Radd na Nasaha kwa Aliyekuwa Rafiki yetu Sheikh Hilal Kipozeo kwa Kuzua Visa vya UONGO

Radd na Nasaha kwa aliyekuwa Rafiki yetu Sheikh Hilal Kipozeo Allah Amuongoze kwa kuzua visa vya UONGO ili kuwachekesha wanaomsikiliza
Mzungumzaji:
Sheikh Salim Barahiyan

Пікірлер: 312

  • @pilimwanza8117
    @pilimwanza8117 Жыл бұрын

    Sijawahi kumpenda Kipozeo. huwa simsikilizi kabisa tangu nione kuwa all he does ni kutaja viungo vya wanawake na watu wanacheka tu.

  • @ibrahimcharlesswaleh
    @ibrahimcharlesswaleh Жыл бұрын

    Umma unaangamia. Tufundisheni Muongozo wa Kitabu na Sunna. Kipozeo yupo, ungemfuata faragha mkaelimishana ingekuwa bora zaidi kuliko kudhalilishana kwenye mitandao.

  • @abuujibriltv5233
    @abuujibriltv5233 Жыл бұрын

    barahiyani usijiite shekh mkubwa Mimi nime kufahamu kwa sababu ya ujinga wako. ujinga ndo ulio kupatia umaarufu. na una takiwa kuwa na shukran kwa Muhammad bakari na huseni hashimu wamekufundisha sana kw mijadala pamoja na kichwa chako kuwa kigumu angalau uka punguza matusi tu

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Жыл бұрын

    Sheikh Msamehe Kipoozeo, Kwa hakika ameteleza, umefanya mengi Tanzania ktk sekta mbalimbali kuanzia Elimu ya Dunia na Dini, na Allah atakulipa, nasaha yangu kwako Msamehe Sheikh Kipoozeo ,na Kipoozeo anatakikana akutafute Akuombe msamaha

  • @shabanmohamed7071
    @shabanmohamed7071 Жыл бұрын

    Kipozeo yupo sahihi ,wewe hakuna kitu ,imekuchoma ndio maana umejibu ,kichaa wewe

  • @nassorbinfundi1196
    @nassorbinfundi1196 Жыл бұрын

    Muache kipoozeo sio daraja yako, huyo mtu mwengine umuingii kwakila kitu

  • @saidkale6465
    @saidkale6465 Жыл бұрын

    Nimemfuatilia Mudiri toka miaka ya 98 Mungu amuhifadhi Barahiyan ni mmoja ktk watu alieleta haki ndani ya mji wa Tanga..Umemjibu kwa hekma raad zimeanza tokea miaka mingi iliyopita lazima alikuwa ajibiwe

  • @suleymanmrutu9498
    @suleymanmrutu949821 күн бұрын

    Kipozei nimemuelewasana yeyealikuwa anaongea hukuanaweka utani kwahiyo sheikh salim barayihan wala usichukie kwani Kipozeo nimtu wautanisana

  • @suleymanmrutu9498
    @suleymanmrutu949821 күн бұрын

    Kipozei nimemuelewasana yeyealikuwa anaongea hukuanaweka utani kwahiyo sheikh salim barayihan wala usichukie kwani Kipozeo nimtu wautanisana

  • @jaffersuleiman5417
    @jaffersuleiman5417 Жыл бұрын

    Ni kweli kabisa kipozeo amekuw comedian mara mizigo ya madem kweli anachekesha

  • @azizimuhibu7771
    @azizimuhibu7771

    Naam, Sheikh Salim barayihan kamjibu vizuri sana Wala si kwa ubaya, allah awaongoze masheikh wetu.amiiyn

  • @salumsaid1433
    @salumsaid1433 Жыл бұрын

    بسم الله الرحمن الر حيم( واعتصمو بحبل الله جميعا ولا تفرقو ) وكونو عباد الله اخوانا

  • @user-nr5vn8ou8d
    @user-nr5vn8ou8d

    Mashekhe wacheni kudhalilishana mtandaoni hii sio mafundusho ya bwana mtume Muhammad!

  • @omarabdallah372
    @omarabdallah372 Жыл бұрын

    Ma Shaa Allah Allah umeongea kwa hikma na upole wala hukumuongea Kwa ubaya Allah akupe hikma zaidi sheikh Salim....

  • @mohamedothman5792
    @mohamedothman5792 Жыл бұрын

    Allah akujaalie wewe na waislamu wote tuwe ni wenye kufuata njia iliyonyooka

  • @abuibra
    @abuibra Жыл бұрын

    Tulizeni nyoyo zenu, mtafuteni njia yenye suluhu bora,msimpoteze kipozeo nafikiri kachoka anabobojokwa sana,mkutane mzungumze msirushiane maneno kwenye mitandao,italeta aibu msiwape fursa watu wa bid'a.tunawapenda mashekhe wetu chukueni hekma kuyasawazisha INSHA'ALLAH Mtakua pamoja.

  • @saidrakwe8727
    @saidrakwe8727 Жыл бұрын

    Kapinga khitma tu sababu katika usomaji wake ameona ndivyo sawa …ni sehemu ya hitlafu….namkubali shegh hilali mpaka aingie kaburini hayo mengine khitlafu tu..hata maswahaba walightilafiana…..shegh hilali anabusara nyingi sana na anafalsafa Nzuri sana yakuongea .allah atubarik

  • @saidmussa9587
    @saidmussa9587 Жыл бұрын

    Ndugu yangu iblahim Asante huyu shekhe anatafuta kiki mwanachuoni mwenyehikima hufuata mwenzie live live mumuni kwa muumin humdilik muumin kwa wanaonana hojakwa hoja

  • @mussamtupa
    @mussamtupa Жыл бұрын

    KIPOZEO hana kundi hili jambo mm lili kua linanchanganya sana utamuona ktk shughuli za Maulidi anaenda na ujumbe anafikisha.

  • @abuyunusmohamed6961
    @abuyunusmohamed6961 Жыл бұрын

    Allah amuongoze.Baarakallahu fiik

Келесі