@officialactwazalendotv NAFAHAMU HISTORIA YA WATU WA KUSINI KATIKA KULETA MAGEUZI

Join this channel to get access to perks:
/ @vugaonlinetv
#ZanzibarMpya #ZanzibarMoja #MamlakaKamili
Channel Rasmi ya Chama Cha ACT Wazalendo Habari zote kuhusu Act Wazalendo utazipata kupitia channel hii
Usipitwe na Habari Moto Moto Kutoka Katika Chama Chet Cha ACT Wazalendo makala Tofauti Tofauti Habari nyengine nyingi Kuhusu Chama Chetu Utazipata Hapa
#actwazalendotv, #siasatz #zittokabwe #jussa #mazurui
Chama cha ACT Wazalendo kilianzishwa mnamo mwaka 2014 na ni chama kinachoendelea kukua kwa kasi nchini Tanzania. Sisi ni vuguvugu lenye lengo la kutengeneza Tanzania huru, yenye maendeleo na mafanikio ambayo misingi yake itakuwa ni uhuru, uwajibikaji, na uwazi.
Dira yetu ni kwa Tanzania kupiga hatua ya kimaendeleo kwa kupitia:
1.Kujenga uchumi shirikishi unaoshamiri na wenye kukua na kuweza kutengeneza ajira.
2.Miundombinu imara inayochochea sekta zote za uchumi unaokuwa.
3.Upatikanaji wa elimu bora.
4.Upatikanaji wa huduma bora za afya kwa wote.
5.Kujenga taasisi ya polisi huru na inayozingatia taaluma ili iweze kuwahudumia na kuwalinda watu wote.
6.Muungano wenye kuweka maslahi ya watu wa pande zote mbele, wa haki na wa usawa utakaowekewa msingi wake kwenye Katiba ya watu.
7.Vita dhidi ya rushwa na aina zote za ufisadi.
8.Utoaji wa hifadhi ya jamii iliyobora kwa wasiojiweza, masikini na watu wengine wasiojiweza.
9.Makazi ambayo watu wanaweza kuyamudu, na kupatikana kwa wote.
10.Upatikanaji wa maji safi na salama kwa watu wote.

Пікірлер: 10

  • @salyali7807
    @salyali7807Ай бұрын

    I love ACT 🔥🔥🔥

  • @lusakaone7782
    @lusakaone7782Ай бұрын

    Yaani wakiambiwa nchi inamalizika hawasikii, tusichoke kuwakumbusha naamini wataelewa

  • @natafutamatatizo4382
    @natafutamatatizo4382Ай бұрын

    WATANGANYIKA LAZIMA WAONDOKE, ZANZIBAR MUUNGANO UFE NA MAKAFIRI!

  • @user-xv4tl8iv4l

    @user-xv4tl8iv4l

    Ай бұрын

    NINI MAANA YA ZANZIBAR

  • @user-js9lz8nc1w
    @user-js9lz8nc1wАй бұрын

    BARABARA KIONGOZI

  • @Sr.BasilisaPanga
    @Sr.BasilisaPangaАй бұрын

    Jamani mbona wanawake hawashikwi mkono na mwenyekiti. Naomba kuelimishwa.

  • @Aisha-lj8bu

    @Aisha-lj8bu

    Ай бұрын

    Hao nimaharim wake anafaaa kuwaowa kwahio haipaswi kuwapa mikono akiwapa mikono itakuwa wote amewazini hio ndio sheria ya kiislam hafanyi kwa matwaka yake

  • @RamadhaniMussa-xs5uk

    @RamadhaniMussa-xs5uk

    26 күн бұрын

    Huo ndy uislamu

  • @salyali7807
    @salyali7807Ай бұрын

    Hawa CCM wana mashikio ya kufa ... wapo madarakani kwa maslaha yao tu. Wanadhani itawafaa kizazi chao

  • @salyali7807
    @salyali7807Ай бұрын

    Allah kamtoa haya Hassan Mwinyi ... anafanya fisadi openly

Келесі