TOFAUTI BAINA YA AHLU-SUNNA NA MASUFI PART 0️⃣2️⃣ - SHEIKH ABDALLAH HUMEID حفظه الله

Пікірлер: 9

  • @makameally1962
    @makameally1962 Жыл бұрын

    Mawahaby sio Katika ahlusuna wal jaamah na hawa ndo waliokuja kuugawa uma wa kiislamu

  • @user-bp6fb6wo5u

    @user-bp6fb6wo5u

    11 ай бұрын

    Je wamesingiziwa ama kumetajwa majina ya vitabu na kurasa ya ngapi??? Huyu mimi naona ameeleza itikadi za masufi katika vitabu vyao... ili na sisi tuseme ni haki ama baatil... haya akili kichwani mwako...

  • @omarally6819
    @omarally6819 Жыл бұрын

    Wanao iharibu Dini yetu

  • @omarally6819
    @omarally6819 Жыл бұрын

    Huyu Shekh anabainisha watu waovyo

  • @omarally6819
    @omarally6819 Жыл бұрын

    Nasio watu wasawa walio itukuza Dini na kuitawanya kwa kuchunga kilicho thibiti na kilichokua cha uongo, ovyo, ujinga...

  • @omarally6819
    @omarally6819 Жыл бұрын

    Masufi ni waharibu hawana Dini zaidi ya ujinga na upotofu

  • @hassankimwan4402
    @hassankimwan4402 Жыл бұрын

    yan huyo shekh kazi yake kugawa waislam tu sio kujenga umoja

  • @user-bp6fb6wo5u

    @user-bp6fb6wo5u

    11 ай бұрын

    Naona kama ametueleza kuhusu masufi na itikadi zao ili ima tubaki huko ama tuwachane nao... akili kichwani mwako...

  • @ibrahimadan6560

    @ibrahimadan6560

    9 ай бұрын

    Unity is upon Quran and sunnah not desires of soul.

Келесі