Mwigulu Nchemba: Tunakopa Sababu Sisi Ni Matajiri
Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba amesema kwamba Serikali ya Tanzania inakopa si kwa sababu ni maskini bali ni tajiri, inakopesheka na inao uwezo wa kulipa.
Akitoa mrejesho wa mjadala wa bajeti ya Serikali kwa mwaka 2024/25 Mwigulu amesema kuwa Serikali inakopa kwa ajili ya kufanya shughuli za maendeleo na sio kwa ajili ya matumizi ya kawaida.
Пікірлер: 32
Wazir wa hovyo kuwah kutokea tz
sasa ayo makofi ya nni sasa pumba tupu
Lingine Mwiguru fedha nyingi zinaibwa na watumishi hizi zote ni kujenga uchumi
Report ya CAG ingekuwa inapewa kipaumbele watu wasingingepigwa makod ya namna hiii...issue sio mapato tu...na matumiz pia!
Tukiliamsha tunanza na huyu Bumunda. Nchi zinakopa lkn pesa zinaonekana zinafanya kazi gani. Ninyi mnakopa then mnaongeza kodi si ujuha huo? Reli imejengwa kwa mkopo kias gani mbona hadi leo mnakopa kwq mrad huo huo na haukamiliki.? Anatoq sababu za kijua na za mzaha. Anajua anaongea na waTanzania majuju.
Huyu ana akili timamu kweli? Kweli kuna changamoto ya akili nchini hasa kwa hawa machawa. Nonsense.
Chawaaaa
Tajiri hakopi hata siku moja. Utakopa ulichonacho😢
Hayo yanayopiga makofi ni majinga kias gan??
Tujifunze kutoka Kenya
Acha bana, kwahiyo kama nitajiri unakopea nini ??,na kama mwenye uchumi wajuu duniani mkopaji mkuu,,jee anakopa kwa nani ,au anakòpa kwamasikini wachini zaidi ,sijaelewa vizuri
Tupigwa 2
Mulisha tufanya kama chozi la samaki ambalo huenda na maji ila MUNGU wetu yupo atatupigania tuna amini na itakua ivo yani inchi inakopa kwakua ni tajili wkat madeni ni utumwa daaaaa! Sawa mwigulu
Huyu waziri hamnazo, kwani nani analipa TRA si mwananchi, na mkikopa nani analipa si mlipa kodi
Hamna siku mtanzania atadaiwa nuymbani kwake. Kwa sababu madeni ni ya serikali. Hiyo serikali inapata wapi fedha za kulipa hayo madeni, kama si wananchi????
Hahaaaaa tz tumatajiri huku tunalala njaa
Upumbavu wa hali ya juu
Huyu anaongea nn deni limeongezeka sasa Tanzania inapoteza pesa nying kwenye ufisadi lakn hatuna hatua chura kiziwi yupo tu
Pato lataifa linakuwa ,na kama linakuwa ,je pato la wananchi na lenyewe linakuwa??
Ukila wewe ukashiba unaona ni tajiri sijaona mtu mbaya kama wewe pumbavu kabisa watu hata mlo mmoja ni shida wewe umeiba hela zote za Kodi unajiona tajiri na unafikiri wote
Mnakopa mnagawana wenyewe nchi inadaiwa mpaka kku mnatuachia shida ndo mana unapendekeza fain milion kumi na tano msenge ww huna akili
@andrewchihwalo8937
12 күн бұрын
Ubongo wa makamasi eti waziri aibu sana wallah 😡😡😡😡
😂😂😂😂😂😂 hata haujishangai na mnakopa kwa shida zenu hatupo karne ya70s na kila mtu anaelewa
😢😢😢Mungu wangu!Nini hii
Ndiye mtu msomi huyo
Ahhh mm ngoja nicheke tu
Kangara kweli
Kafie kuzimu bumunda
Hapo sijakuelewa unawezaje kuenda kuomba msaada kwa mtu alafu umbiye kuwa Mimi tajili
Matajili hatukatai Shida yako Viongoz mumekua wanyanyasaji masikini limekua godro lenu tax Tozo nibom kwawa Tz
Sawa wanakopa wanakupa mkopo Kwa riba gani na Kwa mashart gani? Na Je wanakupangia project gani za kufanya?
Asimilia 20 ya bajeti ya Tanzania ni mikopo. Kama mkikosa mkopo hamwezi endesha nchi. Kuna hela gani iliyokopwa nchi hii imezalisha hela hela ya kulipa hayo madeni yanatoka wapi zaidi ya kuongeza kodi. Ma company yenyewe ya serikali yote yanaingiza hasara Si TTCL Si tanesco Si dawasa Si viwanda vya serikali kila kitu hasara hadi vyuo. Hadi mwendo kasi hamwezi ku endesha hiyo hela ya kulipa inatoka wapi Huyu Jamaa ana tu fanya sisi wajinga. Na anavojilinganisha na marekani marekani asilimia 80 ya madeni yake ni internal kwa maana serikali inajikopesha yenyewe kupitia states na government pensions anatuona sisi wajinga. Wabongo mpaka tuamke Haya mambo hayatokaa yaishe.