TOFAUTI BAINA YA AHLU-SUNNA NA MASUFI PART 0️⃣1️⃣ - SHEIKH ABDALLAH HUMEID حفظه الله

Пікірлер: 11

  • @omarally6819
    @omarally6819 Жыл бұрын

    Baaraka Allaahu fiik

  • @omarally6819
    @omarally6819 Жыл бұрын

    Bayana kuhusu masufi ni kitu muhimu sana

  • @omarally6819
    @omarally6819 Жыл бұрын

    Iendelezwe musiache

  • @mafiatv5479
    @mafiatv547910 ай бұрын

    Tofauti ipo sana kwa sbb nyie wagombanishaji, wafitinishaji, hampo ktk kuitetea dini kazi kuangalia makosa ya watu ndilo mulijualo, kila siku taskia kelele zunu tu,,,,

  • @omarally6819
    @omarally6819 Жыл бұрын

    Na naomba bayana kuhusu UADUWI wa Masufi kwa Ahlussunnati

  • @mafiatv5479

    @mafiatv5479

    10 ай бұрын

    bayana hujaiona wewe tu, mbn ishatokea, nyie wahuni mafitna ktk dunia ni nyie

  • @allymahaba3425
    @allymahaba342510 ай бұрын

    Jamani eee!! Mawahhabi (Wazee wa Nejd) hawataki jina la Mawahhabi na Salafi. Wanataka waitwe Ahlu Sunna. Wanawaita Waislam Masufi. Ukiwauliza Masufi ni nani watakwambia watu wa Maulidi.....!!? Hawagombani na Wakristo. Wao adui yao ni Muislam!!!!

  • @mafiatv5479
    @mafiatv547910 ай бұрын

    kifupi tumewachoka nyie washenzi, na sio ahlu sunna nyie majadida tu, mmekuja na dini mpya kuja kukosoa watu, je mtume alilifanya hili? na jee hii kullu ambayo nyie mwasema kila bidaa ni upotevu je mtasalimika? nyie jiangalieni wapuuzi wajinga

  • @selemanmartin

    @selemanmartin

    7 ай бұрын

    Huna sera, huna ujualo, husomi vitabu ukagundua ukweli na uongo, wafuata mkumbo: Nia hapa ni kuzindua wenye akili wajuwe mabaya ya masufi.

  • @mafiatv5479

    @mafiatv5479

    7 ай бұрын

    @@selemanmartin sasa km nafata mkumbo wewe umesoma au wafata mkumbo nakuomba tuonn mimi na wewe utanijua km nafata mkukba box km bachoo

  • @mafiatv5479

    @mafiatv5479

    7 ай бұрын

    @@selemanmartin kwa hyo hayo alosema hilo fala mwenzako ni ya mtume au kayazua? ndo utasema msomi? km si fala box lisenge tu

Келесі