USIPIME: ULINZI MKALI WA MAGUFULI AKIONDOKA KWENYE MKUTANO KAGERA

Пікірлер: 215

  • @WivianRich
    @WivianRich3 жыл бұрын

    Ana mlinzi wake huyu mnene mweusi namkubali sana,mkali hadi raha hamuamini yeyote,kazi nzuri mno,

  • @shahamtindo

    @shahamtindo

    3 жыл бұрын

    Yuko pouwa sana huyo jamaa

  • @nabosedward4836

    @nabosedward4836

    3 жыл бұрын

    Mwenye kibegi ndo anakuaga mkata umeme😂😂

  • @shahamtindo

    @shahamtindo

    3 жыл бұрын

    @@nabosedward4836 mchomoa betri

  • @johnchrispini5592

    @johnchrispini5592

    3 жыл бұрын

    @@shahamtindo Duuu

  • @ezekielmugeta2427

    @ezekielmugeta2427

    3 жыл бұрын

    An huyo mweus na wa kabegi😁😁😁

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud47413 жыл бұрын

    Daah 😥 leo hii umetuacha rais wetu Magufuri 🙏 Mbele Yake nyuma yetu MW/MUNGU amlaze mahali pema peponi 🙏😭

  • @kakawamashariki8978
    @kakawamashariki89783 жыл бұрын

    Salaam za pongezi kwa walinzi wote wa Mh. Jpm. Hakika Nimependezwa na itifaki na weredi wa kazi yenu. Huu ni ulinzi teule,Kwaajili ya Mteule.

  • @deokessy6288
    @deokessy62883 жыл бұрын

    Namkubali Sana huyo jamaaa mwenye kabegi....

  • @stephenlusekelo

    @stephenlusekelo

    3 жыл бұрын

    Na yeye anakukubari Sana

  • @selector728

    @selector728

    3 жыл бұрын

    @@stephenlusekelo anakukubali sio anakukubari

  • @abdulomar446

    @abdulomar446

    3 жыл бұрын

    @@stephenlusekelo hahahahha

  • @athumanabubakary5930

    @athumanabubakary5930

    3 жыл бұрын

    Jamaa anakaba balaaa

  • @nabosedward4836

    @nabosedward4836

    3 жыл бұрын

    Mkata umeme huyo😂😂

  • @ibrahimrashidi7904
    @ibrahimrashidi79043 жыл бұрын

    Apo jifanye kama unapita nduki kumkimbilia uku mikono umeiwaka nyuma dah utaomba dunia nipasuke

  • @khalfansimba9610

    @khalfansimba9610

    3 жыл бұрын

    Utageuzwa net😃

  • @langxshaba7186

    @langxshaba7186

    3 жыл бұрын

    Hahahaa

  • @eventelias3566

    @eventelias3566

    3 жыл бұрын

    😄😄😄utajua nini maana ya otimbi na timbilio

  • @mlandasymon1980

    @mlandasymon1980

    3 жыл бұрын

    😂😂😂

  • @faustinemahona1818

    @faustinemahona1818

    3 жыл бұрын

    @@eventelias3566 😃😃😃😃😃😃😃😃

  • @moshiomarymnyeda8907
    @moshiomarymnyeda89073 жыл бұрын

    Vijana wapo vizuri sanaaa 🇹🇿✅👍👍👍

  • @chablotv6536
    @chablotv65363 жыл бұрын

    Baba Kam baba katika majukum ya kazi❤️

  • @witidavid8328
    @witidavid83282 жыл бұрын

    Yani urais ulimpendeza sana yan ulikaa mahara pale👏👏👏

  • @raykas9976
    @raykas99763 жыл бұрын

    Safi sana anapaswa kulindwa sana Rais wetu kipenzi.

  • @allymapinda8804
    @allymapinda88043 жыл бұрын

    Anayoyafanya kwa nchi yetu ni lazima alindwe kwa hali na mali, watu wengi hawapendi... Baba mitano tena hii ikiisha, mpaka tunyooke kama rula!

  • @raibethnicholaus1493

    @raibethnicholaus1493

    3 жыл бұрын

    Mzee tumesha nyoka hali tete

  • @topaviator

    @topaviator

    3 жыл бұрын

    Lkn biashara hamna

  • @wisperfect5320

    @wisperfect5320

    3 жыл бұрын

    😂😂

  • @theafrican3752
    @theafrican37523 жыл бұрын

    Nilikuwa namsikiaga tu mtu akiitwa "mbeba mikoba" ila leo nimemuona.

  • @amosyohana5351
    @amosyohana53513 жыл бұрын

    Nalindwa na Mungu Yeye aliye Mkuu wa Israel

  • @ramadhanmatinya7053

    @ramadhanmatinya7053

    3 жыл бұрын

    Kwahiyo unataka kusemaje? Yaan walokole bhn kujifanya mnajua kila kitu.

  • @jedidahbintidaudi8241

    @jedidahbintidaudi8241

    2 жыл бұрын

    amina baba

  • @jessicabrown5885
    @jessicabrown58853 жыл бұрын

    Sijui kwann ila nimepapenda apa 2:15

  • @josephgoodluck2631

    @josephgoodluck2631

    3 жыл бұрын

    asee ata mm

  • @nrwawanndeny7394

    @nrwawanndeny7394

    3 жыл бұрын

    Hata Mimi,huyo jamaa big yellow amezimwa kinyamma

  • @pepchallanga3626

    @pepchallanga3626

    3 жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤭

  • @simonnembomadola7512
    @simonnembomadola75123 жыл бұрын

    Safi Sana. Raisi wetu alindwe kama Kim Jong Hun

  • @Craftiummah123
    @Craftiummah1233 жыл бұрын

    good one sharing,Stay connected.

  • @anthonymwambepo7441
    @anthonymwambepo74413 жыл бұрын

    Tusomeni shule jamani, tuwasomeshe watoto wetu dahhhhhh kulindwaaaa rahaaaaaaaa mitano tena kwa magufuriiii

  • @blandinalukole5535
    @blandinalukole55352 жыл бұрын

    Nakupenda mno Maguful, Mungu wa mbinguni akuweke unapostahili

  • @rajabalfarazliganja397
    @rajabalfarazliganja3973 жыл бұрын

    JPM ulinzi wake haukuanza Leo nakumbuka ndio waziri wa kwanza Tz aliewahi kupewa ulinzi kama huu henzi za hatati mzee mkapa.kitunze kidumu.

  • @dennischeyo1302
    @dennischeyo13023 жыл бұрын

    Hapa kazi tu

  • @mjinihakuna5550
    @mjinihakuna55503 жыл бұрын

    Acheni ujinga kamahamna chakukoment kaeni kimya ulitaka alindwe babaako? Nitajie raisi ambae hana ulinzi hapa duniani pumbavuzenu wote mliokoment utumbo

  • @saidrajabu9589
    @saidrajabu95893 жыл бұрын

    Ulinzi upo vizuri hata upeani salamu na wajomba zako

  • @alfredjustinian9753
    @alfredjustinian97533 жыл бұрын

    Huyu mzee citoweza kumsahau ktk maisha tangulia salama baba tunakupenda mnoo

  • @denisidamiani2033
    @denisidamiani20333 жыл бұрын

    Jifanye kama unajikuna>>>>>>>

  • @shahamtindo
    @shahamtindo3 жыл бұрын

    Bonge la ulinzi

  • @user-mz4ry1sl8l
    @user-mz4ry1sl8l10 ай бұрын

    Mlinz ni Mungu,ulinz wote huo hla kaondoka.

  • @kenslogistics4377
    @kenslogistics43773 жыл бұрын

    Ulinzi wote huo na bado mtu anakufa tu...

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala91623 жыл бұрын

    Kuda dekiiiiii ni nomamaaaa mko makini walinzi, acha like yako hapo kama umemuona jamaa alievaa mkoti mkubwa alivyomgusa kitambi huyo mwenye nguo za chama, anahisi anaweza akajifanya tumbo Kumbe kaficha kitu cha hatari,,

  • @topaviator

    @topaviator

    3 жыл бұрын

    Hatuachi like apo

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala91623 жыл бұрын

    Hadi raha aseee,, big up mr president of TZ.

  • @eliarichard9218
    @eliarichard92183 жыл бұрын

    Nice Ulinzi

  • @saidabdullah4878
    @saidabdullah48783 жыл бұрын

    Mungu awabariki sana kwa kazi nzuri ya kumlinda kwa ujasiri na umakini wa hali ya juu kiongozi wetu wa nchi Mh. Rais JPM. Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika

  • @derickjames5525
    @derickjames55253 жыл бұрын

    Ahahah wa kwanza kuview gonga like

  • @topaviator

    @topaviator

    3 жыл бұрын

    Hupewi like apa

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_3 жыл бұрын

    😂😂😂😂 bongo bhana awo walizi sasa

  • @shahamtindo

    @shahamtindo

    3 жыл бұрын

    Wana shida gani

  • @nabosedward4836

    @nabosedward4836

    3 жыл бұрын

    Unajichekesha nini sasa uje ujaribu uone kitakacho kukuta

  • @shahamtindo

    @shahamtindo

    3 жыл бұрын

    @@nabosedward4836 😂😂

  • @robertdioniz3364

    @robertdioniz3364

    3 жыл бұрын

    Kama sio walinzi peleka hizo pua ndo utajua kazi yao, ayo meno unayoweka nje saiz yapeleke uyaweke pale then utajua nin wanafanya 😉

  • @happyjohn5882

    @happyjohn5882

    3 жыл бұрын

    @@robertdioniz3364 hahaaaaa umenichkeshaa,mpka nimekumbuka Arusha Monduli TMA Academy

  • @aishamwinyi5048
    @aishamwinyi50483 жыл бұрын

    Kweli Tanzania 🇹🇿 nchi ya amani

  • @said-sf9ew
    @said-sf9ew2 жыл бұрын

    Hatari

  • @smukelomkhize9775
    @smukelomkhize97752 жыл бұрын

    Chuma Hicho miaka 5 na miezi kadhaa Tanzania Tanzania lmebadilika almost kila sehemu r.l.p JPM wetu Mzalendo

  • @alafaabdallah5071
    @alafaabdallah50713 жыл бұрын

    Ama kweli hapa kazi tuuuuuuu

  • @chablotv6536
    @chablotv65363 жыл бұрын

    Wa kwanza✌️

  • @shahamtindo

    @shahamtindo

    3 жыл бұрын

    Hongera

  • @topaviator

    @topaviator

    3 жыл бұрын

    Tushskia

  • @barakashadrack7695
    @barakashadrack76953 жыл бұрын

    Mkuu wa Nchi lazima awe na ulinzi mkali kama huo.

  • @fauziashabibu1467
    @fauziashabibu1467 Жыл бұрын

    Huyu mzee siwezi kumsahau mim rais wangu hakika tulikupenda ila Mungu ndiye amekupenda zaidi najivunia kauli zako thabiti zinanitia moyo kauli zako zimenijenga kiakili zaidi zimenifanya mpaka nimejenga daah ulituondoa kwenye giza baba

  • @zabronnkoy4908
    @zabronnkoy49083 жыл бұрын

    Hamna hata wakumfanyia ubaya ni kujihisi tu

  • @musason1680

    @musason1680

    2 жыл бұрын

    Weee

  • @edenbaraka7533
    @edenbaraka75333 жыл бұрын

    Mungu pekee ndo mlindaj na cyo kusifiana ujinga

  • @ywconline2817
    @ywconline28173 жыл бұрын

    KUWA mlinzi wa RAIS nawewe unakuwa Rais ingawa huwezi kujulikana jina mpaka alitaje Rais hahaahahaahahaaha

  • @eliasemmanuel5530
    @eliasemmanuel55302 жыл бұрын

    Hamia yanga

  • @paulowiliamusilayo2717
    @paulowiliamusilayo27173 жыл бұрын

    Napendaga kwel kuwaangalia sana hawa vijana wake wananikosha kama pale kaona mweshimiwa anachelewa akazuiya wengine kushikwa mkono hahaha

  • @fctlinesfactlines2817
    @fctlinesfactlines2817 Жыл бұрын

    Huyu bwana ndio alikuwa Raisi wng

  • @user-xz2lz3bb9z
    @user-xz2lz3bb9z8 ай бұрын

    Daa imebaki. Tu. Istolia. Sinta kusajau. Mweshimiwa

  • @richardsaidi2448
    @richardsaidi24482 жыл бұрын

    Mlikuwa makin sana walinz wa jpm

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha20483 жыл бұрын

    HAPA KAZI TU mitano tena JPM

  • @shahamtindo

    @shahamtindo

    3 жыл бұрын

    Teenaaa! 😂😂😂

  • @mjinihakuna5550
    @mjinihakuna55503 жыл бұрын

    Hiki anachokifanya Raisi Magufuli baadhi yanchi hawapend huyu raisi kajitolea muhanga kwanchiyetu kuipaisha kiuchumi basi kama ulikua hujui anaulinzi mpaka mwengine huwezi kuona kwamachoyako yakawaida aneona ni Mwenyezi Mungu pekee

  • @shahamtindo

    @shahamtindo

    3 жыл бұрын

    Exactly

  • @seifminal6469
    @seifminal64692 жыл бұрын

    Dah😭😭😭😭 imeniuma sn rais wetu

  • @nestorymaina1071
    @nestorymaina1071 Жыл бұрын

    Ila mwita ulikuwa mtata sana

  • @sharifujita7815
    @sharifujita78152 жыл бұрын

    RIP magu

  • @lukaserasto6446
    @lukaserasto64463 жыл бұрын

    Mlinzi mungu sio binadamu mwenzio Mana nae pia analindwa na mungu

  • @aidanhamza2247

    @aidanhamza2247

    3 жыл бұрын

    Wale walinzi elewa c kwaajili ya kuzuia kifo Ila huyu ni mtu mashuhuri so lazima alindwe na kupunguziwa kuzongwa na watu na kesi ambazo zinazuilika kibinadamu

  • @adamkaitira5363
    @adamkaitira53633 жыл бұрын

    Mbona Nchi ya amani lakini aina ya ulinzi unanipa mashaka jamani

  • @brianmaina5388
    @brianmaina53883 жыл бұрын

    What's in the briefcase? Nuclear launch codes? 🤔

  • @jonasstephano7680
    @jonasstephano76803 жыл бұрын

    Kaka akuma jesh Kali apo wamezubaaah tu unaweza ukamwibia mweshimiwa simu na ao wasijuwe😁😁😁😁😁😁😁😁😂

  • @kingikaroli6

    @kingikaroli6

    3 жыл бұрын

    Hahaha thubutu

  • @mumyhendry2919

    @mumyhendry2919

    3 жыл бұрын

    Hebu fanya hvyo chap ili tusikuite muongo kumbe unamaanisha plzz. ..waiting for you😂😂😂

  • @missangela6720

    @missangela6720

    3 жыл бұрын

    @@mumyhendry2919 Umeona eeeh

  • @mumyhendry2919

    @mumyhendry2919

    3 жыл бұрын

    @@missangela6720 si ndio love😂😂😂

  • @deokessy6288

    @deokessy6288

    3 жыл бұрын

    Utavunjwa kiuno

  • @baltazaryjohn1968
    @baltazaryjohn19682 жыл бұрын

    Tunamuombea rais wetu

  • @mohamnedsalum2150
    @mohamnedsalum21503 жыл бұрын

    Safi mkuu kwa ulinzi makini

  • @khamismaulid6839
    @khamismaulid68393 жыл бұрын

    Mzuie malaika wa mauti asimkurubie magufuli acheni ujinga wenu

  • @pascalmgina
    @pascalmgina3 жыл бұрын

    Unafunga mlango wa gari unambana kidole muheshimiwa Rais

  • @anoldykamugisha9993
    @anoldykamugisha99933 жыл бұрын

    Maaaaviiiiii

  • @HassanHassan-si2rt
    @HassanHassan-si2rt3 жыл бұрын

    Ainamatakunu yudrikumulmaut NO mater of ULINZI

  • @ilynpayne7491

    @ilynpayne7491

    3 жыл бұрын

    Duuh sja elewa apo kaka tafsiri please

  • @aminasittusaid3830

    @aminasittusaid3830

    3 жыл бұрын

    Analindwa kwa ajili ya watu waovu na sio kuepukana na mauti maana hata yeye mwenyewe pamoja na wale wanaomlinda wanajua kabisa kuwa kifo hakikwepeki, hivyo tusichanganye mada jamani.

  • @eliezakalaita7433
    @eliezakalaita74333 жыл бұрын

    Wakati anapita hapo jifanye kama unaingiza mkono mfukoni 😀

  • @nabosedward4836
    @nabosedward48363 жыл бұрын

    Wakata umeme viva

  • @kaswahilijoseph9650
    @kaswahilijoseph96503 жыл бұрын

    Mtu wa kwanza kucheck hii kitu

  • @topaviator

    @topaviator

    3 жыл бұрын

    Hatujali

  • @kaswahilijoseph9650

    @kaswahilijoseph9650

    3 жыл бұрын

    Hata mi naona

  • @TonyMureithi
    @TonyMureithi3 жыл бұрын

    Yote ni vanity!

  • @erickrichard4292
    @erickrichard42923 жыл бұрын

    Ulinzi mkali hivi inamaana raisi kwan anamaadui wengi kiasi iko?

  • @selemanindege9933
    @selemanindege99333 жыл бұрын

    Duh! Huu ulinzi nibalaaa! Mpaka kazuiwa kusalimia

  • @ramadhanmatinya7053

    @ramadhanmatinya7053

    3 жыл бұрын

    Ukisikia usalama ndo hao we gusa unase

  • @deokessy6288
    @deokessy62883 жыл бұрын

    Kiukweli Hawa vijana wanaomlinda JPm Ni Motooo...ukiwa una mkono hata wakichawi wanauona

  • @nabosedward4836

    @nabosedward4836

    3 жыл бұрын

    😁😁😁mamaee

  • @mcsailas8328
    @mcsailas83283 жыл бұрын

    Sio poa😄😄😄

  • @juliuskatemi6816
    @juliuskatemi68163 жыл бұрын

    Aseeee!!!! umeona kilichotokea kwenye video clip Dakka ya 2 hasa kuanzia sekunde ya 15 mpaka sekunde ya 21!!???na ww umeona kama mm

  • @bableeyzabdalla531
    @bableeyzabdalla5313 жыл бұрын

    Serikali ya kiki

  • @nabosedward4836

    @nabosedward4836

    3 жыл бұрын

    Wew fala ikufanyie kiki wew ili ingudue nin

  • @wizydeko1496

    @wizydeko1496

    3 жыл бұрын

    We boyaa kwelii kiki mama ako

  • @bableeyzabdalla531

    @bableeyzabdalla531

    3 жыл бұрын

    @@wizydeko1496 mmko atombwa mkundu mbwa

  • @bableeyzabdalla531

    @bableeyzabdalla531

    3 жыл бұрын

    @@nabosedward4836 wewe shoga serikali ya kiki

  • @therealdeal2364
    @therealdeal23643 жыл бұрын

    @1:57

  • @ilynpayne7491

    @ilynpayne7491

    3 жыл бұрын

    Daah wana mzuia kusalimia watu

  • @khamismaulid6839
    @khamismaulid68393 жыл бұрын

    Nyie kweli wapumbavu na maprimitive kwani mkono wa magufuli haushikwi duh ata nikufru ila hamjitambui wapumbavu nyie

  • @babusadala5732
    @babusadala57323 жыл бұрын

    Duu walinzi kama wote 🤔🤔🤔🤔👮

  • @bayokonelson6508
    @bayokonelson65083 жыл бұрын

    Hizo ambazo ni kama earphone ambazo wanavaa zinaunganisha kifaa gani??

  • @happyjohn5882

    @happyjohn5882

    3 жыл бұрын

    Mawasiliano ya ki+ Intelligence brother

  • @mohamedmaulid6011

    @mohamedmaulid6011

    3 жыл бұрын

    Husikiliza mziki kuondosha uchovu

  • @eliezakalaita7433

    @eliezakalaita7433

    3 жыл бұрын

    @@mohamedmaulid6011 😁😁😁

  • @kelvinjohn6851

    @kelvinjohn6851

    3 жыл бұрын

    @@mohamedmaulid6011 😁😁😁😁😁😂😁

  • @mabaujames3632
    @mabaujames36323 жыл бұрын

    Faya

  • @undersonmwombeki8494
    @undersonmwombeki84943 жыл бұрын

    Wanalinda nn ao

  • @nabosedward4836

    @nabosedward4836

    3 жыл бұрын

    Matako yako

  • @undersonmwombeki8494

    @undersonmwombeki8494

    3 жыл бұрын

    Wapelekwe mipakan ao mh rais ss tunampenda

  • @jumanneshawa3375
    @jumanneshawa33753 жыл бұрын

    Heshima ya Tanzania ishaludi palipo baki kutengeneza nchi sasa ANKO MAGU malizia tunakuombea kwa Mungu kwani TZ ya sasa sio DANGURO

  • @jumasamweli4862
    @jumasamweli48623 жыл бұрын

    Ulizi huu unatisha haka kazi tuu

  • @groundnetsolution5966
    @groundnetsolution59663 жыл бұрын

    HAHAHAHA HEADING ZENU KALI SANA ULINZI MKALI AHHAH BONGO HAKUNA MAFYA JAMAA WATANZANIA WATULIVU. SIDHANI KUNA MTANZANIA AMBAE ANAWEZA KUWA SNIPER KIASI HICHO AMDHURU RAISI.HAHAHAHAA

  • @humphreyvidonyi253
    @humphreyvidonyi2533 жыл бұрын

    Da kuna jamaa kazuiliwa pale

  • @mweyoms5548
    @mweyoms55483 жыл бұрын

    Wapo macho na makini kama nyuki.

  • @markfrank5335
    @markfrank53353 жыл бұрын

    Huoulizi ninoma

  • @mwami_the_don_
    @mwami_the_don_3 жыл бұрын

    Milad kuna shule uko dar watoto wanakaa chini em fanya uwende

  • @hisanmwakijungu10

    @hisanmwakijungu10

    3 жыл бұрын

    Sasa ataota ni shule gani,, we itaje iyo shule jina

  • @pancrasmwenda7307
    @pancrasmwenda73073 жыл бұрын

    Duh

  • @brianokero4991
    @brianokero49913 жыл бұрын

    Kuna magaidi Tanzania?

  • @talibally8743

    @talibally8743

    3 жыл бұрын

    Wanasifa2 hkun at1

  • @ezekielmugeta2427
    @ezekielmugeta24273 жыл бұрын

    Dah jama limekataa mikono inatosha hahaha usalamaa shkmoo

  • @cripsonkazinja7171
    @cripsonkazinja71713 жыл бұрын

    DAWA YA KUJENGA HESHIMA YA NDOA kiboko ya kibamia..na nguvu za kiume ..... . Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo. 1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia 2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo 3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk 4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka 5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha 6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility) 7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika 8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU) 9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume 🔟 Inarutubisha mayai NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA Epuka aibu hii na rejesha furaha " Dawa ndio kiboko yao Karibuni sana ofisini kwetu Wasiliana nasi kwa namba 0764581267/0623270820

  • @catholicvibemusic3151
    @catholicvibemusic31513 жыл бұрын

    DAWA YA ALKALINE kiboko ya kibamia..na nguvu za kiume ..... . Ni dawa ya kudumu yenye mchanganyiko wa dawa zaidi ya tisa ni maalumu kwa kutibu na kumaliza matatizo yote ya kibamia na nguvu za kiume kw asilimia100 % kama ifuatavyo. 1⃣ kuwa na dhakar ndogo/fupi na nyembamba yaani kibamia 2⃣ dhakar kusinyaa na kulegea wakati wa tendo 3⃣ mishipa iliyolegea kwa kujichua nk 4⃣ kuwahi kufika kileleni/kutoweza kuhimili katika tendo round nyingine kwa haraka 5⃣ Inarutubisha mbegu na kuziboresha 6⃣ Kuzipa speed mbegu ule uwezo wa KUOGELEA vizuru ( sperm mobility) 7⃣Ina balance HOMONI na kuimalisha misuli ya eneo lake husika 8⃣Inakupa nguvu za kawaida MWILINI ( HUONDOA UCHOVU NA UVIVU) 9⃣ Inaongeza idadi ya mbegu za kiume 🔟 Inarutubisha mayai NB: HAINA MADHARA NI LISHE NA MMEA SALAMA Epuka aibu hii tumia" ALKALINE " ndio kiboko yao Karibuni sana ofisini kwetu msaada zaidi Wasiliana kwa 0622945360 /whatsapp 0719174248

  • @jalimpanga9315
    @jalimpanga9315 Жыл бұрын

    Dar et leo hiiihatuko na wewe

  • @hamadkhamis9075
    @hamadkhamis90753 жыл бұрын

    Siku akija nduli wamzuie asitoe roho yake.

  • @mzeewakibegi5105

    @mzeewakibegi5105

    3 жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣

  • @khamismaulid6839

    @khamismaulid6839

    3 жыл бұрын

    C wapumbavu tu hao

  • @pelecharming8561
    @pelecharming85613 жыл бұрын

    Wadada wanojiiz

  • @hemedjackson2261
    @hemedjackson22613 жыл бұрын

    Heeeee huu upinzi wa leo noma makoti hawatak masihara

  • @babuubarotti8418
    @babuubarotti84183 жыл бұрын

    Mbona ulinzi nimkali sana lipojambo tu hapa

  • @rosetreffert6727

    @rosetreffert6727

    3 жыл бұрын

    Ulinzi lazima mwanadamu hata kama ungekuwa kama MALAIKA MAADUI HAWAKOSENI!!! MUNGU AKULINDE 💋💪🙏

  • @idrissaomba8803

    @idrissaomba8803

    3 жыл бұрын

    watu wa hapo walishadhilsha ukosefu wa nidhamu juu yake, labda palkuwepo hofu ya hilo

  • @paulpeter4130
    @paulpeter41303 жыл бұрын

    Mh

  • @blandinamwarabu5025
    @blandinamwarabu50253 жыл бұрын

    Mfumo dume bado

  • @kauzubanda3150
    @kauzubanda31503 жыл бұрын

    Jamaa ni wababe

  • @smileboy6199
    @smileboy61993 жыл бұрын

    Magu babalao

  • @emmanuelmambarera141
    @emmanuelmambarera1413 жыл бұрын

    Safi Sana Mkuu wangu

Келесі