TAZAMA MSAFARA WA MWANA WA KIFALME ULIVYOINGIA IKULU AKIKUTANA NA RAIS SAMIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amekutana na kufanya mazungumzo na Waziri wa Mambo ya Nje wa Saudi Arabia Mwana wa Kifalme Faisal bin Farhan Al Saud.
Rais Samia amemshukuru Mwana wa Kifalme Faisal kwa kufanya ziara hiyo hapa nchini na kwa uhusiano na ushirikiano mzuri uliopo kati ya Tanzania na Saudi Arabia ambayo inatoa ufadhili katika kuboresha huduma za afya, elimu, maji na miundombinu hapa nchini.
Amemtaka kufikisha salamu zake kwa Mfalme wa Saudi Arabia Mtukufu Salman bin Abdulaziz Al Saud na kumhakikishia kuwa Tanzania ipo tayari kuendeleza na kukuza zaidi uhusiano na ushirikiano wake na Saudi Arabia katika Nyanja mbalimbali za kiuchumi na ustawi wa jamii.

Пікірлер: 579

  • @biashasuleimanabdalla481
    @biashasuleimanabdalla4813 жыл бұрын

    Assalamu aleikum warmatulla taala wabarakatu. Umoja ni nguvyu. Utengano ni udhaifu. Mwenye Enzi mungu akulinde na kila mabala ya dunia na Shari za majini na watu.. Mwenye Enzi mungu akupe subra ya Khali ya juu. Amina

  • @ibrahimdabo7163
    @ibrahimdabo71633 жыл бұрын

    mama hii nzuri sana piga kazi warabu ndugu zetu wataleta mahela safi sana mama

  • @kaniogachief6151
    @kaniogachief61513 жыл бұрын

    Piga kazi mama zingatia tu 1.Afya za wapiga kura wako yaani corona hizo chanjo Noo 2.Bandari ya bagamoyo tujenge kwa pesa zetu sio tujengewe na wezi basi baada yahapo mama Kampeni meneja wako nipo tayri kutembea nchi nzima

  • @jonaskilomba4094

    @jonaskilomba4094

    3 жыл бұрын

    Umenena sanaa

  • @maloomaalmnsj5111

    @maloomaalmnsj5111

    3 жыл бұрын

    Akhi 🤣😂😂😂😂

  • @mohamedasaid7910

    @mohamedasaid7910

    3 жыл бұрын

    Itabidi mugonjee miaka kama kumi ndio pesa ipatikane.

  • @moureenkirundwa8691

    @moureenkirundwa8691

    3 жыл бұрын

    Ww una pesa ya kujengea, mbona SGR haujajenga mwenyw? Watz kujitegemea bado sn, ttz mnaishi kwny ndoto

  • @moureenkirundwa8691

    @moureenkirundwa8691

    3 жыл бұрын

    @@mohamedasaid7910 umenena vyema, nakupa big up.

  • @deniccgabriel6153
    @deniccgabriel61533 жыл бұрын

    Hacheni unafiki basi nyie mmesahau wageni walikua niwengi mnowalioingia nchin kipind chote Cha Jpm na baloz kufunguliwa pia mbona mnabeza kumbukumbu zenu wenyewe nakumbuka mala ya mwisho Jpm alifanya mazungumzo na wachimbaji madini kule kagera madini hayo alipendekeza ya chimbwe apahapa na kusafishwa hapa ,Baadhi ya madini hayo ndiyo yanayotengeneza ingine na betri z Magari n.k

  • @kasimmarko5513
    @kasimmarko55133 жыл бұрын

    Uwezi kupangia mh rais majukumu narudia tena hizi ni zama za mama.hivi ndivyo inatakiwa nchi kwenda kwa ushirikiano na walioendelea sio maneno mengi wananchi wana ishi maisha magumu awajui chochote kile mama piga kazi na tupo tayari kwa chanjo tunasubiri amri tu.

  • @bakariyusufujuma
    @bakariyusufujuma3 жыл бұрын

    Nchi inajengwa sasa huwezi kujenga nchi bila kushirikiana na nchi zilizoendelea safi mama

  • @alluabdallah6893
    @alluabdallah68933 жыл бұрын

    Hayo ndio tunayoyatak tunatak maendeleo hatutak ubaguz wa rang ,kabila,chama Wala dini tunatak maendeleo watanzania tumechok kuongoxwa Na kuburuxwa

  • @gracegrace6200

    @gracegrace6200

    3 жыл бұрын

    Inategemea unao wakaribisha wana nia gani? Kama ukiwaonyesha uko desperately wataiitafuna nchi.

  • @nuruworldinsight2957

    @nuruworldinsight2957

    3 жыл бұрын

    @@gracegrace6200 si kama huko nyuma tu, mpk Mwendazake akamaindi na kuwapiga pin !!!

  • @abushaddad989
    @abushaddad9893 жыл бұрын

    Nchi bila mahusiano ni sawa kuwa smart phone bila bando

  • @aaa64sa13

    @aaa64sa13

    3 жыл бұрын

    🤣🤣🤣👌

  • @issazakaria863

    @issazakaria863

    3 жыл бұрын

    Swadakta

  • @user-eg1dr6so4c

    @user-eg1dr6so4c

    3 жыл бұрын

    Kabisa

  • @j.c.maxima816

    @j.c.maxima816

    3 жыл бұрын

    Mwambie mwendazake!!!

  • @tatubadi9010

    @tatubadi9010

    3 жыл бұрын

    😂😂

  • @godfreymbuya2659
    @godfreymbuya26593 жыл бұрын

    Kwani hao wageni wakija wanakuja kwenye familia yako?Au umenyimwa kwenda huko Saudia..huu ushamba sijui utaisha lini.Watu wasitembeleane.Dunia ya Mungu hii,Mama,tengeneza mazingira vijana wetu wapate ajira huko nje.Tengeneza mazingira tuuze vyakula nje.

  • @salimsaid7200

    @salimsaid7200

    3 жыл бұрын

    👍👍👍👍🤝🤝🤝🤝🤝

  • @deniccgabriel6153

    @deniccgabriel6153

    3 жыл бұрын

    Godfrey mbuya umeongea point muhim sn ila Mimi nimetambua watanzania tuipende nchi yetu jamani kunawatu waimezea mate nchii hiii kuna mwarabu mmoja aliongea lugha zakigeni kwenye simu na Mtu wanna alijuA Mimi sijui akiisifia nchii hiii nakusema anapenda kukaa hapa tz kwaiyo ukiona mtu wanje kavutiwakuishi hapa tz juasiokula na kulala tu bali kaziona fulsa fulsa Jamani tuwewammmoja Tuipende nchi yetu na Tuzitumie fulsa zilizopo tufanye makubwa

  • @godfreymbuya2659

    @godfreymbuya2659

    3 жыл бұрын

    @@deniccgabriel6153 Kuna watu wamekimbia hapa tz kutafuta fursa nje na wako vizuri kifedha,dunia hii unachagua ukaishi wapi,ni akili yako tu.Ndio maana mama anatengeneza urafiki wa kudumu.

  • @mkude

    @mkude

    3 жыл бұрын

    @@godfreymbuya2659 kaka wewe unajitambua ila duuh kunawatanzania wenzetu inasikitisha sanaa,yani wao watachotaka sijui tujitenge na dunia

  • @bajagihaji8923
    @bajagihaji89233 жыл бұрын

    Mahusiano ya ndani ya nchi na nje ya nchi ni muhimu kwa kila kitu

  • @kimwilliard8933
    @kimwilliard89333 жыл бұрын

    Magufuli sawa sawa na Baba yetu wa taifa ideology zao zilikua sawa za kujitegemea, Hayati magufuli alijaribu kutafuta mbinu za kuimarisha uchumi wetu kwa kujitegemea sisi wenyewe na kuvumbua vyanzo mbali mbali vya mapato. lakini kama tunavyo ona sasa tumerudi kwenye zama za kuwa omba omba na kutegemea misaada tena. kwa ufupi kuomba omba ni njia rahisi lakini ina gharama kubwa . kujaribu kujenga uchumi wetu wenyewe ni ngumu lakini ina faida kubwa baadae. mwenye macho aambiwi ona!!

  • @teddygabriel5662

    @teddygabriel5662

    3 жыл бұрын

    Umenena Kunywa peps Barid nitalipa Hakika tutaona meng

  • @j.c.maxima816

    @j.c.maxima816

    3 жыл бұрын

    Sauti za chura hazimkoseshi ng'ombe kunywa maji,,, big up Mama, Tz tunasonga...

  • @jumakapilima5674

    @jumakapilima5674

    3 жыл бұрын

    Kujitegemea gani mpaka Leo wastaafu wengi tu bado wanasotea mafao yao,,,,,

  • @michaelmahmoud

    @michaelmahmoud

    3 жыл бұрын

    @@jumakapilima5674 Hawa ndo nilikuwa nawaongelea hawawezi kuisha wapo mpaka mwisho Wa dunia

  • @michaelmahmoud

    @michaelmahmoud

    3 жыл бұрын

    @@j.c.maxima816 Akili ndogo utazijua tu

  • @rahmazahor4333
    @rahmazahor43333 жыл бұрын

    Very Good mama ...Umoja ni nguvu...

  • @edwardmizambwa237
    @edwardmizambwa2373 жыл бұрын

    Asante sana Mama !! Unafuata nyayo ileile ya JPM. JPM alisha sema tunataka wawekezaji toka kote Duniani (iwe toka East West, North au South - kwa kumnukuu). Achana na wanaokukebehi juhudi zako . KAZI IENDELEE

  • @aishaalbalushaishabalush8291

    @aishaalbalushaishabalush8291

    3 жыл бұрын

    weeee usithubut kabsa kuchekea hao waraab huyo samia atawauza vibaya sana kulko wazungu tena warab wanaingia kwa inchi yenu kwa duwaa ya kuwamilik muombe sana mungu mbona alipokuwa maghuful hajaja kuwekeza tanzania walishindwa kuwekeza kwa haq wanataka kuwekaza kwa ujanja ujanja Allah awaokoe watanzania wao wachungu kwa inchi zao hata uraiya hawawapi wafrica wanaona bora walipe sanam la ulaya lisofia lililotengezwa na binaadam kulko kumpa uraiya mwafrica aliyoumbwa na Allah saudia ni inchi inayongozwa na maqaafir kwa sasa chekeeni tu muwanze kutuwa minyororo

  • @shifaaal-baity4503

    @shifaaal-baity4503

    3 жыл бұрын

    @@aishaalbalushaishabalush8291 mbona una wasiwasi na chuki????

  • @ibnayub2374

    @ibnayub2374

    3 жыл бұрын

    Kama hutumii bangi unatumia gongo, Au huenda hutumii akili hako kuwaza bali watumia kamasi . Au hujui ulisemalo Kwanza kupewa sanamu uraiya haihusiani na maswala aliyo kuja kuleta huyo mwana mfalme, Pia kuhus uraiya wew hujielew tu, au hujawah kusoma dini yako unaendeshwa na akili yako, Kwanza ufaham hakuna bars liliyo dhaminiw na saudia kama africa, Africa ni bara pekee lililo pewa uhuru wa kuingia saudia kusoma kwa gharama zao wenyewe waarabu, au Kiufupi unasoma bure, AKILI YAKO MBOVU HILI HUJALIONA, Pili sabab ya saudia kukataza kuwapa uraiya wa africa, zama za mtume wa africa waliingia saudia kwa wing sana wakienda kusaidia katika vita na wakapewa uraiya mpaka leo zipo koo za waafrca huko saudia, mfano maaruf ni WAHABESHI WALIO TOKEA ETHIOPIA, na mpaka leo vizaz vyao vipi huko, Acha hilo sabab kubwa zaidi mwarabu kumpa mwafrica elimu bure ni sabab ya kuwapa nafas ya kuongoza nnchi zao kielim sahihi, wew unaenda kusoma ili urudi kwenu wasaidie ndug zako halaf unaomba uraia!! Hakika una akili mbovu sana wew mtoto uliye changanyikiwa.

  • @abelypeter3225

    @abelypeter3225

    3 жыл бұрын

    Swadakta waarab cyo watu kwanza wabaguzi kuliko wakati wao ndo ktovu cha din huwaga coati picha make nduguzet waafrika wakiendahuko wengiwao huteswa na kujutia kwann waliendahuko

  • @missmrs829

    @missmrs829

    3 жыл бұрын

    @@aishaalbalushaishabalush8291 mwarabu si mtu mzuri kabisa wakichukuwa eneo lolote la kuwekeza wao ulitelekeza ata mika mia so lazma mjitambue wa TZ wap tulipo duh hatar sana

  • @josephmwabange9633
    @josephmwabange96333 жыл бұрын

    Very good indeed,Welcome Saudi Arabia,I can see your history in the Bible,you’re so humbled people,and big business men, You did business with King Suleiman of Israel and were paying a good revenue,May God continue to bless your Country

  • @nishasalim2880

    @nishasalim2880

    3 жыл бұрын

    Hawa waarabu si ndio wanaotesa wafanya kazi wa ndani huko Saudi?

  • @sajabri2643

    @sajabri2643

    3 жыл бұрын

    @@nishasalim2880 unawajua wanaoteswa. Tupe majina yao na ueleze wanakuhusu vipi. WACHA FITNA

  • @salimsaid7200

    @salimsaid7200

    3 жыл бұрын

    @@nishasalim2880 WANARUDI WAMENENEPA UNASEMA WANATESWA KAA UUZE MANDAZI WENZAKO WANAJENGA.

  • @mkude

    @mkude

    3 жыл бұрын

    @@nishasalim2880 acha chuki wewe mwenye jina zuri Nisha salim lakini sijui kama roho yako inaendana na hilo jina.

  • @mkude

    @mkude

    3 жыл бұрын

    @@nishasalim2880 wapi umeona wafanyakazi walioteswa.hiyo ni tabia ya mtu hata huku wafanyakazi wanaweza kuteswa.acha fitina

  • @Rumayo_006
    @Rumayo_0063 жыл бұрын

    R.I.P JPM😰😱😥😥 2mekmiss Magu🙏. Huyu Mama hatumwelew kabsa

  • @omarissa4373

    @omarissa4373

    3 жыл бұрын

    Wacha majungu ayo mwaka huuu mtaisoma namba

  • @user-mz9qd1pb5t

    @user-mz9qd1pb5t

    3 жыл бұрын

    Na hutaweza kumuelewa

  • @sharifaally9404

    @sharifaally9404

    3 жыл бұрын

    Mutaelewa tu

  • @josephmarenge497

    @josephmarenge497

    3 жыл бұрын

    Mungu ampe Rais wetu maisha marefu na busara alizo nazo zitawale na aendelee kuwaacha mkosoe ili ajue alipojikwaa,Asiwe kama JIWE

  • @TamuzaKale

    @TamuzaKale

    3 жыл бұрын

    @@josephmarenge497 HAHAHAHA kwani JIWE laikuwaje?

  • @castrocastro9615
    @castrocastro96153 жыл бұрын

    Kwanza ktk maisha ya leo huwezi kupiga hatua bila marafiki. We utaishije na uweze kufanikiwa ukiwa na mahusiano mabaya na majirani zako? Haiwezekani tena nasema haiwezekani. Ukiwa kuishi hivyo, ndio pale hata ukifiwa huoni watu wa kuja kukusaidia kumzika mtu wako unahangaika naye mwenyewe. Acha Mama atekeleze kama vile magu alivyotekeleza kwa kuwaalika wachina ikulu kila leo.

  • @pachamc5145
    @pachamc51453 жыл бұрын

    Mungu tusaidie

  • @abuuthauran9933
    @abuuthauran99333 жыл бұрын

    Mwenyewe nani,,,,,, ? Nchi ni yetu sote, km yeye ndie mwenyewe na Nyerere atakua nani alietawala zaidi yamiaka kumi.....

  • @ombentemba1432

    @ombentemba1432

    3 жыл бұрын

    Sawa timu byebye

  • @merikedkifyoga8969
    @merikedkifyoga89693 жыл бұрын

    Ila Millard upo vizuri kweli kweli, maana unatuhabarisha habari kwa wakat, ubarikiwe Sana kaka!

  • @Iamjaysimple

    @Iamjaysimple

    3 жыл бұрын

    kzread.info/dash/bejne/oHyKpNB7cavOmKg.html

  • @opiyowilson3640
    @opiyowilson36403 жыл бұрын

    Binadamu sisi ni watu wa ajabu sana.Muacheni mama achape kazi.

  • @georgeotieno2818

    @georgeotieno2818

    3 жыл бұрын

    Kweli kabisa

  • @fatumamtangi3788

    @fatumamtangi3788

    3 жыл бұрын

    Watanzania tunahitaji watu wenye mahitaji maalumu kama wewe, kukicha we ndo unalala. Hujitambui, kichwa bumbuwazi.

  • @hawahabibu661

    @hawahabibu661

    3 жыл бұрын

    @@fatumamtangi3788 Umeonaeee?Sasa toka afe Magu cjui atatuambia ni kaz ipi aloichapa uyo bibi yake cjui iyo misafara yy anahesabu ni kaz? Kuna watanzania wajinga kwa kweli cjui lin watajitambua

  • @mohamedasaid7910

    @mohamedasaid7910

    3 жыл бұрын

    Waambie hawajui Serikali hupelekwa vipi. Ni kuzubaa.Kusema usolijua ukaona umesema jambo

  • @mohamedhashimu9923

    @mohamedhashimu9923

    3 жыл бұрын

    @@hawahabibu661 kwani wewe unajua kazi ya raisi ni kumwaga zege acha ujinga wewe izo ndizo kazi za raisi yule marehemu alikuwa ana tuzingua wacha kazi ziendelehe na bado mwezi wa 7 anakuja raisi wa USA

  • @geoffreykoech56
    @geoffreykoech563 жыл бұрын

    Sio kila mgeni ana nia nzuri kwako,unapopokea wageni zingatia maslahi ya wazalendo kwanza rafiki Siku zote huwa mui.

  • @sss3s867

    @sss3s867

    3 жыл бұрын

    Kupata mgeni ni baraka kubwa unapomkirimu. Haya kama nia yake mbaya sio muhimu kwako.

  • @zeddyseif499
    @zeddyseif4993 жыл бұрын

    Mama Samia apunguze mahusiano mengi na nchi za nje jaribu saaana umfuate misimamo ya baba Maghufuli

  • @castrocastro9615

    @castrocastro9615

    3 жыл бұрын

    Hebu jaribu wewe kupunguza au kuondoa mahusiano na jirani zako hapo unapoishi uone yatakayokukuta.

  • @abuuthauran9933
    @abuuthauran99333 жыл бұрын

    Mama piga kazi ..... wanoknok wanachonga sana mchana usiku watalala

  • @subiraboi9397
    @subiraboi93973 жыл бұрын

    Cnaaa tanzania kwa hapa nawaona mbali sabbu hawa ukifanya nao biashara ushaweza💪hongera samia

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si3 жыл бұрын

    Masha Allah

  • @maketegospel1150
    @maketegospel11503 жыл бұрын

    Hongera sana mama samia

  • @kwayayauinjilistimasimbwe7319
    @kwayayauinjilistimasimbwe73193 жыл бұрын

    Hongera Madame Samia kwa juhudi zako

  • @awatifalghanim1106
    @awatifalghanim11063 жыл бұрын

    Mungu azibariki Nchi zote mbili. Amin

  • @zahorsalum663
    @zahorsalum6633 жыл бұрын

    Nyy tulieni nchii haiyongozwi kiubabe.nchii yyt unashirikiana nawezako.muhimu maendeleo mama.lt wageni tujenge nchii.

  • @wazirie4070
    @wazirie40703 жыл бұрын

    Ikulu ya Chamwino, haifai tena au? Just me being curious

  • @bayekefarijala5042
    @bayekefarijala50423 жыл бұрын

    Kikubwa uwekezaji au uhusiano uwe na faida pande zote mbili. Hatutaki cha bure na hatupo tayari kupigwa na mikataba ya kinyonyaji. Haijalishi umetoka wapi, mzungu, mchina, mwarabu. Tupo kibiashara kwahiyo tuwe makini. Hakunaga cha bure. Siyo unatuletea tende we unachukua wanyama wetu na kumiliki mbuga zetu Kwa faida yenu. Hilo tu. Tanzania ni ya wote tunapoingia kwenye makubaliano tunaangalia maslahi mapana zaidi ya nchi yasiyoangalia dini wala kabila Bali utanzania. Narudia tena, hakuna cha bure. Mtu akitaka kutoa msaada asitake kuleta masharti au kuomba feva kwenye Mambo anayoyataka.mahusiano yawe Kwa faida ya pande zote mbili

  • @luckygmdegela8477
    @luckygmdegela84773 жыл бұрын

    Nimesoma comments nikagundua kumbe msemo wa wajinga ndio.waliwao bado kuna baadhi ya watu unawapa shida kwakuwa bado.wapo gizan

  • @fzafza6746

    @fzafza6746

    3 жыл бұрын

    Nimekuelewaa mm🙏🙏

  • @amosmoses7800

    @amosmoses7800

    3 жыл бұрын

    MAgU ALijioNA munGu. ALijioNA aKiWa nA uFaLmE nA utaWaLa inChini TanZaNiA bAsi inAtoshA tu . Ataishi tu miLeLe biLa yA kuumWa waLa miSAadA KutOkA njE. KwAsaBaBu AliJionA ni munGu haNa sHiDa nA uLimweNgu wA njE . HuYu mAmA Ana MaoNo yA kujUA kWamBa TanZaNiA iLivyo BiLa yA miSaaDa nA mashiLikiaNo nA maTaiFa yA njE . .TuTaAngaMia

  • @fzafza6746

    @fzafza6746

    3 жыл бұрын

    @@amosmoses7800 Ivi wewe unawajua hao waarabu vizur haooo loooh hayoo ni mashetani majini mafirauni fyuuuuu wanauwa watu kila leo na kama unataka usibitisho nitafute waarabu sio watu bora mavi ya kunuka kuliko waarabu

  • @salimsaid7200

    @salimsaid7200

    3 жыл бұрын

    @@fzafza6746 MALARIA YAMEKUPATA MKUNDUNI SIKU LAUMU MBWA WEWE KWANI WEWE UNA UBORA GANI MALAYA WEWE TULIA UPIMWE CHUPI.

  • @fzafza6746

    @fzafza6746

    3 жыл бұрын

    @@salimsaid7200 nakubali ila waarabu wote wasenge tuuu na makaz Yao motoni milele waullah wabillah

  • @makumbele
    @makumbele3 жыл бұрын

    Mahusiano muhimu, ila tusirudi kule kwa kuabudu wageni na kujidharau. Mapinduzi ya fikra ni muhimu zaidi.

  • @salehkhamis3063
    @salehkhamis30633 жыл бұрын

    Bila ya kukaribisha nchi za kigeni hamna maendeleo mama piga kazi binaadam hawaishiwi na la kusema

  • @edithkovary5771

    @edithkovary5771

    3 жыл бұрын

    Kumekucha sasa waraabu wanakuja kuwekeza Tanzania. Haya maendeleo

  • @mariamm2724
    @mariamm27243 жыл бұрын

    Mbona wao ugali hawalii? Alfu alivokuepo magu haya hayakuepo nashangaa uyu mama

  • @amosmoses7800

    @amosmoses7800

    3 жыл бұрын

    MAgU ALijioNA munGu. ALijioNA aKiWa nA uFaLmE nA utaWaLa inChini TanZaNiA bAsi inAtoshA tu . Ataishi tu miLeLe biLa yA kuumWa waLa miSAadA KutOkA njE. KwAsaBaBu AliJionA ni munGu haNa sHiDa nA uLimweNgu wA njE . HuYu mAmA Ana MaoNo yA kujUA kWamBa TanZaNiA iLivyo BiLa yA miSaaDa nA mashiLikiaNo nA maTaiFa yA njE . .TuTaAngaMia

  • @mudighurayra

    @mudighurayra

    3 жыл бұрын

    Ss we unafkir wana shida awo

  • @samwelsengati1369

    @samwelsengati1369

    3 жыл бұрын

    Kwani tatzo ni nini?

  • @rumdeesonsoa1811

    @rumdeesonsoa1811

    3 жыл бұрын

    Kuwa na mahusiano mazuri na wageni sio vibaya, kikubwa usiwaruhusu watake advantage of you

  • @user-mz9qd1pb5t

    @user-mz9qd1pb5t

    3 жыл бұрын

    Hujui usemalo

  • @josephmangera6799
    @josephmangera67993 жыл бұрын

    Watanzani tulisha aminishwa Sana juu ya misaada, hivo lazima tukubaliane na Hali ilivyo Sasa....

  • @fatmafetty4117
    @fatmafetty41173 жыл бұрын

    Safi sana❤️❤️❤️❤️

  • @abuumaisarah6993
    @abuumaisarah69933 жыл бұрын

    SAFI sanaa Madam President

  • @bilakivuli9078
    @bilakivuli90783 жыл бұрын

    Mama umesalimiwa Assallam Alaykum sasa mbona unajibu Morning?

  • @isaachayes9783
    @isaachayes97833 жыл бұрын

    NCHI HII NI TAJIRI HATUHITAJI KUWAFUATA NI SISI KUTUMIA RASLIMALI YETU VIZURI KUVUNA MAPATO SIO KUWAACHIA WAWEKEZAJI KUPATA KIKUBWA SISI MIKONO MITUPU

  • @mudighurayra

    @mudighurayra

    3 жыл бұрын

    Na iyo rasilimali ina tumiwa vip vzr hebu tueke sawa mzeee

  • @isaachayes9783

    @isaachayes9783

    3 жыл бұрын

    @@mudighurayra hujui, win win, sina cha kukueleza maana nn hujui nchi ilivyoibiwa huko nyuma, wewe si hauko nchini

  • @augustinoshayo7609

    @augustinoshayo7609

    3 жыл бұрын

    Make De Great Tanzania Mama SSH. God bless Africa,God bless Tanzania, God bless My President.

  • @moureenkirundwa8691

    @moureenkirundwa8691

    3 жыл бұрын

    Ukitaka kula lazima uliwe, ww vp wa wapi ww? Hayo ni kawaida ila haitakiwi kupitiliza.

  • @moureenkirundwa8691

    @moureenkirundwa8691

    3 жыл бұрын

    Na ndo mana huwa tunaajiliwa na maboss zetu, lkn wanachokipata wao na wanachokipata wafanyakaz, havilingani ata kidogo. Nafkr nmeelewek

  • @lukaseliasobwolo7498
    @lukaseliasobwolo74983 жыл бұрын

    Mwaacheni mama achape kazi

  • @teddygabriel5662
    @teddygabriel56623 жыл бұрын

    Mulamula Huwa Ana amsha amsha HD rh

  • @iddijumaali7192
    @iddijumaali71923 жыл бұрын

    Hongera

  • @rashidmohammed4887
    @rashidmohammed48873 жыл бұрын

    Kwa mama Samia sasa watakuja wengi tu kuwekeza maana fursa ziko wazi

  • @aminahussein5418

    @aminahussein5418

    3 жыл бұрын

    Alafu wenenchi amtapata fulsa nzur zakikazi wanapewa watu wanje ndo mtaongozwa badala nyie wenye nchi ndo muwaongoze wao wao ndo watakua kama ndo nchi yao tupo apa tutaona maofisini wamejaa warabu na wazungu wananchi mtakufa walinzi

  • @nishasalim2880

    @nishasalim2880

    3 жыл бұрын

    Kuwekeza au kuibiwa!

  • @issazakaria863

    @issazakaria863

    3 жыл бұрын

    Nyie wote bado niwanyonge hadi akili

  • @mohamedasaid7910

    @mohamedasaid7910

    3 жыл бұрын

    @@issazakaria863 Labda wanataka Tanzania iwe kisiwa hakina uhusiano na yeyote. Akili finyo.

  • @charlesmpemba9387

    @charlesmpemba9387

    3 жыл бұрын

    Kwani mwanzo hapakuwa na fulsa.acheni ujinga.

  • @kaundasutikaunda7769
    @kaundasutikaunda77693 жыл бұрын

    Kwa kupokea wageni tu 100%

  • @gracegrace6200
    @gracegrace62003 жыл бұрын

    Mbona Rais Samia haelezei wamezungumuza nini? Tunasikiliza upande mmoja tu. Alionana na Dangote, Dagonte akatueleza yaliyomuleta, lakini Rais Samia kimya. Hayati Magufuli alikuwa akiekeza wazi kinachoendelea. Rais Samia asikae kimya awaelezee Watanzania wamezungumuza nini? TUNATAKA KUJUWA.

  • @toronthojinakubwa3054
    @toronthojinakubwa30543 жыл бұрын

    Pamoja na Ziara zinazofanyika tunahitaji wakulima wanufaike katika kilimo na ufugaji na Hawa ni wapiga kura kwa viongozi mbalimbali

  • @j.c.maxima816

    @j.c.maxima816

    3 жыл бұрын

    Mama, naomba Dr Bashiru awe Waziri mpya wa Kilimo,,, Yeye ndiye pekee anayeweza kuleta mabadiliko makubwa kwenye sekta hii,,,

  • @ilampahamisi5777
    @ilampahamisi57773 жыл бұрын

    Mama hongera Sana! Ila Dodoma umepasahau, unawezaje kuipa sehemu umuhimu ambayo huishi? Ndio kusema kwamba umepatupa kabisa? Naomba Mungu akuguse uende Dom. Mungu akujalie afya njema.

  • @j.c.maxima816

    @j.c.maxima816

    3 жыл бұрын

    Mimi naomba aende Ikulu Chato!!!

  • @ilampahamisi5777

    @ilampahamisi5777

    3 жыл бұрын

    @@j.c.maxima816 Kuna sheria inayosema, alipo Rais kwa mda husika ndiyo ikulu. Ana Haki ya msingi kabisa. Ila sio kupasahau kabisa Dodoma.

  • @saumusalimuhassan2499
    @saumusalimuhassan24993 жыл бұрын

    Mashallah

  • @eshasalim5496
    @eshasalim54963 жыл бұрын

    Maa Shaa ALLAH

  • @hassanmpwepwe3826
    @hassanmpwepwe38263 жыл бұрын

    Watakuja wengi sana kwasasa siwa wanajua ayupo mwenye msimamo kaz kweli kweli R.i.p jemedar we2 jpm

  • @geeva99

    @geeva99

    3 жыл бұрын

    Wapigie simu na ndugu zako pia wajulie hali

  • @marymfugwa847

    @marymfugwa847

    3 жыл бұрын

    Tanzania ni ya watanzania wote acha mama apige kazi inaendelea kwani magu alikuwa na hati miliki ya nchi?. Hii ndo timu kikwete ingekuwa chadema mngesema mabeberu!.

  • @amosmoses7800

    @amosmoses7800

    3 жыл бұрын

    MAgU ALijioNA munGu. ALijioNA aKiWa nA uFaLmE nA utaWaLa inChini TanZaNiA bAsi inAtoshA tu . Ataishi tu miLeLe biLa yA kuumWa waLa miSAadA KutOkA njE. KwAsaBaBu AliJionA ni munGu haNa sHiDa nA uLimweNgu wA njE . HuYu mAmA Ana MaoNo yA kujUA kWamBa TanZaNiA iLivyo BiLa yA miSaaDa nA mashiLikiaNo nA maTaiFa yA njE . .TuTaAngaMia

  • @rumdeesonsoa1811

    @rumdeesonsoa1811

    3 жыл бұрын

    @@amosmoses7800 Sijui ata umeandika herufi gani hizo?

  • @user-mz9qd1pb5t

    @user-mz9qd1pb5t

    3 жыл бұрын

    Msimamo gani kaka mbona huoni kma kutia kwako Dosari kwa tawala iliyopo madarakani hakusaidii chochote zaidi ya kupata maradhi ya nafsi tu.

  • @mobellamobenimpenda7055
    @mobellamobenimpenda70553 жыл бұрын

    MaahaAllagh

  • @mkude
    @mkude3 жыл бұрын

    Piga kazi mama watanzania wengi tunakupenda,ushirikiano ni muhimu katika kuletea taifa maendeleo

  • @joelrugano6517
    @joelrugano65173 жыл бұрын

    Tunapenda kuendelea kuwa nchi isiyofungamana na upande wowote. Pia ikumbukwe kwamba, yapo mambo yasiyokwepeka. Samia ni mwislamu kama ambavyo Magufuli alikuwa mkatoliki. Hivyo basi hakuna jinsi Samia anaweza kujivua uislamu ili kuwafurahisha kundi fulani. Jambo kubwa la kuzingatia ni kuto beba watu. Upendeleo siku zote upo isipokuwa uwe wa kiasi. Hawezi kukwepa kuwa karibu na watangulizi wake bali awe mwangalifu asije kuendeshwa na watu au kundi fulani. Upo uvumi wa kuendeshwa na kivuli cha Kikwete awe mwangalifu kwenye hilo. Yapo mazuri ya kikwete na mabaya yake hivyo atumie busara. Watanzania hawatabiriki leo wako nawe kesho hawako nawe. Hakuna aliyetegemea kuwa Leo hii kungetokea watu wa kubeza shughuli za Magufuli muda mfupi huu. Wapo walio muunga mkono Magufuli kuhusu bandari ya Bagamoyo lakini leo wameisha geuka nguzo ya chumvi, cha ajabu wengine walikuwa wasaidizi na maafisa waandalizi. Leo hii wale walioanza kutambulika kama mafisadi leo wanaanza kurudi kiaina yake. Hivyo mh rais Samia kitakacho msaidia ni hekima na udhabiti. Wanasiasa siku zote huwa ni bendera kufuata upepo. Hivyo awe kiongozi na si mwanasiasa hapo atafanikiwa.

  • @salimsaid7200

    @salimsaid7200

    3 жыл бұрын

    MANENO YAKO NI KWELI MUHIMU AONGOZE NA AJENGE NCHI HAKUNA BINADAMU ASIEKUWA MAPUNGUFU.

  • @khatibumkwisu4071
    @khatibumkwisu40713 жыл бұрын

    Lakini chanjo hatutaki

  • @jumaothman9449
    @jumaothman94493 жыл бұрын

    Sio ubalozi mdogo tunahitaji balozi zote zilizopo Tanzania bara ziwepo na Tanzania Zanzibar

  • @ammonybejumula7582
    @ammonybejumula75823 жыл бұрын

    Yetu macho

  • @isaachayes9783
    @isaachayes97833 жыл бұрын

    Hope ikulu ya Dodoma itakua na muonekano unaoonyesha taswira ya nchi

  • @mosesburton184

    @mosesburton184

    3 жыл бұрын

    sura ya nchi ni hali ya wananchi.ikulu hata sisi tunazo

  • @maryjoseph7931
    @maryjoseph79313 жыл бұрын

    Hawa sio ndo Wale Wauaji wa Jamal Kashog?😇😇😇

  • @mimimtanzania9738
    @mimimtanzania97383 жыл бұрын

    Anaomba afungue u abalozi mdogo Zanzibar. Safii

  • @abushaddad989
    @abushaddad9893 жыл бұрын

    Kaz iendeleee Tz sio kisiwa

  • @youngbob9761
    @youngbob97613 жыл бұрын

    Safi bora wafungue office ndogo za ubalozi Zanzibar...

  • @shamimhayat7637
    @shamimhayat76373 жыл бұрын

    Welcome

  • @geeva99
    @geeva993 жыл бұрын

    Wenye pepo la umasikini lazima wapinge hii, ndala oyeee!!

  • @subirahamis2320
    @subirahamis23203 жыл бұрын

    Nyimbo zetu za uzalendo na uhuru amani duniani zajulikama ila zimepuuziwa

  • @salamaseif4032
    @salamaseif40323 жыл бұрын

    Aaaa wacha mama Yetu naona fursa Kama yote wageni kama wote bola maisha yaende

  • @florianhenry7198
    @florianhenry71983 жыл бұрын

    Kuwa makini sana mama

  • @mbwanamungia9921
    @mbwanamungia99213 жыл бұрын

    Kutazuka mihela hapa balaaa piga kazi mama

  • @ramadhanisadiki723
    @ramadhanisadiki7233 жыл бұрын

    Dah bongo ni wajuaji sanaa

  • @irenemsumba6776
    @irenemsumba67763 жыл бұрын

    Enzi za JPM hatunge ona mwana wakifalme

  • @opiyowilson3640
    @opiyowilson36403 жыл бұрын

    Usiseme hatumuelewi,sema wewe ndo haumuelewi.Acha kusemea nyoyo za watu wengine.Hata ukipewa nafasi useme usichokielewa ktk utendaji wa mama ,utaishia kutokwa na jasho na kupatwa na kigugumizi cha ghafla.

  • @user-mz9qd1pb5t

    @user-mz9qd1pb5t

    3 жыл бұрын

    Ni kweli kabisa kaka

  • @athumanially3505
    @athumanially35053 жыл бұрын

    RIP JPM

  • @crissjulip3159

    @crissjulip3159

    3 жыл бұрын

    Mfwate alipo basi

  • @innocentjoseph805

    @innocentjoseph805

    3 жыл бұрын

    @@crissjulip3159 ndo majib ayo?

  • @mayaniphilipo9256

    @mayaniphilipo9256

    3 жыл бұрын

    Sasa Asemaje!? Maana Kama Vile Hatumuan Rais Aliyepo! Tukumbuke, Morocco Tayar Walishaanza Ujenzi Wa Miundo Mbinu Hapa Kwetu, Sasa Cha Ajabu Kp

  • @mayaniphilipo9256

    @mayaniphilipo9256

    3 жыл бұрын

    @@innocentjoseph805 Au Ww Unaonaje Mtanzania Mwenzetu!?

  • @kakorejrboyz6447

    @kakorejrboyz6447

    3 жыл бұрын

    Mtasema Sana lakini RAIS NI MAMA SAMIA MPAKA 2030👏👏👏👏

  • @maridadi8
    @maridadi83 жыл бұрын

    Hawa wasaudi walikua wapi enzi za JPM? Tuwe makini ndugu zangu.

  • @salimsaid7200

    @salimsaid7200

    3 жыл бұрын

    HICHO KAMIAKA MITANO UKAITA ENZI???? ENZI MIAKA MAELFU NA KWENDA JUU SIO MIAKA 5.

  • @swaumumohammed5710

    @swaumumohammed5710

    3 жыл бұрын

    Mbona Alikuja mfalme magu akaombaajengewe msikiti mme🤔😆😆shasahau

  • @mkude

    @mkude

    3 жыл бұрын

    @@swaumumohammed5710 amesahau duuuh kweli kabisa mbona akikuja mfalme wa moroco.watu kama hawa wanatafuta sababu ya kutoa kasoro tu hawana lolote,wanatafuta sababu yoyote wamtolee mama kasoro

  • @fetychina3273
    @fetychina32733 жыл бұрын

    Sisi Tanaka maendeleotu kila raisi na nafasiyake

  • @bayekefarijala5042
    @bayekefarijala50423 жыл бұрын

    Mikataba iwe wazi wajameni, watanzania waijue

  • @salimsaid7200

    @salimsaid7200

    3 жыл бұрын

    MIKATABA GANI YA SERIKALI ILIOKUWA WAZI AMBAYO WEWE UME ONYESHWA??? KAMA SI KAZI YAKO SI KAZI YAKO ENDELEA NA KAZI YAKO INAYO KUHUSU.

  • @eliankya3272
    @eliankya32723 жыл бұрын

    Akianza nayeye kutoka.sio mmpige mdomo atakuwa halipa

  • @blueeyes5952
    @blueeyes59523 жыл бұрын

    Tanzania kuwa kisiwa sio ju ya wawekezaji bali ni kwa ajili ya chanjo na corono, jana alikuwa dongote, leo saudi arabia , kenya , uganda , sasa kipato cha uchimi kimeongozeka kiwango cha kati ao cha juu ao kimechuka tena ku sifuri??? Minaona mama ana signe mikataba bila ata kuisoma yote ao kuichunguza yote. Tunapenda wawekazaji wengi bali wasiwe wachina fukuza kabisa na bandari patia Omani wajenge na sio wachina wanyonyaji.

  • @simonitaagesti3657
    @simonitaagesti36573 жыл бұрын

    Inaitwa changamkiq fursa

  • @ahmuhally4430
    @ahmuhally44303 жыл бұрын

    Mama nakukubali

  • @palokuthereza2555
    @palokuthereza25553 жыл бұрын

    Ila uyu mwana wa mfalme angekuwa vijijini MH MH

  • @ishaomari2232

    @ishaomari2232

    3 жыл бұрын

    😀😀😀

  • @sleyumomar3637
    @sleyumomar36373 жыл бұрын

    acheni ushamba, magu alitengeneza ikulu chatu na akahamia huko huko mbona hamkusema,, musimpangie mama alokua hamuelewi aondoke aende kwa anaemuelewa hamjalazimishwa kumuelewa,,

  • @kakorejrboyz6447

    @kakorejrboyz6447

    3 жыл бұрын

    WANAKISAHAULISHA KUWA IKULU ISHAHAMIAGA KANDA YA ZIWA WAAMBIE

  • @michaelmahmoud

    @michaelmahmoud

    3 жыл бұрын

    Ewe kibaraka Wa samia nibola ukakaakimya maana aibu inakuja mbeleyako

  • @emmanuelsanga590

    @emmanuelsanga590

    3 жыл бұрын

    @@michaelmahmoud na we kibaraka wa nan

  • @michaelmahmoud

    @michaelmahmoud

    3 жыл бұрын

    @@emmanuelsanga590 kibaraka Wa Bibiyako

  • @mkude

    @mkude

    3 жыл бұрын

    @@michaelmahmoud wewe ndo kibaraka na sio wa nchi hiii,roho yako inaonesha imejaa chuki,husuda,na roho mbaya.kuwa na heshima kwa watu wazima na hasa kiongozi wako wa nchi.umeelewa kijana

  • @tanzaniatouristsattraction1622
    @tanzaniatouristsattraction16223 жыл бұрын

    Mi sijaelewa maana ya makao makuu Dodoma

  • @selemanimasatu2421
    @selemanimasatu24213 жыл бұрын

    Mwana wa mfalme

  • @hamilsalim8531
    @hamilsalim85313 жыл бұрын

    Naona jamaa kama anakiangalia kiti Mara mbili mbili, kama hakiendani nayy

  • @suleimankhalfan6938

    @suleimankhalfan6938

    3 жыл бұрын

    Nimeona

  • @salimabdillah1623
    @salimabdillah16233 жыл бұрын

    Mwaga mahela hayo mwalabu, mama hongera.

  • @doradora978

    @doradora978

    3 жыл бұрын

    R I p magu tunaweza kujiongoza wenyewe bila misada kutoka nnje ndio sababu kaulimbiu ya magu mabeberu yalichukia Tanzania mungu ametupendelea tuna kila aina ya rasilimali na ndio sababu ya wawekezaji wa annje wanapapenda hamshangai kwanini hawaendi nchi zingine ?

  • @jamecjohn7318
    @jamecjohn73183 жыл бұрын

    *Chege boy is typing.........*

  • @yahyahamad1802
    @yahyahamad18023 жыл бұрын

    Wengine wanaumia wakiona mavazi ya kiislam tu

  • @khadijambarouk2983

    @khadijambarouk2983

    3 жыл бұрын

    Hakika umeongea hilo lipo chini ya mioyo yao wanajificha tu

  • @officialbntrasool5223

    @officialbntrasool5223

    3 жыл бұрын

    Haswaaa

  • @faustinemavere1450

    @faustinemavere1450

    3 жыл бұрын

    Hahya hujitambui kwani nguo nini kaa ukijua nguo ni vazi kama vazi lingine tu uache udini

  • @nkenemalulu1330

    @nkenemalulu1330

    3 жыл бұрын

    Acha udini tuliauacha enzi ya Ml. Nyerere, sasa hivi tunacheza,na maendeleo na UTANZANIA

  • @tatukapilimba4535

    @tatukapilimba4535

    3 жыл бұрын

    Hahahahaaaaaaa

  • @ludobudege1662
    @ludobudege16623 жыл бұрын

    Mwenyezimungu kama ingekuwa inawezekana ungemrudisha magufuli hata kwa dakika moja aje aone mask mjengoni

  • @kakorejrboyz6447

    @kakorejrboyz6447

    3 жыл бұрын

    NYERERE ndio anatakiwa arudi kwani aliondoka zamani na tumemmuzi

  • @salimsaid7200

    @salimsaid7200

    3 жыл бұрын

    AONE ILI IWEJE 🤣🤣🤣 NI RAHISI WEWE KWENDA ALIPO KURUDI NDOTO HIYO SAHAU.

  • @josephmarenge497
    @josephmarenge4973 жыл бұрын

    Jamani mnaonaje tukibadilisha katiba mama atuongoze kwa miaka 20

  • @estarjuma7983

    @estarjuma7983

    3 жыл бұрын

    🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣

  • @rumdeesonsoa1811

    @rumdeesonsoa1811

    3 жыл бұрын

    Aongeze miaka 20 kwa sababu ipi?

  • @estarjuma7983

    @estarjuma7983

    3 жыл бұрын

    @@rumdeesonsoa1811 umeona eee Yaan sjui alikuwa wapi wakati anasema hivyo 😅😅😅😅

  • @josephmarenge497

    @josephmarenge497

    3 жыл бұрын

    Kwanza ni utekelezaji wa mpango wa serikali ya awamu ya tano na bunge la spika Ndugai,pili CCM inataka itawale milele sa kwa nini tupoteze muda wa uchaguzi na gharama zake

  • @estarjuma7983

    @estarjuma7983

    3 жыл бұрын

    @@josephmarenge497 mhhhh

  • @deodatusmaliti7790
    @deodatusmaliti77903 жыл бұрын

    Waziri wa mambo ya nje mama Mulamula anavaa kama mganga wa kienyeji. Aambiwe hili.

  • @salimsaid7200

    @salimsaid7200

    3 жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣 WABONGO HAMKOSI LA KUSEMA MALIKIA WETU UNAMFANA NISHA NGUO ZAKE NA MGANGA WA KIENYEJI MUHIMU TUMPENDE MALIKA WETU KWA KAZI ANAYO IFANYA 🤝🤝🤝🤝

  • @francislovemore3858
    @francislovemore38583 жыл бұрын

    Watanzania tumuombe mungu sana

  • @agastprudence7639
    @agastprudence76393 жыл бұрын

    Rais wa Dar na Dodoma

  • @KUTOKA-ep2fk
    @KUTOKA-ep2fk3 жыл бұрын

    Mama piga kazi iende nyuma kwa speed ile ile aliyokuwa anatumia Rais magufuli kwenda mbele.

  • @Unclerammaschannel
    @Unclerammaschannel3 жыл бұрын

    IKULU ime rudi dar toka magufuli ame kufa ni hatari

  • @TamuzaKale

    @TamuzaKale

    3 жыл бұрын

    Kwani Dodoma kuna Ikulu? Hehehehehe miaka 55 Ikulu ni DAR!

  • @iddijumaali7192

    @iddijumaali7192

    3 жыл бұрын

    @@TamuzaKale 😃😃😃

  • @iddijumaali7192

    @iddijumaali7192

    3 жыл бұрын

    Hezoea kukaa bila couna bahar

  • @amosmoses7800

    @amosmoses7800

    3 жыл бұрын

    ILe yA chaTo baDo inaeNdeLeA

  • @omarnzaro31
    @omarnzaro313 жыл бұрын

    Wanavyoua waafrica wakuja kufanyanini

  • @salimsaid7200

    @salimsaid7200

    3 жыл бұрын

    OMAR NZARO KUKU UWA NA WEWE HAYA KIMBIA

  • @sidodeni3468
    @sidodeni34683 жыл бұрын

    Bi mkubwa njoo dodoma ndio makao makuu ya nchi ili tuanze kukuelewa kwa Sasa husomeki kabixa

  • @geeva99

    @geeva99

    3 жыл бұрын

    Acha ushamba katembelee ndugu zako walioko nje ya dodoma upunguze ukungu

  • @mayaniphilipo9256

    @mayaniphilipo9256

    3 жыл бұрын

    Kila Mtu Na Anakokutaka Kukaaa.... Dodoma Serikal Ipo Na Ujenzi Haujakamilika Akakae IKULU IPI

  • @mayaniphilipo9256

    @mayaniphilipo9256

    3 жыл бұрын

    Halafu Akiumwa Ghafla Apande Ndege To Dar.... Aaaaa Mwacheni Bwana.... Tumpe Muda...

  • @Iamjaysimple

    @Iamjaysimple

    3 жыл бұрын

    kzread.info/dash/bejne/oHyKpNB7cavOmKg.html

  • @michaelmahmoud

    @michaelmahmoud

    3 жыл бұрын

    @@mayaniphilipo9256 Sikusio nyingi watu kama wewe hatuwaona mtakuwa kimya kwasababu ya aibu Hii nchi sio rahisi kama mnavyo jiongelesha

  • @eliankya3272
    @eliankya32723 жыл бұрын

    Ivi yule wa loliyondo ndie uyu au

  • @salehkhamis3063

    @salehkhamis3063

    3 жыл бұрын

    Wa loliondo mama ako umemuacha ndani kwako kwa mama ako

  • @backtohappiness4664
    @backtohappiness46643 жыл бұрын

    Ikulu matukio hayaishi..kila siku

  • @mohamediomari1614

    @mohamediomari1614

    3 жыл бұрын

    😂😂😂😂tumepigwa vibyaaa

  • @nurumushi2226

    @nurumushi2226

    3 жыл бұрын

    Anajenga mausino hii ndio kazi ya Rais uku kuingine kashaweka watu wakumsaidi urais ni Akili sio kila siku barabarani Hongera mama tupo pamoja

  • @estermathias8354

    @estermathias8354

    3 жыл бұрын

    🤣🤣🤣🤣🤣na bado

  • @kakorejrboyz6447

    @kakorejrboyz6447

    3 жыл бұрын

    NDIO VIZURI AMSHA AMSHA KAMA HIZO NDIO ZINACHANGAMSHA IKULU NA UNAONYESHA TUNAPENDWA NA TUNAKUBALIKA

  • @michaelmahmoud

    @michaelmahmoud

    3 жыл бұрын

    Kwasababu yeye ni rais Wa wageni? Hawezi kuwatumikia watanzania hiyo mamaenu Muda utaongea tusubiri tu

  • @alenialex6941
    @alenialex69413 жыл бұрын

    Ndo mnaitelekeza dodoma kimtindo hivo

  • @salimsaid7200

    @salimsaid7200

    3 жыл бұрын

    ALIE ITELEKEZA MAGU KWENDA KUJENGA CHATO MAMBO MAKUBWA MAKUBWA SIO MALIKIA WETU MAMA MPENDWA.

  • @MohammedAli-rh5si
    @MohammedAli-rh5si3 жыл бұрын

    Tunaomba tuwekewe ubalozi huko saudia na turuhusiwe kufanya kazi kihalali

  • @ramsodavidson6011

    @ramsodavidson6011

    3 жыл бұрын

    kwani now watu kazi hawafanyi

  • @magrethemmanuel2157

    @magrethemmanuel2157

    3 жыл бұрын

    Mhhhhh tena

Келесі