-tz8zu2gt6u4 күн бұрын

    katika makanisa tuna washirikina wakuu wanatumia vitambaa mafuta navmiujiza za kishetani pia waisilamu Wana madoctor na mashehe washirina kweli hizi ni nyakati za mwisho yesu okoa hiki kizazi

  • @HaydarKiroboto
    @HaydarKiroboto5 күн бұрын

    Mungu nimwema tumuombe khel katka khel zake.

  • @BURUNDIB
    @BURUNDIB3 күн бұрын

    Hakuna dini hapa kabisa

  • @HaydarKiroboto
    @HaydarKiroboto5 күн бұрын

    Inshallah

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa67024 күн бұрын

    Huyo maneno , maandishi ya mungu ndio yapi , atutajie,

  • @rezikomer9552
    @rezikomer95522 күн бұрын

    Haya watu wa coments ningependa nanyinyi mutengeneze vidio zenu mseme muyajuwayo yawe ya ukweli wacheni zakuharibu mambo ya wenzenu basi mumezidi

  • @WilsonWacira
    @WilsonWacira4 күн бұрын

    uisilamu na uganga ni kitu moja utajiri wa kweli unatoka Kwa Mungu .mambo ya Pete ni ushirikina

  • @muagirjose6670
    @muagirjose66705 күн бұрын

    Inshallh i from Mocambique

  • @abishafiqabishafiq6065

    @abishafiqabishafiq6065

    3 күн бұрын

    Mozambique unapatikana wapi tujuane

  • @edwardmugendi-hb1tj
    @edwardmugendi-hb1tj4 күн бұрын

    hizi stori za kinga sijui huwa mnazitoa wapi yani haya majamaa maongo haya

  • @osmundmtavangu
    @osmundmtavangu4 күн бұрын

    Haya yooote yapo kwenye Quran ila Dr. Sule akiyaongea mashekhe uchwala wanaanza kumpinga. Binafsi nampongeza sana Sule kwa kutudhihirisha na kutuonyesha wazi ni namna gani majini na Uislamu vilivyoungana pamoja.

  • @binseif2216

    @binseif2216

    4 күн бұрын

    Ndio sababu majini pia waliumbwa ili wamuabudu Mungu lkn wengne waliukubali uislamu nawengne waliasi nakutangaza vita na Mungu

  • @osmundmtavangu

    @osmundmtavangu

    4 күн бұрын

    Jidanganye Ivo Ivo toka huko kwenye majini ndugu yangu hakuna kitu km hicho hizo ni hadithi tu. Majini wote ni malaika walioasi(mashetani) na ndio chanzo cha uchawi na mateso mbalimbali duniani.

  • @amissiradjabu6561

    @amissiradjabu6561

    3 күн бұрын

    soûle anaongeya maneno yake kwa akili yake sababu hajatoa andika hata moja la coran sasa hakuna huisiano wa binadam n'a jini ..... sule ni njaaa ya ki maicha atafute kazi afanye apate ugali n'a sio jini sababu jini wana ulimwengu wao n'a sisi wa nadamu tunaulimwengu wetu acha chuki n'a roho mbaya tafuta elimu .....

  • @amissiradjabu6561

    @amissiradjabu6561

    3 күн бұрын

    ​@@osmundmtavangushetani ni jini wala sio malaika malaika hakoseyi anamti mungu ila jinni kaais kaitwa shetani mana shetani ni sifaaa kicha mwanadamu akiaswi naye anaitwa shetani

  • @abdallahhanafi6963

    @abdallahhanafi6963

    2 күн бұрын

    Hayo yapo ndio ndani ya quraan,lakin ni mambo maalum kwa mtu,hiyo pete ilikuwa ni maalum kwa nabii suleiman sio kwa kila muislam,hapo ndipo wanapompinga dr sule

  • @jumamussantuiche
    @jumamussantuiche4 күн бұрын

    Aya basi yunusi.mfuate na yunusi.

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud36343 күн бұрын

    Sio Kweli , hayo ni mambo ya uzushi. Sheikh unamfitini Mwenyezi Mungu uweza wake.. Hayo si Kweli.

  • @MassaweFrank

    @MassaweFrank

    20 сағат бұрын

    Nambie uwelewa wako

  • @myself4128
    @myself41286 сағат бұрын

    Hadithi za Sungura na Fisi😂😂😂 kwaiyo Jini kabeba Pete na Mungu akaruhusu Jini abebe Utawala Wa suleman na Unabii wake😂😂😂 na majini wenzake hawakushituka😂😂

  • @BakarShabani-jt2hl
    @BakarShabani-jt2hl54 минут бұрын

    Ukimtetea sule nawewe mushiki mpeninasahatu asizidikunanganya

  • @WilsonWacira
    @WilsonWacira4 күн бұрын

    Koran ni kama hadithi za abunuasi

  • @hamadmhchande5633
    @hamadmhchande56334 күн бұрын

    Suleiman kama Suleiman master.

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa67024 күн бұрын

    Muandishi ukiwa na sule mbona unakosaanga maswali kama wale wengingi wenye wanatoa prove zote kutoka kwa vitabu kubwa, huyuniwakuchanga watu akili akiwafundisha njia za ushirikina

  • @user-mb2ex7qu6x
    @user-mb2ex7qu6x19 сағат бұрын

    Sasa wewe sule sasa wewe unamfuataaa nabii suleimani au nabii Muhammad i

  • @dangotemtotojr2418
    @dangotemtotojr24184 күн бұрын

    Yani Mimi namkubali Sana uyu sheee namfatilia Kila kipindi

  • @yasinazam116
    @yasinazam116Күн бұрын

    SULE WACHA BANGI HAKUNA HATA DALILI KISA KIMETOKA WAPI TUMESOMA ULIPOSOMA NA TUKASOMA AMBAPO HUJASOMA VISA VYAKO NI KATIKA VITABU VYA MAYAHUDI

  • @user-tc3vb8pm5v
    @user-tc3vb8pm5v4 күн бұрын

    Niricho gunduwa mashehe weengi erimu ni ndogo sana hongora sure

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa67024 күн бұрын

    Aki huyu mtu niwahadithi tu alisikia wapi hiyo stori yote imeandikwa wapi?? Atuoneshee hiyo stori , story teller huju utafikiri alikua hapo, mchongo tu

  • @canamass5205
    @canamass52053 күн бұрын

    Yona hakuwai Dili na majini kabisa na yona sio yunis wala YESU si issa

  • @vinny.morales
    @vinny.morales5 күн бұрын

    Uislamu na uchawi ni dugu moja😂

  • @binseif2216

    @binseif2216

    4 күн бұрын

    Mtihani kubishana nawewe

  • @nabiimgongolwa8728
    @nabiimgongolwa87284 күн бұрын

    TUSIDANGANYANE....JAMANI SHIKENI AMRI KUMI ZA MUNGU HAYO MENGINE NI UONGO MTUPU......VINGINEVYO WAJINGA NDIO WALIWAO.

  • @mussaissa6796

    @mussaissa6796

    2 күн бұрын

    NYIE MNAPOLISHWA NYASI NA KUNYESHWA JIK KAMA BARAKA HUWA NINI KWENU?? MPUUZI WEWE NYIE KWENU WANAWAKE HADI WANANYONYESHWA MBOO NA WACHUNGAJI ILI WAKOJOLEWE BARAKA HALAFU WEWE UNABWEGA NINI HAPA.

  • @pammymoraamoraa6702
    @pammymoraamoraa67024 күн бұрын

    Jamanini suleiman ati alikua Muslam??? Weeee umeshinda , sule hapo niuongo mtupu tupu

  • @stephensena7195
    @stephensena71954 күн бұрын

    Huyu mtu ni muongo sana

  • @KHADIJANDABABISA

    @KHADIJANDABABISA

    2 күн бұрын

    Mjinga ww elimu huna kaa pembeni cc tule gombo adimu

  • @KHADIJANDABABISA

    @KHADIJANDABABISA

    2 күн бұрын

    Acha chuki kafiri ww